Search This Blog

Monday, October 24, 2022

CHACHANDU ZA BEKA WA TANGA - 5

 





    Chombezo : Chachandu Za Beka Wa Tanga

    Sehemu Ya Tano (5)



    Mpenzi msomaji , wiki iliyopita niliishia pale Beka na Rhoda waliposhikana viunoni kama maharusi na kuingia sebuleni kisha kujibwaga kwenye sofa tii . Je , kilifuatia nini ? Songa mbele na chombezo hili lisiloisha utamu CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Wawili hao walifikia kujibwaga kwenye sofa tii ambapo Beka alimwambia Rhoda kwamba hakuamini kama alikuwa yeye . “ Kwa nini unasema huamini , yaani mwenzio usiku sijalala kwa kukuwaza nikasema vyovyote itakavyokuwa lazima asubuhi hii nije nikuone, ” Rhoda alimwambia Beka . “ Yaani mpenzi wangu hisia zetu zinafanana, hivi nilikuwa najiandaa kuja kwenu , ” Beka alimwambia Rhoda, wakacheka . Kwa kuwa walikuwa peke yao, Beka alikivamia kifua kibichi cha Rhoda na kuanza kuzichezea embe bolibo zake na maeneo mengine , mtoto akawa anayazungusha tu macho yake mazuri . Rhoda naye hakuwa nyuma , alianza kumchezea Beka kila sehemu aliyoweza kuifikia, kumpagawisha kabisa akavamia makazi ya ‘ mkuu wake wa kaya ’ . Wawili hao walipopagawishana vya kutosha walikokotana na kuzana ‘rumu ’ , wakaendelea na yao. Wakati wakiwa wamezama dimbwini, mzee Kibandiko alirejea na kuingia ndani kwani Beka hakufunga mlango kuanzia wa uani , sebuleni hadi chumbani kwake . Mzee huyo alipoona sendoz za kike na kitambaa kikiwa juu ya sofa , akajua mwanaye Beka alikuwa na ‘ mutu’ ndani, akatabasamu na kujisemea moyoni : “ Yes, hapo ndipo unaponipa raha jembe langu. ” Ili kujiridhirisha kama kweli alikuwa kidume cha mbegu na aliweza kumliza ‘ mutu’ , akanyata na kwenda kujibanza kwenye mlango wa chumba cha pili kutoka alichokuwemo Rhoda na Beka wakifanyiana mambo ya raha. Mzee huyo asiye na maadili hata kidogo ambaye naweza kusema alikuwa mshenzi wa tabia , akiwa pale mlangoni akatega masikio yake kusikiliza kila kilichojiri mle chumbani kwa Beka . “ Beka , sikutegemea kama unaweza kuwa mtundu namna hii , yaani unajua kunishika vizuri na unapozibugia chuchulee zangu ndiyo napagawa kabisa , ” Rhoda alimwambia Beka . “ Nafurahi kusikia hivyo mpenzi wangu, ila na wewe ni mtundu sana , unaponishika na mikono yako laini , nadata kinoma, ” Beka naye alimwambia Rhoda , wakacheka . Wakati wawili hao wanapiga stori za malovee , mzee Kibandiko aliyesahau kama alitakiwa kwenda kijijini Maramba kumuona dada yake aliyekuwa anaumwa , akawa anaachia tabasamu. CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Kule ndani Beka alipogundua Rhoda aliyekuwa kamjeruhi siku mbili zilizopita kaiva kama embe dodo lililosubiri kuliwa, si akampembua viwalo vyote mtoto wa kike . Baada ya kufanya hivyo , akapembua vyake ndipo mzee mzima aliyeanza kuwa mzoefu wa yale mambo yetu kwa mbali akamuweka ‘mutu ’ kati . Kwa kuwa barabara ya kuelekea kwenye mzinga uliojaa asali ilikuwa imesafishwa, akaamua kusonga mbele ambapo alipata kikwazo kidogo lakini hakurudi nyuma . Kijana wa kiume ambaye damu ilimwenda mbio, alisonga mbele bila kujali kilio cha Rhoda aliyekuwa ameamua kumpa tunda lake alile atakavyo . Kufuatia kilio cha Rhoda , mzee Kibandiko aliinua mikono juu na kushangilia kimyakimya huku moyoni akisema; “ Safi sana dogo , sasa unanipa raha yaani umefikia hatua ya kumliza ‘ mutu !’ Mzee huyo ambaye siku hiyo alikuwa na furaha ya kupitiliza, alipohakikisha mwanaye ni kidume cha mbegu na alifuata nyao zake , akatoka katika chumba alichojibanza akatokea mlango wa jikoni na kwenda mtaa wa pili . “ Kati ya siku ambazo Beka kanipa raha, leo ni ya kwanza , mtoto wa kiume anatakiwa kuwashughulikia mabinti ipasavyo kwani wapo duniani kwa ajili ya wanaume , ” mzee huyo alijisemea moyoni bila kujua madhara ambayo yangetokea baadaye . “ Vipi mzee Kibandiko leo hujaenda kazini maana ni nadra sana kuwa uswahilini muda kama huu?” mzee Abdallah Kijiko aliyekuwa anafanya kazi ya udobi alimwuliza mzee Kibandiko. “ Nina dharura kidogo , nimechomoka mara moja nitarudi baadaye , ” mzee Kibandiko aliyekuwa na furaha alimwambia mzee Kijiko. Baada ya wazee hao kuzungumza mawili matatu, mzee Kijiko akamwambia mzee Kibandiko kwamba alikumbuka jambo flani linalomhusu Beka . “ Jambo gani mzee mwenzangu?” mzee Kibandiko alimwuliza . Mzee Kijiko alimweleza kwamba awe makini na Beka kwa sababu alihisi alianza masuala ya wasichana kwani alikwishamuona mara kadhaa akiwa na binti wa mzee Phillip . “ Sasa kuna ubaya gani kama anapiga naye stori?” mzee Kibandiko alimwuliza . “ Ingekuwa ni stori za kawaida wala nisingekuambia lakini nilivyowaona kuna zaidi ya kupiga stori,” mzee Kijiko alimwambia. “ Nikuulize mzee mwenzangu ?” CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ mzee Kibandiko alimwambia mzee Kijiko . “ Niulize , ” mzee Kijiko alijibu . Baada ya kuambiwa hivyo , mzee Kibandiko alimwuliza yule mzee mwenzake kwamba enzi za ujana wake hakuwa na wapenzi !“ Nilikuwa nao tena wengi na mmoja wao ni mke wangu mama Hailati , ” mzee Kijiko akamwambia . “ Basi kama ulikuwa nao wengi , sioni tatizo Beka kuwa na marafiki wa kike, huo ndiyo urijali wenyewe , ” mzee Kibandiko alimwambia . Alipoambiwa hivyo , mzee Kijiko alimwambia akumbuke enzi zao magonjwa hayakuwa mengi na hata ilipotokea kijana kampa mimba binti sheria haikuwa kali kama siku hizi . “ Magonjwa ndiyo nini bwana! Muache Beka awalambe viumbe afurahie ujana wake , akiwapa mimba sitashindwa kuwalea wajukuu zangu , kuhusu sheria sioni tatizo kwa sababu zinatungwa na watu na kuvunjwa na watu haohao , ” Kibandiko alitamba Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mzee Kibandiko alipomzodoa mzee Kijiko kwamba hakuona tatizo Beka kuwa na mademu, hata ikitokea kawapa mimba alikuwa tayari kuwalea wajukuu zake. Je, kilifuatia nini? Songa mbele... “Haya ndugu yangu, nikiwa kama mzazi nilitaka kukuambia kuhusu suala hilo maana ni jukumu letu kuwalea vijana wetu katika maadili mema,” mzee Kijiko alimwambia baba Beka. Kwa kuwa maneno ya yule mzee yalimchefua mzee Kibandiko aliyeona kama alikuwa akimuona wivu Beka aliyeanza kuwakwangua viumbe, akaagiza soda ya baridi sana akaanza kunywa.Akiwa amekaa kwenye benchi pale dukani akinywa soda huku mzee Kijiko akiendelea kupiga pasi nguo za wateja, kama mita 40 hivi alimuona Beka akiwa kaongozana na msichana. Kwa kuwa mzee huyo hakutulia na alikuwa anapenda sana mwanaye awe bize na mambo ya mademu, alitabasamu kisha alijisemea moyoni:“Yap! Leo nitamuona mkwe wangu, yaani Beka kadiri siku zinavyokwenda mbele unanipa raha kupita kiasi.” Kama ilivyokuwa kwa mzee Kibandiko, mzee Kijiko naye alimuona Beka akija na msichana ndipo alimwambia mzee Kibandiko: “Unamuona mwanao anakuja na kibinti, jambo la muhimu mzee mwenzangu ni CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ kumkanya kwani usipoziba hufa utajenga ukuta.” Kauli ya mzee Kijiko ilimkera sana mzee Kibandiko ambaye alimjia juu kwamba aache kumfuatamfuata mwanaye vinginevyo angemuona mbaya.“Mtoto anakula ujana wewe unasema sijui nisipoziba hufa nitajenga ukuta! Acha kuniletea nahau zako zilizopitwa na wakati,” mzee Kibandiko alimwambia mzee Kijiko. Kwa hasira alimalizia soda yake na kuinuka, wakati huo Beka na Rhoda ambao hawakumuona mzee huyo walikaribia kufika pale dukani.Hata hivyo, Beka kama machale yalimcheza alikata njia ya kichochoro na Rhoda wake, huku nyuma mzee Kibandiko aliyepania kumfahamu msichana aliyekuwa na kijana wake akaondoka pale dukani bila hata kumuaga mzee Kijiko aliyemtibua. “Sijapata kuona mzee aliyekosa hekima kama mzee Kibandiko, mimi namwambia jambo zuri kuhusu mwanaye ananijia juu, lakini ipo siku ataukumbuka ushauri wangu,” mzee Kijiko alijisemea moyoni. Mzee Kibandiko aliyekuwa anazielewa vizuri njia za vichochoro, alikatiza kichochoro kimoja ambacho aliamini lazima mbele wangekutana na Beka na Rhoda. Hata hivyo, alishangaa kutomuona Beka wala Rhoda, akaishia kutabasamu kwani hakuelewa walikuwa wamepita wapi.Mzee huyo ambaye akili zake zilimtosha mwenyewe aliamua kurudi nyumbani kupitia mtaa wa pili, lakini kabla hajafika alikutana na mama Havijawa aliyependa kutaniana naye. “Wewe mzee kijana mbona upo mitaani muda huu, hujaenda kumtafutia mkeo ugali?” mama Havijawa ambaye siyo masihara aliumbika haswa, alimwuliza mzee Kibandiko. “Yaani nimeenda kazini nikajikuta nakuwaza wewe nikaamua kutoroka japo nije nikuone, hivi ndiyo nilikuwa nakuja kwako,” mzee huyo aliyekuwa akimtamani sana mama huyo, alimwambia. “Kweli baba Beka hujatulia kabisa, hivi unanifanya mimi mtoto mdogo, wewe uache kazi na kuja kwangu inahusu?” mama huyo alimwambia. “Huo ndiyo ukweli, sema binadamu tumenyimwa karama ya kujua watu wengine wanawaza nini, lakini tungekuwa nayo ungejua jinsi nilivyokupa nafasi katika moyo wangu,” mzee Kibandiko alimwaga sera. Kama unavyojua tabia ya baadhi ya akina mama wa Tanga, maneno ya mzee CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Kibandiko yalimwingia barabara mama Havijawa, akamuuliza mzee Kibandiko alihitaji nini kwake. “Jamani wewe mwanamke, utafikiri ni kibinti cha miaka 10! Kwa kuwa unataka nikwambie bila kupindapinda ngoja nikuambie, naitaka embe yako tamu,” mzee Kibandiko alimwambia. Mama huyo aliishia kucheka na kuzifanya dimponsi zake zionekane vizuri na kumwuliza mtani wake mzee Kibandiko hiyo embe ataenda kuilia wapi? Kwa kuwa muda huo alikuwa na fedha za kutosha mfukoni, walikubaliana waende kwenye gesti moja iliyokuwa eneo la Ngamiani.Mama huyo ambaye tangu enzi za usichana wake hakuwahi kuolewa, alimwambia mzee Kibandiko atangulie na kumsisitiza ajiandae kula embe kwa raha zake. “Kwa taarifa yako siyo raha zangu na zako pia, mimi naenda kukusubiri mtoto mashallah,” mzee huyo mpenda mademu alimwambia mama Havijawa, wakacheka. **** Beka aliyekuwa na furaha alimsindikiza Rhoda hadi kwao na kumkuta Rey kabaki peke yake baada ya wazazi wao kwenda kazini.Rey alipomuona Beka, mwili ulimsisimka baada ya kukumbuka mambo waliyofanyiana siku ile usiku. , akajisemea moyoni: “Leo dada Rhoda akiniambia nimsindikize tena, lazima Beka anishike embe zangu kama juzi.” Baada ya salamu, Beka alimuaga Rhoda na kumwambia kama nyumbani angekuwepo mama yake asingeondoka haraka lakini kwa kuwa hakuwepo aliomba amruhusu. Rhoda ambaye tayari alipewa haki yake hakuwa na kipingamizi, alikubali na kumwambia alisahau kuchukua kitabu cha sayansi hivyo aongozane na Rey akampatie.Rhoda aliposema hivyo, Rey kidogo aliruke juu kwa furaha lakini akajizuia ndipo Beka aliongozana na msichana huyo aliyekuwa na uzuri wa kipekee na kifua chake kikiwa kimebeba vichuchulee vya kuchoma. Siku hiyo Beka alikuwa na furaha iliyopitiliza kwani alijua akifika nyumbani, asingemuacha Rey hata kama kuna mtu angemuahidi kumpatia kiasi gani cha fedha. “Ukisikia zali la mentali limemdondokea mtu ndiyo hili, leo simuachi mtoto wa mtu, Rhoda kala bakora zake mbili za fasta na Rey atakula zake,” Beka alijisemea moyoni. CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Wakati Beka na Rey wanaelekea kwa akina Beka, walipita njia ya kutokea penye duka ambapo pembeni mzee Kijiko alikuwa akifanya kazi yake ya udobi.Beka na Rey walimuamkia mzee huyo wakaendelea na safari, mzee Kijiko aliishia kusikitika kufuatia tabia ya kujihusisha na vibinti aliyoianzisha Beka. “Huyu mtoto anakokwenda ni zaidi ya majanga, mara ya kwanza alikuwa na msichana mwingine na saa hizi ana mwingine?” mzee huyo alisikitika.Beka na Rey walipofika nyumbani, walifikia kukaa kwenye sofa ambapo kijana huyo ambaye kupevuka kwake kulimsumbua si kidogo, akakivamia kifua cha Rey. Alizishika embe bolibo zake, akazipekecha kama walivyokuwa wakifanya wazee wa kale walipokuwa wakipekecha vijiti walipotaka kuwasha moto.Beka ambaye ‘atomatikali’ alijikuta akiwa mahiri wa malovee, hakuishia hapo alizibugia embe hizo, akazivyonza na kuzing’ata kimalovee, Rey akawa anapiga kelele za utamu kolea. Kwa kuwa naye alikwishagundua maeneo ambayo akishikwa alipagawa, akamuelekeza Rey, mtoto wa kike ambaye alikuwa mtamu kama Mcharo akayavamia maeneo hayo, hali ikawa tete kwa wote. Je, kilifuatia nini? Usikose wiki ijayo. Kukudokeza ni kwamba siku hiyo Rey naye alilambwa bakora mbili za uhakika, chezea Beka wewe! Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Beka ambaye ameanza kuwashughulikia viumbe alipokivamia kifua cha Rey na kukiletea fujo za kutosha kwa kuzipekecha embe bolibo zake , sijui kazing ’ ataje hadi mtoto wa watu akawa hoi. Je, kilifuatia nini? Songa mbele na chombezo hili lisiloisha utamu. Baada ya kuona Rey kaishiwa nguvu na kabaki kamtumbulia macho , Beka aliyekuwa kalishika jambia lake kali aliliweka ndani ya ala ya Rey aliyewahi kulicheza segere la wakubwa mara mbili tangu akue, mtoto wa kike akatoa ushikiriano mzuri . Kutokana na ushirikiano wa uhakika aliotoa Rey wa kwenda kulia Beka alipokwenda upande huo na kwenda kushoto Beka alipomtaka kufanya hivyo na kubinjukia juu Beka alipomuinulia pande hizo ,wote wawili walivunja madafu kwa pamoja . Jambo ambalo ni nadra sana kutokea kwa wanaume wengi , licha ya Beka kuvunja dafu na kumnywesha Rey aliyelipokea kwa mhemko wa hali ya juu, bado damu ilimwenda kasi , si akaendelea kucheza pekechapekecha. Kutokana na jinsi Rey alivyokuwa akihamasisha kufuatia kila kiungo chake kuwa softi kama siyo laini , kijana huyo ambaye kuanzia leo namwita kijana wa kazi, akapasua tena dafu la pili ambalo lilikuwa tamu sana na kumnywesha mtoto wa watu , Rey akawa hoi. Wakati Beka akifanya yake , mzee Kibandiko naye kule chimbo alikuwa akimpelekesha puta mama Havijawa aliyetoa ushikirikiano kwa kuzungusha nyonga kama Wamachinga wanapocheza ngoma yao ya Sindimba. Mzee Kibandiko ambaye hakuna kitu asichokipenda kwenye ulimwengu wa malovee kama kumuacha mwenzake akihangaika juu ya mnazi. CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Alipoona anakaribia kupasua dafu alimsubiri mama huyo, mama Havijawa aliposogea karibu kabisa akalipasua dafu kwa ufundi na kunyweshana maji yake kwa pamoja . “ Sikutegemea kabisa kama unayaweza mambo!” mama Havijawa alimwambia mzee Kibandiko akiwa kajilaza hoi . “ Kwa nini unasema hivyo ?” mzee Kibandiko aliyekuwa anajua kilichomfanya mama huyo kutoa kauli hiyo alimuuliza. “ Wewe ni noma tena balaa wa malavidave , yangekuwa yanafundishwa ningesema una Phd, ” mama Havijawa alifunguka , wakacheka . Mama huyo alimwambia mzee Kibandiko kwamba alimkumbusha enzi za usichana wake wakati akitoka na kijana aliyemuingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi . “ Alikuwa anakufanyia nini?” mzee Kibandiko alimwuliza . “ Si kama ulivyonifanyia wewe !” mama huyo alimwambia. “ Mimi nimekufanyia nini?” mzee Kibandiko alimwuliza . “ Umeniandaa vizuri sana halafu hujaniacha hewani, yaani kuanzia leo nitakula sahani moja na mkeo na ikibidi kuwa nyumba ndogo yako ya kudumu na iwe hivyo ,” mama Havijawa alimwambia mzee Kibandiko aliyeishia kucheka. “ Hata wewe umenikumbusha enzi za ujana wangu ulivyokuwa unanifanyia, hakika wanawake wa Tanga mmejaaliwa kuijua sanaa ya mapenzi , ” mzee Kibandiko alimwambia mama huyo. Wawili hao walisifiana na kutaniana na mwisho walikubaliana kukutana tena Jumamosi iliyofuata ili wapeane mahabati ya kutosha . Kwa kuwa siku hiyo mzee Kibandiko alikuwa na fedha za kutosha alimpatia mama huyo shilingi 20, 000 kisha wakaoga pamoja , wakapigana mabusu ndipo mzee huyo akatangulia kutoka na kushika njia kwenda kwake. Mama Havijawa ambaye hakutegemea kupata mshiko ule na jinsi mzee Kibandiko alivyoijua sanaa ya mapenzi , akaishia kutabasamu na kuahidi kutomuacha . Mama huyo alitoka pale gesti akiwa na aibu flani hivi , si unajua tena alitoka kuchepuka na mume wa mtu na isitoshe bado ilikuwa ni mapema! Kule nyumbani kwa mzee Kibandiko, tayari Beka alishamsindikiza Rey akawa amelala chumbani kwake kwa uchovu wa kazi nzito aliyoifanya, kwani ndani ya muda mfupi alikuwa ameshawacharaza mtu na mdogo wake bakora nne. “ Hivi sasa nimefungulia mbwa, msichana CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ yeyote atakayejipendekeza simuachi ng ’ o!” Beka aliwaza . Kijana huyo hakuishia hapo , alipanga kwenda kuwatambia rafiki zake ambao walikuwa wakimcheka na kumwambia alikuwa mtoto wa mama kwa vile alikuwa akipenda kukaa nyumbani . Wakati Beka akiwaza hivyo , nyumbani kwa akina Rhoda hakukuwa shwari kwani msichana huyo alimbana Rey amweleze kilichomfanya achelewe . “ Dada Rhoda jamani , nilipotoka kwa Beka nilipitia kwa akina Raheli nimepiga naye stori kidogo nikaondoka ,” Rey ambaye kwa mtu makini angemtambua kwamba alitoka kula tenda muda mfupi uliopita alimwambia dada yake . Hata hivyo , utetezi wake haukusaidia kwani Rhoda alihisi kuna kitu cha ziada walikifanya na Beka , akaamua kumfuata Raheli kupata ukweli. Wakati Rhoda akielekea huko, huku nyuma Rey alikosa raha sana kwani alijua uongo wake ungebainika na ambacho kingefuatia ni mtifuano tu ! “ Hata akijua nimetoka na Beka poa tu , kwani nami nampenda sana, ” Rey alijisemea moyoni. Rhoda hakutumia muda mrefu alirejea na kumwambia Rey kwamba alikuwa na bahati sana kwani Raheli alimhakikishia kwamba alipitia kwao . “ Una bahati sana Raheli kaniambia ulipitia kwao , leo hapa nyumbani ungepaona pachungu,” Rhoda alimwambia Rey . “ Tatizo dada Rhoda huwa hupendi kuniamini, sasa wewe ulifikiria naweza kukusaliti kwa mpenzi wako ?” Rey alimuuliza dada yake huku akimshukuru sana Raheli kumwambia alipitia kwao . Beka akiwa amelala hajiwezi kwa uchovu alimsikia baba yake aliyekuwa karejea akimwita, alipoitika mzazi wake huyo akamuuliza alikuwa akifanya nini, akamwambia alilala . Alipopewa jibu hilo alihisi Beka ambaye alikuwa kaanza utundu wa mademu alikuwa na msichana ndani, si akazama chumbani kwake. Mzee huyo ambaye kichwani alikuwa ziro kama siyo sifuri , alipoingia chumbani na kuona kitanda kipo vuluvulu aliishia kutabasamu. “ Baba mbona unatabasamu , nini kimekufurahisha?” Beka aliyejishtukia alimuuliza mzazi wake . “ Yaani nimefurahi kwa jinsi unavyonifurahisha siku hizi halafu watu wengine wanakusema vibaya , kweli kuishi CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ uswahilini ni tabu tupu!” mzee huyo alimwambia Beka . “ Akina nani wanaonisema vibaya ?” Beka akamwuliza . “ Wapo watu wanasema eti kwa vile unafanya vizuri shuleni unaringa sana, ” mzee huyo alimdanganya mwanaye . “ Baba achana na watu hao kwani duniani kila kitu kibaya kwa watu , kwa mfano ningekuwa mwizi au mtu wa kufuatilia mambo ya wasichana pia wangesema , ” Beka alimwambia baba yake . Baada ya kutoa kauli hiyo , mzee Kibandiko alicheka, akamwambia naye alikuwa amechoka ngoja akapumzike chumbani kwake. “ Baba huendi Maramba kumjulia hali shangazi anayeumwa ?” Beka aliyekuwa anahitaji sana uhuru wa kubaki peke yake pale nyumbani ili azidi kuwaumiza watoto wa watu alimwuliza baba yake . “ Nitaenda ila ngoja kwanza nipumzike kwani nahisi uchovu sana ,” mzee huyo aliyetoka kumbingirisha mtu alimwambia mwanaye . Baada ya kuambiwa hivyo , Beka akawa mpole ndipo baba yake akaenda chumbani kwake. “ Najua akiondoka kurudi hapa itakuwa keshokutwa, lazima nimwambie Rhoda aje, tena siku atakayokuja nitamwambia apike na kufanya usafi wa chumba changu , ” Beka aliyeanza kuwa mhuni aliwaza . Je, kilifuatia nini? Usikose uhondo huu wiki ijayo . Mpenzi msomaji , wiki iliyopita niliishia pale baba Beka alipokuwa akitafakari vimbwanga vya mama Havijawa aliyempagawisha si kidogo walipokuwa wakipeana malovee . Je, kiliendelea nini ? Tuwe pamoja MZEE Kibandiko aliwaza jinsi mama huyo alivyokuwa akitoa mihemko flani hivi ambayo hakuwahi kuisikia kwa mwanamke yeyote aliyewahi kutoka naye. Hakuishia hapo , aliwaza pia kuhusu mama huyo alivyokuwa na nyonga teketeke na jinsi alivyokuwa akiwajibika kwa kuizungusha pande zote za dunia kwa kasi . Mwisho alijikuta akicheka peke yake alipokumbuka jinsi mama huyo alivyojikunja na kujikunjua na kuvitupa viungo vyake huku na huko walipopasuliana madafu na kunyweshana maji yake . “ Yaani pale nilijua mtu anakata roho, kweli mama Havijawa ana vionjo vya aina yake , nami naahidi sitamuacha kama alivyoahidi kutoniacha, ” mzee huyo aliwaza. Kama ilivyokuwa kwa mzee Kibandiko, mama CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Havijawa naye alipofika kwake alifikia kujibwaga kitandani kwani mambo aliyofanyiwa na mzee Kibandiko hayakuwa ya kawaida . “ Yaani sikutegemea kama angekuwa mahiri wa mapenzi , hata alipokuwa akinisomesha nilijua anataka kunipaka shombo kama ilivyowahi kutokea kwa mzee Maneno,” mama huyo alijisemea moyoni . Mama huyo aliyekuwa akiishi peke yake huko nyuma alikuwa akisumbuliwa sana na mzee Maneno lakini siku aliyoamua kumpa tende zake tamu , mzee Maneno ambaye ana maneno mengi kama jina lake lilivyo alishindwa kazi . “ Muziki wa baba Beka siyo wa kitoto, yaani naamini hata hawa vijana wa siku hizi wanaokula chipsi na mayai ya kisasa hawawezi kumfikia, kwa kweli kajua kunipa raha,” mama huyo aliwaza . Kwa jinsi alivyofikishwa pale alipopataka alimuonea wivu mama Beka kwa jinsi alivyokuwa akiridhishwa na mumewe , akaahidi kula naye sahani moja . Kufuatia uchovu wa makasheshe aliyopewa na mzee Kibandiko, hakuchukua muda mrefu alipitiwa na usingizi kama ilivyokuwa kwa mzee Kibandiko na mwanaye Beka . Ilipofika saa tisa alasiri ndipo baba Beka alishtuka usingizini akaamka na kwenda kuoga, wakati anaoga Beka naye aliamka. “ Kumbe na wewe ulikuwa bado umelala ?” mzee huyo alimwuliza mwanaye. “ Yaani leo nahisi kuchokachoka, ” Beka alimwambia baba yake bila kujua mzee huyo alikuwa anaelewa kilichosababisha awe katika hali ile . “ Sasa ni hivi , mimi nakwenda Maramba kumjulia hali shangazi yako , ofisini nimepewa ruhusa ya siku mbili , kuwa makini hapa nyumbani , sawa ?” mzee huyo alimwambia mwanaye. Beka alimweleza hakuna shida, kabla baba yake hajaondoka alimpitia shilingi 20, 000 za matumizi wakaagana na mzee huyo akaelekea stendi tayari kwa safari ya Maramba . Kitendo cha baba yake kuondoka kilimfurahisha sana Beka ambaye alipanga kuzitumia siku hizo mbili vizuri kustarehe na Rhoda pamoja na mdogo wake Rey . “ Leo ngoja nipumzike ila kesho asubuhi na mapema lazima nimfuate mmoja wao , yaani watanikomaje !” Beka alijisemea moyoni. Siku hiyo jioni Beka aliamua kwenda kuwatambia rafiki zake akina Frank, alipokutana nao bila hata ya kuulizwa alianza kuwasimulia jinsi alivyomlamba Rhoda na mdogo wake . CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ “ Acha kutudanganya , wewe mtoto wa mama unaweza kumpata Rhoda kirahisi namna hiyo ?” Frank alimwuliza . Licha ya Beka kuwahakikishia kwamba tayari alimfyekelea mbali Rhoda na mdogo wake , hawakuweza kuamini kitendo kilichomfanya Beka awe mpole . Alipoona wenzake hawakuamini maneno yake , aliwaaga na kuwaambia siku moja wataamini , akashika njia kurudi kwao . “ Beka bwana , anataka kutupiga changa la macho kirahisi anafikiri sisi ni vijana wa kijijini, ” Said aliwaambia wenzake wakacheka . “ Mimi nimefurahi sana ulivyomchana mpaka akawa mpole , hiyo ndiyo dawa ya watu waongo, eti kamlamba Rhoda na mdogo wake , hivi anafikiri kuwapata mademu wazuri ni kazi rahisi ee ?” James alidakia , wakacheka . Je, kilifuatia nini ? Usikose uhondo huu wiki ijayo. Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale James mmoja wa rafiki zake Beka alipomwambia alikuwa kawapiga changa la macho alipowaeleza alikuwa kishawalamba Rhoda na Rey ndipo kwa hasira akaamua kuondoka na kurudi kwao . Je, kilifuatia nini? Songa mbele na utamu huu Wakati Beka anarudi nyumbani kwao alikutana na dada yake Frank ambaye alikuwa akimpenda sana Beka lakini kijana huyo alikuwa akimpotezea . Kufuatia kaka yake na rafiki zake kumnanga kwamba alikuwa mtoto wa mama, baada ya salamu alimchombeza kwa maneno flani hivi ya kimapenzi , Stellah akawa haamini kama maneno yale yalitoka kinywani kwa Beka . “ Beka unasemaje ?” Stellah alimwuliza Beka . “ Kama nilivyokuambia Stellah, ” Beka akamjibu. “ Acha kunitania bwana!” Stellah alimwambia Beka . Beka alimsisitizia dada huyo kwamba alikuwa akimpenda tangu siku nyingi na kumuomba kama hatajali kwenye saa moja hivi aende nyumbani kwao wakazungumze kwa mapana. Kwa kuwa Stellah alitokea kumpenda sana Beka , hakuona sababu ya kuipoteza nafasi hiyo akamuuliza vipi kuhusu wazazi wake . “ Wote hawapo wameenda Maramba , wewe njoo tutakuwa huru sana ,” Beka alimwambia msichana huyo kisha wakaagana. “ Yaani siamini, Beka ninayemfahamu mimi CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ kaamua kunifungulia ya moyoni mwake, baadaye lazima niende nyumbani kwao , ” Stellah aliwaza . Wakati msichana huyo anawaza hivyo , Beka alipania kutoka naye ili kumkomesha kaka yake aliyekuwa akimdharau . “ Nikimchinjia baharini dada yake halafu akijua itakuwa heshima , najua atanimaindi lakini itakuwa heshima kitaa , ” Beka alizungumza moyoni. Beka alipofika nyumbani kwao aliingia chumbani kwake akaanza kuwatafakari Rhoda na Rey ambao tayari alikuwa kishawapa mkomboti . “ Ingawa sijawa mtaalam sana wa malovee nimebaini Rhoda na mdogo wake Rey wana tofauti, japo Rey tayari wajanja wameshampitia ni mtundu sana, ” Beka aliwaza akiwa kajilaza chali. Wakati kijana huyo anawaza hivyo , baba yake akiwa amepanda Noah akielekea Maramba naye alikuwa akimuwaza mama Havijawa kwa manjonjo yake . “ Nikirudi kutoka Maramba lazima nimtafute ili niende naye nje ya mji ambako naamini tutajiachia kwa mapana na marefu, ” aliwaza mzee huyo mkware . Kwa kuwa pale nyumbani kwao alibaki peke yake , Beka alikwenda kwenye kibanda cha chipsi kilichokuwa kikimilikiwa na kijana mmoja aliyekuwa akivuma kwa jina la Mgosi. Baada ya kufika alitoa oda aandaliwe chipsi kavu , kuku robo na firigisi mbili kisha akaketi kwenye benchi na kuanza kusubiri . “ Beka siku hizi nakuona unawachukua watoto wakali tu , unatisha dogo!” Mgosi alimtania Beka . Beka alipoambiwa hivyo alicheka na kumwambia akina Rhoda ni marafiki zake wa kawaida , hivyo aondoe shaka . “ Dogo unataka kunipiga changa la macho hata mimi ? Wale ni mademu zako maana dalili zote zipo !” Mgosi alimwambia Beka . Wakati wanaendelea kuzungumza, alifika binti mmoja aitwaye Manka, mtoto mkali sana akamwamkia Mgosi na kumpa hi Beka , akaomba aandaliwe chipsi na mayai . Beka ambaye licha ya kumuona msichana huyo mara kwa mara lakini hakuwa na mazoea naye, akamtania kwa kumuuliza : “ Dada mzuri huwa huli kuku nini?” “ Kwa nini unaniuliza hivyo ?” Manka alimwuliza . “ Si naona umeagiza chipsi mayai pekee, halafu unajua kwamba hayo mayai ya kisasa siyo mazuri kiafya?” Beka aliyekuwa na lake jambo akamwambia . CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Beka aliyedata kwa mrembo aitwaye Manka alipomwambia kwamba mayai ya kisasa aliyoagiza awekewe kwenye chipsi zake hayakuwa mazuri , je msichana huyo ambaye baadaye alilambwa bakora na Beka alimjibu nini? Tuwe pamoja …“ Kila kitu tunachokula hapa duniani kina madhara , hata hivyo ningekuwa na hela ningeagiza na kuku kama utaninunulia nitakushuru, ” Manka alimwambia Beka kwa utani kwani alijua hakuwa na uwezo wa kufanya hivyo . Wakati Manka na Beka wakizungumza , Mgosi alikuwa anajifanya yupo bize kuandaa chipsi za Beka lakini alijua kijana huyo alimzimikia Manka . “ Mgosi katika chipsi za huyu dada mzuri muwekee kila kitu kama nilivyooda , ” Beka akamwambia . “ Kwa kuwa wewe umeoda firigisi mbili unaonaje kwa mrembo niweke tatu?” Mgosi akashadadia. Kama unavyojua wanaume wengi wanavyopenda sifa akamsifia , Beka alimwambia hakukuwa na shida kwa sababu alikuwa na fedha za kutosha . Kama alivyoagizwa, Mgosi aliandaa chipsi za Beka na Manka akawafungia ambapo Beka aliyekuwa na shilingi 20, 000 alizoachiwa na baba aliingiza mkono mfukoni na kuzichomoa zote akatoa noti moja ya elfu 10 na kumkabidhi Mgosi . Wakati akifanya hivyo , Manka alikuwa akimwangalia na kujisemea moyoni kwamba; “ Kumbe huyu kijana ana hela namna hii !” Baada ya Mgosi kumrudishia chenji, Beka na Manka waliondoka pamoja kwani mtaa wa nyuma ndiyo alikokuwa akiishi msichana huyo na anko wake . Kwa mkwara alioufanya kwa Mgosi alijua msichana huyo asingeweza kuchomoa atakapotupa ombi lake , yaani ilikuwa mlemle . “ Manka mbona huwa huonekani mara kwa mara, yaani utafikiri unaishi uzunguni ?” Beka alimwambia msichana huyo. Kufuatia kuulizwa hivyo , Manka alicheka na kumwuliza kama kuna siku alimtafuta akashindwa kumuona ! “ Ungekuwa unaonekana ungetafutwa tatizo huwa sikuoni , ” Beka alimwambia . Manka alipoambiwa hivyo , alicheka na kumsisitizia Beka kwamba kama angemtafuta angemuona ndipo kijana huyo alimuomba kama hatajali akipata muda aende akamtembelee kwao . “ Kwangu muda siyo tatizo, hata ukinikaribisha sasa hivi naweza kuja , si kwenu pale kwa yule mzee mwenye mambo CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ kama ya vijana ?” Manka alimwuliza Beka . Beka alicheka sana akamwambia alipopataja ndiyo haswa kwao , msichana huyo akasema akienda atamtambulishaji kwa wazazi wake . “ Tena uzuri wote hawapo wameenda kijijini Maramba kumuona mgonjwa , kama hutojali twende ukapafahamu mara moja ndipo uende kwenu , ” Beka akamwambia . Manka ambaye naye kwao muda ule hakukuwa na mtu zaidi ya msichana wa kazi , akaongozana na Beka hadi kwao . Wawili hao walipofika waliketi kwenye sofa ndipo Beka aliandaa sahani na kuweka chipsi zake na kumuuliza Manka alipenda kunywa soda gani , alipotajiwa akajongea kwenye jokofu akachukua soda mbili na kurudi kochini. Kijana huyo aliyekuwa na uhakika wa kumkwangua mtoto huyo mzuri , alizifungua wakanawishana na kuanza kula huku wakipiga stori za hapa na pale . Wakati Beka akiwaza namna ya kumuanza demu huyo ili asimpeperushe , Manka naye akawa anajisemea moyoni kwamba ilivyoonekana Beka alikuwa anapendwa sana na wazazi wake ambao walikuwa wakimpatia fedha nyingi za matumizi. “ Umepaonaje hapa kwetu ?” Beka alimwuliza Manka. “ Pazuri, kwa jinsi baba yako anavyojipenda nilijua tu hata hapa kwake patakuwa pazuri , ” Manka alimwambia Beka ambaye alicheka kwa furaha na kumpiga kibao flani hivi chepesi juu ya bega lake la kushoto kwa nyuma. Itaendelea . Walipomaliza kula , Manka akataka kufungua chipsi zake ili wale Beka akamzuia na kumwambia aache ataenda kula kwao . “ Siyo siri Manka wewe mzuri , yaani hapo umevaa simpo tu lakini umependeza, je ukivunja kabati si inakuwa balaa, ” Beka akamchombeza. Je, baada ya Manka kuambiwa hivyo alisemaje na kilijiri nini pale sebuleni? Usikose wiki ijayo . Mpenzi msomaji , wiki iliyopita niliishia pale Beka na Manka wakiwa nyumbani kwao ambapo kijana huyo alimwuliza alipaonaje ambapo Manka alipasifia kwamba palikuwa pazuri . Endelea na utamu huu.Baada ya Manka kusema kwa jinsi baba yake Beka alivyokuwa akijipenda alijua hata kwake palikuwa pazuri , Beka alicheka sana. Walipomaliza kula, Manka akataka kufungua chipsi zake ili wale Beka CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ akamzuia na kumwambia aache ataenda kula kwao . “Siyo siri Manka wewe mzuri, yaani hapo umevaa simpo tu lakini umependeza, je ukivunja kabati si inakuwa balaa!” Beka akamchombeza . “Jamani Beka , huo uzuri wangu upo wapi, hivi wakiitwa wazuri na kuambiwa wapite mbele nami nitakuwemo ?” msichana huyo alimwuliza Beka .Beka alimweleza tena yeye atawafunika wote kisha akakivutia juu kimini alichokivaa Manka na kushika hipsi yake ya kushoto na kumwambia : “Unaona hipsi zako zilivyo laini kama za mtoto mchanga ?” Beka hakuishia hapo aliishika midomo ya Manka na kuichezea kuanzia pembe ya kushoto hadi kulia na kumsifia kwamba alikuwa na midomo mizuri . Kitendo cha Beka kumshika maeneo hayo, msichana huyo alihisi mwili kumsisimka akaishia kumwambia Beka kwamba hakufikiria kama alikuwa mtundu namna ile.“ Kwani hapo nimekufanyia utundu gani?” Beka alimwuliza Manka kwa kumtega. “Si ulivyonishika hipsi yangu na midomo , tena umefanya hivyo bila kuruhusiwa ,” Manka alimwambia . “Samahani Manka , basi kama hutajali niruhusu nikushike kifua chako maana kimenivutia sana, ” Beka alitoa ombi lake. “Kwani kifua changu kikoje?” Manka alihoji. Baada ya kuulizwa hivyo, Beka aliyekuwa akijisemea moyoni kwamba leo hata ufanyeje lazima nikulambe , akamfagilia kuwa kilikuwa kizuri mno. Kama unavyojua katika dunia hii, ikitokea mtu kasifiwa halafu asifurahi ujue ana matatizo , Manka aliangusha bonge la tabasamu . Kitendo hicho kiliashiria amekubali ombi la Beka, Beka aliinuka alipokuwa amekaa na kwenda kusimama kimo cha mbuzi mbele ya Manka .Akiwa hapo , alimchumu mashavuni msichana huyo na kumweleza kwamba kwa muda mfupi waliokutana alihisi mahaba mazito juu yake kama siyo mahaba niue . Manka alicheka na kumwambia Beka kwamba hakutegemea kama alikuwa mtundu namna ile kisha alimwangalia kwa kumlegezea macho yake mazuri .“ Mbona mimi siyo mtundu Manka!” Beka alimwuliza. “Kwa muda mfupi niliokaa na wewe nimegundua wewe ni mtundu sana, huna tofauti na baba yako ,” Manka alimwambia Beka. Kufuatia kuambiwa hivyo, Beka alicheka na kumpagawisha kabisa msichana huyo CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ aliyehisi mashetani yake ya mahaba hayakuwa mbali, alimpiga mabusu mawili ya fasta shavuni na mdomoni .Kama Beka alivyotarajia, alimpompiga busu Manka , msichana huyo alisisimka sana kwani ilikuwa kawaida yake anapopigwa busu hasa midomoni kuwa katika hali tete ya kimapenzi. Beka alipogundua hilo, alikivamia kifua cha Manka, akawa anazichezea na kuziminya embe bolibo zake kama vile hataki kumbe alizihitaji sana .Kutokana na namna alivyokuwa akiziminya, kuzipalasa , Manka akawa anafumba macho na kuyafumbua kuonesha alikuwa akifanyiwa kitu kitamu alichokimisi. Mtaalam Beka ambaye alikopi kila kitu kutoka kwa baba yake, ‘kumuua ’ kabisa binti wa Kichaga si akafungua vishikizo vya bla yake na kuitolea mbali na kukutana live na embe bolibo za mtoto huyo ambaye alikuwa mbichi . Kabla hajaingia kwenye hatua ya pili , alipoziona embe hizo jinsi zilivyoiva akameza funda kubwa la mate , akaishika moja na kuitupia mdomoni. Embe bolibo hiyo ikiwa mdomoni , akaanza kuinyonya, kuifyonza , kuing’ata kimtindo na sijui kuitekenyaji kwa ulimi , Manka akashindwa kujizuia akaanza kupiga mayowe ya raha . Je, kilifuatia nini? Usikose uhondo huu wiki ijayo .



    Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Beka alipompagawisha kinoma Manka mpaka binti wa watu akatoa kilio cha raha. Je, kilifuatia nini? Songa mbele na utamu huu…

    Beka hakuishia hapo alizidisha manjonjo yaliyomuacha hoi Manka aliyeamua kujibu mashambulizi na mwishowe wote walijikuta wakiwa kama walivyokuja katika dunia hii iliyojaa kila aina ya fujo.

    Wakiwa katika hali hiyo, Beka hakuona sababu ya kuremba wakati alikwishaamua kuwashughulikia viumbe hao, sijui alimpinduaje Manka pale sofani, mtoto akaanza kulia kwa raha.

    Kilio cha Manka kiliongeza morali ya Beka kuwajibika juu ya ‘jukwaa’ lake ambapo alimchezesha segere mpaka wote walipofika Kigoma mwisho wa reli kwa pamoja.

    “Ila wewe Beka wewe!” Manka alimwambia Beka.

    “Ila mimi nini dada mzuri?” Beka alimwuliza.

    “Rudia tena hiyo sentensi yako,” Manka alimwambia.

    Bila kujua Manka alitaka kusema nini, Beka akamwambia; “Nimesema hivi, ila mimi nini dada mzuri?”

    “Yaani Beka haya uliyonifanyia unaweza kumfanyia dada yako?” Manka alimwuliza.

    Kufuatia kuulizwa hivyo, Beka aligundua alikosea kumwita Manka dada, akamuomba msamaha kwa kusema; “nisamehe mpenzi wangu.”

    “Hapo sawa, ila sikutegemea Beka kama umjuvi wa mapenzi, siyo siri unayaweza,” Manka alimfagilia Beka.

    “Siyo sana, najifunza tu mpenzi wangu,” Beka alimwambia Manka utafikiri walikuwa wapenzi wa muda mrefu.

    “Eti unajifunza tu, yaani wewe ni noma kwa kweli!” Manka alimwambia Beka aliyeishia kucheka.

    Kwa jinsi alivyokuwa amepagawisha vya kutosha, Manka alijikuta akimfungukia Beka kwamba tangu alipohamia Tanga kutoka mkoani Mbeya, hakuwa na mpenzi.

    “Tafadhali Beka naomba niwe mtu wako wa kudumu, nakuahidi nitakupenda kwa dhati,” Manka alimwambia Beka.

    Beka alifurahi kusikia hivyo na kumkaribisha, kwa furaha waliyokuwanayo walipigana mabusu na kuanza kuleteana fujo tena, si Beka ambaye damu ilikuwa ikimwenda mbio akapata moto, akamlamba bakora ya pili ya uhakika.

    Kufutia bakora hiyo iliyokwenda shule, Manka aliishiwa nguvu kabisa na kujilaza pale sofani, akapitiwa na usingizi, Beka alipotazama sakafuni na kuziona nguo zao zilivyokuwa zimetawanyika kama hazikuhitajika tena kuvaliwa akaanza kucheka.

    “Kudadeki, mtoto kachokaje! Chezea Beka wewe!” Beka alijisemea moyoni wakati akiokota nguo zake na za Manka.

    Kwa kuwa kiu yake ilimuisha, alivaa boksa kisha alijongea kwenye jokofu akachukuwa chupa iliyokuwa na maji ya baridi akayamimina kwenye glasi na kuyanywa.

    “Kweli kidume nimeanza kazi rasmi, Rhoda nimeshamlamba, Rey nimetia ndani, Manka ndiyo huyu kalala hana ujanja, bado Stella, lazima nijenge heshima mtoto wa kiume,” Beka alijisemea moyoni na kuachia tabasamu.

    Baada ya kunywa glasi mbili za maji, alikwenda kukaa pembeni ya kochi na kumshika Manka aliyekuwa mtupu usawa wa nyonga.

    Kufuatia kushikwa huko, Manka alijigeuza na kumwangalia Beka kisha aliachia tabasamu na kumuuliza kama alikuwa na msichana aliyekuwa akitokanaye.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Siwezi kukuficha, Maramba kwa bibi alikuwepo msichana mmoja ambaye nilipogundua hajatulia niliachana naye, naona nafasi yake umechukua wewe!” Beka alimdanganya.

    Manka alifurahi sana kusikia hivyo, aliamka wakakumbatiana, wakapigana mababusu ndipo Beka alimuongoza msichana huyo bafuni.

    Wakiwa huko, walioga na kufanyiana michezo ya kimalovee kisha walivaa nguo ndipo Manka alimuaga Beka, kabla ya kuondoka aliahidi angerudi jioni kwa ajili ya kupiga stori.



    Je, kilifuatia nini? Usikose wiki ijayo. Maoni nicheki

    MWISHO

0 comments:

Post a Comment

Blog