Search This Blog

Monday, October 24, 2022

PENZI LA MKE WA BABA - 1

 





    IMEANDIKWA NA : FRANK DAVID



    *********************************************************************************



    Chombezo : Penzi La Mke Wa Baba

    Sehemu Ya Kwanza (1)

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Naitwa Meshack, mtoto wa pekee katika familia ya mzee kelvin, sikubahatika

    kulelewa na wazazi wangu wote kwa sababu mama yangu mzazi alifariki kipindi tu

    anajifungua mimba yangu, hivyo nikalelewa na ndugu na wadada wa kazi ambao baba

    aliwaleta nyumbani. Nilibahatika kukua salama mpaka nikaanza kujielewa, sasa

    wakati nimekua kijana mzima, baba aliniita na kuniambia kwamba, “mwanangu tangu

    mama yako afariki sijawai kabisa kuishi na mwanamke ndani, na niliogopa maana

    nilikuwa nakuona wewe bado mdogo, hivyo nikahisi huenda mama yako wa kambo

    angeweza kukutesa, na nilitamani sana ukisha kua mkubwa hivi.



    ndipo nitafute mwanamke ili nimuoe na tuishi nae hapa nyumbani" sikuwa na

    kipingamizi chochote, maana tayari baba alikuwa kaisha amua, kweli baba alioa na

    tukaanza kuishi vizuri tu pale nyumbani, baada ya kama miaka miwili mimi nikiwa na

    kazi yangu, siku moja nilikuja nyumbani nimechoka sana hivyo nikaingia ndani

    kwangu, nikawasha taa ili nijiande kwenda kuoga niweze kula kisha nipumzike, kusudi

    kesho niendelee na majukumu mengine. Niliingia bafuni nikaoga, wakati narudi

    chumbani kwangu nilishangaa sana kuona taa imezimwa, nilihisi labda umeme

    umekatika hivyo nikaanza kuisogelea swichi kusudi niwashe tena.



    Mara ghafla nikiwa gizani, nilishangaa kuona nakumbatiwa mgongoni na mikono lainii,

    hisia zangu zilikuwa za haraka na za karibu kwelikweli, ila nikajikaza niweze kumjua ni

    mwanamke gani ananikumbatia bila ruhusa yangu, wakati namuuliza “wewe ni nani"

    alisema, “ni mimi Fey" niliogopa sana pale kisha nikasema, “mama hata kama wewe

    hujanizaa mimi, lakini kumbuka wewe ni mke wa baba, sasa tabia gani hizi tena

    unaleta" mama akasema, “Meshack kama unavyojua umri wa baba yako ni mkubwa

    na silizishwi kabisa na penzi lake, naomba unisaidie Meshack baba yako hawezi

    kugundua" niliogopa nikiwa natetemeka hadi kwenye meno, lakini mama alikuwa

    mjanja sana alizishika sehemu zangu za hatari, kisha akasogeza kinywa chake

    kwangu, ndipo tukaanza kupeana mabusu, mama alikuwa anaweza sana kucheza

    mechi, maana alikuwa na ushirikiano sana, mimi pia nilionyesha ufundi wangu wa

    tofauti kwenye mwili wake wakati wa mechi, wakati tumenogewa wote tukiwa kitandani

    mama akasema, “Meshack mpenzi wangu, naomba hii iwe dozi yangu ya kila siku,

    nakupenda sana Meshack," Sikumjibu chochote mama.



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mimi pamoja na mke wa baba, tuliendelea kuzini mara kwa mara, ikafika hatua mpaka

    mama akanogewa sana na mimi, akaanza kupunguza heshima kwa baba yangu mzazi.

    Siku moja baba alitoka kazini akapitia sehemu kunywa pombe, maana baba alikuwa

    mnywaji sana. siku hiyo mama akaja chumbani kwangu akisema kwamba, “Meshacki

    bebi wangu, baba yako kanipigia simu amesema amepitia baani, hivyo naomba tuwe

    wote chumbani kwako maana naogopa kukaa mwenyewe" sikuwa na kinyongo

    nikasema, “sawa mama hamna shida" kipindi tupo wote kwenye chumba, mama

    alitoka kwenye kiti, akaja kitandani kwangu, kisha akaanza kulegeza macho yake,

    kiukweli niliogopa, ndipo nikamwambia kwamba, “mama, baba anaweza kuja sahivi

    akatufumania humu, itakuwa ugomvi mkubwa mama, tafadhali naomba usifanye

    unacho taka kufanya," mama akasema, “hapana bebi tuchezejapo mzunguko mmoja

    alafu nitaondoka" sema kweli nafsi yangu ilikuwa inajuta sana kuzini na mke wa baba

    yangu, lakini tayari mama alikuwa ameisha ujua udhaifu wangu na kila alipo kuwa

    akinishika tu, najikuta tayari nimeisha ingia majaribuni.



    sikuwa najinsi ndipo nikaanza kumuandaa ili nimuweke sawa kulifanya tendo, wakati

    tunakalibia kumalizia, na mda huo huo baba alikuwa anawasili, mlango wangu

    uligongwa, maana baba alitaka kumuulizia mama yuko wapi, nilishtuka ndipo

    nikamuingiza mama chini ya uvungu wa kitanda, alafu nikafungua mlango, baba

    akaulizia, “mama yako yuko wapi" nilisema sijui, ndipo baba akatoka nje, nilimtoa

    mama uvunguni haraka, kisha akajifanya alikuwa dukani, ila niliumia sana maana siku

    hiyo, baba alikuwa amelewa hivyo alikuwa na hisia pia na mke wake hivyo na yeye pia

    akatembea na mke baada ya mimi kufanya hicho kitendo. Niliumia maana mimi na

    baba tulimfanya mama siku moja, bila baba kugundua.



    Siku ziliendelea nikiwa namfanya mke wa baba kama mke wangu. mama akaanza

    kunifulia na kuninyooshea nguo pamoja na kufanya usafi ndani kwangu, mpaka baba

    akamsifia kuwa yeye ni mke bora, maana ananijari ata mimi mtoto wa mme wake.

    Kuna siku moja baba aliniita na kusema kwamba, “Mwanagu mke wangu amebadilika

    sana ndani, ananidanganya kuwa yuko hedhi kumbe sio, sijui amepata bwana

    mwingine" niliguna kidogo kwa uoga sana.





    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Niliendelea kufanya mapenzi na mke wa baba, na kibaya zaidi mama akanogewa sana

    mpaka mama akaanza kumdanganya baba siku zingine kuwa yupo katika siku zake,

    kumbe ni uongo tu, mimi sikujua kama nafanya dhambi kuzini na mama, na nikapitiwa

    pia, maana kuna mda mwingine nikaanza kumfata mama chumbani kwa baba kisha

    tunajikuta tu tulisha fanya tendo bila uoga tena kwenye shuka ambalo baba mzazi

    analalia. Sikujua kama nafanya kosa sana maana tulijua kabisa kuwa mida ile baba

    hawezi kurudi nyumbani na kutufumania. Siku moja nikiwa kazini, baba alichukuwa

    simu yake na kunipigia mimi, ila akaambiwa kuwa, “hauna salio la kutosha, ongeza

    salio na ujaribu kupiga tena" ndipo baba akamuomba mama simu yake ili aongee na

    mimi.



    sasa baba alipo andika zile namba kipindi anapiga tu, akashangaajina langu

    limejitokeza pale kwamba “baby" baba akauliza, “mke wangu mpendwa, mbona sielewi,

    yaani mimi umenisave kwenye simu yako kwajina langu, lakini mtoto wangu

    umemsave Baby, nini kinaendelea kati yenu wawili" mama kwa uoga akiwa kama

    anatetemeka akamjibu baba kwamba, “mme wangu we nae punguza wivu mda

    mwingine, huyo sini mtoto wetu, hivyo nimesevu (baby), maana baby ni kwa lugha ya

    kiingereza ambavyo kwa kiswahili ni mtoto, na huyo ndiyo mtoto wetu tu lazima tumpe

    upendo, alafu mme wangu hivi huniamini, yaani atakama ni uzinzi kweli naweza

    kutembea na mtoto wetu, huyo ni kama mtoto wangu pia" baba akasema “nisamee

    mke wangu, maana watu tumejisahau, tukisikia baby tunazani ni mtu na mpenzi wake"

    nilimgombeza sana mama alipo nipa hiyo taarifa na nikamwambia afute ilojina haraka

    sana, maana nilihisi baba atanihisi vibaya.



    Siku moja nikiwa bafuni naoga nilishangaa kusikia mlango wa bafu unagongwa, nilipo

    fungua kidogo na kuchungulia, kumbe alikuwa ni mama akiwa amevaa taulo akasema,

    “baby fungua tuoge wote" nikasema, “hapana mama unakosea tunaweza kukutwa

    humu, utajificha wapi sasa humu bafuni" mama akasema “nimefunga geti hawezi

    kuingia mtu". Tulianza kuoga tukiwa na furaha, nilisahau kabisa kuwa simtendei haki

    baba yangu, na baba aliowa mke mwenye umri wa lika langu hivyo nikajiachia sana na

    mama, siku moja nilishangaa kumuona mama anatapika sana nje.





    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kumbe mke wa baba yangu, alikuwa anatapika kwa sababu kwa kipindi nilicho kuwa

    nikifanya nae mapenzi bila kinga yaani (condom) nilikuwa nimempa ujauzito, Maana

    mama alinifata na kusema kwamba, “Meshack mpenzi wangu, nina mimba yako"

    niliogopa sana kusikia vile, nikamwambia, “hapana mimba sio yangu mama, maana

    wewe unalala na baba yangu usiku mzima, yaani tena kila siku, na sisi tunafanya

    mapenzi kwa kujifichaficha, sasa itakuwaje hiyo mimba iwe yangu" mama akasema,

    “bebi mimi ndiyo mwanamke na ndiyo naweza kutambua mimba niliyo nayo niya nani"

    nilisema, “dahh sasa kwanini umeamua kupata mimba bila kunishirikisha, hivi baba

    akijua, hizo laana nazipeleka wapi lakini" mama alianza kulia huku akisema, “mimi

    naona bora tumwambie tu, ili atupe baraka zake kusudi wewe unioe, na niachane

    naye" nilisikitika sana kusikia vile, niliwaza sana kwamba, “baba yangu ametumia

    pesa zake nyingi kunisomesha, leo hii na elimu yangu yote nashawishiwa na

    mwanamke kiwepesi alafu nakubali.



    alafu kibaya zaidi mke wa baba" nikamwambia mama kwamba, “usije ukathubutu

    kumwambia baba kwamba hiyo mimba ni yangu anaweza kuniua, tuendelee kujificha

    tu maana hii itakuwa aibu sana, sijui nitaificha wapi sura yangu" mama akasema

    “sawa". Sasa baba alishangaa sana mke wake anaumwa kila mda, ndipo akaamua

    kumpeleka hospitali, alipo gundua ni mjamzito, baba alifurahi sana maana alijua

    anapata mtoto wa pili, ndipo baba akaniita na kuniambia, “mwanangu mama yako

    sahivi ana mimba, hivyo ni mda wako sasa wa kuleta mwanamke na wewe, maana

    umeisha kuwa kijana mkubwa sana, na kwa kipindi mke wako atakapo kaa hapa basi

    atamsaidia sana mke wangu.



    maana anaumwa sababu ya ujauzito wake" sikumjibu baba maana ata mchumba nilie

    kuwa nae nilimuacha kwa sababu ya kunogewa na mapenzi ya mke wa baba yangu.

    Baba akasema, “mbona kimya mwanangu" nikamwambia hapana baba nitatafuta kisha

    nitamleta tu. Mama alipo pata taarifa kuwa nataka kuleta mwanamke alinifata huku

    akiwa analia akasema kwamba, “yaani bebi umenipa mimba alafu unataka kuoa,

    kwanini uko hivyo" nikamwambia, “lakini wewe ni mama yangu siwezi kukuoa, maana

    zitakuwa aibu, we acha nioe lakini tutakuwa tunakutana kimyakimya hakuna atakae

    jua"



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog