Search This Blog

Monday, October 24, 2022

JAMANI ANTIII…NISHUSHE UNUNIO - 2

 







    Chombezo : Jamani Antiii...Nishushe Ununio

    Sehemu Ya Pili (2)



    “Basi nitakuja kukusimulia nikirudi, wewe unakunywa bia gani nikuletee japo mbili za kutuliza koo lako?” “Mimi anti huwa sinywi bia zaidi ya Nyagi tu,” fundi huyo ambaye jina lake halisi aliitwa Jisu alisema huku akimtazama Vivian kwa macho ya kudadisi atasema nini. “Mmmh, basi sawa ngoja nikakuletee kubwa moja kabisa ili uburudike vya kutosha, unachanganya na soda au maji?” “Vyovyote hata kavu huwa napiga,” alisema Jisu na kumfanya Vivian acheke na kuondoka kwenda kwenye grosari.



    HUKU nyuma, spidi ya fundi kutengeneza mlango iliongezeka maradufu, kitendo cha Vivian kufuata Nyagi kilimpa furaha isiyo kifani.



    “Dah, huyu sista amewaza kikubwa mlemle aisee, kajuaje kama nina hamu sana na Nyagi leo, ila sema tatizo ni moja kwamba wifi yake amesafiri na raha ya Nyagi ni kucheza mechi ya kukata na shoka,” Fundi Jisu aliwaza huku akikomelea msumari kwenye komeo ambalo tayari lilishakaa sawa.



    Dakika mbili baadaye, mlango wa Vivian ulikuwa sawa kabisa na sasa Jisu alikaa pembeni kwa nje akimsubiri mwenyeji wake aje wamalizane kwa ujira kama si kupiga masanga ambayo atakuwa ameyaleta Vivian.



    Vivian alirejea, mkononi alikuwa ameshika mfuko mweusi ambao ulikuwa umeelemewa na mzigo uliokuwemo ndani. Jisu kuona vile, mate ya ulevi yakaanza kujitengeneza mdomoni.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    “Vipi fundi.”



    “Poa tu sista.”



    “Mbona umekaa.”



    “Nimemaliza kazi.”



    “Wee, mara hii?”



    “Ndiyo sista, huamini au?



    “Hata siamini,” alisema Vivian na kupiga hatua za haraka hadi mlangoni ambapo hakuwa na haja ya kumulika kwani mwanga wa umeme ulitosha kabisa kumulika mahali pote. Aliushika mlango na kuutikisa vyema ambapo alijiridhisha kabisa kwamba ulikuwa umetengemaa na uko tayari kwa matumizi, akatabasamu na kumgeukia fundi.



    “Aisee, wewe ni kiboko fundi jamani.”



    “Kwa nini sista?”



    “Umefanya haraka sana.”



    “Kawaida, watu husema kazi ukiizoea yanakuwa maisha yako ya kila siku,” alisema Jisu huku akinyanyuka mahali alipokuwa ameketi na kumsogelea Vivian ambaye alikuwa ameshikilia mfuko wenye masanga.



    “Vipi, umepata Nyagi?” Jisu aliuliza kwa hamu kubwa akichungulia ndani ya mfuko.



    “Yeah, si tunakaa ndani jamani?”



    “Hapana sista, hapahapa nje panatosha muhimu ni glasi na kazi ianze mara moja, nikizidiwa sana nitaenda kumalizia nyumbani kwangu,” alisema Jisu akimtazama Vivian usoni, aliishia kutabasamu bila kusema chochote.



    Vivian aliingia ndani na kutoka na viti viwili na meza ndogo pamoja na glasi mbili, unaweza kushangaa alivibebaje vyote hivyo kwa wakati mmoja lakini huo ndiyo ukweli kwamba alivileta vyote kwa pamoja.



    “Karibu tena mgeni kwa mara nyingine, jisikie uko nyumbani kabisa,” alisema Vivian akikaa vyema kitini na kumruhusu Jisu kwa ishara aungane naye waweze kuianzisha safari ya kulabuka, yaani kugida maji hayo machungu lakini yenye kuchangamsha ubongo kwa kasi ya haraka!CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Vivian alitoa mfuko na kuchomoa Reds sita za chupa na mzinga mmoja mkubwa wa Nyagi na soda moja ambapo alivimwaga kwa pamoja.



    Hapohapo, meno yote ya fundi yakaonekana kwa mpangilio yakinifu kabisa na bila kuchelewa akapeleka mkono wa kulia na kuishika glasi, awamu hii hakungoja tena karibu na badala yake akamimina Nyagi kidogo na kuchanganya na soda.



    “Ngoja nipunguze mawazo miye,” alisema Vivian na kuchukua chupa moja ya Reds ambayo aliinywa kwa ule mtindo wa tarumbeta, yaani bila kutumia glasi. Walikunywa wakiwa kimyakimya, nusu saa baadaye kila mmoja alianza kujawa na ujasiri wa hali ya juu ambapo walitazamana usoni bila aibu.



    Walianza kusimuliana jinsi ambavyo mapenzi yamekuwa yakimtesa kila mmoja wao. Vivian alimwaga siri zote na namna ambavyo huwa anajisikia raha pale anapokutana na mwanaume mwenye kuweza mambo.



    “Mimi huwa najali sana kumwandaa mwanamke kabla mimi sijajiandaa, unajua raha ya tendo ni mwanamke kuanza kufika mwisho wa safari ndipo ampe sapoti mwanaume, hakika hilo huwa nalizingatia sana,” alianza kujinasibu Jisu bila kujua anaanza kumpa wakati mgumu Vivian ambaye akinywa pombe hususan Reds huwa mwepesi kushinda maharage ya Mbeya kama siyo kunde za Mlandizi na choroko za Mtwara!



    Hali ya Vivian ilianza kubadilika lakini alijisitiri sana asionekane kama ni dhaifu kwa kiasi hicho na pia hakuwahi kuwaza kutoa penzi kwa mwanaume aina ya Jisu, ambaye hakuwa hadhi yake kabisa.



    Vivian alikuwa na nyodo nyie acheni tu! Hata huo uchangamfu aliouonesha kwa Jisu ni kutokana na mvurugano uliotokea muda mfupi uliopita na kwa namna ambavyo fundi huyo amefanya kazi yake haraka na kwa ustadi wa hali ya juu, ukichanganganya na kimea cha kwenye Reds hapo mambo yanakuwa murua, lakini akiwa mkavu wa kawaida, unaanzaje kumkamata Vivian wewe mwanaume kapuku wa pangu pakavu, pangusa tukae?



    “Kwa hiyo wewe fundi ni mtaalam sana kuhakikisha mwanamke anapata raha yake?” Vivian aliuliza akimtazama Jisu usoni kwa macho yenye kulegea kama mpishi aliyezidiwa na moshi wa kuni mbichi.



    “Kabisa, tena kuna wakati huwa najikuta naongeza na utaalam ambao nikiambiwa nirudie siwezi kabisa, yote hayo ni kuhakikisha najitoa ufahamu kwenye sita kwa sita, hapo sasa nitagusa na maeneo ambayo wanawake wengi huwa hawaguswi mara kwa mara,” alisema fundi na kuendelea;



    “Unajua kuna wanawake hawajawahi kupata raha ya tendo, ukiwaambia habari za kufika mwisho wa safari hawajui inazungumzia nini na wao wanakuambia wanafurahia mapenzi na waume zao, lakini kifupi ni kwamba hakuna mwanamke ambaye hana uwezo wa kufika mwisho wa safari, mwanamke yeyote ni maandalizi, akipata mwandaaji mzuri kabla ya mechi, ni lazima afike ukingoni tena kwa shangwe na makelele ya fujo kama siyo nderemo,” alisema Jisu huku akisukumizia maneno hayo na glasi ya Nyagi kabla hajakunja sura yake yenye mashimo kadhaa.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    “Wewe Jisu wewe jamani,” Vivian alisema na kuiweka mezani kabisa chupa ya Reds aliyokuwa ameishika mkononi, licha ya kwamba kabla hajafika nyumbani alitoka kucheza gwaride na Bigambo, lakini maneno ya Jisu yalianza kumshawishi zaidi ya ufundi aliooneshwa na Bigambo, kichwani alianza kufanya tathmini na kuona wazi kabisa kwamba Jisu alikuwa mbobezi wa masuala ya chumbani kuliko Bigambo.



    “Sasa kwa hiyo unaweza kumtibu mwanamke ambaye ana tatizo la kutofika mwisho wa safari yake?” Vivian aliuliza lakini awamu hii alishindwa kujizuia na kuuweka mkono wa kulia begani kwa Jisu, ambaye hakutoa upinzani wowote na zaidi sana akanyanyua glasi ya Nyagi na kuisukumizia mdomoni.



    “Eee, sana tu, mimi nimetibu sana wanawake ambao shida yao ni kutofurahia na kufika mwisho wa safari, lakini nawatibu kwa vitendo bila kufanya nao kikwelikweli,” alisema Jisu na kuifakamia tena glasi yake ya Nyagi na kisha kumtazama usoni Vivian ambaye alikuwa kimya.



    “Mmh,” Vivian aliishia kuguna na kuikamata chupa yake ya Reds.



    “Vipi, mbona unaguna?”



    “Mmmh, kawaida tu,” alisema Vivian na kuuondoa mkono wake begani kwa Jisu.



    “Nikuombe kitu?” Vivian alianzisha tena mazungumzo.



    “Sema tu sista.”



    “Aaah, usiniite hivyo bwana,” Vivian alisema lakini sauti yake ilitoka kwa tabu na dalili za uchovu kwani pua zake zilikuwa zinabana kama mgonjwa wa mafua yenye kuambatana na malaria.



    “Okey, samahani.”



    “Unaweza kunitibu na mimi Jisu?” Vivian aliuliza na kumtazama tena usoni Jisu lakini pia akawa kama anayesikilizia jibu ambalo hakujua lingetokaje kwa wakati huo.



    Hata hivyo, kabla Jisu hajamjibu Vivian alimimina tena Nyagi kwenye glasi na kuipiga yote kabla ya kumimina nyingine tena na kuiweka mezani bila kuinywa na hapohapo akanyanyuka kidogo na kukiweka sawa kiti chake ambapo sasa aligeukiana na Vivian, alimtazama usoni na wote wakawa wametazamana bila kupepesa macho na Jisu akapanua mdomo kama anayetaka kuuliza kitu kwa staili ya kipekee.



     “NAWEZA ndiyo, ni sehemu ya kazi yangu pia na huwa najipatia kipato kikubwa sana kupitia tiba hiyo kwa wanawake wenye matatizo ya kutofurahia matendo,” alisema Jisu huku akikamata glasi na kujimiminia kwa kasi huku akikunja ndita, uchungu wa nyagi uliendelea kulipa kazi ya ziada koromeo lake. Vivian alikaa kimya kwa muda. Kabla hajasema lolote, alikamata chupa ya Reds na kujimiminia kama alivyofanya Jisu. Walikaa kimya kwa muda kabla ya kuendelea na mazungumzo. “Okey, sasa mimi nataka unitibu leoleo Jisu, maana nina mpango wa kuolewa hivi karibuni. Mimi sina tatizo hilo lakini nataka niwe nawahi kufika mapema, sawa Jisu?” “Sawa, lakini sasa kwa mtindo gani?”CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/







    “Kwa mtindo gani tena unaniuliza mimi? Wewe si ndiyo umesema ni fundi sasa fundi anamuuliza mteja tena ashoneje nguo yake?” “Sijamaanisha hivyo, nasema eneo na mazingira yanahitaji usiri mkubwa sana.” “Si ndani kwangu jamani Jisu.” “Sawa, lakini kwa kuwa tumeshaanza kulewa nashauri tufanye siku nyingine kama kesho hivi, tukiwa wazima wote,” Jisu alisema kwa mtego ingawa moyoni alishaanza kuitamani sana nafasi ya kuutawala mwili wa mrembo Vivian. “Hapana bwana, mimi nataka leoleo, nitakulipa vizuri Jisu, ile ya mlango na hii kazi utakayonifanyia sasa hivi, sawa baba?” Vivian sasa alishaanza kuchangamka na kuanza kumuita Jisu kwa jina la baba, jina ambalo Vivian hulitamka mara chache sana, tena hususan wakati anapokuwa amekunywa maji hayo matamu yenye ukavu wa kuvutia machoni.







    “Mmmh,” Jisu alijibu badala ya kufafanua kama amekubali kumtibu Vivian au lah. “Unaguna nini sasa jamani?” “Hapana, najaribu kutafakari namna ambavyo nitakupa huduma na tiba bora zaidi,” alisema Jisu na kumtazama Vivian. “Kwa hiyo mimi natakiwa nifanyeje,?” Vivian aliuliza akiwa anajiweka sawa kifikra juu ya maelekezo ya Jisu na tiba yake, maneno yake yalikuwa yamemshawishi kwa kiwango cha juu sana. “Lakini si ni maelezo tu, hatufanyi kabisakabisa?” Vivian aliuliza na usoni hakuonesha aina yoyote ya masihara. “Kabisa, hatufanyi chochote, nakuheshimu sana Vivian,” alisema Jisu. “Lakini kuna sharti moja tu kubwa,” Jisu aliendelea kutoa dira na mwanga wa aina ya tiba yake. “Kipi tena Jisu, mbona unaanza kunitisha mwenzio?” “Wala usitishike, kwa yeyote aliyedhamiria wala hawezi kuona ugumu wowote.” “Haya, ni lipi hilo?”







    “Ni lazima uvue nguo zote ili uwe huru wakati nakupa maelekezo.” “Okey, hilo tu?” “Ndiyo.” “Lakini…,” Vivian alikomea hapo na kunyamaza kisha kumtazama tena Jisu na kuendelea… “Hutawaambia watu?” “Juu ya nini?” “Kwamba ulishaniona nilivyo?” “Halafu iweje?” “Basi tu, nimeuliza maana nyie wanaume mnaongoza sana kuwatangazia wanawake mliowahi kushiriki na kuwaona maumbile yao ya ndani, tabia ambayo hakika huwa siipendi na siyo nzuri hata kidogo,” alisema Vivian na kuchukua tena chupa yake ya mwisho na kuifungua kwa meno kabla hajaigida kwa mbwembwe za ulevi. Kifupi ni kwamba wote wawili walishaanza kuzidiwa na ulevi, ingawa walibaki wanajitambua kwa mbali. “Haya, twende sasa nikutibu ili niwahi kwenda kupumzika,” alisema Jisu huku akifunga vizuri chupa ya nyagi iliyokuwa imesalia. “Mbona humalizii hiyo nyagi?”







    “Siwezi kumaliza mzinga wote, hii nitamalizia kesho, kwa sasa naomba nikutibu niwahi kutoka,” Jisu alitoa ufafanuzi huo na kuinuka akiwa ameishika chupa ya nyagi kwa mkono wa kushoto huku akiigongagonga kwenye kitako chake. “Sawa,” Vivian alijibu na kuamka, ambapo alianza kuingiza ndani kitu kimojakimoja, tofauti kabisa na awali ambapo alivibeba vyote kwa pamoja. Alimaliza kuingiza ndani na kumkaribisha Fundi Jisu ndani ili watimize tiba yao. “Karibu sana na ujisikie amani na upendo wote wa moyo,” Vivian alisema na kumtazama Jisu usoni.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/







    “Asante, lakini sitaki tukae sana. Nakupa tu maelezo ya utangulizi na kesho nitakuja kumalizia,” alisema Jisu. “Nasubiri maelekezo yako,” Vivian alisema na kumkodolea tena macho Jisu. Hakuwa na aibu kabisa kwani Reds imeshaondoa kila kitu ubongoni mwake. “Sasa ondoa basi hizo nguo.” “Sawa,” Vivian aliitikia na kuanza kuondoa viwalo taratibu na kwa mbali alianza kujihisi hali isiyokuwa ya kawaida mwilini mwake. Alianza kuhisi msisimko wa ajabu mno. Vivian alibaki kama alivyokuja duniani. Kiunoni akiwa amezungukwa na kamba tatu zilizobeba vigolori vidogovidogo. “Sasa nenda kitandani, mimi nakuja ingawa sitavua chochote,” Jisu alisema na kuanza kupiga

    hatua akielekea kitandani.







    “Lala chali,” Jisu aliendelea kutoa maelekezo ambayo mwisho wa siku Vivian alishindwa kabisa kuvumilia. Jisu alikuwa akimuelekeza kufanya mambo ambayo yalikuwa yakimsisimua kupita maelezo. Ikafika mahali, Vivian akamfuata Jisu mwenyewe na kumwambia wafanye kweli, maana hakukuwa na haja ya kutumia maji ya moto kuondoa hali hiyo wakati aliyeisababisha alikuwepo tena wote wakiwa wamechangamka kisawasawa. “Jisu,” aliita Vivian. “Mmm,” Jisu aliitika kwa ule mtindo wa kuguna huku naye akianza kuzidiwa na hisia. Umbo la Vivian lilikuwa matata sana. “Usimwambie yeyote” “Sawa.”







    “Nitunzie siri yangu tafadhali, hapa mtaani naheshimika mno na ninafahamika kwa kuwa na nyodo kwa vijana wengi kama wewe lakini sasa mazingira yetu ya leo yametufikisha huku ambako siwezi tena kujizuia, tafadhali sana nakuomba,” Vivian alisema kwa sauti ya kunong’ona, lakini maneno yote yalisikika vyema sana masikioni mwa Jisu ambaye naye kwa wakati huo alikuwa akihema kama aliyetoka kukimbia mbio ndefu zisizokuwa na medali wala tuzo yoyote. “Sawa,” Jisu aliitikia na kushuhudia mikono laini ya Vivian ikimpapasa mabegani na kabla hajahamaki kufanya chochote, alishtukia vidole vya Vivian vikivifuata vifungo vya shati kwa kasi ya ajabu na kuanza kuviachanisha na yale matundu ya kufungia.







    “Fuuuu,” Jisu alihema kama ng’ombe aliyemaliza kunywa maji mengi. Ikafika mahali, wote wakadhamiria mioyoni kwamba wamalizie safari ndefu ambayo ilianzia kwenye kutengeneza mlango. Jisu aliamua kutumia uwezo na ufundi wake wote kumuonesha Vivian kwamba hakupaswa kuwa na dharau au nyodo kwa watu asiowajua. Waliandaana na Jisu alimshughulikia Vivian kwa kugusa maeneo ambayo siyo tu kwamba hakuwahi kuguswa na mwanaume yeyote, bali hakuwa akijua kama huwa yanakamatwa. Vivian alianza kuangua kilio cha kweli na kuanza kuropoka maneno ambayo kama kungekuwa na mpita njia ilikuwa ni lazima asitishe kwanza safari yake ili aifaidi vyema sauti hiyo ya kilio kitamu cha Vivian. Baada ya kuandaana kwa muda mrefu, waliingia uwanjani. Jisu alimbeba Vivian na kumsimamisha.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/







    Akamkazia macho na kumpa madoido ambayo hakuwahi kukutana nayo. Mwanzoni ilikuwa ni kidogo Vivian acheke kutokana na kuoneshwa staili ambayo hakuwahi kuoneshwa hata siku moja tangu aanze kujishughulisha na masuala ya mapenzi. Mechi ilianza. Jisu akawa anatembelea kila kona ya makazi ya Vivian, ambaye kwa wakati huo alikuwa akihangaika na kutoa miguno mingi yenye kuhamasisha sana. Ili kuepuka kumchosha sana, Jisu aliamua kubadilisha mapozi ya usakataji wa kabumbu. Sasa akamsogeza karibu na dimba la kawaida, kwa maana ya kitanda lakini hakumruhusu kabisa ajimwaye kwa juu. Alimpa maelekezo ya kuinama na kushika kuta za kitanda na kubinuka mfano wa kumbikumbi aliyejinyonyoa manyoya.







    Fundi akasimama kwa nyuma na kuinama kidogo na hapohapo akaanzisha mpambano upya ambapo awali hii alianza kwa sehemu ya juu, chini kabla hajazitembelea kona za pembeni, ikafika mahali Vivian akasema kwa sauti ya juu kabisa kwamba hayuko tayari kuendelea na mahusiano na Bigambo wala mtu yeyote, sasa makazi yake kimapenzi ameyahamishia kwa Jisu, mwanaume ambaye aliweza mambo kwa kiwango cha ajabu sana.







    Wakiwa katikati ya mdundo, Vivian akijiandaa kupasua dafu lake la tatu, mara mlango uligongwa na mgongaji hakutumia ustaarabu kwani ilikuwa kwa sauti kubwa hali iliyowafanya wote wasitishe zoezi lao huku Vivian akisonya na kulaumu sana mgongaji, akanyanyuka kwa nguvu na kujitanda khanga kabla hajampa taulo Jisu, akauendela mlango na kuufungua kwa hasira kali, lakini macho yake yalipokutana na mtu aliyekuwa akigonga, Vivian alinywea na kubaki mdogo kama kidonge cha piriton.



    ************

    *****************

    *************************



    Mzee hakutaka kuichezea bahati hiyo, akaanza kusaga na kukoboa kwa umahiri wa hali ya juu, Vivian hakuamini alichokuwa akifanyiwa na mzee wa watu, moyoni akajiapiza tena kutoachana kabisa na mzee huyo, alishasahau kabisa kama alijiapiza maneno hayohayo kwa Bigambo na Jisu, huyu Vivian jamani, lakini tuseme ukweli, kuna wakati ukikutana na mtaalam wa kusakata kabumbu, lazima uombe poo kwa hiyo simshangai Vivian kwa uropokaji ule.



    Wakati Mzee Mnubi akijiandaa kumalizana naye vyema, ghafla walisikia sauti ikisema: “jamani si kuna nyumba za wageni, yaani hata wewe mjumbe una uchafu huu?”



    “OYA, nani tena huyo asiyekuwa na adabu kwa wakubwa?” mjumbe alijikakamua kwa mkwara huo huku akijiondoa kwa Vivian.



    “Mzee huna aibu kabisa wewe, kumbe ukorofi na mikwara yote hiyo ya mitaani lakini maadili ni ziro! Yaani kiongozi mzima hovyo kabisa,” kijana huyo alizidi kukomalia maneno makali kwa mjumbe na Vivian, ambao kwa wakati huo walikuwa wanajiweka sawa kwa kuvaa nguo ambapo haikuwa kazi kwa kuwa hawakuziondoa zote, ilikuwa ni ile kuteremsha ya harakaharaka.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    “Sikiliza kijana, haya ni maisha tu ndugu yangu, kuharibiana heshima mitaani kuna faida gani tena ukizingatia mimi ni mjumbe wako, kuanzia leo nitakuwa nakulinda kwa mambo mengi,” mzee Mnubi alianza kunywea baada ya kuona kijana yule amekomaa kulisambaza tukio hilo hapo mtaani.



    “Sawa, lakini itategemea sana na uwezo wangu wa kutunza siri, vinginevyo sijui,” alijibu kijana huyo na kutaka kuondoka.



    “Ona, sikia kijana,” mzee Mnubi alimuita tena huku akipeleka mkono wake mfukoni na kuibuka na noti mbili nyekundu kabla ya kumuonesha kijana yule ambaye alijulikana kwa jina la Malick pale mtaani.



    Malick alizipokea hizo pesa na kuahidi kutowatibulia wawili hao. “kwa sasa hata kama mkiamua kuendeleza ni nyie tu, hainihusu kabisa, kwa hapa breki ya kwanza ni baa nikajipongeze kwa chupa mbili niiweke akili yangu sawa,” Malick alisema na kuanza kupiga hatua kuondoka eneo hilo.



    Vivian na mjumbe walibaki wakitazamana, hakuna aliyemuongelesha mwenzake kwa zaidi ya dakika sita hadi saba.



    “Unaona sasa baba, mimi nilishauri tufanye siku nyingine lakini uling’ang’ania mwenyewe, unadhani utakuwa na nguvu na hadhi gani kwa kijana yule hapa mtaani hata kama hatawaambia watu wengine? Mambo ya kulazimisha ni mabaya sana mzee wangu, ona sasa tulivyoumbuka,” Vivian alilalama mfululizo na kuondoka huku akisonya tena bila hata kugeuka nyuma.



    Mzee Mnubi naye aliondoka akiwa ameinamisha kichwa huku akijilaumu sana moyoni na kichwani. Alishindwa kuelewa lawama azitupe wapi kati ya kwake au kwa shetani.



    “Dah, ila mimi naye, Mungu anisaidie sana kwa kweli,” mzee Mnubi alijiwazia huku akikaribia nyumbani kwake na kumkuta mkewe, Bi. Jovina akijiandaa kulala.



    “Mwenzetu kulikoni unaongea mwenyewe?” Bi. Jovina alimuuliza mzee Mnubi akiwa amemtolea macho makali yenye ukavu wa kuogopesha.



    “Kawaida, uzee nao unasumbua sana,” mzee Mnubi alijibu na kukimbiza sura yake pembeni na kuzuga kufanya mambo mengine chumbani humo.



    “Unaoga au kama kawaida yako unataka kulala hivyohivyo kama jana?” Bi. Jovina alimuuliza mumewe ambaye kwa kuhofia kugundulika kwamba ametoka kucheza mechi ya kirafiki kwenye uwanja wa mchangani, alikubali haraka sana kwamba ilikuwa ni lazima aoge akisingizia jasho kali la siku hiyo.



    “Heee, makubwa leo kuku wa kike atawika, acha nicheke miye,” Bi. Jovina ambaye asili yake ni Bagamoyo, Mkwere kiasili aliendelea kutupia maneno ya Kipwanipwani yenye michambo ya kimafumbo ambayo sisi watoka bara huko Mwanjelwa Mbeya siyo rahisi kabisa kuyaelewa.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    *****



    Vivian aliingia ndani na kumkuta Jisu ameshavaa, tayari kwa kuondoka, alikuwa amekaa kitandani akiangaza macho huku na kule kama anayetafuta kitu cha thamani, lakini moyoni hakuwa na amani wala furaha kabisa.



    “Pole kwa kukuacha mwaya, nilikuwa nazungumza kidogo na mjumbe, si unajua ni lazima nimpoze kiasi fulani kwa ajili ya kazi ya kusuluhisha aliyoifanya, kwa hiyo nilikuwa navutana naye maana alitaja kiasi kikubwa sana cha pesa,” Vivian aliongea mfululizo bila kuulizwa na Jisu ni wapi alichelewa.



    “Sawa Vivian, mimi naondoka tutaonana kesho lakini chunga sana mienendo ya maisha yako, hapa duniani tunapita tu, usipojichunga unakuwa kama gazeti ambalo kila mmoja anaweza kulifunua na kulisoma habari zilizoandikwa na kisha kulitupa huko,” Jisu ambaye licha ya kuwa alikuwa amekunywa kiasi kingi cha nyagi alitoa maneno hayo makali yenye mafumbo na kisha kuukamata mlango na kufungua kwa nguvu na kuanza kupiga hatua za haraka, mkononi akiwa ameshika chupa ya nyagi iliyokuwa imesalia nusu.



    “Duh! Huyu naye anamaanisha nini? Maisha gani tena haya ninayoanza kuyaishi mimi Vivian lakini, yaani siku moja nimeweza kucheza mechi na wanaume watatu tofauti, aisee mimi ni kiboko sana,” alijiwazia Vivian huku akiondoa nguo mwilini tayari kwenda bafuni kujiondolea uchafu.



    Baada ya kuoga alirejea na kuvaa nguo nyepesi na kuchukua tena chupa ya Reds na hapo ndipo akakumbuka simu yake.



    “Duh! Missed calls 23, 20 za Bigambo,” alijisemea huku akibonyeza eneo la kupiga, simu ya Bigambo haikuwa hewani. Akachanganyikiwa na kuamua kuizima kabisa simu yake kabla ya kumalizia Reds zake na kupanda kitandani kuusaka usingizi ambao haukuchukua muda mrefu sana ulimchukua, kutokana na uchovu wa kucheza mechi tatu za ugenini ongezea na kimea kwenye Reds zaidi ya tano, Vivian aliweza kulala akiwa hoi tena kwa usingizi wa pono kama siyo fofofo.



    ***



    Kulikucha. Ilikuwa ni siku nyingine ya mapambazuko na mishemishe za kusaka noti kwenye usawa huu ambao watu wameupa majina mengi maarufu likiwemo la vyuma vimekaza. Vivian alikurupuka kutoka kwenye usingizi wa mning’inio (hang over) na kukimbilia bafuni akiwa na mawenge mengi kichwani, mawazo tele.



    Baada ya kujiandaa, Vivian alipanda bodaboda hadi kazini na kumkuta Bigambo akiwa amekaa kwenye ile meza ya viako, akipitia bidhaa ya siku hiyo kabla ya kuanza majadiliano ya wafanyakazi wote. Vivian alimsogelea kwa tahadhari na kumsalimia kwa sauti ya chini na yenye utulivu mkubwa.



    “Salama kabisa,” Bigambo alijibu kwa mkato tena bila hata kumtazama Vivian usoni, kuona hivyo mwanamke huyo alijiongeza na kuanza kujieleza kabla hata hajaulizwa nini kilitokea hadi akawa hapokei simu za Bigambo.



    “Najua umekasirika sana lakini ngoja nikuambie kilichotokea,” Vivian alisema huku akikaa karibu na Bigambo.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    “Jana nilimkuta mzazi mwenzangu nyumbani kwangu, alikuja bila kunipa taarifa,” Vivian alieleza kila kilichotokea isipokuwa zile mechi alizocheza na Jisu na mjumbe, mzee Mnubi.



    “Sasa ulipomaliza mambo yako ulishindwa kunipigia simu hata kidogo,” Bigambo aliuliza kwa jazba na kumtazama usoni Vivian ambaye alikwepesha uso na kuvunga kama anaangalia nje.



    Wafanyakazi wengine wakawa wanapita na kuwatazama kwa macho yenye tafsiri tofautitofauti.



    “Bigambo na Vivian mnaitwa na meneja,” ilikuwa ni sauti ya Mariamu, mmoja wa wafanyakazi wa muda mrefu wa ofisi ile, akiwa kitengo cha usafi.



    Vivian na Bigambo walitazamana kwa zamu na kisha kuinuka hadi ofisini kwa meneja, ambaye walipoingia tu, alishusha miwani yake na kuwatazama mmoja baada ya mwingine, lakini angalia yake haikuwa ya nia njema hata kidogo.



    “Vivian na Bigambo,” meneja aliwaita kwa majina na kusindikiza kwa kikohozi kikavu.



    “Nimewaita kwa ishu moja tu ambayo haihitaji majadiliano ya muda mrefu,” alisema meneja na kujiweka sawa kitini kwake na kukohoa tena.



    SIKILIZENI, tena naomba muelewe mambo haya kwa umakini na undani zaidi,” meneja alisema tena na kuwatazama zamu kwa zamu. Moyoni mwa Vivian kulijaa hofu ya aina yake, alikuwa bado mgeni mno kuanza kuwekewa vikao na bosi mkubwa kama meneja. Kwa upande wa Bigambo, yeye hakuwa na hofu hata kidogo kwani kama ni vikao alishawekewa vingi mno na kuonywa zaidi ya mara mia moja kwa hiyo kikao cha meneja cha siku hiyo, kilikuwa mwendelezo wa vikao na makaripio mengi aliyowahi kufanyiwa huko nyuma na kumuacha bila mabadiliko. “Mmekuja hapa kufanya kazi na si mapenzi, sasa mbona mnakiuka miiko na maadili ya kazi? Hamjui kwamba kujihusisha na mapenzi kazini ni kosa kubwa na adhabu yake ni kufukuzwa kazi? Wewe Vivian wewe,” meneja aliita na kumkazia macho mwanamke huyo ambaye wakati wote alikuwa akitetemeka mithili ya kinda la ndege lililonyeshewa mvua kubwa ya mawe ya barafu.







    “Bee,” Vivian aliitika huku akijitengeneza vizuri kwenye kiti. Vidole vya mikononi vikiwa vimelowa kwa jasho jembamba ukijumlisha na kwa namna alivyokuwa akivipikicha, hofu iliongezeka na mapigo ya moyo yaliongezeka kwani upande wa kushoto wa kifua ulikuwa ukinyanyuka kwa juujuu na kufuatiwa na mihemo ya harakaharaka. “Kweli kabisa umeacha kilichokuleta na kuparamia mapenzi?” meneja alizidi kumpandishia presha Vivian, moyoni alipanga kumalizana na Bigambo baada ya kumuonya Vivian.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ “Hapana bosi, mimi sina uhusiano wowote na mtu yeyote hapa ofisini zaidi ya kusalimiana na kushirikiana kikazi, hayo mengine yanabaki kuwa maneno ya watu wasiokuwa na kazi za kufanya mkuu, siko hivyo kabisa na niko hapa kikazi na si mambo mengine, nina familia yangu hivyo najiheshimu kuliko ambavyo yeyote anaweza kudhani,” Vivian alizungumza mfululizo kiasi cha kuwafanya meneja na Bigambo wabaki wamemkodolea macho wasiamini wanachokisikia, kwani tangu Vivian ajiunge na kampuni hiyo, tabia yake ilikuwa ya ukimya wa kupitiliza na neno pekee alilolitoa kupitia midomo yake minene ni salamu na kicheko cha tabasamu.



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog