Chombezo : Mrembo Mcharuko
Sehemu Ya Tano (5)
"Kuna mambo nahitaji kuongea nawe kama utanielewa naamini utabadirika"
Alianza kusema mama nikakaa mnyonge nikimuangalia nakumsikiliza.
"Ivi Lisa we unaumri gani sasa?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Aliniuliza Mama nakunifanya nishangae swali gani ili yani mamangu asijue umri wangu kweli.
"Mama jamani kwani ujui ni ishirini na mbili"
Nilimjibu uku nimekunja uso kuonyesha nimechukia, Mama alicheka kidogo.
"Miaka yako midogo sana muda huu ungekuwa upo chuo uliacha masomo nakukimbilia kuolewa, bado ujakomaa akili yako ata kuzaa umri wako unaruhusu we bado binti mdogo utazaa tu muda bado haujafika na mungu anamakusudio yake kwa lolote litalokukuta ujue tayari liliandikwa tangu siku iliyotungwa mimba yako ilipangwa atazaliwa mtoto wa kike atakaeitwa Lisa ambae atalelewa na wazazi wake ataishi adi atapoanza masomo yake nakuwa mcharuko sana pia atapomaliza kusoma atakutana na mwanaume atakaemuoa nakuishi nae lakini hatozaa ndoa itakufa wataachana nakurudi nyumbani kwao yani kama story najua bado inaendelea na huu ndio muda wako wakumshukuru mungu nakuanza maisha mapya"
Alisema mama akapumzika kidogo nakuendelea.
"Tambua muda huu uliojifungia ndani nakulia mwenzio Harvey uko alipo anacheka, wewe umejawa na hudhuni ukimfikiria yeye ata habari juu yako hana amekusahau tena anakula analala kwa raha zake ata mawazo hana unaanzaje kuumia moyo kwa mtu kama uyo badirika huu muda unaokaa kulia nenda kafanye kazi upate pesa ujenge maisha yako sio kumlilia mwanaume malaya asiekuwa na faida na kama mtoto utazaa muda wako ukifika nimemaliza uamuzi ni wako sasa kunyoa au kusuka"
Alisema mama nakuondoka chumbani akaniacha nina mawazo mengi, nikikumbuka tangu najuana na Harvey adi tulipofunga ndoa nikakumbuka ndugu zake pia nakuona ni ujinga kumlilia mwanaume ambae nishaachana nae nilichoamua kubadirika sasa nikaacha kujifungia ndani nikawa najichanganya na watu uku nikijitaidi kula vyakula na matunda mwezi mmoja ulitosha kurudisha mwili wangu wenye afya stress zote nikazitoa akilini mwangu nakujenga chuki kwa Harvey sitaki kumkumbuka tena.
Siku moja nikaongea na wazazi wangu wanitafutie kazi nimechoka kukaa nyumbani Mama alifurahi nakuahidi atanisaidia.
Baada ya wiki kupita nilichukuliwa kwenye usajiri ni Posta kampuni inayohusika na usafirishaji bidhaa ndani na nje ya nchi niliwekwa sehemu ya ukaguzi mizigo mingapi imeingia na mingapi imetoka muda mwingi nikawa bize na kazi nachoka sana mara nyingi nashinda bandarini sababu kutwa mizigo ilikuwa inafika nilitakiwa niwe makini nisipoteze hesabu nakuitia kampuni hasara, mwezi mmoja nikamaliza nikifanya kazi kwa uhaminifu boss akatokea kunipenda sana alikuwa mwanamke madam Katrina ambae alijuana na mama shule ya msingi walisoma wote ndo maana haikuwa tatizo mimi kupata kazi apo basi siku zikaizidi kusonga adi nilipofikisha miezi sita boss akatuaga anasafiri kwenda marekani kwa mumewake kuishi uko ofisi anamwachia mdogo wake ambapo akikuja nae akamtambulisha wafanyakazi wote kasoro mimi sikuwepo ofisini nilikuwa bandarini ila taharifa niliipata yakuondoka boss.
Nilipomaliza kazi yangu nikarudi ofisini nakuingia kwenye chumba cha boss uyo mpya nimpe mahesabu ajue imeingia mizigo mingapi pia iliyotoka ni ipi au kuuzwa Ilikuwa kazi ngumu bahati nzuri mahesabu hayakunipiga chenga nilijua sana.
"Habari yako boss naitwa Lisa ni msimamizi wa mizigo yote inayotoka nakuingia apa ofisini"
Nilimsalimia nakujitambulisha uku nikimpa mkono akanishika.
"Ooh nafurahi kukufahamu naitwa Vitalis ni mdogo wake Katrina"
Alisema ivyo nikashangaa
"Lakini wewe ni boss wetu usiseme mdogo ake Katrina"
Nilimwambia akacheka
"Sawa mimi ni boss mpya wa kampuni naitaji sana ushirikiano wenu"
Alisema nikamuelewa baada ya apo nilikaa nakumuonyesha hesabu zote akanielewa, muda ulikuwa umeisha wafanyakazi wengi waliondoka namimi nilipomaliza nikatoka nakumuacha boss akimalizia kazi zake.
****
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Siku zikazidi kusonga uku nikiendelea kuwa bize na kazi yangu niliyoifanya kama mume kwangu sikutaka kujihusisha na mapenzi ata wanaume waliponifata niliwaambia nimeolewa kuepuka usumbufu wao.
Sikuwa na usafiri nilikuwa nikipanda daladala Mara nyingi Vitalis alijua ilo akanipatia gari lake niwe naendea nyumbani au ata bandarini nisisumbuke wafanyakazi wenzangu wakaona ilo nakuzusha natoka na boss ilinikera sikupenda nikamrudishia gari lake nakuanza kupanda daladala
"Kwanini Lisa unasikiliza maneno yao ujui binadamu kuongea ndo hulka zao?"
Aliniuliza Vitalis
"Mimi sipendi wanavyozusha sasa"
Nilimjibu nakumfanya acheke nilichokuja kugundua alipenda sana kucheka alafu akaniangalia
"Kwani vibaya au sifai kuwa mpenzi wako?"
Aliniuliza uku akiniangalia usoni, sikutegemea nilishtuka kwa swali lake
"Boss maneno gani ayo unasema lakini?"
Nilimuuliza pia
"Basi nisamehe kwailo"
Sikumjibu nilitoka nimechukia sikutaka mazoea na wanaume nilichoamua niwe pekeyangu tu.
Siku moja wikiendi sijaenda kazini Vitalis akanipigia simu nionane nae nikamkatalia
"Nimechoka sijisikii kutoka"
"Lisa nakuomba mara moja tu"
"Vitalis apana haiwezekani"
Nilimjibu nakukata simu nia yake niliijua sikutaka kumpa nafasi nilichukia sana mapenzi.
Kesho yake ilifika nikaenda kazini mchana nikiwa bandarini simu yangu ikaita jina ni Boss Vitalis nikapokea.
"Haloo njoo apa Yokohama kwenye yard"
Alisema nakukata simu sikumuelewa sababu iyo sehemu wanauza magari ananiita mimi nikafanye nini sikupata jibu ila nikaamua niende tu.
Basi nilifika nakumkuta tukasalimiana nakuingia humo ndani.
"Kunanini kwani mbona umenileta uku?"
Nilimuuliza
"Nimeamua nikuchukulie usafiri wako naona unafanya kazi ngumu ukitoka apo ukagombanie daladala sio vizuri wakati kampuni inao uwezo wakukupa usafiri aya chagua ulitakalo"
Alisema sikuamini ninachosikia.
Apana boss nashukuru lakini nitanunua mwenyewe nitapoitaji"
Nilimkatalia sababu nilijua si kampuni ila ni yeye binafsi ndie alietaka kuninunulia.
"Lisa kwanini unakuwa ivyo ebu fikilia kampuni inawafanyakazi wangapi adi imekuchagua wewe kukupa usafiri?"
Aliniuliza lakini sikutaka kumuelewa
"Nashukuru sana boss wape wengine mimi siitaji"
Nilimjibu nakuanza kuondoka kurudi bandarini kuendelea na kazi zangu.
Muda ulifika nikarudi ofisini kukabizi hesabu baada ya apo nikawa najiandaa kuondoka Vitalis akaniita
"Lisa samahani naomba nikupeleke nyumbani"
"Apana boss nashukuru nitapanda daladala tu"
"Nakuomba kwa leo tu nikubalie nikupeleke"
Sikuwa na jinsi nilikubali japo sikupenda ile hali iliyozusha minongono kwa wafanyakazi wezangu kuwa mimi ni mpenzi wa boss ilizidi kunikera tofauti na Vitalis alikuwa anafurahia tu.
Basi alinifikisha adi maeneo ya nyumbani
"Lisa kama hutojali naomba nifike adi nyumbani kabisa"
Alinambia
"Sasa ufike nyumbani kufata nini?"
"Jamani kwani kuna ubaya alafu mbona ni mkali ivyo si nimekuomba lakini?"
"Nashukuru kwa kunifikisha adi maeneo ya kwetu kwaheri"
Nilimjibu nikafungua gari nakushuka nikaondoka kuelekea nyumbani nikimuacha Vitalis anahudhuni akinitazama.
****
Kaka Gedion aliekuwa kikazi Arusha alirudi nyumbani ilikuwa furaha sana familia kuungana tena, baada ya miezi michache akatangaza uchumba anaitaji kuoa posa ikapelekwa kwa uyo mpenzi wake Martha na baada ya siku chache sherehe ikapangwa ifanyike.
Niliwaarika wafanyakazi wezangu adi boss wangu pia nilimpa kadi ya mwaliko baada ya apo ikawa inasubiriwa siku ifike ya harusi.
"Lisa samahani nakuomba nguo utakayovaa usiku kwenye harusi nikununulie mimi"
Alinambia
"Apana Vitalis nguo ninayo tayari"
"Lisa nakuomba mamangu nikubalie"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Aliongea adi alitia huruma ikanidi nikubali tu alifurahi sana akaniomba tukitoka kazini anipeleke dukani basi nilimkubalia mida ilifika tukatoka wote adi kwenye duka kubwa maeneo ya posta mpya tukaingia apo nakukuta nguo nyingi za harusi za kike basi nikaanza kuchagua ambapo kuna gauni moja la zambarau limenakishiwa na maua meupe nililipenda ilo nikachukua Vitalis akalipa nakutoka nje.
"Asante Vitalis"
"Usijali Lisa"
Safari ikaanza yakunirudisha nyumbani.
"Lisa nikuombe kitu"
Alinambia
"Mh sawa niombe"
"Kama hautojali twende tukapate dinner pamoja"
Alisema nilipotizama saa ni saa mbili usiku
"Siku nyingine Vitalis nitachelewa nyumbani baba ni mkorofi sana"
Nilimwambia
"Nitakurudisha nitakutetea usijali"
"We boss unamjua babayangu alivyo mkorofi?"
Nilimuuliza akacheka
"Uyo baba ataki mkwe kwani atakuchunga adi lini?"
"Vitalis sipendi naomba niache niondoke nitapanda daladala"
Nilichukia nakumwambia
"Ivi kwanini nikiongea habari za mapenzi unakasirika sana tatizo nini au uliumizwa na mpenzi wako?"
Aliniuliza
"Vitalis si mpenzi ni mume wa ndoa sitaki kuongea ayo tuyaache"
Moyo wangu ulikuwa unauma hasira zinanijaa kila nikikumbuka kuhusu Harvey.
"Lisa pole sana ila naitaji kujua ukweli leo niambie kilakitu usinifiche"
Alisema akawasha gari tukaelekea maeneo ya Shekilango kuna hotel moja alisimamisha gari tukashuka nakukaa sehemu aliagiza chakula tukala pamoja baada ya apo akaanzisha maongezi sikuweza kumficha nilimueleza yote alistaajabu sana.
"Unajua siamini umri huu umeshaolewa mbona mdogo sana pia siamini kama huna kizazi bali uliwahi kuolewa tu"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Vitalis sina kizazi sitaki kuwa na mwanaume maisha yangu yote nitabaki mwenyewe tu"
"Lisa unakosea sana umri wako bado uliwahi kuolewa tu naamini mungu atakupa mume mwema na utamzalia watoto wengi"
"Kuzaa ni ndoto haiwezi tokea"
"Lakini kumbuka kuna ndoto zinakuwa kweli jenga imani ipo siku utaitwa mama"
Alisema Vitalis aliongea maneno mengi akinifariji uku akiomba awe rafiki yangu wa karibu nilimkubalia.
Ilifika saa nne usiku ikabidi anirudishe nyumbani bahati mbaya nilipokuwa nashuka kwenye gari baba aliniona akaja nakumsalimiana na Vitalis ambae alijitambulisha ni boss wangu baba kusikia ivyo akamkaribisha ndani nilichukia nikaingia chumbani nakujifungia, Mama nae alitoka akatamburishwa kwa Vitalis alifurahi sana wakakaa nakuongea apo mwisho nikaitwa namimi nikatoka kuungana nao baada ya muda mfupi Vitalis aliaga nakuondoka.
"Ni kijana mzuri mwenye heshima zake kuliko yule muhuni Harvey"
Baba alianza kumsifia nakumponda Harvey sikutaka kumsikiliza nikaingia chumbani kulala adi kulipokucha nikawahi kazini
Siku zilizidi kusonga maandalizi ya harusi yakapamba moto adi siku ilipofikwa wakafunga ndoa kanisani la maisha ya ushindi lililopo ubungo external na mchungaji John Saidi baada ya apo sherehe usiku ikapangwa ifanyike Land mark hotel maeneo ya River side basi muda ulifika watu wakajiandaa nakuanza kukusanyika apo ndani mimi na wazazi wangu tulikaa meza za mbele Mara nikasikia simu yangu inaita kuchek ni Vitalis nikatoka nakukimbilia chooni nikapokea.
"Haloo nipo nje apa njo unichukue"
Alisema basi nikawanatoka uku nimeshikilia gauni langu lilikuwa refu linaburuzika chini alafu lilinibana nakujichora umbo langu.
Wakati natoka upande wa kushoto macho yangu yaligongana na Harvey nilishtuka kumuona apo sikutegemea ila nilikumbuka Gedion ni rafiki yake nikapanga nimuumize makusudi nilipofika nje tofauti nakuwaga mnyonge lakini leo nilichangamka sana nikamkumbatia Vitalis ambae alipigwa mshangao lakini sikujali akanikumbatia pia nakuninon'goneza sikioni
"Umependeza sana"
Alafu akanibusu shavuni nilisisimka sana baada ya apo nikamshika mkono nakuongozana kuingia ndani nilipofika maeneo ya karibu na Harvey nilimuegemea kifuani uku tunatembea nayeye akanishika kiuno changu nilipotizama pembeni nilimuona Harvey katoa macho anatuangalia.
Aliponifikia alipagawa kuona umbo langu kubwa lilivyojichora nakujikuta ananitamani.
Alikuwa akiniona nimesimama ila ajawahi niona nikiwa nimelala mwili wake ulimsisimka akanisogelea karibu nakuanza kunipapasa maungo yako.
Alinogewa akajisahau nakuona kama yupo na mpenzi wake aliendelea kutalii mwili wangu mimi nikiwa usingizini uchovu ulinishika na kawaida yangu nikilala kama nimekufa ata unigongee mlango sishtuki unaweza kunibeba ukanilaza nje nisijielewe nina usingizi m'baya sana. Vitalis alinivua sketi yangu nakubakia na nguo ya ndani apo apo kwenye kochi alinigeuza nikalala chali bila kujitambua akanivua na top ya juu nakuanza kunipapasa tumbo langu ilikuwa kama ndoto kwangu nilikuwa naota nipo na mwanaume nafanya nae mapenzi nakujikuta natoa miguno iliyomzidishia hamu Vitalis akazidisha utundu mwilini mwangu akaingiza ulimi kitovuni kwangu nakunifanya nishtuke kutoka usingizini nakumkuta Vitalis juu yangu
"Mungu wangu Vitalis unafanyaje nilijua ndoto kumbe kweli toka juu yangu"
Nilimwambia nikiwa nimehamaki uku moyo unanienda mbio sana nakuogopa nikajaribu kumtoa mwilini mwangu nilishindwa alikuwa na nguvu sana zaidi mikono yake ilijaa misuli nikashindwa ata kumsukumiza.
"Vitalis lakini sio vizuri utakuwa unanibaka sasa"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilimwambia ila akunijibu aliinama nakuzama chumvini sasa nilipagawa nakupiga kelele sana bila kutegemea nikalegea viungo vyote sikuweza kumkatalia tena nilimwachia anifanye atakavyo alipotosheka kunichezea aliniingilia sehemu zake zilikuwa kubwa adi nikaisi ananichana nililia sana kibaya zaidi aliunganisha mbili kwa mara moja adi aliponiachia nilikuwa hoi kutembea siwezi akanibeba nakunipeleka bafuni.
"Pole Lisa wangu"
Alinambia lakini sikumjibu nilikuwa nalia
"Nisamehe najua nimekukosea ni shetani alinipitia na yote zaidi ni upendo nilionao kwako nikashindwa kujizuia"
"Muongo wee shetani kakupitia wapi mbona sijamuona sema ulidhamiria kunifanya ivi"
Niliongea uku nalia akapata kazi yakunibembeleza sikutaka kumuelewa.
"Nakupenda Lisa nipo tayari nikuoe uwe mkewangu"
"Sina kizazi mimi unioe ili uninyanyase nakunisimanga sizai niache niondoke nyumbani"
Nilimwambia nakuinuka niliposimama niliisi maumivu makali chini ya kitovu nilipiga kelele za maumivu Vitalis akaniwahi kunishika nakunikalisha kitandani apo tukikuwa chumbani kwake, akaniacha nakurudi sebuleni alipoweka chakula akabeba kwenye sinia nakuja nacho bila kunisemesha akaanza kunilisha nilikuwa na njaa sana nikala adi nilipotosheka nikamshukuru.
Giza lilishaanza kuingia nilikuwa na wasiwasi nitarudije nyumbani nakutembea siwezi.
"Vitalis nitaendaje kwetu"
Nilimuuliza
"Naomba leo ulale apa nikuhudumie adi ukipona utaenda"
"Lakini mbona unachukulia mambo kawaida ivyo naanzaje kulala apa jaman na wazazi wangu nitawaelezaje"
"Lisa mamangu punguza presha jamani nyumbani si tatizo nitaenda kujitambulisha wajue ulikuwa kwangu"
Aliongea uku anatabasamu aliniuzi sana nikabaki kimya nimenuna.
"Ngoja nikakununulie dawa yakupunguza maumivu"
Alinambia akatoka nakuniacha ndani nikatamani kutoroka lakini sikuweza nilikuwa kama nimetolewa bikira vile kipindi kirefu kilipita sijakutana kimwili na mwanaume alafu uyu niliekutana nae sehemu zake kubwa alikuwa kama amenifungua upya niliisi maumivu sana.
Baada ya muda mfupi alikuja Vitalis
"Nimekuja nakimbia nilijua umeondoka"
Alisema akicheka
"Umeona raha kuniumiza nitaondokaje sasa?"
"Basi mama nisamehe usichukie"
Alisema akanipa dawa nimeze nyingine akanambia yakuweka kwenye maji nakunawa akanipeleka chooni nakunisaidia.
Baada ya apo tulirudi chumbani kulikuwa na Television akawasha tuangalie ilikuwa saa tatu usiku.
"Vitalis kweli siondoki kwetu jamani?"
Nilimuuliza kwa upole sana adi akanionea huruma nakunisogelea karibu akashika mikono yangu uku akiniangalia usoni
"Lisa wewe unaumwa lakini utaendaje kutembea uwezi?"
Alisema sikuweza kuongea tena nikanyamaza kimya.
Mara simu yangu ikaita kuangalia jina ni mama niliogopa kupokea
"Mpokelee mama umsikilize"
Alisema Vitalis
"Sitaki atauliza kwanini sijarudi"
"Basi nipe nipokee mimi"
Alisema nakuishika simu nikamuwahi nakuipokea mimi.
"Haloo Lisa upo wapi adi sasa ujarudi nyumbani?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Bila salamu aliuliza.
"Mama nipo..uku...na..ku..jaaa keshooo boss ameni..."
Niliongea uku hasira zimenijaa ata maneno yakawa ayatoki vizuri kabla sijaendelea Vitalis alinipokonya simu
"Haloo mama shikamoo samahani sana Lisa nipo nae usijali yupo salama tu hana tatizo"
Aliongea na mama japo sikusikia mama alichosema ila nilishangaa wameelewana vizuri baada ya apo akakata simu nakushusha pumzi.
"Aya ulikuwa unataka kumwambia mama nimekufanyaje?"
"Umenibaka"
"Mmh wewe na yule aliekuwa anaugulia ni nani aaashhh Vitalis apo apo ooohh mmmh sio wewe eeeh au mtu akibakwa anaikatikiaga?"
Alisema Vitalis adi nikajikuta nacheka
"Vitalis sipendi umeniumiza ujue"
"Inabidi tufanye tena ili upone"
"Sitaki sitaki niache utaniua"
Basi tuliongea apo adi nikajiisi usingizi nikalala nayeye pia alipanda kitandani kulala tulishtuka Asubuhi kumekucha aliewahi kutoka kitandani Vitalis akaandaa kifungua kinywa mimi bado kuinuka nilikuwa siwezi akaja kunisaidia nakunipeleka bafuni kuoga nilipotoka nikashangaa anatoa mfuko uliokuwa na nguo ndani mpya nakunipa nivae
"Nguo za mwanamke wako ndo unanipa mimi?"
"Lisa jamani izi mpya nimenunua jana nilipoenda kukuchukulia dawa"
Alisema basi nikavaa gauni moja akainishika mikono nakunisaidia kutembea adi sebuleni.
Ambapo alikuwa ameshaandaa chai tukajumuika kunywa pamoja, siku iyo iliisha tukiwa tumeshinda wote ilikuwa jumapili
"Kesho ni siku ya kazi Vitalis itakuwaje?"
Nilimuuliza
"Nitaenda mimi kusimamia we nitakuacha apa"
"Kwaiyo nishakuwa mkeo nyumbani kwetu siendi?"
Nilimuuliza
"Lisa jamani subiri ukipona utaenda"
"Sitaki mimi nipeleke sasa"
"Ivi babayako akikuona unatembea ivyo utamwambia umetoka kufanyaje?"
Aliniuliza nikakosa lakujibu ikabidi niwe mpole tu.
Basi siku iyo ikapita adi kesho yake Asubuhi Vitalis akaondoka kazini nakuniacha nyumbani kwake nilikuwa naweza kutembea kidogo nikajaribu kuzunguka nyumba nzima nikikagua isijekuwa anamke anikute nifumaniwe lakini tofauti na mawazo yangu sikukuta kitu chochote cha mwanamke nyumba nzima.
Jioni saa kumi alirudi akaniletea zawadi nakufurahi amenikuta alijua nitaondoka basi tukashinda wote pia wiki nzima nilimaliza nipo kwake hali yangu ikawa nzuri akanirudisha nyumbani.
*****
Nilichukia sana Vitalis kuniingilia mwilini sikupenda sababu sikuona faida yakufanya mapenzi au kuwa na mwanaume wakati kizazi sina nilichoamua ni kuwa pekeyangu bila uhusiano.
sikutaka mawasiliano nae kazini si kwenda tena alipopiga simu nilimkatia mwisho nikamuweka blacklist asinipate.
Wazazi wangu walishangaa kwanini siendi kazi nipo tu nyumbani nikawadanganya nipo likizo mwezi moja ikapita sijaenda kazini nakuwapa hofu wazazi wangu.
"Ivi wewe Lisa kazi umeacha au likizo gani miezi inakatika upo tu nyumbani?"
"Baba jamani likizo nipo"
"Mmh sio bure we kuna kitu umefanya au umegombana na boss wako?"
Aliuliza mama kabla sijajibu tukasikia honi inapigwa nje akatoka baba kwenda kuangalia ni nani, Mara nikasikia sauti ya Vitalis moyo ulishtuka sana na kweli aliingia baba akiwa ameongozana na Vitalis nilipowaona nikainuka nakukimbilia chumbani kwangu.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Wote walishangaa kwanini amekuja Vitalis mimi nikaondoka.
Basi walimkaribisha vizuri akapewa na kinywaji kabisa
"Bora umekuja maana uyu Lisa hatumuelewi anamatatizo gani kazini ataki kuja sasa afadhari umekuja wewe utuambie ameacha kazi au ndo likizo kama anavyosema?"
Baba akaanza maongezi.
"Kiukweli ata mimi nashangaa Lisa haji kazini bila sababu nimempigia simu apokei zaidi kaniweka blacklist simpati kabisa ndo maana nimeamua nije apa kuuliza labda mgonjwa"
Alisema Vitalis
"Ebu ngoja nikamuite kwanza"
Alisema Mama nakuinuka akaja chumbani kwangu.
"Mama sitaki kumuona uyo mtu"
"Kwani amefanyaje si boss wako yule unajua watu wanahangaika kutafuta kazi wanakosa we umepata unaichezea eeh ebu inuka uko"
Mama akanivuta mkono nakunitoa nje uku nimechukia.
"Mtoto mshenzi uyu siku izi kupata kazi ni tabu yeye anafatwa na boss wake adi nyumbani bado anaringa"
Mama aliendelea kufoka
"Basi Mama msamehe bure"
Vitalis akanitetea mi nilikaa kimya tu sikuongea neno.
"Aya Lisa tueleze kwanini utaki kwenda kazini?"
Baba akauliza nilitamani kusema ukweli ila niliona ni jambo la aibu kusema nimefanya mapenzi na boss wangu ata chakujitetea sikuwa nacho.
"Kwaiyo huna lakusema basi kesho jiandae urudi kazini sitaki kuona sura yako apa uvivu tu umekujaa"
Alisema Baba nilimsikiliza sikumjibu.
Basi waliendelea na maongezi yao adi alipoaga Vitalis nakuondoka namimi nikarudi chumbani kwangu.
Asubuhi ilifika nikajiandaa tena Baba akanipeleka adi ofisini kabisa, wafanyakazi wezangu waliponiona walinishangaa muda mrefu sikwenda
"Jamani tumekumisi ulikuwa wapi?"
Aliniuliza Irene
"Nilisafiri kijijini nilikuwa na mgonjwa"
"Pole mwaya"
Basi kila alieniona maswali ndo ayo nilikuwa wapi niliwaona wanafki namba yangu wanayo kwanini wasinitafute lakini sikujali nikawapotezea.
Basi nilienda moja kwa moja adi ofisini kwa boss nikakutana na Vitalis ambae alifurahi kuniona akanikabidhi iyo ofisi nibaki nayeye akatoka kuelekea bandarini.
Nilikuwa mchovu sana najisikia kulala tu muda wote mwili umechoka nimekuwa mvivu alafu sura yangu ikaanza kuaribika kutoka mapele mengi usoni.
Wiki moja tu nikaenda kazini baada ya apo nikawa nyumbani hali iyo iliwaogopesha wazazi wangu sana.
"Wewe Lisa unanini kwani?"
"Mama naisi homa tu"
"Yani homa adi vyakula unachagua homa gani iyo au unamimba?"
"Mamaaa mimba nipate wapi mimi mgumba"
"Kesho twende hospital ukapime"
Alisema mama ilikuwa usiku bado basi Asubuhi ilipofika tukaongozana wote adi hospital kwake Muhimbili akamfata Daktari mmoja ofisini kwake anichukue vipimo.
"Nikikupima mimi utasema nakusingizia wote tukae apa tungoje majibu"
Alisema mama tukakaa pamoja.
Baada ya muda mchache akaja yule Daktari alikaa kwenye kiti nakumpa mama karatasi la majibu.
"Hongera sana Dokta Lucy mwanao Lisa ni mjamzito wa mwezi mmoja na wiki mbili"
Alisema uyo Daktari Emmanuel Sanders.
Sikuamini nilichosikia mama akuweza kuongea machozi ya furaha yalimtoka akanisogelea nakunikumbatia uku analia furaha ikawa msiba.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Siamini mwanangu walikuita mgumba wewe wakakuita tasa leo umebeba mimba kweli Mungu mkubwa"
Alisema Mama akilia adi akanifanya namimi machozi ya uchungu yanitoke sikuamini.
Basi tulimshukuru Daktari tukaondoka kurudi nyumbani.
****
"Lisa ebu nambie hii mimba ya nani?"
Mama akataka kujua sikuona sababu yakuficha nikamueleza ya boss wangu akashtuka
"Sawa ngoja babayako arudi tumueleze ikiwezekana aitwe uyo mwanaume"
Alisema mama nikamuelewa.
Usiku alirudi Baba akaelezwa ata yeye hakuamini kama nina mimba alifurahi sana.
"Basi inabidi aitwe Vitalis"
Alisema Baba nikakubali.
Niliingia ndani nakutoa simu yangu iliyojaa meseji nyingi nikilalamikiwa kazini siendi kwanini, nikaamua nimpigie simu
"Haloo Lisa kwanini hauji kazini jamani?"
"Vitalis bwana mimi naumwa"
"Pole Mama nini tatizo"
"Vitalis nina mimba nimetoka kupima na Mama leo na mwanaume nilielala nae ni wewe tu"
"Uuuu...naaa...semaje?"
Aliuliza kwa mshtuko
"Nina mimba yako"
"Ooh asante mungu hatimae ndoto zangu zakuitwa Baba zimetimia Lisa nakuomba usitoe iyo mimba"
"Siwezi kutoa na wazazi wangu wanakuitaji"
"Nakuja jioni nikimaliza kazi"
Vitalis alikuwa na furaha sana sababu alinipenda lakini mimi sikuwa tayari kuwa nae mimba ndo imefanya tuungane sasa alifurahi sana.
Nikatoka kuwapa taharifa Baba na Mama kuwa Vitalis atakuja jioni wote wakasema sawa.
Basi nilijifungia ndani kulala nilikuwa mvivu sana kulala kila muda.
Hatimae jioni ilifika akaja Vitalis alipokelewa vizuri nakukaribishwa ndani ambapo maongezi yakaanza aliulizwa kuhusu mimba akakubali yeye ndo muhusika.
Baba akauliza kuhusu ndoa akasema yupo tayari kunioa ila nilikataa angoje adi nitapojifungua sitaki kuolewa na mimba akakubali lakini aliomba anichukue nikaishi nae adi muda wakujifungua ukifika nirudi nyumbani wakamkubalia nikaulizwa na mimi kama nipo tayari sikuweza kukataa nilikubali basi tukaondoka wote sikuchukua kitu changu chochote kilakitu alisema ataninunulia.
Maisha mapya yakaanza tukiwa pamoja kama mke na mume uku tumbo langu likianza kuonekana sasa nakunifanya muda wote nijiisi nafuraha nilisahau machungu yote yakuitwa mgumba.
"Ivi ukizaa mtoto wa kike tumuite nani?"
Aliniuliza Baba kijacho wangu tulipokuwa tumekaa sebuleni.
"Napenda aitwe Happy sababu yeye ndo furaha yangu"
"Ooh jina zuri sana na wakiume je?"
"Aitwe Money"
Nilimwambia nakumfanya acheke sana
"Yani we mwanamke unavituko sana mi nataka wakiume aitwe junior"
Alisema akizidi kucheka
"Sawa Junior jina zuri pia"
Maisha yetu yalijaa furaha na upendo hakika tulipendana sana akuna alietamani kuwa mbali na mwenzake.
Tulikuwa na furaha tukimsubiri mtoto wetu kwa hamu japo mimba ilikuwa bado nina miezi minne.
Siku moja tukiwa tupo hospital clinik alinipeleka Baba kijacho tukiwa tunatoka nje tukakutana na Harvey akiwa na ndugu zake mama, dada na yule mamayake mdogo Neema nilifurahi sana kuwaona nikawafata kuwasalimia wote hawakuamini waliponiona nina mimba
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Haaa Lisa!"
Aliita kwa mshangao Harvey
"Ndo mie mlininyanyasa sana mkanisimanga sizai kumbe we mwanaume ndo kizazi huna na nyie wengine mkajishaua kuniona mi kama takataka leo mungu kaniona sasa mimba ndo hii nimebeba aya nambie we malaya wa field unawatoto wangapi adi sasa?"
Nilimuuliza Harvey
"Lisa unanivunjia heshima unawadharau adi ndugu zangu"
Alisema Harvey akiwa amepandwa na hasira akanisogelea anipige Vitalis akawahi
"Unaona hali ya mke wangu ilivyo aya mguse kama ujakaa gerezani maisha yako yote"
Alisema Vitalis
"Usinitishe wewe kwanza mwanamke mwenyewe tasa uyo ameweka matambala unilushe roho mimi"
Alisema Harvey nakumfanya Vitalis acheke
"Dah pole sana i think huna nguvu za kiume mi maramoja tu mimba ila we umekaa nae miaka bila kitu poleyako alafu siwezi kubishana na mwendaazimu mi pia nitaonekana sina akili Lisa mkewangu tuondoke"
Alimaliza kusema Vitalis akanishika mkono tukawa tunaondoka.
"Nitakukomesha Lisa"
Alisema Neema mamayake mdogo Harvey nikataka nirudi kumjibu lakini Vitalis alinikataza
"Achana nao bwana"
Alisema tukapanda gari nakurudi nyumbani.
"Nambie leo utakula nini mama watoto?"
"Ndizi na nyama mchemsho"
"Yani unavyopenda mchemsho wewe ilo toto litatoka bongee"
Alisema baba kijacho wangu tukacheka wote.
Tuliishi vizuri tukipendana sana zaidi fikra zetu zikiwa kwenye mimba kila mmoja alitamani uyo mtoto azaliwe ata kesho.
***
Siku zilizidi kusonga mimba ikafikisha miezi mitano sasa, Siku moja nikiwa bafuni naoga niliteleza nakuanguka bahati nzuri nilikaa kitako sikuangukia tumbo tatizo likaja sikuweza kusimama pia nilisikia maumivu makali kiunoni mwangu nikajitaidi kusota adi chumbani nilipochukua simu nakumpigia mumewangu.
"Nime..doo..ndokaaaa...bafuni.....njooo naa uu...
Sikuweza kumalizia nilipoteza fahamu sikujua kilichoendelea tena, nilikuja kuamka nakujikuta kitandani.
"Daktari Daktari amefumbua macho"
Nilisikia sauti ya mwanamke ikisema ivyo sikuelewa anamaanisha nini.
Mara nikamuona mwanaume amevaa koti kubwa akaja nakunisogelea.
"Vipi unaendeleaje upo salama?"
Aliniuliza
"Yani wewe unaacha kuuza nyama unanifata mimi unataka kunichinja eeeh si nakuuliza?"
Nilinyanyuka mzima mzima nikamvuta shati uyo mwanaume nakumkunja nimpige.
Yule mwanamke mwengine kuona ivyo akatoka mbio nje kuita watu waje kumsaidia.
Muda huo huo wakaja Vitalis na wazazi wangu ambao walishangaa purukushani inayoendelea ikabidi wasaidiane kunituliza kulikuwa na machuma kwenye iko kitanda nikafungwa mikono na miguu nisisumbue baada ya apo nikachomwa sindano ya usingizi nipumzike.
Kila alieniona alinihurumia na mimba yangu nilikuwa kichaa ambacho akikujulikana imekuwaje nimekipata walijua labda kichaa cha mimba lakini haikuwa ivyo, Mamangu alilia sana asiamini mwanae akili zimeruka.
"Lisa mwanangu umekuwaje mama jamani na mjukuu wangu atapona kweli?"
Alilia sana mama akinionea huruma.
Macho ya Vitalis yalikuwa mekundu kwa kulia nilikuwa na wiki mbili sijaamka kitandani Leo ndo nimeamka nakuwa kichaa hudhuni iliwajaa wote ndugu zangu walipata taarifa nakuja hospital kila alieniona machozi yalimtoka kilicho wahudhunisha ni mimba yangu nilitia huruma sana.
Wiki ikaisha bado hali yangu ni mbaya akili azijarudi madaktari walijitaidi kunitibia lakini ikawa ni bure sikuweza kuwa sawa mwisho wakashauri nirudishwe nyumbani sababu wao walishindwa.
Akukuwa na laziada ikabidi nirudishwe tu nyumbani kwa wazazi wangu baba ndio alitaka ivyo nisiende kwa Mumewangu.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nyumba haikukalika vurugu tupu mikawa nafungiwa mlango nisiweze kutoka nje.
Hakuna alieweza kukaa karibu namimi nilikuwa mkorofi sana anaenisogelea nampiga.
Miezi ilizidi kusonga ikafika mimba ikikua tu adi miezi tisa ikafika sijapona bado kichaa
"Mungu wangu atajifunguaje mwanangu jamani?
Mama alisema kwa hudhuni akilia
"Usijali mama Mungu atasaidia tu"
Aliongea Vitalis japo nayeye moyo wake ulikuwa unamuuma sana.
"Ata siamini mwanangu alikuwa mzima leo hii ni kichaa kawakosea nini mwanangu adi mumfanye ivi jamani?"
Alizidi kulalamika Mama
"Mama Lisa basi nyamaza yote ni mitihani ya dunia"
"Sio kweli wamemloga mwanangu"
"Acha imani zakishirikina"
Walikuwa wanaongea Baba na Mama
"Lakini mnaonaje tukampeleka kanisani aombewe"
Alishauri Vitalis
"Bora kanisani kuliko kuwaza mambo ya kishirikina"
Baba akasema lakini tatizo likaja watanipelekaje uko kanisani ikabidi watafute mchungaji aje kuniombea nyumbani.
***
Baba ndie alitafuta mchungaji nakulemleta nyumbani ambapo maombi yalifanyika mlangoni uku mimi nikiwa chumbani nimelala sababu ya vurugu zangu akuna alieweza kuingia ndani nilikuwa na nguvu za ajabu, Mchungaji aliomba apo adi akachoka nakuondoka akuna kilichobadirika uchizi ndo uliongezeka.
Huo ulikuwa mwanzo wa watumishi wa mungu kuja nyumbani wengi wakawa wanakuja nakuniombea lakini hali yangu haikubadirika.
Vitalis aliamia nyumbani kazini alimuacha Secretary aliekuwa anasimamia, Mara chache alikuwa akienda ila muda mwingi aliutumia kuwa nyumbani kwetu alikosa raha hali yangu ilimfanya akose usingizi aliangaika sana kuleta wachungaji kuja kuniombea lakini haikusaidia kitu bado akukata tamaa aliamini ipo siku Mungu atasikia kilio chake mkewake atapona ndugu walichachamaa kumpeleka kwa Mganga lakini Baba alikataa ataki nipelekwe.
"Mwanangu anateseka tumpelekeni tu jamani labda watasaidia hao waganga"
Alisema Mama
"Ivi unakumbuka Lisa alivyoangaika kwa waganga kutafuta mtoto iyo mimba aliipata au waganga ni binadamu kama sisi ila mwenye uwezo ni Mwenyezi Mungu pekeyake msiniletee ujinga apa hii mimba Mungu ndo kafanya aipate nayeye ndie anajua Lisa atajifunguaje acheni imani potofu mwanangu sitaki apelekwe kwa waganga"
Alisema Baba na huo ndo ukawa msimamo wake nilibaki nyumbani uku wakija wachungaji kuniombea kilasiku japo mafanikio ayakuonekana lakini Vitalis akuchoka kunisaidia kila mtu alimsifu kwa moyowake akufunga ndoa namimi lakini alinipenda nakuniona tayari ni mkewake zaidi akutaka kunitelekeza aliniitaji sana ni mwanaume wa pekee.
Siku zilizidi kusonga uku mimba ikiwa kubwa.
Hatimae siku yakujifungua ikafika sasa uchungu ulinishika usiku sikulala adi kunakucha alivyo Mungu wa ajabu sasa sikufanya fujo kabisa siku iyo kila mtu alishangaa
Usiku tumbo lilianza kuniuma nikapiga kelele kumuita Mama ambae akuogopa alikuja chumbani kwangu uku wengine wakibaki mlangoni kuangalia kunanini.
"Mama tumbo linauma"
Nilimwambia
"Pole mwanangu linauma sana na kiuno je akiumi?"
Aliniuliza uku anajifuta machozi
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Kinauma alafu uku kunatoka nini sijui"
Nilimwambia nikimaanisha sehemu za siri waliojifungua wanajua dalili za mwanamke anaeumwa uchungu inakuwaje basi Mama akaaniangalia nakujua nipo karibu kujifungua ilikuwa usiku saa tano akabaki namimi adi kunakucha Asubuhi wakaniwaisha hospital binafsi. Kila mtu alikuwa kimya kwenye gari kasoro mimi niliekuwa naugulia maumivu adi tulipofika hospital nikaingizwa ndani nakupewa kitanda Daktari akanipima nakuonekana mtoto yupo karibu akaanza kunielekeza nisukume
"Naumia inauma Mamaaa njoo muone uyu ananifanyaje"
Nikaanza kulia nikimuita mama ambae ilimbidi aingie ndani nakumueleza Daktari Mimi akili zimeruka ulikuwa mtihani kwenye kusukuma uchizi ulianza upya
"Tanua miguu utaua mtoto"
Alisema Daktari
"Sitakii niache sitaki mimi"
Nilikuwa napiga kelele miguu nimebana na mtoto yupo karibu ilikuwa kazi sana wakaja na manesi kunishikilia Mama alikosa ujasiri wakujizuia aliangua kilio nakutoka nje ambapo alikutana na ndugu wengine adi Vitalis alikuwepo
"Kunanini mbona unalia?"
Aliuliza Baba
"Uchizi umemludia nilijua mwanangu amepona ataki kusukuma mtoto yupo karibu anabana miguu"
Alisema Mama akilia sana.
"Mama basi wamfanyie upasuaji"
Vitalis alisema
"Haiwezekani tumechelewa mtoto yupo mlangoni kabisa"
Mama aliongea kila mtu alichoka wakabaki na mawazo wakisubiri miujiza itendeke.
Mara ghafla wakasikia mtoto mchanga akilia humo ndani alipokuwepo Lisa hawakuamini ikabidi Mama aingie nakumkuta Lisa amelala uku kitoto kinasafishwa alipiga magoti chini nakumshukuru Mungu sana kumsaidia mwanae ameweza kujifungua salama.
"Daktari mtoto gan uyo?"
"Wa kiume Mama"
"Ooh asante Mungu"
Alisema Mama baada ya kumsafisha mtoto alipewa amshike na wengine pia wakaruhusiwa kuingia ndani nakumuona mtoto Vitalis akijikuta machozi yanamtoka alipomshika mwanae alifanana nae kilakitu zaidi nywele mtoto alikuwa na nywele nyingi nyeusi kama Babayake alifarijika sana kupata mrithi wake.
"Nakupenda sana mkewangu"
Alinisogelea nilipolala nakunibusu.
"Daktari vipi kuhusu uyu mama mtoto?
Aliuliza Baba
"Mmmh ni mtihani sana tumepata kazi kubwa adi amejifungua tumshukuru Mungu pia amepoteza fahamu akuwa na nguvu nyingi msijali baada ya masaa machache ataamka tu lakini akili yake bado Mungu amsaidie"
Alisema Daktari akitoa leso nakujifuta machozi ata yeye hali yangu ilimgusa sana.
Mtoto wakaruhusiwa kumchukua warudi nae nyumbani sababu kumuacha na Mamayake ambae si mzima angeweza kumsababishia matatizo ivyo wakarudi nae nyumbani nakumpa Maziwa ya Nido.
Wiki moja ikapita bila kuamka kitandani hudhuni ikatawala kwa kila mtu matumaini yakupona ayakuonekana watu walilia mwisho wakachoka nakusubiri miujiza nipone au nife wanizike.
"Naamini Mungu atakusaidia utapona mkewangu"
Alisema Vitalis japo dalili azikuonekana zakupona lakini alijipa imani.
Mwezi mmoja ukakatika uku mtoto akiendelea vizuri mwenye afya yake lakini Mama bado yupo kitandani nusu mfu.
****
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Marko Raphael ni mchungaji wa kanisa la Ushindi lililokuwepo magomeni ni kijana mdogo mwenye miaka Therathini alianza kumtumikia Mungu tangu akiwa na miaka kumi na tano alikuwa na imani sana akiomba nakufunga maisha yake yote aliishi kwenye wokovu.
Alibahatika kuoa mwanamke mzuri ambae ni mtumishi wa Mungu aitwae Diana maisha yao yalikuwa yakumcha Mungu nakumpendeza kwa kila jambo.
Siku moja walienda hospital kumpeleka mamayake Diana ambae alikuwa mgonjwa anasumbuliwa na miguu pia ni mtu mzima umri umeenda sana.
Walifika St Mathieu Hospital iliyokuwa maeneo ya Segerea sababu wao wanaishi kinyerezi waliingia ndani mgonjwa akapokelewa nakuingizwa kwenye chumba akipata matibabu.
Marko na mkewe Diana walikuwa kwenye viti wamekaa ambapo ghafla wakamuona mamayangu akiwa anatoka kwenye chumba nilichokuwepo uku akilia kwa uchungu
"Mwanangu weee umekufa unaniacha na nani mimi mamaa oooohhh"
Alikuwa ajiwezi alilia sana adi kukaa chini Mara akatoka Baba nakjmshika mkewe akimtuliza lakini ilikuwa bure Mama alizidi kulia.
Vitalis alikaa kwenye kiti uku kajiinamia macho yote ni mekundu.
Diana aliwahi kuinuka nakuja alipo Mama kumbembeleza ambapo Marko yeye alimfuata Baba akamsalimia nakumuuliza kunanini
"Binti yangu ambae alikuwa kichaa amefariki"
Alisema Baba kwa hudhuni
"Poleni sana naomba niingie ndani kumuona"
Alisema Marko wote wakashangaa ila mwisho wakamruhusu kuingia ambapo alisogea adi kitandani nilipokuwa nimelazwa nakufunikwa shuka la kijani.
"Uyu binti ni mzima ajafariki"
Alisema wote wakashtuka nakumshangaa
"Daktari katoka apa sasa ivi kumpima amefariki we unasemaje ni mzima au umevuta bangi naomba ondoka acha maiti ya mwanangu"
Baba alichukia nakusema kwa hasira ata Mama aliacha kulia nakustaajabu kusikia mwanae mzima ajafa kama alivyoseka Daktari.
"Naitwa Mchungaji Marko Raphael na uyo apo ni mkewangu roho wa Mungu amenileta apa hospital ili nimsaidie uyu binti nilionyeshwa
maono usiku nilipolala kuhusu uyu Msichana naamini Mungu atamponya ni mzima ajafariki."
Alisema akutaka kusikia maneno tena alichokifanya ni kumsogelea Lisa kitandani nakuanza maombi akuwa kama watumishi wengine wanaopiga makelele yeye alikuwa kimya midomo tu ndo inacheza ambayo uwezi kujua neno analosema ata kwa vitendo alikuwa akinena kwa lugha.
Dakika chache tu Lisa akaanza kutingishika akirusha mikono na miguu
"Niacheee naunguaaa sitakiii niacheee"
Alianza kuongea akipiga kelele zilizowastua madokta ambao walikuja nakushangaa maiti inaongea.
"Eleza nani kakutuma uje kumuua uyu binti?"
Ni Diana ndie aliuliza uku mumewake akiwa bado anaendelea na maombi
"Ni Neema na Harvey ndio wamenituma nimuue Lisa na mtoto wake"
Ilijibu sauti ya kiume iliyokuwa ikiongea kwenye mwili wa Lisa.
Yalikuwa kama maigizo wote walioshuhudia hawakuamini.
"Mama unawajua hao watu?"
Vitalis aliuliza
"Nawajua ni yule mwanaume aliekuwa mumewake Lisa na uyo Neema ni mamayake mdogo"
Alisema Mama nakumfanya Vitalis hasira zimpande
"Haiwezekani kumbe wao ndio wanamtesa ivi mkewangu lazima walipe kwa aya waliyofanya"
Aliongea kwa uchungu ikabidi wamtulize kwanza waangalie hali yangu.
Maombi yaliendelea zaidi "Ninakuamuru urudi ukamuingilie uyo aliekutuma kuja uku"
"Naogopa wataniua"
Alijibu uyo jini
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Kumbe unaogopa kufa kwanini wewe unaua sasa basi nakuunguza na moto wa yesu uteketee apa "
Alisema Diana maombi yakazidi yule jini alipiga kelele sana mwisho akatoka nakumuacha huru Lisa maombi ya shukrani yakafanyika baada ya muda mfupi Lisa akafumbua macho.
"Mumewangu sijaumia nilivyoanguka chooni?"
Ndio neno la kwanza kuongea bila kujua ni zaidi ya miezi sita nipo kitandani nikiwa chizi.
Kila aliekuwepo humo ndani akuamini kama nimeweza kuamka nakuongea. Mama alinisogelea uku akilia nakunikumbatia
"Lisa mwanangu umepona ooh asante mungu"
Alisema
"Mama usijali sikuumia sana nilidondoka tu chooni"
Nilimjibu uku nikipeleka mkono nakujishika tumbo langu nikashtuka sina mimba.
"Mungu wangu mimba yangu imetoka Mamaaa mwananguuuuuuuu"
Nikaangua kilio kwa nguvu kilichowashtua wengi.
"Lisa mimba haijatoka tayali umejifungua"
Alisema Vitalis nakunieleza yote yaliyotokea sikuamini.
"Haiwezekani mimi nilikuwa chizi? Eeh jamani binadamu wabaya niliwakosea nini mimi?"
Nilizidi kulia nikiudhunika sana sikuweza kuamini nililia kwa uchungu nakuwapa kazi kunibembeleza.
Mwisho nikaletewa mwanangu nimuone nilimuonea huruma tangu azaliwe ajanyonya maziwa ya Mama adi sasa mwezi mzima umepita.
Kwasababu nilikuwa mzima siku iyo iyo nikaruhusiwa kurudi nyumbani.
Ndugu walipata habari wakaja kuniona nakunipa pole kwa yaliyonikuta.
Hatimae nikamaliza wiki moja hali yangu ikiendelea vizuri.
"Lisa muda wakufunga ndoa umefika sasa"
Alisema Vitalis
"Apana bwana bado"
"Nini we usinitanie nimevumilia sana huu ndo wakati wakuishi na familia yangu"
Alisema akaenda kuongea na wazazi wangu waliokubali mipango ikaanza hatimae ndoa ikapita tukaanza kuishi pamoja mume na mke.
Ndoa yetu ilikuwa ya furaha na amani japo kukosana kawaida kupo kwa wanandoa.
Mtoto wetu wa kiume tulimuita Brian hatimae akatimiza miaka miwili ilikuwa furaha sana kwetu. Baada ya miezi michache nikashika ujauzito ambao nilipimwa nakuonekana ni mapacha watatu.
Siku moja tukiwa tunaelekea hospital njiani tukamuona yule mamayake mdogo Neema amekuwa kichaa
"Mungu kamlipa kwa mabaya yake"
Alisema mumewangu mi ata kuongea nilishindwa machozi ya uchungu yalinitoka.
****
Harvey aliendelea na tabia yake yakubadirisha wanawake kilasiku lakini akuna ata mmoja aliewahi kumwambia anamimba yake kibaya zaidi akuwa akitumia kinga. Siku moja Babayake akiwa safarini ndege aliyopanda ilidondoka nakufariki apo apo, Mamayake alipopata taharifa ya kifo cha mumewake alipandwa na presha nakupelekea mauti yake.
Mali zote zikabaki chini ya Harvey aliezidisha ulevi nakulala ovyo na wanawake adi pale hali yake ilipokuwa mbaya alianza kuumwa nakutoka vipele mwilini alipoenda kupima akajulikana ni Muathirika wa ukimwi alilia sana nakujuta kwa yote aliyofanya ila akuweza kubadirisha ukweli akazidisha ulevi nakuacha kutumia dawa hali yake ilizidi kuwa mbaya pesa zote alitumia adi nyumba akauza alikosa sehemu yakuishi nakuanza kuzunguka mitaani kama kichaa akuwa yule Harvey handsome boy alichoka nakuwa kama kinyago mwili mzima alikuwa ananuka watu awakumsogelea karibu yake alitia kinyaa.
Siku moja alivuka barabara bila kuangalia kutokana na msongo wa mawazo alionao gari likamgonga nakufariki apo apo huo ndo ukawa mwisho wa Harvey.
***
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Siku ya maombi hospital yule jini aliekuwa kwenye mwili wa Lisa alitolewa nakurudi kwa Neema ambae ndie alienda kwa mganga ili amtie uchizi Lisa mwisho afe na mimba yake. Jini linatumiwa kuua sababu kashindwa kumuua Lisa lazima arudi kwa aliemtaka Neema aliogopa kurudi kwa Mganga kwani angeuliwa yeye alipotolewa akaenda kumvaa Neema ambae alikuwa Lodge na mwanaume wa mtu akiwa uchi uchizi ukamuanza apo akatoka nje uku anapiga kelele nakukimbia ovyo kila aliemfahamu alipomuona alimshangaa amekuwaje ila kuna waliomsikitikia pia wapo walioona ni bora yalivyomkuta.
Uchizi wake uliendelea zaidi ya mwaka mmoja akupata mtu wakumsaidia adi pale siku moja alipokutwa amekufa na mwili wake kutoa harufu kali akazikwa na manispaa ya jiji la Dar es salaam huo ndo ukawa mwisho wa Neema mchina Shangingi aliekubuhu sana ambae akujua dunia ni mapito alizani ataishi milele.
**
Lisa alifanikiwa kujifungua salama watoto wake mapacha ambao wawili wa kike na mmoja wakiume.
Maisha ya furaha yakatawala ndoa yake na kilakitu kikabaki historia.
MWISHO.
Ni story ambayo ilikuja ghafla nikaanza kuandika kama masihara sikutegemea kama ingefika apa nashukuru mlioifatilia tangu mwanzo Mungu awabariki ila hii ndo story yangu ya mwisho kuandika naitaji kupumzika sasa adi nitaporudi Tanzania nitatoa vitabu nakuvitangaza atakaekuwa na uwezo atanunua.
Asanteni sana
0 comments:
Post a Comment