Search This Blog

Monday, October 24, 2022

PENZI LA MKE WA BABA - 2

 





    Chombezo : Penzi La Mke Wa Baba

    Sehemu Ya Pili (2)



    Siku moja nilikuwa na mawazo sana mpaka nikashindwa kula chakula, maana

    nilifikiria vitu vingi kichwani kwamba, “kwanini mama hampendi baba, yaani baba yupo

    anawaza kwamba mke wake anampenda kumbe hampendi kabisa, na mapenzi yake

    yote ananipatia mimi kuliko baba alie muoa, hivije siku baba akinigundua kwamba

    nafanya mapenzi na mke wake nitajijitea vipi mimi." Ndipo nikasema ni bora nimfate

    mama ili nimuulize tu maana sikupatajibu kabisa. Nilipo muuliza akasema, “mpenzi

    wangu Meshack umenichoka?"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nikamwambia “hapana mimi nina maana yangu kukuuliza hivyo, we niambie tu

    inakuwaje baba yangu amekuoa lakini mahaba yote unanipa mimi na kwa baba yangu

    unapunguza mpaka mwenyewe nafsi inanisuta" akasema, “Meshack mimi nilimkubalia

    baba yako kwasababu ya pesa zake, ebu tazama umri wake na wangu ni tofauti,

    nitampenda vipi na mvi zake zile, nipo kwaajili ya pesa, maisha mazuri, ndiyo kitu

    kilicho nivutia kwa baba yako, nimejaribu sana kumpenda lakini imeshindikana

    nifanyeje mimi, moyo wangu upo kwako wewe kijana mwenzangu mwenye damu yenye

    joto kama yangu.



    Vaani kuna mda baba yako akinishika ata mkono najisikia vibaya sana, lakini wewe

    ukinishika najisikia raha na mwepesiii! Na baba yako anacho nikwaza ni pale anapo

    sogeza mdomo wake kunibusu huwa natamani ata kutema mate nahisi kinyaa sana"

    nilimwambia, “unakosea kusema hivyo, kumbuka yule ni baba yangu". Baba alipo rudi

    kutoka kazini akaniuliza, “vipi Meshack, namsubilia mke wako kwa hamu utamleta lini

    hapa" nikamjibu “bado natafuta baba" akasema “sawa".



    Sasa siku moja usiku nikiwa nimelala mida ya saa tisa nilisikia mlango wangu

    unagongwa, nilipo fungua kumbe ni mama yangu, akasema, “bebi yaani mimi baba

    yako ananichosha, anakoroma ndani chumba kizima kelele zake tu, naomba tulale

    wote" nikamwambia “mama unapo elekea sipo kabisa, yaani unaonyesha dhahiri kuwa

    unataka kunigombanisha na baba yangu, hivi akikuta haupo kitandani akaja humu

    ndani usiku huu akakukuta atajifikiriaje, toka nje bhana" mama alisema, “kumbuka

    nina ujauzito wako, na huyu mtoto unapaswa kumrutubisha wewe na wala sio baba

    yako, nahitaji penzi lako usiku wa leo, nina hamu na wewe Meshack".



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Mama alinilazimisha tufanye mapenzi usiku, nikasema, "“mama tatizo lako wewe

    tukifanya unapiga kelele, baba atasikia na akijua tunafanya itakiwa matatizo, naomba

    uondoke kesho nakuhaidi tutafanya unacho taka" alinilazimisha mpaka nikanuna,

    akasema “Meshack kama hutaki nitapiga kelele na baba yako akija humu ndani,

    akiniuliza nasema umenibaka" nilishtuka, “ha! Mama umefikia huko" akasema, “sio

    mimi baby ni hisia zinanifanya hiyi, nisaidie tafadhali" sikuwa najinsi ndipo

    nikamsolegea kisha tukafanya tendo bila kuogopa. Wakati tunaburudika kitandani

    mimi na mama, baba alishtuka usiku, alipo angalia kitandani akakuta mke wake

    hayupo. Akahisi labda ameenda chooni hiyyo hakuwa na wasiwasi.



    Lakini alishangaa “mbona huyu mtu atoki chooni" akasubiri kidogo, wakati huo mimi

    nipo na mke wake chumbani kwangu tunaendelea kuburudika. Baba akaamua kwenda

    jikoni kuwangalia labda mke wake ameenda kula, maana alihisi ujauzito wake

    unamfanya apate hamu ya kula kila mda, lakini hakumkuta, akapiga simu yake ikaitia

    chumbani kwao. Ndipo baba akafungua mlango ili aje chumbani kwangu kumuulizia, na

    wakati huo mimi na mama tunaendelea kufanya tendo bila kujua kama baba anakuja

    kutufumania chumbani. Kibaya zaidi mama alipo ingia chumbani kwangu alisahau

    kabisa kubana mlango na komeo na mama alikuwa anatoa sauti kipindi tuna fanya

    tendo,



    Baba alipo fika mlangoni akasikia kama mtu analia, akagonga mlango, nilishtuka

    sana, mama aliogopa tukayaa nguo haraka, ndipo nikaenda mlangoni kufungua, baba

    alipo ingia akauliza, "“mke wangu mbona upo humu usiku huu na nimesikia unalia

    tatizo nini, Meshack mwanangu mama yako amekuwaje?" Nikamwambia baba

    kwamba, "“mama amekuja humu anasema tumbo lina muuma sana amekuwamsha mda

    wote umekataa kuwamka, ndiyo nilikuwa najiandaa ili tukuwamshe kisha tumpeleke

    hospitali" baba akasema, "“mke wangu, mbona sijasikia kama unaniamsha" mama

    akasema, “mme wangu nimekuwamsha kuwa tumbo linaniuma ila ulikuwa unajigeuza

    tu kitandani, unasema umechoka kisha unalala, ndipo nikaja kwa Meshack anisaidie"

    baba akasema, “dah! Naomba unisamee mke wangu ni usingizi tu, lakini mbona nguo

    yako ya ndani ipo hapo kitandani kwa Meshack?



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Baba alipo ulizia kuhusu nguo ya ndani ya mama kwanini ipojuu ya kitanda changu,

    nilibaki mdomo wazi, mama pia akazubaa, nikajua moja kwa moja leo tumeshikwa,

    ndipo mama akajiongeza kisha akasema, “hiyi mme wangu, uchungu wa tumbo lenye

    ujauzito unaufahamu, yaani nilikuwa nahisi ata nguo kwenye mwili wangu ni mzigo,

    kidogo nibaki uchi maana sio kwa uchungu huo, lakini sahiyi naendelea yizuri" baba

    akasema, “sawa mke wangu najua huu ni ujauzito wako wa kwanza utazoea tu.



    Lakini hii tabia sijaipenda maana huyu ni mtoto wako, mambo ya kusema uchungu

    umekushika mpaka umeyua nguo ya ndani mbele yake sio tabia nzuri" mda huo mimi

    nilikuwa kimyaa naogopa sana nikihisi huenda baba amegundua mchezo wangu na

    mama. Kesho yake kipindi baba hayupo nyumbani, nilimfata mama na kumgombeza

    sana kwa kitendo alicho fanya maana nilijua lazima ataniyunjia heshima na baba

    yangu, aliniomba msamaha na tukayamaliza. Mimba ya mama ilikuwa inandelea kuwa

    kubwa, na kila nilipo mtazama baba anafurahi kuona mke wake amembebea mimba,

    roho yangu iliniuma sana maana ule ujauzito wa mama ulikuwa ni wangu ingawa

    ilikuwa ni siri kubwa kati yangu na mama.



    Siku moja bosi wangu aliniita ofisini kisha akasema, “Meshack kampuni yetu

    inajiyunia sana kuwa na wewe maana unafanya kazi vizuri, hiyyo tumeamua kukupa

    likizo ya wiki mbili" nilipo sikia likizo nikaogopa sana ingawa na mimi kipindi cha

    nyuma nilikuwa napenda sana likizo, na niliogopa maana nilijua nikikaa nyumbani tu

    mapenzi yangu mimi na mama yatazidi na baba angenikamata, ndipo nikakataa likizo

    nikasema kwamba, “nahitaji kufanya kazi bosi, likizo nitaomba mda mwingine"

    nilikataa likizo maana nilikuwa namuogopa mama nyumbani. Siku moja nilipata wazo

    kwamba ili nipunguze mazoea na mama nitafute mchumba kisha niishi nae pale

    nyumbani ili mama asipate nafasi ya kulala na mimi tena.



    Kweli nilimpata mdada na alinipenda sana ndipo nikamleta nyumbani, mama alipo

    muona tu, akauliza huyu nani? nikamjibu kuwa huyu ni mchumba wangu anaitwa Joys,

    nilishangaa kuona mama anajifunga kitenge kiunoni akiwa na mimba yake kisha

    akaanza kumpigajoys! "'Toka toka malaya wewe, tokaaaaa"



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Mama yangu aliendelea kumpiga mchumba wangu bila huruma! Joys akasema,

    “Meshack mpenzi wangu yaani nimefika leo kwenu alafu napokelewa na makofi,

    matusi na lawama, hiyi nitaishi yipi mimi hapa" nilimzuia mama asiendelee kumpiga

    joys, mama akasema, “ngoja akae tu hapa atakoma kuja kwenye nyumba za watu bila

    mpangilio" mimi najoyz tuliogopa kumgusa mama maana alikuwa mjamzito.

    Nilimzuiajoys asimwambie baba kama amepigwa na mama, maana niliogopa baba

    akijua itakuwa lawama ndani. Baba alipo rudi kutoka kazini, nilimtambulisha mchumba

    wangu na alikubali bila kinyongo, lakini nilimuomba baba aniruhusu nitoke pale

    nyumbani ili nikapange chumba sehemu nyingine kusudi niishi kwa amani na

    mchumba wangu, lakini baba alikataa kisha akasema, “mwanangu, nyumba yetu ni

    kubwa sana, ukiondoka tutakuwa wapweke sana, wewe endelea kukaa hapa mpaka

    siku ukijenga kwako ndiyo utaondoka", dahh nilishindwa nitatoka yipi pale nyumbani,

    maana nilijua mama akianza tabia zake itakuwa ni matatizo ndani, mchumba wangu

    alikuwa ni yatima hivyo kuna baadhi ya ndugu zake walikuwa wananitambua. Siku

    moja nipo na mchumba wangu ndani tunacheza mechi, mara ghafla mlango

    ukagongwa, nilipo enda kufungua, kumbe alikuwa mama analaumu kwamba, “Meshack

    tangu umlete huyo dada hapa mimi unaninyima furaha yangu, kumbuka baba yako

    hajui mapenzi nakumisi Meshack wangu" nilimwambia mama kwamba.



    “hongea polepole mchumba wangu atatusikia" mama akasema, “kama hutonipa

    mahaba yako kesho namwambiajoys kuwa mimi sio mkwe wake bali mke mwenzake"

    dahh niliogopa kisha nikasema sawa kesho nitafanya unacho taka, kweli kesho yake

    kipindijoys ameenda kusuka, mama aliingia chumbani kwangu kisha akabaki uchi

    ndipo tukaangushana kitandani ili afurahishe nafsi yake, nilijikuta najisahau kisha

    nayua ata shati niliyo kuwa nimeyaa, ndipo nikaanza kumshughulikia mke wa baba

    yangu, wakati nimefika karibia na kufunga goli nilishangaa kuona mchumba wangu

    anafungua mlango na kutufumania mimi na mama yangu tunafanya mapenzi tukiwa

    uchi wa mnyama, niliruka kutoka kitandani kisha nikajifunika kitenge cha mama,

    mchumba wangu akasema, “Meshack unanisaliti, unafanya mapenzi na mama yako,

    kwanini" nilisema, “nisamee Joys usimwambie baba"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    ITAENDELEA
    Pseudepigraphas

0 comments:

Post a Comment

Blog