Search This Blog

Monday, October 24, 2022

CHACHANDU ZA BEKA WA TANGA - 4

 





    Chombezo : Chachandu Za Beka Wa Tanga

    Sehemu Ya Nne (4)





    MPENZI msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Beka alipoamua kwenda nyumbani kwa akina Rhoda kumjulia hali baada ya kumtoa wekundu wa msimbazi, alipoonana na Rhoda wote walitabasamu kitendo kilichomfanya mama Rhoda kujisemea moyoni:”Hawa watoto wanavyoonekana wanapendana CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ sana, huyu si alisema anajisikia vibaya kamsikia Beka kaamka.” Je, kilifuatia nini? Songa mbele... aada ya mama wa Rhoda kuondoka na kuwaacha peke yao, Beka alimwambia mpenzi wake kwamba siyo siri alishindwa kuvumilia kutokana na jinsi alivyoumia akaamua kwenda kumuona. “Hata mimi mawazo yote yapo juu yako mpenzi wangu, niliposikia sauti yako maumivu yote yameisha, nakupenda Beka wewe ni mume wa maisha yangu,” Rhoda alimwambia Beka na kuachia tabasamu pana. Ingawa awali Beka alikuwa zoba wa mademu, kitendo cha Rhoda kuporomosha tabasamu tamu alijikuta akisisimka sana, halikadhalika Rhoda naye alipatwa na hali hiyo japo alikuwa na maumivu. Kwa kuwa wasingeweza kufanya kitu chochote, Rhoda alimkaribisha Beka ndani na kwenda kukaa sebuleni wakaendelea kupiga stori huku mama akiwa bize na mambo yake. Wakiwa wanaendelea na maongezi, binti mmoja mzuri sana aliyekuwa na umri wa kati ya miaka kumi na sita au kumi na saba aliingia sebuleni. “Si ulisema utalala mpaka usiku mbona umeamka sasa hivi?” Rhoda alimuuliza msichana huyo mbichi. “Mwenzangu, yaani usingizi umekata ghafla nimeamua kuamka, naona una mgeni?” yule msichana alimuuliza Rhoda. Rhoda alipoulizwa hivyo alitabasamu na kumwambia yule binti kwamba tena mgeni mwenyewe ni wa ukweli na ndiye aliyesababisha aamke licha ya kwamba alikuwa anaumwa. Wakati Rhoda na yule msichana aliyekuwa kavaa taiti na blauzi ya mpira iliyombana sawia wakizungumza, Beka alikuwa anawasikiliza ndipo Rhoda akaamua kutoa utambulisho. “Rey, huyu hapa ndiye shemejio Beka niliyekupa habari zake, kaja kunitembelea laazizi wangu!” Rhoda alimtambulisha Beka kwa Rey. “Jamani shemu wangu, nimefurahi kukufahamu...siyo siri da Rhoda mumeo mtarajiwa ni handsome boy, hongera mwaya!” Rey alimwambia dada yake. Kitendo cha Rey kumsifia Beka, kilimpa raha sana Rhoda ambaye alimwambia Rey kwamba alikuwa anajua kuchagua na kuchombeza CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ kwamba alikuwa akimpenda sana Beka. Baada ya utambulisho huo, Rhoda alimtambulisha Rey kwa Beka kwamba alikuwa ni mtoto wa baba yake mkubwa alikuwa akiishi Morogoro na kwamba alikwenda Tanga kuwasalimia. “Nashukuru kukufahamu shemu wangu, nami nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitasema wewe ni mrembo kama ulivyosema mimi ni handsome boy,” Beka alimwambia Rey. Reyambaye kirefu cha jina lake ni Rehema alitabasamu na kumshukuru Beka kwa kumsifia kwamba alikuwa mrembo. Vijana hao waliendelea na maongezi lakini Beka alitatanishwa sana na uzuri wa Rey ambaye walizidiana vitu flani na Rhoda kwani binti huyo alikuwa na kishazi flani hivi cha fujo. Ukiacha kishazi mbinuko, alikuwa na macho madogo ‘matamu’ yaani akikuangalia utapenda aendelee kufanya hivyo, kifua kilikuwa na viembe bolibo vya Tanga na mweupe wa kati. Kwa kuwa tayari Beka alishaanza kujua nini maana ya kupenda licha ya kwamba alikuwa bado hajajua utamu wa sukari guru, alimtamani Rey. “Da! Huyu Rey mtoto mkali kweli, akiendelea kukaa hapa lazima nitamvutia kasi. Beka, Rhoda na Rey waliendelea kupiga stori ndipo mama yao aliingia sebuleni na kumuuliza Rhoda mbona hawakumpatia Beka soda au juisi. “Nyie mmenogewa tu na maongezi mnashindwa kumpa kaka yenu soda au juisi!” mama huyo aliwaambia wanawe. Kauli ya mama huyo ilimzindua Rhoda ambaye alisema maongezi yaliwanogea mpaka wakasahau kumwandalia soda, akamuuliza Beka ni soda gani aliyokuwa akipenda kunywa. “Kama kuna juisi itakuwa poa, soda siyo mpenzi sana,” Beka alimwambia Rhoda. Rhoda awali alimuomba Rey akamchukulie Beka juisi kwenye jokofu lakini ile Rey anataka kwenda akamzuia. “Basi Rey kaa ngoja nikamchukulie mume wangu,” Rhoda alimwambia Rey, wakacheka. “Hata mimi nilikuwa nashangaa kunituma, mke ndiye anayepaswa CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ kumwandalia chakula au kinywaji mumewe,” Rey alimtania dada yake, wakacheka. Baada ya utani huo, Rhoda alinyanyuka na kuanza kuelekea kwenye korido kulikokuwa na jokofu, huku nyuma Beka na Rey wakakutanisha macho na kuangusha tabasamu. Kitendo hicho kilimaanisha kwamba Rey alimzimikia Beka halikadhalika Beka naye alimgwaya mtoto huyo mbichi ambaye alikuwa anaamini ‘kuku’ wake alikuwa hajaliwa. “Huyu lazima kieleweke, halafu lazima nitaenda kuwatambia akina John kwamba tayari nimevunja ngome ya Rhoda ili waniheshimu,” Beka aliwaza. Rhoda aliporejea na juisi alichukua glasi tatu akamimina wote wakajumuika kupata kinywaji, wakati huohuo mama Rhoda aliingia. “Kumbe na nyinyi mlikuwa mnataka juisi, mlikuwa mnasubiri nini kuandaa mapema?” mama Rhoda aliwatania mabinti zake, wakacheka. Baada ya kuwatania aliwaaga kwamba anakwenda Barabara ya 8 kumuona shoga yake mama Hussein aliyekuwa anaumwa. “Mwanangu Beka, ukifika nyumbani wasalimie wazazi wako,” mama huyo alimwambia Beka. Beka alimshukuru mama Rhoda na kumweleza salamu zake zitafika, mama akaondoka na kuwaacha akina Rhoda, Rey na Beka wakipiga stori. Kama unavyofahamu siku zote kwamba paka akitoka panya utawala, baada ya mama huyo kuondoka Rhoda alimuomba msamaha Rey na kumwambia alitaka kwenda na Beka chumbani kwake wakatete jambo flani Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mama yake Rhoda alipoondoka nyumbani na kumuacha bintiye huyo akiwa na Beka pamoja na Rey. Kama unavyojua paka akiondoka panya utawala. Baada ya mama kuondoka, Rhoda alimuomba msamaha Rey na kumwambia alikuwa anakwenda chumbani kuteta jambo fulani na Beka. Je, kilifuatia nini? Songa mbele na utamu huu... hoda alipomwa-mbia hivyo Rey, aliumia licha ya kutojua sababu ya kufanya hivyo kwa sababu Beka CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ hakuwa mpenzi wake na tayari alikwishatambulishwa kwamba alikuwa shemeji yake. “Sawa dada Rhoda hakuna shida,” Rey akamwambia dada yake. Kwa mtazamo wake, Rey alikuwa anajua Rhoda alitaka kuduu na Beka lakini ukweli ni kwamba asingeweza kufanya hivyo kutokana na kujeruhiwa na kijana huyo muda mfupi uliopita. “Ila uongo dhambi, Beka ni handsome boy, kweli Rhoda kapata mpenzi mzuri!” Baada ya Beka na Rhoda kuingia chumbani, Rhoda alimwambia Beka alikuwa kamuumiza sana ila asijali kwa sababu alimkubalia kutokana na upendo wake kwake. “Beka hii ilikuwa ni zawadi maalum kwako kwani ningekuwa sijatulia usingeikuta, marafiki zako na vijana wengine kibao tena wengine wana fedha walinitongoza nikawatolea nje,” Rhoda alimwambia Beka. Beka alimshukuru Rhoda kwa kumruhusu awe mwanaume wa kwanza kumtafuna ‘kuku’ wake, kwa furaha wapenzi hao walikumbatiana na kuanza kula mua a.k.a denda. Hawakuishia hapo, waliendelea kufanyiana fujo ndipo Beka aliipenyua blaa ya Rhoda na kuivutia nyuma akaanza kuziminya taratibu embe bolibo zake, mtoto akaanza kusinzia.Wakati wakifanya hivyo, Rey ambaye alikuwa anataka kujua ni kitu gani kilijiri chumbani kwa Rhoda, alikuwa amezunguka nyuma ya dirisha akawa anawachabo bila wao kumshtukia. Kutokana na jinsi Beka alivyokuwa akimshika hapa na pale Rhoda na kuzinyonya embe bolibo zake, Rey akapata msisimko na kutamani kama yeye ndo angefanyiwa vile. “Da! Huyu Beka inaonekana anaijua vilivyo hii sanaa ya mahabati, angalia anavyozichezea na kuzinyonya embe za dada Rhoda hadi raha,” Rey alizungumza moyoni huku akiwa anaziminya embe ng’ong’o zake za kuchoma. Ingawa Rhoda na Beka hawakuwa na lengo la kufanya zile fujo za kikubwa mle chumbani, waliendelea kufanyiana visa kitendo kilichomfanya Rey kupagawa zaidi. Rey alichanganyikiwa zaidi na kutaka kupiga mayowe pale Rhoda alipofungua eneo la mbele la ‘trauza’ ya Beka na kuuchomoa mkwaju CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ ngoma na kuanza kuuletea fujo. Kufuatia mkwaju ngoma wa Beka kuchachamaa, Rey alitamani kuzunguka nyuma na kuwavamia mle chumbani kisha kumpushi dada yake kama siyo kumsukuma ili yeye achukue nafasi lakini haikuwezekana. Baada ya wapenzi hao kufarijiana kwa kuchangamshana, walipigana mabusu kisha Beka aliyekuwa amefungua blaa ya Rhoda alifunga vifungo akamkumbatia na kumchumu. Hali kadhalika, Rhoda naye akauchukuwa mkwaju ngoma wa Beka ambao bado ulikuwa wa moto na kuurudisha sehemu yake na kufunga lile eneo la mbele alilolifungua. “Ila mpenzi wangu huyo Beka wako ni noma sana maana alivyopewa nafasi kaitumia vizuri mpaka kaniumiza,” Rhoda alimwambia Beka, wakacheka. Kufuatia kauli hiyo, Beka alimwambia asijali atapona tu na ndiyo maana aliamua kwenda kumjulia hali. “Nashukuru d wangu kwa kunijali, ukweli ni kwamba kama usingekuja sikuwa na mpango wa kuamka kabisa!” Rhoda alimwambia Beka. Kwa kuwa walitumia dakika kadhaa mle chumbani, Beka alimwambia Rhoda warudi sebuleni walikomuacha Rey. Rey aliyesikia maongezi yao alitoka pale dirishani kwa kunyata akaingia ndani kwa kupitia mlango wa uani na kukaa kwenye sofa na kujifanya hakujua kilichokuwa kikiendelea. Baada ya Rhoda na Beka kurejea sebuleni, Beka ambaye aliondoka kwao muda mrefu aliwaaga ndipo Rhoda na Rey walimtoa hadi nje. Wakiwa nje licha ya Rhoda kutamani kumsindikiza Beka lakini aliamua kupotezea kuhofia mama yake kama angerudi na kumkuta anakata mitaa usiku ule angejua hakuwa anaumwa sana. “Mpenzi nashukuru sana kuja kuniona sitakusindikiza ngoja Rey akupe kampani kidogo,” Rhoda alimwambia Beka bila kujua kama Rey alikuwa akimtamani sana Beka. Baada ya kuagana, Beka ambaye naye alikuwa akitafuta nafasi ya kuwa peke yake na Rey ili amchombeze alifurahi sana, halikadhalika Rey naye alifurahi. Beka alipofika kama mita kumi na tano alishindwa kujizuia alimwambia CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Rey kwamba tangu alipomuona alitokea kumpenda ghafla. Rey alipoambiwa hivyo alicheka kisha akamwambia Beka yeye alimpenda zaidi. “Ni kweli unachonieleza?” Beka alimwuliza Rey. “Huo ndiyo ukweli na kwa taarifa yako nipo tayari kukosana na dada Rhoda kwa ajili yako...yaani wewe Beka ni handsome sana,” Rey alifunguka. Kufuatia Beka kuambiwa hivyo na alipomtazama Rey mtoto mbichi alijikuta anasisimkwa mwili mzima akasejisemea moyoni; “ Leo lazima nikutafune kiumbe wewe ili nijenge heshima kwa marafiki zangu wanaonidharau.” Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Rey na Beka waliokuwa wameelezana hisia zao za mapenzi walipochepuka na kupita njia ya uchochoroni. Hawakutembea muda mrefu, Beka aliyevutiwa sana na Rey alimvamia msichana huyo na kuanza kumshika hapa na pale. Je, kilifuatia nini? Tuwe pamoja eka akiwa anakiletea fujo kifua kibichi cha Rey huku akijisemea moyoni kwamba ‘sikuachi kimbe wewe’, mtoto huyo alijisikia raha iliyopitiliza lakini hakujua kama kinjia hicho cha uchochoro walichokuwepo kilikuwa kinapendwa sana kutumiwa na baba yake mzee Kibandiko. Kufuatia Rey damu kumwenda mbio, akaona halikuwa jambo la busara kutorudisha mashambulizi si naye akaanza kukichezea kifua cha Beka! Wakati vijana hao waliyoyaanza mambo ya mapenzi mapema wakiletea fujo, mzee Kibandiko aliyekuwa amekwenda kumuona rafiki yake mzee wa Shamba akawa anarejea nyumbani. Kama nilivyokuambia kwamba alikuwa anapenda sana kupita ile njia ya uchochoroni, akiwa ametembea mita kadhaa mbele yake akaona kama kulikuwa na watu waliokuwa wamegandana. Kwa kuwa alikuwa mtu mzima alijua watu aliowaona walikuwa wa jinsia tofauti waliokuwa wakipashana joto la yale mambo yetu. Kutokana na mzee huyo kuwa mnazi mzuri wa mambo ya malovee, akapunguza mwendo na kuanza kusonga mbele kwa kunyata kama paka aliyemuona panya mbele yake. Lengo lake alitaka kuwapiga chabo vizuri na kuona mwisho wa yote ungekuwaje, kila aliposogea mbele alikuwa akijibanza kwenye nyumba. Wakati huo Beka na Rey waliokuwa wanaamini walikuwa eneo salama, waliendelea na yao bila kumuona mzee Kibandiko aliyekuwa amevaa shati nyeusi iliyomfanya asionekane vizuri. Mzee Kibandiko alipokuwa mita chache japo kigiza kilianza kuchanganya aliweza kubaini aliyekuwa kamtaiti ‘mtu’ alikuwa ni Beka akajikuta akijisemea moyoni CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ ‘shabashi’. Msemo huo alikuwa akipenda sana kuutamka alipofurahisha na jambo kwani hakutegemea kabisa kama Beka angeweza kumtaiti mtu kwa jinsi alivyokuwa akimfahamu. Kutokana na mzee huyo kuwa na akili zilizomtosha mwenyewe, akasema moyoni kwamba lazima aufuatilie mpambano wa Beka na msichana aliyekuwa naye hadi mwisho. “Haya ndiyo mambo ninayoyataka, mtoto wa kiume lazima uoneshe urijali wako, sasa sijui huyu ndiye aliyemla kuku wake na kumtoa wekundu wa msimbazi?” mzee Kibandiko aliwaza. Wakati mzee huyo kabana pale chocho na Beka na Rey wakiwa wanashikana hapa na pale, wakatokea vijana wawili. Mzee Kibandiko alipowaona alijifanya anajisaidia haja ndogo, wale vijana waliposogea mbele Beka na Rey waliwaona wakatimua mbio kila mtu na njia yake. Kitendo hicho kilimkera sana mzee Kibandiko akaishia kutoa msonyo mkubwa na kuwalaumu wale vijana kusababisha Beka na Rey kutimka. “Hawa vijana wa hili jiji wamepinda kweli, si umewaona walivyoachiana fasta na kutimua mbio?” mmoja wa wale vijana alimwambia mwenzake. “Yaani ni balaa, sema hatukujua tungewashtukia mapema tungejibanza ili tuone mchezo hadi mwisho yule jamaa lazima angemchinja mtoto, wewe si umeona uchochoro ulivyotulia?” kijana mwingine alimwambia mwenzake wakacheka. Hata hivyo, kijana mwingine machale yalimcheza kwamba hata mzee CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Kibandiko alikuwa akiwachabo wale vijana. “Kwa nini unasema hivyo?” kijana mwingine alimwuliza mwenzake. “Wewe elewa hivyo kwani wakati tunakaribia lile eneo nilimuona akiwa ametulia anawaangalia lakini alipotuona akajifanya anajisaidia na tulipotoka katoa msonyo wa nguvu,” yule kijana akamwambia rafiki yake, wakacheka. “Ila kweli maana kuna baadhi ya wazee wa huu mji wamepinda na wanapenda sana mambo hayo,” kijana wa pili alimwambia mwenzake. Baada ya wale vijana kuendelea na safari huku maongezi yao yakiwa juu ya Beka na Rey waliokuwa wametimua mbio, mzee Kibandiko aliendelea kuwalaani kwa kumuharibia picha yake. “Hata hivyo, Beka anazidi kunipa raha maana mtoto wa kiume anafuata nyao zangu mwaka huu utakuwa ni wa zawadi kemkem kwake,” mzee huyo alijisemea moyoni. Wakati mzee huyo ameshika njia kuelekea nyumbani kwake, Beka na Rey waliotoka nduki hawakuweza kuonana tena kwani kila mmoja alikwenda kwao. Beka alipofika nyumbani mtu wa kwanza kukutana naye alikuwa mama yake aliyemkuta anaandaa chakula jikoni. “Mama za wakati huu!” Beka alimsabahi mama yake. “Nzuri mwanangu, mbona hivyo?” mama alimwuliza. “Vipi mama?” Beka alimwuliza mzazi wake. Mama yake akamwuliza mbona alikuwa amechelewa kurudi nyumbani alikuwa wapi, Beka alimdanganya kwamba alikuwa kwa rafiki yake Zuberi kujisomea. Kwa kuwa mama huyo alikuwa akifurahishwa sana na tabia ya mwanaye kupenda kujisomea, alimfagilia sana kisha akamwambia aende akaoge ili ale. Beka alimshukuru mama yake akaenda kuoga, akiwa bafuni baba yake alirejea akiwa mwenye furaha kwani alikuwa akiimba. Mkewe aliyekuwa anamfahamu vizuri mumewe anavyokuwa akifurahi, alijua alikotoka alifurahishwa na jambo flani, akamuuliza: “Haya mwenzangu umefurahishwa CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ na nini na kama umepata pesa nami nigaie,” mama huyo alimwuliza mumewe akiwa kanyoosha mkono kusubiri apewe ‘mpunga’. “Yaani mke wangu, kadiri siku zinavyokwenda mwanao Beka anazidi kunipa raha na kuniongezea siku za kuishi hapa duniani!” mzee huyo alimwambia mkewe. “Kwani kafanyaje na unaposema anakuongezea siku za kuishi yeye kawa Mungu?” mkewe alimwuliza. Kufuatia kuulizwa hivyo, mzee Kibandiko alicheka sana na kumwambia aliposema anamuongezea siku anamaanisha mtu anapokuwa na furaha siku zake za kuishi zinaongezeka. “Kweli baba Beka una mambo, haya niambie mtoto kafanyaje kilichokufurahisha nami niungane nawe kufurahi!” mama huyo alimwambia mumewe. Je, baada ya kuulizwa hivyo na mkewe atafunguka kuhusu Beka kuanza kuwashughulikia ‘viumbe’? Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Beka aliyekuwa akichezeana na Rey kichochoroni alipotimua mbio na kurudi nyumbani ambako alimkuta mama yake, akamsabahi. Je, baada ya kumsalimia mama yake kilifuatia nini? Songa mbele Kufuatia kusalimiwa na Beka, mama mtu alimwambia habari za pale nyumbani zilikuwa nzuri kisha akamuuliza kulikoni? “Kwani vipi mama?” Beka alimwuliza mzazi wake. Mama yake akamwuliza mbona alikuwa amechelewa kurudi nyumbani alikuwa wapi, Beka alimdanganya kwamba alikuwa kwa rafiki yake Zuberi kujisomea. Kwa kuwa mama huyo alikuwa akifurahishwa sana na tabia ya mwanaye kupenda kujisomea, alimfagilia sana kisha akamwambia aende akaoge ili ale. Beka alimshukuru mama yake akaenda kuoga, akiwa bafuni baba yake alirejea akiwa mwenye furaha kwani alikuwa akiimba. Mkewe aliyekuwa anamfahamu vizuri mumewe anavyokuwa akifurahi, alijua alikotoka alifurahishwa na jambo flani, akamuuliza: “Haya mwenzangu umefurahishwa na nini na kama umepata pesa nami nigaie,” mama huyo alimwuliza mumewe akiwa kanyoosha mkono kusubiri apewe ‘mpunga’. “Yaani mke wangu, kadiri siku zinavyokwenda mwanao Beka anazidi kunipa raha na kuniongezea siku za kuishi hapa duniani!” mzee huyo alimwambia CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ mkewe. “Kwani kafanyaje na unaposema anakuongezea siku za kuishi yeye kawa Mungu?” mkewe alimwuliza. Kufuatia kuulizwa hivyo, mzee Kibandiko alicheka sana na kumwambia aliposema anamuongezea siku anamaanisha mtu anapokuwa na furaha siku zake za kuishi zinaongezeka. “Kweli baba Beka una mambo, haya niambie mtoto kafanyaje kilichokufurahisha nami niungane nawe kufurahi!” mama huyo alimwambia mumewe. “Wewe elewa mwanao ananipa raha sana na mwaka huu utakuwa wa zawadi kwake, chochote atakachohitaji kilichopo ndani ya uwezo wangu nitampatia,” mzee Kibandiko alimwambia mkewe. “Kwa hiyo ndiyo hutaki kuniambia alichokifanya Beka?” mama Beka alimwuliza mumewe. Alipoulizwa hivyo, mzee Kibandiko aliendelea kucheka na kumweleza mkewe kwamba Beka alikuwa amekua ndiyo jambo linalomfurahisha. “Sasa wewe ulitaka mtoto asikue, yaani wakati mwingine na wewe baba Beka sijui unakuwaje, mimi nilikuwa najua sijui mtoto kafanyaje kumbe unaongelea suala la kukua?” mkewe alimwambia mumewe. Kabla mzee huyo hajamjibu mkewe Beka aliyemaliza kuoga aliingia sebuleni, wazazi wake wakakatisha maongezi yao. “Sema jembe langu, mbona leo umechelewa kuoga maana siyo kawaida yako!” mzee huyo alimwuliza mwanaye. “Ni kweli baba, nilipotoka kucheza mpira na wenzangu nilipitia kujisomea kwa rafiki yangu Zuberi,” Beka alimdanganya baba yake bila kufahamu alikuwa anajua alikochelewa. Kufuatia Beka kutoa kauli hiyo, mzee Kibandiko aliacheka kwani alikumbuka jinsi mwanaye aliyekuwa ‘kamtaiti mtu’ walivyotoka baru pale kichochoroni. “Sasa baba Beka, unacheka nini si mwanao kakuambia alikopitia mpaka kachelewa kuoga?” mkewe alimwuliza. Mzee huyo ambaye moyoni aliwalaani sana wale vijana waliosababisha Beka na Rey kutimua mbio kabla hajaangalia picha hadi mwisho alipomaliza kucheka akaanza kuimba. “Kweli mume wangu leo umefurahi kwani unavyochekacheka, kwa kuwa umekataa kuniambia kilichokufurahisha endelea kuongea na mwanao ngoja niwaandalie chakula,” mkewe alimwambia. “Beka mwanangu siku hizi nakuaminia ile mbaya yaani unanipa raha sana, kesho kabla sijaenda kazini nitazungumza na wewe jambo flani, hivi zile nguo CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ ulikwishazinunua?” mzee huyo alimwuliza. “Nilipanga kwenda jana lakini nitaenda keshokutwa,” Beka aliyetaka kwenda shopping na Rhoda alimwambia baba yake. “Kama keshokutwa sawa, kesho nitakuongezea hela flani, sawa mwanangu?” mzee huyo alimwambia Beka. Beka akiwa na furaha alimshukuru baba yake bila kujua jambo lililomfurahisha baba yake ni kitendo chake cha kuwachangamkia mademu. Familia hiyo ilipomaliza kula, ilikaa sebuleni na kuangalia runinga lakini Beka ambaye alikuwa akimuwaza Rhoda na Rey aliwaaga wazazi wake akaenda chumbani kwake, akalala chali. Akiwa huko, alikumbuka siku ya kwanza alipomchinjia baharini Rhoda na jinsi alivyopagawishana vya kutosha na Rey mtoto mwenye chuchulee za kuchoma. Kufuatia kuwawaza mademu hao ndugu, si ‘mkuu wake wa kaya’ akachachamaa akaamua kumtuliza kwa kumshika ndiyo akazidi kuchachaamaa. Kama unavyojua kijana mbichi anavyokuwa na ‘power’ a.k.a nguvu anapokuwa ndiyo amemalizia kipindi chake cha kukua, Beka alipata tabu sana. Mpenzi msomaji , wiki iliyopita niliishia pale Beka alipoingia chumbani kwake na kuanza kumfikiria Rhoda na Rey kitendo kilichosababisha ‘ mkuu wake wa kaya’ kuchachamaa akaamua kumtuliza kwa kumshika ndiyo akaongeza majanga. Je, kilifuatia nini ? Songa mbele ENDELEA. .. Kijana huyo ambaye muda huo alikuwa yupo kama alivyokuja duniani, alijikuta amesimama akawa anazunguka chumba kizima huku kamshika ‘ mkuu wake wa kaya . ’ Hata hivyo , haikusaidia kwani alichokihitaji muda ule ni ‘ kiumbe ’ wa kumpa mkomboti wa nguvu lakini ikawa imekula kwake kwani hakuwepo Rhoda wala Rey . Baada ya kuteseka kwa dakikaa kadhaa alirukia kitandani ambapo aliapa kesho yake asubuhi na mapema kwenda kumsaka Rey nyumbani kwao na kwa kutumia fedha alizopewa na baba yake kuzama naye chimbo ili kuondoa udhia. Kwa kuwa muda ulikwenda hakuchukua muda mrefu akapitiwa na uzingizi, pale sebuleni mzee Kibandiko aliyekumbuka jinsi mwanaye Beka alivyomtaiti ‘Mutu ’ kichochoroni, si naye joto likampanda . Alichokifanya mzee huyo ambaye alikuwa anajimudu kila idara yaani akiwa katika uwanja wa fundi seremala lazima mtu alie na kwa upande wa kula chabo ndiyo usipime, alimwangalia mkewe jinsi alivyonona akajisemea moyoni : CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/-- “ Hata kama jana tulikutana leo sikuachi ng ’o hiyo ndiyo kazi uliyojia hapa kwangu . ” Baada ya kuwaza hivyo , akainua miguu yake na kuilaza mapajani mwa mkewe kisha akamkonyeza, mkewe akashindwa kujizuia kucheka. “ Nilijua tu kwa jinsi ulivyofurahi leo sitapona !” mkewe alimwambia. “ Umeona eh , nitakuwa mwanaume wa ajabu sana nisipokupa raha mke wangu si unajua hiki ndiyo ulichokifuata kwangu ?” mzee huyo alimwambia mkewe huku akimuonesha kwa ishara sehemu yake kuu. Mkewe akiwa anacheka kutokana na vituko vya mumewe , mzee Kibandiko alikuwa ameinuka na kaanza kuyashambulia maeneo ya moto ya mkewe, mama wa watu akaanza kuhemka . Wanandoa hao waliendelea kuleteana fujo pale kwenye kiti si mzee Kibandiko akaanza kutoa kiwalo kimoja kimoja cha mkewe. “ Baba Beka bwana! Hivi unajua mwanao anaweza kuingia huku sebuleni?” mkewe alimwuliza . “ Kwa ninavyomjua hawezi kuja kwa sababu akilala huwa hana kawaida ya kuamka mpaka asubuhi, shaka ondoa mama!” mzee Kibandiko alimwambia mkewe na kuliminya ziwa moja la mkewe, mkewe akajirusha juu. “ Haya bwana , ila mwenzio sina amani kabisa , hivi kwa nini tusiende chumbani?” mkewe alimwuliza . Kufuatia kuulizwa hivyo , mzee Kibandiko ambaye macho yalimuiva alimwambia kama Beka akiingia sebuleni na kuwakuta ndiyo akili itamkaa sawa . “ Eh ! Mtoto kuona tunavyofanyiana akili itamkaa sawa ! Ila wewe baba Beka inaonekana kichwa chako hakiko sawa !” mkewe alimwambia . Baada ya mkewe kutoa kauli hiyo , mzee Kibandiko alimuachia mkewe akainuka na kuelekea kwenye mlango wa sebuleni . Mkewe alipata wasiwasi na kufikiria alimkera mumewe alipomwambia kama kichwa chake kilikuwa sawa , akawa anamuangalia. Mzee huyo ambaye ‘mkuu wake wa kaya ’ alikuwa kachukia kweli alipoufikia mlango wa kuingia vyumbani, aliufunga kwa funguo . “ Umeamini nina akili timamu , sema lingine, ” mzee Kibandiko alimwambia mkewe aliyeishia kucheka. “ Kwa kuwa walijua Beka asingeweza kuingia sebuleni, mzee huyo ambaye alikuwa na staili zake flani hivi kama kumi za yake mambo yetu , akamnyonyoa manyoa yote mkewe naye akayatoa yake . Kwa kuwa alimpania sana wife wake , alimshika sehemu zote alizojua mkewe akishikwa lazima aimbe nyimbo za kabila lake , alipoona kaiva , akambetua na sijui alimzungushaje pale kwenye kiti mama akaanza kulia kwa raha! Mzee huyo ambaye CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ ana falsafa yake isemayo kwamba ‘unayoifanya nyumba ndogo muwapo faragha yawe mara tatu kwa mkeo ’ alimpa mambo mazito mkewe mpaka akawa hoi. “ Baba Beka wewe ni noma , leo nitalala kama mfu, ” mkewe alimwambia baada ya kupewa bakora mbili za uhakika . “ Hivyo ndivyo ninavyotakiwa kukufanyia mke wangu, kama umeshiba nashukuru haya twende tukalale , ” mzee huyo alimwambia mkewe. Wanandoa hao walitoka pale sebuleni wakiwa wamebeba nguo zao mikononi, mzee huyo alifungua mlango wakanyoosha kuelekea chumbani kwao . “ Saa hizi humuogopi mwanao?” mzee Kibandiko alimtania mkewe wakati wanaingia chumbani kwao wakiwa watupu . Mkewe alipoambiwa hivyo alicheka sana na walipoingia chumbani mama huyo alifikia kujibwaga kitandani maana alikuwa kavurugwa haswa na mumewe ambaye aliimudu vyema tasnia ya mapenzi.



    Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mzee Kibandiko na mkewe walipoingia chumbani baada ya kupagawishana vya kutosha na mama huyo kufikia kujibwaga tii kitandani.

    Je Kutokana na kuchoka walilala kama wafu, pamoja na usingizi waliokuwanao, ilipofika saa kumi na mbili alfajiri mama huyo alikuwa wa kwanza kuamka kwa ajili ya kumuandalia maji ya kuoga mumewe na chai.

    Mzee huyo alipokunywa chai, alimpa mkewe shilingi 30,000 na kumwambia ampatie Beka aongezee kwa ajili ya kununua nguo.

    “Hivi ndiyo hutaki kabisa kuniambia alichokufurahisha mwanao jana baba Beka?” mkewe alimwuliza.

    “Wewe elewa mwanao ananipa raha sana, subiri nikirudi nitakwambia,” mzee Kibandiko alimwambia mkewe kisha alimuaga akaenda kazini.

    Ilipofika saa mbili kamili Beka ambaye walikuwa likizo aliamka, alimuamkia mama yake akaenda kupiga mswaki na kuoga.

    Akiwa bafuni alikumbuka alivyokuwa akikichezea kifua kibichi cha Rey pale uchochoroni na siku aliyomtoa wekundu wa msimbazi Rhoda, mkuu wake wa kaya akacharuka si kidogo.

    Hata hivyo, hakuwa na ujanja zaidi ya kupanga kwenda nyumbani kwa akina Rhoda ili kufanya kila aliloweza kuhakikisha anampata mmoja wao.

    “Leo lazima nimpate Rey au dada yake, siwezi kuumia namna hii!” Beka aliwaza.

    Alipomaliza kuoga alikwenda sebuleni na kukuta mama yake kamuandalia chai, alipomaliza kunywa akajibwaga kwenye sofa na kuwasha runinga.

    Wakati anaangalia runinga, alikuwa anapanga namna ya kuondoka nyumbani muda ule wa asubuhi ili kwenda kwa akina Rhoda.

    “Sijui nimwambieje mama ili aniruhusu kutoka hapa nyumbani muda huu, najua ataniuliza nakwenda wapi!” Beka aliwaza.

    Akiwa anawaza hivyo, mama yake aliyeingia chumbani kwake akatoka akiwa amebadili nguo na mkononi kabeba mkoba.

    “Beka mwanangu, shangazi yako Mwajuma wa Maramba anaumwa sana tumepigiwa simu usiku, hivi naelekea huko,” mama huyo alimwambia mwanaye.

    Beka alipoambiwa hivyo alisikitika na kumuuliza mama yake kama wangeweza kwenda wote.

    Mama yake alimwambia kwa kuwa pale nyumbani hapakuwa na mtu abaki na nyumba kwani alitarajia kwenda kukaa huko siku moja au mbili kutegemeana na hali ya mgonjwa.

    Beka alimpa pole mama yake na kumuuliza kama baba yake alitangulia Maramba, mama mtu alimfahamisha kwamba alikuwa kaenda kazini kwao kuomba ruhusa.

    Baada ya kuzungumza mawili matatu kuhusu mgonjwa, mama huyo alimpatia Beka shilingi 30,000 na kumwambia alipewa na baba yake.

    “Hizo pesa baba yako kaniambia nikupe anasema unamfarahisha sana siku hizi, sijui unamfurahisha kwa lipi?” mama huyo alimwuliza Beka.

    Beka aliyepigwa na butwaa kwa kupewa fedha hizo alimwambia mama yake alihisi baba yake alifurahi kutokana na kufanya vizuri kimasomo.

    “Nahisi itakuwa hivyo, soma mwanangu uje utusaidie baadaye, ” mama huyo alimwambia Beka.

    Beka alimshukuru sana baba yake ndipo mama yake alimuaga, wakiwa wamesimama kibarazani, ilitokea baiskeli ya kukodi mama akaisimamisha na kumwambia kijana aliyekuwa akiiendesha ampeleke stendi, akapanda na safari ya stendi ikaanza.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mama yake alipoondoka, Beka aliyekuwa na furaha kwa kupewa fedha na baba yake, aliingia ndani akazima runinga na kuwasha redio kwa sauti kubwa akaanza kucheza muziki.

    Akiwa anapata burudani hiyo kwa mbali alisikia sauti ya mtu akibisha hodi, awali aliipuuzia lakini mtu aliyekuwa akibisha hodi akaendelea.

    Kufuatia hodi hiyo, alipunguza sauti ya redio na kwenda kufungua mlango, hakuamini macho yake alipomuona Rhoda, moyo wake ukapiga pa kwa furaha.

    Kutokana na furaha, alimkumbatia wakabusiana kisha wakashikana viunoni kama bwana na bibi harusi na kuelekea ndani.

    Wawili hao walifikia kujibwaga kwenye sofa ambapo Beka alimwambia Rhoda kwamba hakuamini kama alikuwa yeye.Je, kilifuatia nini?” Usikose uhondo huu wiki ijayo.



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog