Search This Blog

Monday, October 24, 2022

CHACHANDU ZA BEKA WA TANGA - 3

 





    Chombezo : Chachandu Za Beka Wa Tanga

    Sehemu Ya Tatu (3)





    Rhoda aliyekuwa amevaa sketi fupi iliyombana na kuonesha hipsi zake ‘ tamu ’, alipomkaribia Beka akasimama na kumwambia kama hakujali amkaribishe kwa kumkumbatia na kumbusu. Beka alipoambiwa hivyo , aliduwaa akawa anamuangalia Rhoda , msichana huyo aliyekuwa anajua alichokuwa anakifanya aliachia tabasamu pana na kumwita Beka . “ Nakusikia Rhoda ,” akamwambia . “ Kama umenisikia mbona hufanyi kama nilivyokuomba mwenzako, au hunipendi ?” Rhoda akamuuliza. Kufuatia kuulizwa hivyo , Beka alijikuta akiishiwa ujasiri akasimama na kumfuata Rhoda, kwa mara ya kwanza tangu alipozaliwa akazungusha mikono yake kiunoni mwa binti huyo na kumbusu shavuni . Rhoda naye hakumchelewesha , alirudishia busu hilo lakini kwa kujiongeza ambapo alimbusu kwenye mashavu yote na kumalizia midomoni, Beka akapata msisimko wa ajabu . “ Asante Beka , sasa nimeamini unanipenda, ” Rhoda ambaye tayari alikuwa kishamaliza kazi iliyokuwa ikimkabili akamwambia Beka . Kwa kuwa muda huo giza lilikuwa limeingia , Beka na Rhoda walikaa kwenye lile gogo la mnazi wakaanza kupiga stori. “ Niambie Beka CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ umejisikiaje uliponibusu nami nilivyokubusu ?” Rhoda alimwuliza Beka . “ Nashindwa namna ya kuelezea hali niliyohisi yaani hadi muda huu sijakaa sawa , ” Beka aliyekuwa hajui chochote kuhusiana na mapenzi akafunguka. “ Hujakaa sawa kivipi jamani ?” Rhoda alimwuliza . “ Mwili umenisisimka sana yaani sijawahi kupatwa na hali kama hii tangu nilipozaliwa , ” Beka alimwambia Rhoda. “ Huo ndiyo ukubwa Beka , wewe kila siku upo nyumbani eti unamsaidia mama yako kuchota maji sijui kufanya nini, haya mambo ya vijana utayajulia wapi ? Beka akiwa anasikilizia hali aliyoipata , Rhoda alimfuata alipokuwa amekaa akamuinua na kuzungusha mikono kiunoni mwake. Hakutaka kumpa nafasi , alimvutia kifuani kwake na kusigusanisha embe ‘ dodo ’ zake tamu mwilini mwa Beka kisha akambusu shavuni mwaaa ! Kitendo hicho kilimfanya Beka asisimke si kidogo, kwa jinsi Rhoda alivyokuwa mtundu akamuomba naye amchumu shavuni , kijana wa watu akafanya hivyo . Baada ya Beka kumchumu Rhoda, ikawa kama kuwafungulia kuku bandani , Rhoda akafungua vifungo vya shati la Beka akaanza kukichezea kifua chake. Beka alizidi kupagawa sana kwani kila kitu alichofanyiwa na dada huyo kilimpa raha ya kikubwa ambayo hakuwahi kuipata , jinsi Rhoda alivyokuwa mchokozi akamwita ; “ Beka !” Kutokana na msisimko alioupata, Beka akashindwa kuitika akaishia kuhema tu utafikiria majogoo yaliyokuwa yakigombana kisa, mmoja wao kuingilia anga za mwenzake. “ Beka mwenzio si nimekuita?” Rhoda ambaye moyoni alijisemea kwamba leo huchomoi lazima kieleweke , alimwuliza kijana huyo. “ Yaani da !” Beka alishindwa kuzungumza kwa kirefu. “ Dar nini mpenzi wangu ?” Rhoda alimwambia hivyo na kulisindikiza swali lake na busu zito kwenye shavu lake Kitendo cha kupigwa busu kilimchanganya kabisa Beka aliyeishia kuduwaa kwa vile mambo ya malovee hakuyajua kabisa . Rhoda ambaye alikuwa ana ‘ idea’ ya mapenzi kwa vile alikuwa akipenda sana kuangalia majirida CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ na picha za kikubwa akiwa na wenzake , aliamua kufanya mazoezi ya vitendo kwa kijana huyo wa mzee Kibandiko. Kumfanyia vimbwanga zaidi , alikaa kwenye gogo la mnazi kisha alimvuta Beka aliyekuwa kaangalia mbele na kuangukia kwenye mapaja yake tii! Binti huyo ambaye kama ungebahatika kumuona usingeamini kama hakuwahi kula pipi ya kikubwa kwa vituko vyake , alipohakikisha Beka amekaa katikati ya mapaja yake , akapitisha mikono ndani ya shati alilovaa . Kwa kuwa alipania siku hiyo kumuweka sawa kijana huyo mpaka atoe maombi ya kukutana kesho yake kwa ajili ya mtanange rasmi , alianza kumsugua mgongoni Beka taratibu na kuzunguka maeneo ya nyonga zake . Beka aliweweseka si kidogo, mtoto wa kiume akawa anasinzia , kufumbata mdomo na kuuachia wazi kwa raha ya dunia . Kutokana na utundu uliopitiliza, binti huyo alijiongeza mbele zaidi kwa kuupeleka mkono wake wa kulia hadi ‘ nyumba kuu’ na kukutana na mfalme mwenyewe akiwa kachangamka , akatabasamu na kumeza funda la mate. Kwa vile alijua eneo hilo likifanyiwa fujo hata kiwe kidume kigumu kiasi gani kitalegea kama siyo kupiga kelele , akalivamia, Beka akachachawa kabisa . “ Rhoda haya ndiyo wanasemaga ni mapenzi?” Beka alimwuliza Rhoda kwa sauti iliyotulia kwani wakati huo alikuwa hajiwezi . “ Tena hapo bado, yaani mapenzi ni matamu sana kwa watu waliopendana sema wewe mwenzangu wala hunifurahishi !” Rhoda alimwambia Beka . “ Sikufurahishi kivipi?” Beka alihoji . “ Si hunifanyii kama ninavyokufanyia jamani Beka ?” Rhoda alimwambia Beka kwa sauti ya kulalamika flani hivi . “ Kufanya kama unavyonishika ?” Beka aliyekuwa mbumbu wa malovee alimwuliza . “ Sasa je, tena wewe inatakiwa uzidishe mara dufu halafu kama ungechezea embe zangu ningefurahi sana !” Rhoda alifunguka . je, Beka atakula tunda?? usikose... wakati vijana hawa wanafanya yao pale chini ya mwembe, kumbe mzee kibandiko alikua akiwachabo na ndipo alipoamua kupiga mluzi huku akielekea upande wao na ndipo zoezi zima la malovee likafikia kikomo. kutokana na uwoga walioupata baada ya mluzi huo wakatimua mbio kila mtu upande wake.. CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Kwa upande wa Rhoda , kitendo kilichotokea alikichukulia kama nuksi kwa vile kilitokea siku ya kwanza kuwa na Beka aliyekuwa akimpenda sana. ¡° Jamani sijui nuksi gani hii , leo ndiyo mara yangu ya kwanza kuwa na nimpendeye halafu yanatokea haya!¡± Rhoda aliwaza . Hata hivyo , msichana huyo alipanga siku iliyofuata kwenda nyumbani kwa akina Beka kwa lengo la kumuweka sawa ili wakutane gesti ambako wangekuwa huru kufanya mambo yao. Baada ya Beka kufika nyumbani kwao mama yake alishituka kumuona anahema na raba alizovaa zikiwa na matope . ¡° Beka umepatwa na nini mwanangu ?¡± alimwuliza . Kumuondoa wasiwasi mama yake , Beka alimdanganya kwamba wakati anarudi alikutana na mbwa walioanza kumkimbiza ndipo aliingia kwenye tope. Baada ya kuambiwa hivyo , mama huyo alianza kumlaumu mumewe kufuatia kumtuma Beka kwa shangazi yake wakati muda uliisha . ¡° Yote hayo kasababisha baba yako aliyekutuma kwa shangazi yako , sasa hao mbwa wangekung¡¯ata si ingekuwa balaa? Ngoja arudi !¡± mama huyo aliwaka ¡° Nimesikia yote uliyosema , kosa langu lipi wewe mwanamke ¡- kumtuma mtoto nimefanya kosa ?¡± mzee Kibandiko alimwuliza mkewe. mama beka: ndio umekosea sana lakini mzee huyo aliyekuwa anajua kilichotokea alimwambia hakufanya kosa kumtuma Beka na kilichotokea ilikuwa bahati mbaya tu ! ¡° Wewe sema bahati mbaya tu , mimi sipendi mwanangu apatwe na mabalaa ya kizembe, ¡± mama Beka alimwambia mumewe . ¡° Mama kama alivyokuambia baba , imetokea bahati mbaya , halafu giza likiingia sitapita tena ile barabara ya kwa mzee Mwidodi kwani wale mbwa wake wakali sana, ¡± Beka alimwambia mama yake . Kauli hiyo ya Beka ilimfurahisha sana baba yake ambaye moyoni alimshukuru sana Rhoda kumchangamsha maana kwa alivyokuwa awali asingeweza kutunga uhongo huo . ¡° Sasa unacheka nini?¡± mke wa mzee Kibandiko alimwuliza mumewe aliyekuwa akicheka kufuatia kauli ya kijana wao . CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ ¡° Si ushapu wa mwanao , asingetimua mbio angeng ¡¯ atwa, ¡± mzee huyo alimwambia mkewe. Mama huyo alipoona mtoto na baba wanasaidiana, akawaacha huku akimwambia mumewe akae akijua hapendi mwanaye atembee usiku . ¡° Sawa mama nimekuelewa lakini kumbuka huyu ni mtoto wa kiume!¡± mzee huyo alimwambia mkewe. Baada ya mama Beka kuelekea jikoni , mzee Kibandiko alimwambia Beka kwamba alikuwa kamfurahisha sana. Beka bila kujua kama mzazi wake alishuhudia kila kitu kilichoendelea kule uwanjani alipokuwa na Rhoda na ndiye waliyemkimbia baada ya kupiga mluzi, alisema asante . Alimshukuru mzazi wake akifikiria alifurahi pale alipomwambia mama yake kwamba tukio la kukimbizwa na mbwa lilikuwa bahati mbaya. ¡° Yaani mwanangu huo ndiyo uanaume, mwanaume hutakiwi kuwa goigoi, ¡± mzee huyo alimwambia kijana wake lakini alishindwa kufunguka alichomaanisha . Kufuatia furaha aliyokuwanayo baada ya kubaini siku yoyote Beka angeanza zoezi la kikubwa kwa ushawishi mkubwa wa Rhoda , mzee huyo alimwambia atamtafutia zawadi . ¡° Hivi Beka una suruali ngapi za jinzi pamoja fulana?¡± mzee huyo alimwuliza . ¡° Nne tu na moja inanibana , fulana zipo tano lakini ile nyeusi uliyoninunulia wakati wa harusi ya dada Sikitu imechuja rangi siku hizi siivai, ¡± Beka alimwambia mzazi wake . ¡° Oke, kesho nitakupatia fedha ukanunue nguo unazozitaka ,¡± mzee huyo alimwambia kijana wake . ¡° Asante baba , fedha hizo uje umpe mama ndiyo ataninunulia kama anavyofanyaga, ¡± Beka alimwambia baba yake . Kufuatia kijana huyo kutoa kauli hiyo , mzee huyo alicheka na kumwambia Beka aachane na mama yake kwani alikuwa amekua hivyo alipaswa kununua nguo anazozipenda na si kununuliwa . ¡° Kwa kuwa wewe ni kijana , nikikupa fedha hizo muombe yule binti rafiki yako unayejisomea naye akusindikize mjini kufanya shopping , unaonaje ?¡± mzee Kibandiko alimshauri . Beka alipoambiwa hivyo alifurahi na CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ kukubaliana kwa asilimia mia moja na baba yake , baada ya maongezi ya hapa na pale Beka alikwenda kuoga. ¡° Ushauri wa baba upo poa sana, nikukutana na Rhoda nitamwambia ishu hiyo najua naye atafurahi kunisindikiza kufanya shopping, ¡± Beka aliwaza. Alipomaliza kuoga alirejea sebuleni na kukuta chakula kikiwa tayari akajumuika na wazazi wake kupata mlo baadaye walikwenda kulala . Kulipokucha, Beka alikwenda shuleni ambako alikutana na rafiki zake akina Moddy , walisoma mpaka muda wa kurudi nyumbani ulipowadia. Wakiwa njiani na rafiki zake , Moddy akaanzisha stori za demu wake Tatu ambaye jana yake alikuwanaye geto kwake wakichangamshana damu . ¡° Mazee siyo siri mtoto yupo vizuri sana tena sana halafu ananipenda mno kwa sababu mimi ndiye kidume chake cha mbegu , ¡± Moddy aliwaambia wenzake . Wakati Moddy akisimulia hivyo , Beka ambaye hakuwa kuduu hata siku moja alikuwa akimsikiliza kwa makini lakini hakumuelewa aliposema alikuwa kidume chake cha mbegu akaamua kumuuliza: ¡° Unaposema kidume cha mbegu unamaanisha nini?¡± Kufuatia swali hilo, Moddy na wenzake walimcheka Beka na kumwambia alikuwa mwanaume suruali ndiyo maana hakujua alimaanisha nini. Mpenzi msomaji, sehemu iliyopita niliishia pale Beka aliposhambuliwa na rafiki zake akina John na Moddy waliomwambia alikuwa mwanaume suruali kufuatia kutokuwa na demu kama wao nk . Je , baada ya kuambiwa hivyo kilifuatia nini? Twende mbele Mambo hayo tunayajua sisi vidume vya mbegu wewe kaendelee kumsaidia mama yako kuosha vyombo na kuchota maji, kijana gani umekua halafu huna hata demu !” Samson alimrushia kijembe Beka . Akiwa amekosa raha kutokana na kushambuliwa na wenzake , Moddy akamwambia aliposema alikuwa kidume cha mbegu cha Tatu alimaanisha ndiye aliyemla kuku wake . Beka alipoambiwa hivyo , alichanganywa kabisa kwani hakuelewa aliposema ndiye CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ alimla kuku wake alimaanisha nini, akamuuliza tena. “ Wewe ----- kweli, namaanisha mimi ndiye niliyemuingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi yaani mwanaume wake wa kwanza kutoka naye, ” Moddy alimwambia . “ Hahaa !” Beka alishangaa. “ Hahaa nini kijana ? Tafuta demu uwe kama sisi, tunajua unapenda kusoma lakini kuwa na mpenzi hakuna ubaya , ” John aliyekuwa kimya kwa muda mrefu alimwambia Beka . Beka na wenzake waliendelea kupiga stori hadi walipoachana , Moddy na John wakaelekea njia moja ambapo njiani waliendelea kumsengenya Beka kwa tabia yake ya kushinda nyumbani na kutokuwa na demu . Kwa upande wa Beka alipokuwa akielekea kwao aliumizwa sana na vijembe vya wenzake na kujisemea moyoni kwamba lazima atoke na Rhoda haraka iwezekanavyo. “ Tena leo akija nyumbani namwambia waziwazi kwamba nataka naniii ili nami nione raha yake kwani nina tofauti gani na akina John ?” Beka aliwaza . Alipofika nyumbani alimkuta mama yake akiosha vyombo , alimsalimia na kuingia ndani alikobadili nguo na kupata msosi . Ilipofika jioni akiwa amekaa sebuleni mama yake aliyekuwa nje alimwita akaenda kumsikiliza, ile anafungua mlango wa uani akamuona Rhoda akaachia tabasamu pana na kumkaribisha . Mama yake alipoliona tabasamu la Beka akaguna ndani kwa ndani na kujisemea moyoni, ‘ mwanangu atakuwa anampenda huyu binti . ’ “ Karibu Rhoda , hivi nilikuwa najiandaa kwa ajili ya kujisomea, ” Beka alimkaribisha Rhoda na kuangusha tena tabasamu pana . “ Asante , nami nilipomaliza kazi nimemuaga mama kwamba nakuja huku kujisomea ,” Rhoda alimwambia Beka na kutabasamu na kusababisha kidimpoz chake cha shavu la kushoto kutokeza . “ Huyu binti huwa namuona lakini sikuwahi kumchunguza kwa makini, Beka angekuwa kafikisha umri wa kuoa ningemwambia amuoe kwani mzuri sana!” mama Beka aliwaza. Hata hivyo , mama huyo alijishika ujinga wa kuwaza mambo ambayo aliamini CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ yasingewezekana akawaambia akina Beka kwamba walikuwa wanampa raha sana kwa tabia yao ya kupenda kujisomea. “ Kama mtaendelea na utaratibu wenu huo wa kujisomea mtafika mbali tena mtakuja kuwa watu wakubwa katika nchi hii !” mama huyo aliwaambia akina Beka bila kujua kama walianza kunyemeleana . “ Tunashukuru mama kwa kauli yako ya baraka , tunakuahidi utayashuhudia mafanikio yetu panapo majaliwa,” Rhoda alimwambia mama Beka . “ Nafurahi sana mwanangu kwa maneno yako mazuri , ” mama Beka alimwambia Rhoda. Baada ya kuzungumza na mama huyo, Beka alimkaribisha Rhoda ndani wakaanza kujisomea lakini kwa kuwa mengi waliyokuwa wakizungumza yalisikiwa na mama, Beka akamshauri wakakae kibarazani . Wakati wanafungua mlango wa kibarazani mama yao aliwauliza kwa nini waliamua kutoka nje, Beka akamwambia walihisi joto . Kufuatia kupewa jibu hilo aliwaambia kwa nini wasingewasha feni , Beka akamwambia waliamua kubana matumizi ya umeme. “ Huyu Beka atakuja kuwa mchumi wa taifa hili yaani ana akili kama baba yake , sema baba yake ana mizaha mingi , ” mama huyo alijisemea moyoni . Beka na Rhoda wakiwa kibarazani walianza kujisomea lakini mara kwa mara walikuwa wakitazamana kimahaba na kujikuta wanacheka. “ Ila Beka siyo utani wewe mzuri halafu kila nikuonapo napata hisia fulani hivi , basi tu !” Rhoda alimwambia Beka na kumrembulia macho . Ingawa Beka hakuwahi kuduu , maneno ya Rhoda na jinsi alivyomuambia kwa hisia za mahaba alijikuta anapatwa na hali fulani hivi ya damu kumchemka . “ Mimi mwenyewe nashangaa tangu tulivyokutana jana kule uwanjani kila nikikufikiria nasisimkwa sana ,” Beka alimwambia Rhoda. Kila mmoja akiwa anamweleza mwenzake hisia anazokuwanazo, walisikia mama akitembea wakabadili maongezi na kujifanya wapo bize kujisomea. “ Safi sana wanangu, nyie jiteseni kwa kusoma kwa bidii ili baadaye mje kuwa na maisha mazuri , ” mama huyo aliwaasa wanawe hao . CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ “ Sasa wanangu nawaacha peke yenu nakwenda kumuona mgonjwa, Rhoda kama utaondoka kawasalimie nyumbani maana nitachelewa kurudi , ” mama huyo aliwaambia. K abla mama huyo hajaondoka alimwambia Beka kwamba hata baba yake atachelewa kurudi kwani naye atakwenda msibani hivyo awe makini na kwamba mlango wa uani aliufunga. “ Sawa!” Beka alimwambia mzazi wake . Baada ya mama yake kuondoka , wawili hao walitazamana usoni kisha kutabasamu kwani walijua walikuwa huru kuendelea pale walipoishia jana. “ Rhoda!” Beka alimwita Rhoda . Rhoda alipoitika Beka alimwambia anaomba waingie ndani , msichana huyo aliyefurahia kupatikana kwa nafasi hiyo alikusanya madaftari wakaingia na kuketi kwenye sofa . Wakiwa hapo , Beka akasikia sauti ya rafiki yake Moddy ikijirudia kichwani mwake: “ Mazee siyo siri mtoto yupo vizuri sana tena sana halafu ananipenda mno kwa sababu mimi ndiye kidume chake cha mbegu . ” Sauti hiyo ilipoishia alimsikia rafiki yake John akisema: “ Hahaa nini kijana ? Tafuta demu uwe kama sisi, tunajua unapenda kusoma lakini kuwa na mpenzi hakuna ubaya. ” Sauti hizo zilimfanya Beka apate hasira na kusema siku hiyo lazima afanye kweli tena chumbani kwake kwa lengo la kupata heshima. Je, atafanikiwa.?? baada ya beka kupandwa na hasira alijikuta amemvamia binti yule pale pale kwenye sofa, na kwakua binti nae alikua na hamu ya kuendeleza yale yaliyotokea mwembeni akampokea beka katika mapaja yake matamu kisha kuanza kupeana mabusu motomoto, wakapapasana kila kona ya miili yao huku mwili wa beka ukiwa na joto la hali ya juu ambalo lilihitaji kupozwa na mrembo yule.. hatimae beka akamuomba welekee uwanjani kwani mazoezi yalishatosha. chumbani kwa beka kulikuwepo na uwanja wa futi 3.5 ¡Á 6 ambao ulitosha kabisa kwa ajili ya mechi ya ufunguzi. walichojoana nguo zote na kubaki kama walivyo zaliwa na kuingia uwanjani kulisakata. beka aliekuwa mgeni katika tasnia ya mahabati alikua akipokea maelekezo machache kutoka kwa rhoda na kuyakuza kwa ubunifu wa hali ya juu " zishike embe dodo zangu,, kisha......ssssss aaaahhhh" kabla rhoda hajamalizia sentensi hiyo beka tayari alishaanza kuzinyonya..!!!! mzuka ulizidi kumpanda beka na sasa ulifika wakati wa kuingiza funguo katika kitasa kama ishara ya kufungua mlango... au kisu shingoni kama ishara ya kuchinja... hatimae kuku wa rhoda alisha chinjwa na kisu cha beka... wakati wakiendelea na shughuli hiyo ghafla mzee kibandiko akarejea nyumbani... taharuki ikawajia vijana wale. beka alitoka kwenda kumfungulia baba yake kwa hofu kubw. baada ya kufungua mlango beka alisalimiana na baba yake huku akielekea chumbani kwake upesi kuficha soo Mzee Kibandiko aliyekuwa na uhakika wa asilimia mia moja kwamba Rhoda alikuwa CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ chumbani kwa Beka, alifurahishwa sana na kitendo hicho. Kutoa nafasi ya Beka kumtoa Rhoda chumbani, alipomuuliza maswali kadhaa mwanaye huyo kuhusu mama yake na kuambiwa alikwenda msibani, akamwambia anaenda kupumzika kidogo chumbani kwake. Baada ya kuambiwa hivyo na mzazi wake, Beka alifurahi sana kwani alijua mzazi wake atakapokuwa chumbani angetumia mwanya huo kumtoa Rhoda bila kujua baba yake alikuwa amejiongeza zaidi. ¡°Sawa baba, nami naenda chumbani kwangu kujisomea,¡± Beka alimwambia baba yake. ¡°Wewe kijana, ulikoamkia wewe sisi tulikwishalala kitambo, ila sasa umekua mwanangu mimi napenda mtoto wa kiume awe shapu!¡± mzee huyo aliyekuwa na uhakika Rhoda alikuwa chumbani kwa Beka alijisemea moyoni. Beka alipoingia chumbani na kuona jinsi mashuka yalivyochafuka utafikiri kuku alichinjwa, alimpa pole Rhoda ambapo msichana huyo alisema asijali kwani licha ya maumivu aliyopata alifurahi sana ¡®kuku¡¯ wake kuliwa na mtu aliyekuwa anampenda. ¡°Sasa mimi nitaondokaje hapa, mzee wako si ataniona?¡± Rhoda aliyekuwa na hofu alimwuliza Beka. ¡°Wala usijali kaniambia anakwenda kujipumzisha chumbani kwake hivyo utatoka kwa kupitia mlango wa uani,¡± Beka alimwambia mpenzi wake Rhoda. Kufuatia hofu waliyokuwanayo, Rhoda aliyekuwa amevaa alimuomba Beka amfungulie mlango, kijana huyo alifanya hivyo akachukua madaftari yake wakatokea mlango wa uani bila kujua kama mzee Kibandiko alikuwa akiwachabo. Kutokana na Rhoda kutembea kwa kuchechemea kwa maumivu aliyopata, Beka ambaye ilikuwa mara yake ya kwanza ¡®kumuumiza¡¯ mtu alimuonea huruma na kuamua kumsindikiza. Huku nyuma baba yake aliyekuwa akiwachabo alifungua mlango taratibu na kuzama chumbani kwa Beka kufanya upelelezi kujua kama mwanaye alifanya kweli au la! Alipozama ndani hakuamini macho yake aliposhuhudia ¡®bedshiti¡¯ zikiwa vuluvulu na CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ wekundu wa msimbazi wakiwa wametapakaa, kwa alivyo mjinga acha ashangilie. ¡°Haya ndiyo mambo ninayoyapenda, mbuzi hawezi kujilaza miguuni mwa muuza supu halafu aachwe hivihivi, kudadeki Beka kawa kidume cha mbegu,¡± mzee Kibandiko alizungumza peke yake. Mzee huyo hakuishia hapo tu, aliahidi kumtafutia zawadi nzuri kwa kitendo cha kumla ¡®kuku¡¯ wa Rhoda. ¡°Licha ya kumpa zile fedha za kununua nguo, lazima nimtafutie zawadi nyingine kubwa, maana kaanza kufuata nyayo zangu,¡± mzee huyo hamnazo aliwaza. Baba wa Beka ambaye hakujali athari ambazo mwanaye angezipata maishani mwake kutokana na tabia ya kupenda Beka aanze kuwashughulikia mabinti, alijisemea moyoni kwamba; ¡°Nataka mwanangu awe kidume haswa ale kuku wa mabinti hadi achoke mwenyewe na hivi alivyo handsome boy mbona watamkoma.¡± Kuhofia angekutwa mle chumbani na Beka, aliondoka na kuingia chumbani kwake akaanza kuimba kwani alikuwa na desturi ya kufanya hivyo akifurahi. Wakati akiimba alisikia mlango ukifunguliwa akajua Beka alikuwa amerudi ndipo alitoka na kwenda kukaa sebuleni, wakati huo Beka alipitiliza chumbani kwake. Beka ambaye hakufanya usafi wa shuka lililokuwa na wekundu wa msimbazi wa Rhoda, alipoingia alichukua nguo hiyo ya kulalia na kwenda nayo bafuni. Alipoanza kufua, baba yake alimwita moyo ukapiga pa kwani alihisi huenda mzazi wake aligundua alichokuwa amekifanya na Rhoda. ¡°Da! Leo kimenuka!¡± Beka aliwaza kabla ya kuitikia wito wa mzazi wake. ¡°We Beka ina maana husikii kama nakuita?¡± mzazi wake alimwuliza. ¡°Naam baba!¡± Beka aliitika na kwenda kumsikiliza baba yake. ¡°Umekuja enhe?¡± Baba yake alimwuliza. ¡°Ndiyo baba!¡± Beka aliyekuwa na wasiwasi alimwambia mzazi wake. ¡°Oke! Hebu nisubiri!¡± Mzee Kibandiko alimwambia mwanaye. Kufuatia Beka kuambiwa hivyo, alijua baba yake anakwenda kuchukua bakora ili amcharaze nayo kwani alijua mzee wake CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ aligundua kitendo alichokifanya na Rhoda. ¡° Leo nimekwisha sijui kwa nini nimefanya uzembe wa kuduu na Rhoda hapa nyumbani, huyu atakuwa kaingia chumbani kwangu na kuona kila kitu,¡± Beka aliwaza. Akiwa anafikiria kutimua mbio kukwepa bakora za baba yake, mzee Kibandiko alirejea akiwa hana bakora, akashukuru. Mzee huyo alipoketi aliingiza mkono mfukoni na kutoa shilingi 150,000 na kumpatia na kumwambia ni zile fedha alizomuahidi angempatia. Beka hakuamini macho yake, alimshukuru sana mzazi wake, ambapo mzee Kibandiko alimwambia asijali kwani alikuwa akimfurahisha sana. ¡°Hizo fedha kanunulie nguo unazozitaka, ila muombe huyo rafiki yako akusindikize unapokwenda kufanya shopping,¡± umenielewa enhe?¡± Mzee Kibandiko alimwambia. Beka alimshukuru baba yake na kumwambia atamuomba Rhoda amsindikize, baba yake akamwambia sawa kabisa. Beka alikwenda chumbani kwake na kuziweka fedha alizopew na kumuacha mzee Kibandiko aliyekuwa amefurahi akiimba kwani alikuwa na kawaida ya kufanya hivyo alipofurahi . Wakati akiimba mkewe alirejea . Mwenzangu imekuwaje hujaja msibani kama ulivyoahidi ?” mkewe alimwuliza . Kufuatia kuulizwa hivyo , mzee huyo alicheka na kumwambia mkewe kwamba angeenda kesho yake kisha akamweleza kuwa siku hiyo alifurahi sana . “ Hata bila ya kuniambia nilijua kuna jambo limekufurahisha maana ni kawaida yako kuimba unapofurahi, haya niambie kimekufurahisha nini?” mkewe alimwuliza . Baada ya kuulizwa hivyo , mzee Kibandiko alicheka sana na kumwambia mkewe aelewe tu kwamba siku hiyo alifurahi kisha akamtania mkewe kwamba naye ajiandae kufurahi usiku . “ Lione kwanza, yaani hicho ndicho umekiona kitu cha maana sanaaa !” mkewe akamwambia . “ Sasa mama Beka , nisipokufurahisha wewe nimfurahishe nani , hii kitu ni yako mama CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ lazima ujidai nayo, ” mzee Kibandiko alimwambia mkewe ambaye alishindwa kujizuia kucheka. “ Ila wewe baba Beka una vituko kama Mzee Majuto, yaani hata mtu asipotaka kucheka atacheka tu !” mkewe alimwambia . Wakati wanandoa hao wakipiga stori za hapa na pale , Beka aliyekuwa akifua aliingia sebuleni akamuamkia mama yake na kumuuliza habari za msibani . “ Marahaba , za msibani siyo mbaya nimerudi, nguo zako si nimekufulia asubuhi ulikuwa unafua nguo gani tena mwanangu ?” Beka aliulizwa na mama yake . “ Shuka langu lilikuwa chafu ndiyo nilikuwa nafua, ” Beka alimwambia mama yake . Kauli hiyo ya Beka ilimfurahisha sana baba yake ambaye alikuwa anajua sababu ya mwanaye kufua shuka akaishia kutabasamu . “ Sasa na wewe kimekufurahisha nini mpaka unatabasamu ?” mama Beka akamwuliza mumewe . “ Jamani wife , si nimekuambia leo nina furaha sana?” Mzee Kibandiko akamwambia mkewe. “ Nini kilichokufurahisha maana nimekuuliza awali hujaniambia zaidi ya kusema tu umefurahi!” mama Beka akamwuliza tena mumewe . Unataka kujua kilichonifurahisha?” Mzee Kibandiko alimwuliza mkewe huku Beka akiwasikiliza kwa makini. “ Ndiyo maanaake , nisipojua mimi unataka ajue nani mwingine ?” mama wa Beka alimwuliza mumewe . Kufuatia swali hilo la mkewe, mzee Kibandiko alicheka kisha alimwambia awe na subira atamwambia usiku , mama wa watu akasema sawa . “ Wakiwa wanaendelea na mazungumzo, Beka aliomba ruhusa kwa wazazi wake kwamba anakwenda kucheza mpira na wenzake , mama akataka kumzuia lakini mumewe akaingilia kati . “ Mke wangu , wewe kila wakati unataka mwanao ashinde hapa nyumbani tu akikusaidia kazi za kike , hivi unajua humtendei haki ?” Mzee Kibandiko alimwambia mkewe. “ Baba Beka wewe unamharibu mtoto , hivi Beka kunisaidia kazi za nyumbani kuna ubaya gani , hivi ukisikia mwanao anavuta bangi au mwizi ndiyo utafurahi ?” mkewe CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ alimwuliza . “ Na wewe ukisikia mwanao anaitwa shoga utafurahi?” Mzee Kibandiko alimwuliza mkewe. Kufuatia kuulizwa swali hilo, mama Beka alimjia juu mumewe lakini mumewe alimwambia kwamba iwe na isiwe anapaswa kuelewa Beka ni mtoto wa kiume ambaye hatakiwi kushinda nyumbani kama mtoto wa kike. Alipomaliza kusema hivyo , alimruhusu Beka aende akacheze, alipoondoka, mzee huyo kwa upole akamwambia mkewe awe anampa uhuru mwanaye wa kwenda kucheza na wenzake . “ Wewe msaidie tu ila ipo siku utakumbuka ninayokueleza kuhusu Beka , huko wanakokwenda kucheza ndiko kwenye makundi ya kila aina, kuna vijana wavuta bangi, wahuni na wasio na adabu ,” mama Beka aliyekuwa anampenda sana mwanaye alifunguka . “ Sikatai lakini huko ndiko Beka atapata ufahamu wa masuala ya uhusiano, ila akishinda hapa nyumbani atakuwa kama mwari ,” mzee Kibandiko alimwambia mkewe. Kauli hiyo ilimkera sana mama Beka akanyanyuka na kwenda chumbani kwao akajibwaga kitandani kifudifudi. Mumewe aliyefahamu mkewe hakufurahishwa na maneno yake akaamua kumfuata , alipoingia macho yakaangukia kwenye wowowo la kumwagika la mkewe. Alichokifanya alinyata na kwenda kujilaza ubavuni mwa mkewe akauweka mkono wake juu ya kiuno cha mama Beka , mama huyo akautoa kwa kuusukuma . “ Baba Beka naomba uniache , sitaki kabisa usumbufu, ” mama huyo alimwambia mumewe . “ Sasa mimi kuweka mkono wangu hapa kuna CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ ubaya gani mama Beka ?” Mzee Kibandiko alimwuliza mkewe kwa kubembeleza . “ Mimi sitaki nimekwambia , tena ukitaka kunikorofisha wewe endelea , yaani unamwita mwanangu mwari ?” mama huyo aling’ aka. Kama inavyofahamika kila mtu aliye kwenye uhusiano au ndoa anaujua udhaifu wa mwenzake hasa akiguswa maeneo fulani , baba Beka si akaanza kuyagusa maeneo ambayo mkewe akiguswa anapagawa . Alianza kumminyaminya kuzunguka nyonga zake , kumpapasa mgongoni, kumpiga vibao vyepesi juu ya bambataa lake na kupitisha mikono yake kuzunguka shingo. Awali mkewe alijifanya bado ana hasira lakini kadiri mzee huyo mtaalam wa yale mambo yetu alivyozidi kumshika hapa na pale , mama wa watu akawa mpole licha ya kulala kifudifudi. Mzee Kibandiko alipojua mkewe alikuwa ‘ameloa ’ akamshika mkono wa kulia na kumgeuza, mkewe alijikuta kaangalia darini huku akimrembulia macho yake makubwa. Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale baba Beka alipompagawisha vya kutosha mkewe kisha kumshika mkono wa kulia na kumgeuza ambapo mama huyo alijikuta kaangalia darini huku macho yake makubwa yakiwa yamelegea. Je, nini kilifuatia? Tuwe pamoja katika utamu huu... Kufuatia utundu wa mzee huyo ambaye ni miongoni mwa wanaume wachache waliokuja duniani kuiboresha tasnia ya mahaba, akamkonyeza mkewe kihuni...yaani alimkonyeza na kuliminya jicho lake la kushoto. Mkewe ambaye muda huo alikwishajua lazima angekwanguliwa na mumewe ambaye alikuwa na kawaida ya kufanya hivyo kila alipofurahi, akatabasamu.Mama huyo ambaye nilikwisha kueleza sifa zake katika matoleo yaliyopita kwamba aliumbika haswa, ukiachilia mbali bambataa alilofungasha nyuma, macho makubwa ya kurembua alikuwa na vidimposi mahaba alimtazama tena mumewe na kutabasamu. Mzee Kibandiko ambaye napenda kumuita mtaalam wa mapenzi alivutiwa zaidi na tabasamu la CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ mkewe, akameza funda la mate na kujilamba midomo kisha akamuigiza mkewe aliposema: "Baba Beka, mimi sitaki nimekwambia sitaki, tena ukiendelea utanikorofisha." Baada ya kumuigiza hivyo kumpagawisha kabisa mkewe alijilaza kifuani kwake akaanza kula muwa huku mikono yake ikitalii kila eneo la hatari, kitendo kilichompa raha sana mama Beka. Mzee Kibandiko alipomuona mkewe akiweweseka akaongeza vionjo vya yale mambo yetu, mpaka mama wa watu akajikuta amepiga kigelegele ndipo alimnyomnyoa manyoa naye akanyonyoa yake akamchinjia baharini. "Nilijua tu leo nisingenusurika kwa jinsi ulivyofurahi, sijui nini kimekufurahisha mume wangu!" Mama Beka alimwambia mumewe kufuatia kisiki chake kuchimbuliwa sawasawa. "Si mwanao Beka...yaaani kanifurahisha mno!" Baba Beka akamwambia mkewe. "Kwani kafanyaje au kitendo cha kufua shuka lake?" Mkewe alimwuliza. "Ni zaidi ya kufua shuka mama!" Baba Beka alimwambia mkewe bila kufunguka zaidi. "Kafanyaje sasa mbona huniambii?" Mkewe alimwuliza. Licha ya kuulizwa bado baba Beka hakumweleza mkewe ndipo mama huyo akamwambia kwa kuwa Beka alikuwepo atamuuliza alichokifanya kilichomfurahisha baba yake. "Sioni sababu ya kumuuliza, ila elewa kijana leo kanifurahisha sana," mzee Kibandiko alimwambia mkewe. Kuhofia Beka angegundua baba yake alibaini alichokifanya na Rhoda, mzee Kibandiko akamdanganya mkewe kwamba alikuwa anapitia madaftari yake na kuona anafanya vizuri sana. "Hilo ndiyo unaligundua leo baba Beka? Kila siku ninakuambia mtoto anajitahidi sana lakini wewe huelewi unaleta mizaha yako!" Mkewe alimwambia mumewe bila kujua alipigwa changa la macho. "Kwa kweli kanifurahisha sana mpaka nimempa fedha akatafute CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ zawadi aipendayo," baba Beka alimwambia mkewe. "Kama umefanya hivyo vizuri sana mwanangu ataongeza bidii ya kusoma," mama Beka alimwambia mumewe. Kwa kuwa mkewe alikuwa bado anahamasisha yale mambo yetu, mzee Kibandiko ambaye alikuwa amejaliwa kuwa na nguvu, alikatisha maongezi, akamvamia mkewe na kuanza kucheza na maeneo ya mshawasha, si mkewe akawa anahema na kuyazungusha macho yake makubwa. Mzee huyo hakuona sababu ya kumchelewesha mama wa watu wakati kiu ilikuwa imemkaba kooni utafikiri muda mfupi uliopita hakupewa maji ya uzima, akamdungua tena. Kufuatia kipigo cha raundi ya pili kilivyokwenda 'skuli' kama siyo shule, mama huyo alijilaza huko na kupitiwa na usingizi mzito, hiyo ilikuwa kawaida yake kila alipofikishwa kilele cha Mlima Rungwe. "Mimi ndiyo mzee Kibandiko, mtaalam wa mahabati, nilijua tu nitakuweka sawa kama ilivyotokea," mzee Kibandiko alijisemea moyoni. Kwa kuwa alikwishamaliza kazi, mzee Kibandiko aliinuka na kwenda bafuni ambako alioga na kwenda kuketi sebuleni akiwa kavaa pensi yake ya michirizi ya bluu na mieupe. "Ila siyo siri leo Beka kajua kunipa raha kwa kuniumizia mtu, mtoto wa kiume ambaye hana tatizo inatakiwa awe hivyo," mzee Kibandiko ambaye hakujua kama atamuharibu kijana wake aliwaza. Kwa jinsi alivyokuwa na akili finyu, alizidi kujisemea moyoni kwamba Beka anakoelekea atakuwa sawa kabisa na yeye ambaye mpaka kufikisha umri aliokuwanao alikuwa ameshakula kuku wa mabinti wasio na idadi. Wakati mzee huyo akiwaza mambo hayo ya kijinga, Beka aliyetokea kumpenda sana Rhoda alikuwa amekwenda nyumbani kwa msichana huyo kujua maendeleo yake baada ya kumtoa wekundu wa msimbazi. Alipofika kwa akina Rhoda, mama waCHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ Rhoda ambaye alikuwa akimpenda sana Beka kutokana na kufanya vizuri kimasomo na kuwa mfano mtaani kwao alimkaribisha kwa furaha bila kujua kama alikuwa ameshamdungua binti yake. Baada ya salamu, Beka alimuuliza alikokuwa Rhoda na kwamba alikuwa amefuata kitabu cha sayansi alichomuazima. "Mwenzako tangu aliporejea kutoka kwa akina Stella kanieleza kichwa kinamuuma hivyo amelala," mama huyo alimwambia Beka bila kujua mwanaye alikuwa 'kaumizwa' na kijana huyo aliyemuona mpole. Beka alipoambiwa hivyo, alimweleza mama wa Rhoda kwamba hakukuwa na tatizo angekifuata siku yoyote, akamuaga lakini ile anataka kuondoka Rhoda akatoka ndani. Rhoda na Beka walipokutanisha macho wote wakatatabasamu, mama wa Rhoda alipoona tukio hilo akajisemea moyoni: "Hawa watoto wanavyoonekana wanapendana sana, huyu si alisema anajisikia vibaya kamsikia Beka kaamka," mama huyo aliwaza."Karibu Beka, nimekusikia, nimeamua kuamka ili nikupe hi japo naumwa," Rhoda alimwambia Beka. "Asante dada yangu na utanisamehe kwa usumbufu, kilichonileta hapa ni kitabu cha sayansi kuna kitu nataka kukipitia," Beka alimwambia Rhoda wakati ukweli hakufuata kitabu. Wakati wapenzi hao wanaongea, mama Rhoda aliingia ndani na kuwaacha wakiendelea na maongezi yao. "Rhoda siyo siri, nimeshindwa kuvumilia kutokana na jinsi CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ ulivyoumia nikaamua kuja kukuona mpenzi wangu, pole sana," Beka alimwambia Rhoda. "Hata mimi mawazo yote yapo juu yako mpenzi wangu, niliposikia sauti yako maumivu yote yameisha, nakupenda Beka wewe ni mume wa maisha yangu," Rhoda alimwambia Beka na kuachia tabasamu pana. Je, nini kilifuatia kwa wawili hao



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog