Search This Blog

Monday, October 24, 2022

RIGWARIDE LA AFANDE - 1

 





    IMEANDIKWA NA : GLOBAL PUBLISHERS



    *********************************************************************************



    Chombezo : Rigwaride La Afande

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    “We binti njoo hapa,” nilikuwa napita kwenye mtaa mmoja kule Temeke, nikaitwa hivyo na mbaba mmoja aliyekaa kwenye benchi la kijana anayeosha viatu, wenyewe mnamuita ‘shuushaina’!

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kwa jinsi yule mbaba alivyonitumbulia macho, mwenyewe nikaogopa, nikajikuta nimemfuata…

    “Shikamoo,” nilimwamkia huku nikiangalia pembeni kwa woga.

    Mimi nilitarajia ataniambia amenifananisha na msichana anayemjua…

    “Marhaba! Unaitwa nani wewe?”

    “Rhoda.”

    “Rhoda nani?” aliniuliza kwa ukali mpaka nikataka kukimbia. Moyoni nikasema ‘he! Huyu mbaba vipi? Mbona ana maswali kama polisi wa Kilwa Road?’

    “Rhoda Musalanga,” nilimjibu.

    “Unakaa wapi?”

    “Kule juu Wailesi.”

    “Kwa mzee nani?”

    “Khaa! Kwa mzee nani kivipi? Si kwa baba yangu!” nilijipa ujasiri na kumjibu hivyo…

    “Baba yako anaitwa nani?” kabla sijamjibu, nilimwona yule kijana msafisha viatu akiachia tabasamu. Niliamini amejua swali la yule mbaba ni la kijinga…

    “Jamani, si nimekwambia naitwa Rhoda Musalanga, si ndiyo baba yangu mzazi…”

    “Una simu?” aliniuliza swali jingine. Ina maana swali lake la awali alishalijua jibu lake.

    “Kwani we unataka nini?”

    “Nataka nini! Si nataka namba yako ya simu, hebu nitajie,” aliniambia huku akiwa amenitumbulia macho. Sijui ilikuaje, si nikajikuta nikizitoa namba zangu. Nilimtajia moja baada ya nyingine, kisha akatumbukiza mkono mfukoni na kutoa noti mbili za shilingi elfu kumi…

    “Hizi utakunywa soda…umeolewa?”

    “Akha! Mi sijaolewa,” nilimjibu kwa kukataa mpaka na mabega.

    Kifupi mimi nilikuwa nimemaliza masomo ya sekondari na nina miaka 22 tu, lakini kutokana na umbo langu kuwa kubwa, wengi waliamini niko kwenye ndoa tayari.

    Kwanza nilikuwa mrefu, si mnene sana lakini pia si mwembamba. Umbo langu ni namba nane! Katikati katikati kweli, juu kifuani palijaa sawasawa na katikati kwenda chini nilijengeka kama vile nilitengenezwa kwenye kiwanda cha magari cha Mjapan.

    “Nitakuoa mimi… we nenda,” aliniambia yule mbaba huku akimwangalia msafisha viatu.

    Kwangu lilikuwa tukio la ajabu sana. nilifika nyumbani na kukaa kimya, sikumwambia mama wala dada yangu, Agatha. Najua ningemwambia dada Agatha angeniambia nimpeleke na yeye kwa yule mbaba.

    Nilikwenda Temeke kwenye maduka makubwa, nikanunua makufuli yangu matano kwa zile pesa, nikazidi kuwa wa kisasa zaidi. Maana mtaani naitwa Amber Rose kutokana na umbo langu lilivyo. Na vijana wengi walishatangaza dau mpaka la pesa nyingi ili wanipate lakini walikosa bahati hiyo, akaipata mmoja tu, Mwafyale ambaye ana duka la vipodozi Temeke Mwisho.

    Sasa niliishi nikitegemea kupata ujumbe wowote kutoka kwa yule mbaba maana mimi sikuwa na namba yake.

    Kweli bwana, saa saba juu ya alama mchana akanipigia simu, nikapokea haraka sana maana nilikuwa na shauku ya kutaka kujua nia yake kwangu…

    “Hujambo?”

    “Sijambo…shikamoo…”

    “Unaamkia mara ngapi kwa siku?”

    “Nilisahau, samahani sana…”

    “Utakula jeuri yako…uko wapi?”

    Nilitamani kwanza kujua maana ya mimi kula jeuri yangu kabla hata ya kumjibu nilipo. Lakini nikahisi ni msemo, nikamjibu swali lake…

    “Mimi niko nyumbani…”

    “Wapi?”

    “Si nilikwambia jamani…huku mitaa ya Wailesi…”

    “Utakula jeuri yako…njoo hapa mitaa ya Temeke Hospitali…mimi nakaa hapa,” alisema kwa sauti ya ukali iliyojaa amri…

    “Kwani huyu mbaba ni nani? Mbona amri amri…mtu simjui hanijui halafu ananiamuru kama mwanaye, kwa nini lakini?” niliwaza moyoni, lakini nikashindwa kumuuliza…

    “Nije kufanya nini sasa..?”

    “We…utakula jeuri yako…unajifanya hujui siyo?”

    “Mimi sijui!”

    “Wewe njoo utajua kwa nini nimekuita.”

    “Mkeo je?”

    “Sina…”

    “Mh! Wewe ulipo hapo huna mke kweli?”

    “Nilimfukuza.”

    “Kwa nini?”CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Haikuhusu…wewe njoo haraka.”

    Nilijikuta nikimpa dakika kumi na tano tu kwamba, nitakuwa nimefika mitaa hiyo.

    Niliingia bafuni kuoga chapuchapu kisha nikavaa. Tena kwa ndani nilivaa kufuli moja mpya. Nje nikapigilia suruali ya skin’taiti nyeusi na blauzi juu nyeupe, miguuni sendoz, nikaondoka zangu bila kumuaga mama wala dada.

    Nilipofika mitaa ya hospitali nilimtwangia simu, haraka sana akapokea…

    “Oya mi nipo hapa hospitali…”

    “Njoo moja kwa moja mpaka kwenye kontena mbele hapa, utanikuta.”

    Nilitembea kunyoosha njia mpaka kwenye kontena, nikamkuta amekaa na wenzake wawili wakinywa bia. Yeye alivaa pensi na fulana…

    “Kaa hapa…wee mletee bia huyu yoyote lakini ya baridi,” alimwambia mhudumu.

    Niseme ukweli, nakunywa pombe kwa hiyo agizo hilo kwangu halikuwa geni na aliyenifundisha kunywa pombe ni jamaa yangu, Mwafyale, mwenyewe nimezoea kumwita Mwana FA.

    “Yoyote?” aliuliza mhudumu. Mhudumu mwenyewe ni jianajike f’lani. Ukimwangalia hivi ana sura ya kufumaniwafumaniwa tu…

    “Kwani huuzi bia?” yule mbaba aliuliza…

    “Sasa si nimekwambia lete yoyote lakini ya baridi…”

    “Eti anti, nikupe bia gani?”

    “Yoyote.”

    Yule mhudumu aliondoka akicheka.

    Baada ya kunywa bia moja, mbaba alinisimamisha na kuniambia…

    “Twende huku la sivyo utakula jeuri yako.”



    Jamani wewe…wapi sasa?”

    “Hutaki?”

    “Siyo kama sitaki…nataka kujua tunakwenda wapi?”

    “Si kule…mimi si mtu mbaya kwako. Ningekuwa mbaya ningekupa pesa yangu? Twende.”

    Maneno yake yalikuwa kama kumsukuma mlevi, kwani nilijikuta miguu ikikubali kwenda yenyewe bila kulazimishwa huku nikiwa najishangaa.

    Tulikwenda kuingia kwenye nyumba moja kubwa sana. Ina vyumba huku na huku, katikati ni korido pana. Ilionekana kila chumba kilijitegemea. Kwa hiyo hakukuwa na chumba na sebule. Ilikuwa maalum kwa ajili ya kupanga tu.

    Basi, yule mbaba aliingia kwenye chumba cha katikati kwa kufungua kufuli na funguo alizokuwa nazo.

    “Karibu, pita,” aliniambia huku akinipitisha mlangoni, akaweka pazia la mlango vizuri kisha akaufunga kwa kitasa cha ndani.

    “Kaa hapo,” naweza kusema aliniamuru kwa sauti yake na vile alivyonikodolea macho. Alitaka nikae kitandani. Nikakaa na yeye akakaa jirani kabisa na mimi na kuanza kusema…

    “Sikia mrembo. Wewe ni mzuri sana. ukiwa na mtu kama mimi utafaidi mengi sana. Mimi najua kutunza si kama wanaume wengine. Je, uko tayari?”

    “Mh!” nilijikuta nikiguna mwenyewe kabla ya jibu maana sikujua kule kulikuwa ni kutongoza au ni nini!

    Nilimwangalia usoni kwa macho ya kumsoma, nikamwonea huruma jinsi asivyojua kumwingia mwanamke, hasa mrembo kama mimi.

    “Sawa,” nilimjibu baada ya moyo wangu kuamua niwe naye. Niliamua kuwa na yeye na Mwanafyale wangu au Mwana FA maana huyu si ameniahidi kunitunza na elfu ishirini kwake si kitu!

    “Haya, lala kitandani sasa,” aliniambia huku akinishika miguu ili nipande kitandani…

    “Haa! Sasa mbona mapema hivi bwana…mimi sitaki kama ni hivyo…”

    “Wewe unataka kula jeuri yako siyo? Si umeshakubali,” aliniambia akinizidi nguvu na kunipandisha kitandani mwili mzima, akanivua nguo zote. Si unajua tena, mwanamke ni mwanamke tu, siku zote hatuna ujanja kwa wababa wenye miguvu kama yule.

    “Mimi sitaki bwana, unataka kunibaka siyo?” nilimuuliza…

    “Wewe nakubaka wakati umekubali mwenyewe kuja mpaka ndani na tumeongea, umekubali. Usiseme maneno hayo siku nyingine,” aliniambia huku yeye akivua nguo zake kiaina na kuwa juu ya kitanda. Hapo wote tulikuwa kama tulivyozaliwa.

    Alinisogelea, akanihemea kwenye sikio la kushoto, mwili ukasisimka sana. Kuumbwa ni kuumbwa tu, ningefanyaje sasa mwenzenu?

    Alipogundua nimesisimkwa na kitendo chake hicho cha kunihemea sikioni, akabadili, akanihemea kwenye shingo, nikasisimka tena zaidi na kutaka kutoa mlio wa mahaba. Akanigeuza, nikalala kifudifudi. Hapo umeshajua awali nililalaje!

    Akaanza kunilamba shingoni huku akitoa mlio wa kuhemka kwa sauti yake nzito. Mwenyewe bila kupenda, nilimtoa kisha nikageuka na kuangalia angani. Nikamkaribisha kwangu maana sikuwa na namna zaidi ya kukatwa kiu.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Heee! Haikupita dakika moja, mbaba akamaliza. Nikamchukia moyoni maana mwenzake ndiyo kwanza. Lakini cha ajabu akaunga. Hee! Dakika moja nyingi akamaliza.

    “Mh,” niligunia moyoni mwenyewe.

    Nilijua ameshachoka sasa! He! Akaanza tena! Dakika mbili mbele nyingi, akamaliza…

    “Ndiyo nini sasa?” nilimuuliza.

    “Kwani we unapata tabu gani?” aliniuliza kwa sauti ya kukatakata huku akianza tena! Nilianza kuhisi na yeye ni miongoni mwa majini au viumbe wa ajabu! Yaani mpaka mara hizo kweli jamani?! Akamaliza… akaanza tena…

    “Aaa…hii sasa sifa bwana,” nilimwambia.

    “Sihitaji sifa yako wewe!” alinijibu, nikabaini haujui msemo huo ndiyo maana alinijibu vile!”

    Hali hiyo aliendelea nayo ndani ya karibu dakika arobaini na tano nikabaini kuwa, alikuwa mgonjwa kwani katika hali ya kawaida, mtu hawezi kuwa vile.

    Alipindukia upande wa pili na kupitiwa na usingizi. Hapohapo alianza kukoroma kwa kishindo. Nilitoka kitandani, nikaenda kukaa kwenye kochi dogo, nikaanza kukikagua chumba. Kilikuwa kikubwa lakini kilionekana kidogo kwa vile kilikuwa na vitu vingi sana! ni chumba sebule, masofa manne, kitanda, kabati la nguo, la vyombo. Redio kubwa, tivii ya maana, yaani kila aina ya samani inayotakiwa kuwepo ndani ya nyumba ilikuwemo.

    Katika hali ya kushtusha, nikaona suruali ya polisi na shati lake, nikatumbua macho…

    “Mamaaa…afande,” nilisema moyoni. Nikaanza kuwa na wasiwasi. Kiasili mimi ni mwoga sana wa polisi. Kwa hiyo kujua niliingia ndani ya chumba cha polisi peke yake, ilitosha kunifanya niugue kiuno palepale.

    Nilivaa haraka sana, nikasimama na kumwamsha ili niondoke bila kutaka senti tano yake…

    “We mbaba…mbaba wewe,” nilimtingisha kwa upole.

    “Ee…ee! Unasemaje?” alishtuka kutoka usingizini. Kabla sijamwambia madhumuni ya kumwamsha, akanishika mkono, akanivutia kitandani, nikaanguka puu! Akaanza tena!





    Nilijitahidi kupiga kelele lakini akaniziba midomo ili nisisikike nje…

    “Lengo lako nini sasa? Watu wasikie waseme nakubaka si ndiyo? Utakula jeuri yako sasa.”



    Wakati anasema maneno hayo, alikuwa akiendelea na zoezi lake na jasho chapachapa maana feni ya chumbani ilikuwa inatoa upepo wenye moto badala ya baridi. Ilibidi nivumilie kwa muda.



    Alipomaliza, alitoka kitandani, akaenda kutungua pensi kwenye msumari na kuingiza mkono mfukoni. Alitoa noti nyekundu kadhaa, akanipa mkononi huku akisema…

    “Usije ukasema mimi ni fisadi. Hizi zitakusaidia kwa siku mbili tatu, sawa?”

    Niliitika sawa haraka sana maana nilitamani kutoka mle chumbani ili nikajue zile noti ni shilingi ngapi!



    “Si naweza kwenda sasa?” nilimuuliza huku nikimuangalia kwa macho ya kulegea. Nilikuwa nimechoka sana. Kiu yote ilikatika!



    “We nenda, angalia usibakwe lakini,” aliniambia utadhani ni usiku.

    Nilipotoka, nilipita kwenye korido haraka sana. Mbele nikikaribia kutoka nje, nikakutana na polisi anaingia, nikashtuka. Nikasema mwenyewe moyoni hii nyumba wanaishi mapolisi nini?



    “We unatoka wapi?” yule polisi aliniuliza kwa sauti yenye amri…

    “Kule kwa yule…”

    “Kule kwa yule nani?”

    “Mi simjui jina.”



    “Unatoka kwa mtu usiyemjua jina? Inawezekana kweli?”

    “Kweli tena.”

    “Chumba gani, twende uoneshe,” aliniambia huku akinishika mkono kwa nguvu. Niliwaza kwamba, huenda nikimtambulisha yule mbaba, inaweza kuwa soo kwake maana sikujua huyu ni nani kwake…



    “Mi sitaki bwana,” nilisema kwa sauti ya chini…

    “Wewe utakuwa unatoka kuiba humu ndani,” alianza dalili za kunibambika kesi sasa…

    “Hapana! Natoka kwa mtu wa humuhumu ndani, kweli tena.”



    Alizidi kuning’ang’ania, akaniinamia ili kuniambia kitu kwa siri…

    “Sikiliza…mimi nakutaka, nikupe shilingi ngapi?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mimi sitaki,” nilisema kwa sauti iliyolegea, hasa baada ya kusikia nipewe shilingi ngapi. Nilihisi huenda ni mipango ya wote wawili, huyu na yule mbaba niliyetoka chumbani kwake…



    “Hakuna atakayejua, nitakuingiza kwa siri na kukutoa kwa siri,” alisisitiza kwa sauti iliyotua juu ya sikio langu la kushoto. Nilijikuta miguu ikitembea yenyewe mpaka chumbani kwake. Akafunga mlango.



    Tulisimama tukikodoleana macho. Aliniangalia kwa macho yenye uchu mkubwa wa mapenzi maana alikuwa akiyatembeza macho hayo kuanzia miguuni hadi kichwani huku akiwa kama anataka kusinzia…



    “Binti umeumbwa vizuri sana. Umezaliwa na nani?”

    “Si na mama,” nilimjibu kama niliyeshangazwa na swali lake…

    “Hakuwa na baba?”



    “Ah! Mi naondoka,” nilimwambia sauti ya kukasirika kwa chini. Lakini lengo langu halikuwa kuondoka bali ni kumsikia atanipa shilingi ngapi…

    “Sasa nikupe ngapi? Si useme ili na mimi nijue moja tu,” aliniuliza.

    “Elfu hamsini nataka,” nilimjibu kama vile jibu hilo nilitoka nalo nyumbani.



    Aliingiza mkono mfukoni na kutoa noti nyingi, akahesabu hamsini tu na kunipatia huku akinishika mkono na kunikalisha kitandani. Hapo sasa nilikuwa najua nina zaidi ya hamsini, maana zile za yule mbaba nilikuwa sijazihesabu.



    Nilijichojoa nguo mwenyewe huku nikimwangalia kwa macho ya kulegea kimahaba. Afadhali ya huyu ana sura ya kuvutia kuliko yule mbaba, nilijisemea mwenyewe moyoni.

    Nilipomaliza nguo ya mwisho akanisogelea karibu kabisa, akajishika kiuno. Nikajua lengo lake ni nimvue nguo, nikafanya hivyo. Nilimchojoa moja baada ya nyingine mpaka akawa kama alivyozaliwa, wote tukawa sawa, nikapanda mwenyewe kitandani.



    Na yeye alifuatia, akaja huku akihemuka tayari! Alinishikashika kama mara tatu tu kisha akaanzisha mechi ya nguvu. Nilikuwa naogopa asije kuwa kama yule wa dakika chache kamaliza, dakika chache kamaliza.



    Huyu sasa alianzisha shughuli mpaka ikawa kero. Wakati anaanza nilisikia mtangazaji wa kwenye redio ya jirani akianza kusoma taarifa ya habari ya saa saba mchana. Akamaliza, yakaja matangazo ya vifo, akamaliza, yakafuatia matangazo madogomadogo, yeye bado tu!



    Ilifika mahali nikahisi anataka kunikomoa kwa ajili ya ile fifte yake aliyonipa. Na vile sikuwa na kiu ya kivile, ni tamaa ya pesa tu, nikasema nimrudishie pesa yake lakini moyoni nikajiona mjinga, yaani mechi ianze, ifike katikati halafu nimrudishie pesa zake, haiwezekani, nikakomaa…



    “Bwana mimi nachelewa sasa,” nilijaribu kutumia ujanja huo…

    “Sasa hivi tu,” alisema haraka.



    Tulikuwa tunatokwa jasho mpaka basi. Godoro lote lilijaa jasho. Alikuwa akiendelea na mechi huku akijifuta jasho mwenyewe. Nilianza kuhisi kifo kinanijia, maana sasa niliishiwa nguvu na kushindwa kufanya lolote, akanitahadharisha…

    “Uvivu wako unaweza kusababisha tukaondoka na giza,” alisema, moyoni nikamkatalia. Afike na giza amekuwa nani yeye..!



    “Nimechoka bwana,” nilisema huku nikianza kujitahidi tena ili nione kama atamaliza…

    “Ti! Ti! Ti! Ti! Ti! Tiii! Hivi sasa ni saa nane kamili mchana,” mtangazaji wa kwenye ile redio ya nyumba ya jirani alisema…



    Nilimsukuma yule mwanaume, akaangukia pembeni…

    “Haaa! Utadhani upo kazini bwana,” nilimwambia.



    Alinishika kwa nguvu na kuniambia nimpe dakika tano tu atakuwa amemaliza. Kwa vile nilikuwa chumbani mwake, nikajua nikisema nikatae angenibaka hivyo ningeumia. Nikakubaliana naye, nikamwambia nampa dakika tano tu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Akaanza bwana, lakini pia safari hii akatutumuka mpaka nikasikia redio ikisema ni saa nane na nusu na kipindi cha muziki wa kizazi kipya kikaanza. Nikajua ni yaleyale wakati nataka kumsukuma tena ili niondoke na kuondoka ndani ya chumba hicho, ndiyo akafanikiwa kumaliza.



    “Da! Sikutaki tena,” nilimwambia kwa sauti yangu iliyojaa hasira.

    Nilitoka na kukaa kwenye kiti kwanza. Nikamwangalia kwa macho yasiyoamini. Nilimtafakari yeye lakini pia nikamtafakari Mungu na uumbaji wake. Nilimshangaa yule wa kwanza kutumia dakika chachechache na kumaliza kila wakati halafu huyu kutumia lisaa lizima na kumaliza kwa tabu.



    Sasa kwenye kutoka ikawa ishu nyingine kwani sikujua nje alisimama nani! Nilimwomba yule mwanaume anisaidie kutoka kwenda kuangalia akanikatalia…

    “We toka tuuu! Kwani unamwogopa nani?”



    “Namwogopa yule wa kwanza jamani, toka…”

    “We toka, hakikisha unakuwa makini tu,” aliniambia. Nilimshangaa sana. Nilipata picha kwamba, ndani ya nyumba ile waliishi maisha ya kutoheshimiana ndiyo maana yule mwanaume alijiaminisha vile.



    Nilifungua mlango huku najitengeneza vizuri nguo na nywele maana nywele zilikuwa timtimu kwa kugalagazwa kitandani.



    Nilitoka haraka sana, ile nataka kufika kwenye mlango wa nje, nikashikwa mkono na mtu aliyetoka kwenye chumba kilichopakana na cha yule mwanaume wa pili. Nilishtuka sana, mimi nilijua yule mbaba mwenyewe wa kwanza…

    “Ingia…ingia tuongee tafadhali,” alisema…



    “Sitaki,” nilimjibu lakini alikuwa amenikamata kwelikweli. Akanizidi nguvu, nikaingia chumbani kwake…

    “Usipige kelele, mimi si mtu mbaya,” aliniambia kwa sauti ya chini aliyoielekeza kwenye masikio yangu…



    “Unasemaje?” nilimuuliza kwa hasira.

    Akaniinamia mpaka sikioni tena maana alikuwa mrefu sana kwangu, akaniambia…

    “Unajua wakati uko kwenye chumba cha afande Kipara niliumia sana niliposikia mlio wa kitanda, nikaamua kusimama mlangoni ili ukitoka na mimi nikudake kwa siri, lakini ungetoka na afande Kipara mwenyewe nisingekushika.”



    Bado nilikataa. Nilikuwa nimechoka sana kwa wakati huo nilichokuwa nahitaji ni kurudi nyumbani kupumzika.



    “Mimi sitaki bwana…”

    “Aaa binti…vibaya hivyo! Sasa unadhani mimi nitajipoza vipi kama wewe unanigomea?”

    “Mimi sijui,” nilimwambia huku nikijitoa kwenye mikono yake kwa nguvu.



    Moyoni niliamini mawili. Moja, wanaume wote kwenye ile nyumba walikuwa na mpango mmoja, kunichangia kwa mtindo ule. Kwa hiyo kila mmoja alijua nimeingia, sasa niko kwenye mechi kitandani na sasa natoka. Au, wakaaji wa mle ndani walizoea kuchukuliana mademu kwa kuzungukana wakitumia pesa zao…

    “Simalizi hata dakika kumi,” alisema yule mwanaume wa tatu.



    Moyoni nilimwonea huruma. Masikini, mwanaume wa watu, mzurizuri halafu anaongea kwa kwa upole na anachotaka kwangu ni uamuzi wangu ambao haupingwi na mtu, kwa kweli niliamua kukubaliana naye tena kwa bure…



    “Lakini isifike dakika kumi kweli,” nilimwambia kwa sauti ya kumuonya mapema…

    “Sifiki…da! Hata siamini,” alisema…

    “Huamini nini sasa?”



    “Kama kweli umenikubalia baby, maana ulivyokuwa ukilalamika chumbani kwa afande Kipara nilijua huyo mtoto ni mzuri sana, sasa kukuona laivu hapa hivi nimekukubali, wewe ni mzuri bwana…umeumbwa ukaumbika,” eti alianza kuniita baby palepale na kuanza kunipamba.



    Niliachia tabasamu la kujilazimisha maana mwili ulikuwa hautaki kabisa kuingia kwenye mechi kwa siku hiyo kutokama na mchakachaka niliokutana nao ambao sijawahi hata kuusikia kwa wenzangu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Panda basi kitandani baby,” aliniambia kwa upole sana.

    Kwa unyonge nilianza kuchojoa huku nikisema…



    “Una bahati sana wewe…nimekuonea huruma kwa sababu ya ulivyokuwa ukiomba kama unalia. Halafu shukuru kwetu tumelelewa kutokuwa wachoyo,” nilimwambia sasa nikipanda kitandani baada ya kuchojoa zote.



    Alikuja kitandani kama anataka kupitiliza afike dirishani. Lakini ghafla akatoka. Kumbe alisahau kufunga mlango…

    “Da! Afande Kipara anapenda kuingia kwangu bila kupiga hodi, angetukuta katikati ya mchezo,” alisema akiwa anarudi kitandani.



    Kwa mbali nilijikuta nasisimka kama binadamu. Kama mwanamke, tena mwanamke mwenyewe msichana, kijana kama mimi, damu bado changa! Lakini moyoni nilijiambia…

    “Ila mimi ni kiboko…nyumba moja, wanaume watatu tena afadhali ingekuwa siku mbalimbali, leoleo?! Mh!”



    Wakati nawaza hivyo, yule mwanaume alinitegesha, nikakaa mkao wa kutengwa…

    “Ngo… ngo…afande Mwira,” sauti iliita nje baada ya kugonga mlango…

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog