Chombezo : Penzi La Mke Wa Baba
Sehemu Ya Tatu (3)
Mchumba wangu, alichukia sana mimi kufanya mapenzi na mama, akasema,
“Meshack wewe ni mjinga, siwezi kukusamehe, najuta ata kukufahamu we mwanaume,
bora ningekufumania na mwanamke mwingine ila sio mke wa baba yako mzazi, una
laana kubwa sana Meshack," nilisema, “nisamehe mchumba wangu, sio kwamba
napenda kufanya hivi naIazimishwa na mama, na anasema nisipo fanya hichi kitu
atanisema kwa baba kuwa nimempa mimba"joys akasema, “haa! Kumbe umempa ata
mimba, sikuwezi wewe mwanaume kwaheri" mama akamjibu, “ndiyo hii mimba yake
ulikuwa hujui, nilikuzuia kukaa hapa ukabisha utakoma"joys alichukuwa nguo zake
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
akatoka nje, wakati yupo njiani akakutana na baba yangu, baba akamuuliza, "joys
mbona unalia na umebeba mizigo, umefiwa au?"joy akasema, “baba Meshack wako
anatabia mbaya simuwezi, wala siwezi kuolewa naye" baba akamuuliza, “mbona
mwanangu ni kijana mzuri amefanya nini"joys akasema, “kitu alicho kifanya siwezi
kusema ni aibu tupu utamuuliza wewe" ndipo baba akaja nyumbani.
Kipindi baba anakuja alinikuta namgombeza mama maana alisababisha mpaka
mchumba wangu akaondoka, baba alipo fika, akauliza, “kwanini mnagombana"
nikamwambia, muulize mama, mama akasema, “mke wake anatabia mbaya sana,
ameingia chumbani kwangu kisha akaanza kushika nguo zangu za ndani, hivi ata
kama ni wewe mtu kama huyo utamfikiliaje, lazima uhisi ni mchawi" baba akasema,
“hee! Kumbe huyo dada akili zake ndogo ehh, basi ni bora aondoke tu, siwezi kuishi
na watu wakorofi namna hiyo" ndipo baba akaacha kumuulizia tena mchumba wangu.
Baada ya miezi kadhaa, mke wa baba akashikwa na uchungu wa kujifungua hivyo mimi
na baba tukaanza kuwangaika kumpeleka hospitali, chakushangaza ni kwamba mama
alikuwa anasikia maumivu na alikuwa anasema hivi, “Meshack umeniua, nakufa
Meshack" alisema hayo maneno mara kwa mara, baba akauliza kwamba “kwanini
unamtaja sana Meshack, kwani yeye ndiyo kakupa mimba" niliendelea kumzuia mama
asiseme hivyo, lakini alishindwa kujizuia kabisa mpaka tukafika hospitali, sasa
wakati anajifungua pia alikuwa ananitaja mimi tu, baada ya mda, daktari alimuita baba
kisha akasema, “Mr Meshack hongera mke wako amejifungua salama". Baba akasema
“mimi sio Meshack, Meshack ni mtoto wangu".
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Daktari alishangaa sana kusikia kuwa baba haitwi Meshack, akamuuliza baba,
“kwahiyo kumbe huyo sio mke wako, maana katika uchungu wake wote alikuwa
analitajajina la Meshack" baba akasema, “Daktari ata mimi sielewi, naanza kuogopa
huenda mwanangu amempa mama yake mimba" daktari akasema, “usiwe na wasiwasi
mzee, unajua mda mwingine mwanamke anapo kuwa mjamzito anaweza kumchukia
sana mme wake na kujikuta anampenda mtu mwingine, hivyo huenda alimzoea sana
Meshack ndiyo maana anamuona kama mtu mwema kwake" baba akasema, “kweli
Meshack na mama yake ni marafiki sana" baada ya hapo tuliondoka kutoka hospitali,
mimi, mama, baba pomoja na kachanga ketu kaliko zaliwa. Baba yangu alikuwa
anampenda sana mtoto, akamshukuru mke wake kwa kumletea mtoto wa kiume, nafsi
yangu ilikuwa inanisuta sana maana yule mtoto alikuwa sio wa baba bali alikuwa ni wa
kwangu. Siku moja tukiwa wote sebreni baba akasema, “mke wangu, sahivi
umejifungua inabidi tutafute binti wa kazi ili akusaidie kazi za ndani maana unapaswa
kupumzika" mama alikataa kabisa akasema, “sitaki wadada wa kazi ndani kwangu,
niwasumbufu sana, nitajifanyia kazi zangu mwenyewe" kumbe mama alikataa kwa
sababu alijua kuwa mtu akiongezeka pale nyumbani itakuwa ni ngumu sana mimi na
yeye kufanya mapenzi. Baba akasema, “sawa mke wangu kama hutaki msaidizi wa
kazi hamna shida, ila ukiona umuhimu wake utaniambia". Mtoto aliendelea kukuwa na
alikuwa anafanana sana na mimi, kumbe mama alikuwa anatamani baba afe ili mimi na
yeye tuishi ndani kama mke na mume tuache kufanya mapenzi kwa kujificha. Siku
moja baba alipigiwa simu kuwa dada yake anaumwa hivyo baba akaenda kumuangalia,
ndipo mama akatafuta dawa ya kumfanya baba augue kisha afe ili mimi na yeye tuishi
kwa amani ndani na alifanya hivyo bila kuniusisha mimi. Mama alipika chakula na
kukipakuwa kwenye sahani tatu ila kwenye sahani ya baba akaweka ile dawa ili baba
akila tu aanze kuugua sana mpaka aondoke duniani, baba alipo rudi tulikaa wote
sebreni kumbe mama alikuwa na siri nzito moyoni mwake kwamba baba lazima
ataanza kuugua mara tu atakapo kula kile chakula, mimi nilianza kula, mama nae
akala kipindi baba anataka kuweka chakula mdomoni,
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kabla baba hajaweka kile chakula kinywani, alisema “mke wangu kila ninapo muona
mtoto ulie nizalia najisikia furaha sana moyoni mwangu, nakupenda sana mke wangu"
baba aliendelea na kusema kwamba, “mda mwingine nashindwa nikupe zawadi gani ili
uone furaha niliyo nayo moyoni" ndipo baba akasema, “achama nikulishe kidogo mke
wangu maana upendo umezidi sana kwako" kwakuwa mama alikuwa ameweka sumu
kwenye chakula cha baba ili afe kusudi apate nafasi ya kufanya mapenzi na mimi,
mama alikataa kula, baba akasema, “haa! Mke wangu nakulisha hutaki, tatizo nini?"
Mama akasema, “hapana mme wangu, chakula changu kinanitosha, wewe kula chako"
nikamkonyeza mama ale, kusudi baba asije kunihisi vibaya, lakini mama akakataa
kula, maana angekiweka tu mdomoni basi angekufa yeye. Baba alinuna sana kisha
akaenda chumbani kwake bila kula, sasa siku hiyo kulikuwa na mvua sana hivyo hali
ya hewa ilikuwa ya baridi, ikapelekea mimi kupata hamu ya kula zaidi ndipo nikataka
kuchukuwa chakula cha baba ili nikile mimi kusudi kisimwagwe, kumbe kwenye
chakula kulikuwa na sumu ambayo mama alikuwa ameweka ili baba yangu augue kwa
mda mrefu alafu afe, mama akasema “Meshack naomba usile hicho chakula"
nikamwambia, “niache bhana mimi nina njaa"
mama akavuta ile sahani mpaka ikaanguka chini na kupasuka, nilichukia pia ndipo
nikatoka sebreni na kwenda kulala chumbani kwangu. Kulipo kucha asubuhi mama
yangu akaandaa chai ili aweke ile dawa kusudi baba akinywa tu aanze kuugua mpaka
kufa, sasa mama alipo weka chai kwenye kikombe cha kwanza, bahati mbaya
kilianguka chini na kupasuka, mama akaweka kikombe cha pili akajitingisha
mwenyewe kikapasuka pia, wakati anaweka kikombe cha tatu baba akasema, “mke
wangu acha tu sitaki chai yako maana nitakumalizia vikombe, nitakunywa chai kazini"
mama alichukia, maana mipango yake yote ilikuwa inakwama, ndipo akarudi kwa bibi
alie kuwa anampa dawa, mama akaambiwa kuwa achukue tunda la peazi kisha
akapewa maelekezo ya kupaka dawa ili baba akila afe, kweli baba alipo kula lile peazi
alianza kuteseka, alikuwa mnyonge, baba alikuwa hali chakula, mda wote anatapika
tu, rangi ya mwili wa baba ikabadilika, kumbe lile penzi lilikuwa linaota tumboni mwa
baba kichawi.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Baba aliendelea kusumbuka sana maana ule ugonjwa ulikuwa unamtesa mpaka
analia, mimi na baba hatukuweza kuhisi kama ni mama anafanya vile, tulihisi huenda
ni majirani wanatuchezea kishirikina kwa sababu ya maendeleo yetu. Nilimpeleka
baba hospitali lakini madaktari hawakuweza kumtibu, na kila tulipo endelea kumtibu
ndiyo hali ilikuwa inaendelea kuwa mbaya. Mama akasema, “Meshack wewe endelea
kwenda kazini mimi nimuuguze baba yako nyumbani" ilifika kipindi miguu ya baba
ikaishiwa nguvu hata kusimama hawezi, mda wote baba amelala tu, kutokana na baba
kushindwa kusimama ilikuwa ngumu kwake kujisaidia haja kubwa na ndogo,
mama alikuwa anamshilikia uume wake ili aweze kujisaidia, siku moja mama
ameshikilia uume wa baba ili akojoe, kwa bahati mbaya mkojo ulimwagikia mama
usoni, akasema, “wewe mwanaume mpuuzi sana, yaani uchafu wako unanikojolea
usoni" baba akasema “nisamee mke wangu" siku nyingine, mama alikuwa
anamnywesha baba uji, sasa kutokana na lile peazi lililo kuwa linaota tumboni
kichawi, baba alipata kichefuchefu na kumtapikia mama mkononi, mama alichukia
sana akasema,
“nimekuchoka sasa na uchafu wako, tazama matapishi yako yalivyo mabaya na
meusii, unanitapikia mimi bora ufe tu bhana haa!" baba akasema, “mke wangu
nilikuoa ili uwe wangu kwenye shida na raha, naomba univumilie nitapona tu" siku
nyingine mama akiwa nyumbani, baba alikuwa analia huku akisema, “nisaidie mke
wangu nakufaa, tumbo linisokota sana" kabla mama hajakaa sawa mtoto nae akaanza
kulia, mama akasema, “sasa wote mnalia nimsaidie nani?" baada ya mda mfupi na
mimi nikawasili, ndipo nikamwambia baba kwamba itabidi nimpeleke kwa waganga wa
kienyeji, baba alikataa akasema Mungu atamsaidia tu. Siku moja usiku baba akiwa
chumbani na mama huku baba akiwa amezidiwa analia, kipindi hicho mimi nipo
chumbani kwangu sina habari,
mama alianza kumfinya baba akisema, “umenichosha wewe mwanaume, sasa mimi
nitalala saa ngapi, usiku mzima unalia tu, utaniamshia mtoto mshenzi wewe" baba
akasema “nisamee mke wangu" ndipo akasema “unaniboa sana" mama akatoka kwa
baba kisha akaja kwangu alafu akasema, “Meshack nimekumisi naomba leo tufanye
baby nina hamu sana"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment