Search This Blog

Monday, October 24, 2022

SIKUACHI BABY - 4

 







    Chombezo : Sikuachi Baby

    Sehemu Ya Nne (4)

    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Niliuanza mchezo wa kumuingiza ndani na kumtoa nje Metusela kichwa rungu aliyekuwa amesimama kikakamavu kabisa, katika utaratibu wa hali ya juu niliendelea kukisugua kitumbua chake kilichokuwa kimeanza kutokwa na majimaji laini, alikuwa akitokwa na miguno ya kimapenzi kwa wakati huo na kila neno alilokuwa akilitamka hakuacha kulitaja jina langu.

    “Metusela wewe aaaahhhhh jamaniii mbona hivii lakini tamuuu ooohhhh  aiiiiissshhhh aaahhhhmmm aaaaahhhhhh,” kwa sauti legevu iliyogubikwa na raha aliniambia huku akiyaviringisha macho yake, nilimtazama huku na mimi nikiendelea kuupata msisimko wa kipekee, alikuwa na joto kali kiasi katika shina lake la huba, nipokuwa nikiendelea kukisugua kitumbua chake haikuchukua dakika chache niliwahi kumaliza ngwe ya kwanza ya mchezo.

    Kitendo cha kumaliza ngwe ya kwanza sikutaka kupumzika bado nilijihisi kuwa na nguvu za kuuhimili mchezo, niliamua kumbadilisha staili, nilimlaza kiubavu huku mguu wake mmoja nikiuchanua kwa juu kisha na mimi nikajilaza kwa nyuma yake kiubavu halafu nikaupachika mtwangio wangu katika kinu chake na kuanza kutwanga, alizidi kutokwa na miguno lukuki ya kimahaba wakati huo alikuwa amejipinda haswaa! utamu ulikuwa umemkolea.

    Niliendelea kutwanga huku nikizidisha kasi ya utwangaji wangu.

    “Aaaahhhh ooohhh jamaniii Metuuuu aaaahhhhhh ooooohhhh aaahhhmmm,” aliendelea kutokwa na miguno ya kila aina.

    Japo nilipanga kumkomoa katika tendo lile ambalo nililifanya kama kufuru kwa kila staili niliyoona inafaa kufanya basi nilifanya naye kwa muda mfupi.

    Tulipomaliza nilimwambia aende kuoga kisha na mimi nikafuata na mara baada ya kumaliza tulijiandaa tayari kwa safari fupi ya kumrudisha nyumbani kwao, wakati huo ilikuwa imetimia majira ya saa moja za usiku.

    Hakutaka kunitazama usoni muda wote alikuwa akitazama chini kwa aibu, bila shaka hakutarajia kama nilifanikiwa kufanya naye mapenzi tena katika siku mbili nilizokutana naye.

    “Metusela kwanini umenilazimisha kufanya mapenzi na wewe?” aliniuliza kabla hatujatoka nje, alijikaza kisha akanitazama usoni, tukatazamana.

    “Lakini si nimekueleza sababu iliyonipelekea mpaka nimeamua kufanya hivyo?” nilimuuliza.

    “Umeshindwa kujizuia?”

    “Ndiyo nimeshindwa lakini naomba unisamehe.”

    “Metusela unanitafutia matatizo makubwa.”

    “Matatizo gani tena.”

    “Mpenzi wako akijua je?”

    “Sina mpenzi kwa sasa.”

    “Kwanini?”

    “Ndiyo maana nikakutaka wewe, nimekupenda.”

    “Unanipenda?”

    “Ndiyo tena zaidi ya kukupenda mpenzi.”

    “Itawezekana vipi Metusela yani sielewi hata kwanini nimekukubalia kufanya mapenzi na wewe, najilaumu.”

    “Usiseme hivyo naomba unisamehe najua nimekosea lakini nilikuwa sina jinsi ya kufanya hata kama ni wewe ingekulazimu ufanye hivyo kwa mtu ambaye umempenda,” nilimwambia kisha hakunijibu lolote, alikosa neno la kuniambia na badala yake aliniambia nimpeleke nyumbani kwao, nikafanya kama alivyoniambia.

                                                 ****

    Lilikuwa ni penzi la dharura lililotokea kati yetu wala sikutaka kujiuliza maswali mengi sana kwasababu kila kitu kilichotokea nilikitarajia, hakukuwa na jambo geni hata kidogo kwangu. Furaha yangu ilikuwa ni kuona nimefanikiwa kuugusa mwili wa Bianka ambaye naweza kusema alikuwa ni msichana wangu wa kwanza kumuingilia kirahisi, sikutumia hata nguvu nyingi. Mapenzi niliyofanya naye pamoja na uhodari wangu wa kitandani niliamini kuwa iwe isiwe lazima ningefanikiwa kuuteka mfumo mzima wa ubongo wake, niliamini angeweza kunikumbuka.

    Nilipitia katika mgahawa mmoja usiku huo nikala chakula, nilipomaliza nilirejea katika chumba changu, nilijihisi kuchoka sana na nilihitaji kupumzika kwa muda huo.

    Kabla sijaamua kupumzika nilipigiwa simu na Samira, haraka niliipokea.

    “Kwanini unanifanyia hivi Metusela kwanini lakini nimekukosea nini?” bila hata salamu aliniuliza Samira mara baada ya kupokea simu yake.

    “Nimefanya nini tena?” nilimuuliza.

    “Kwanini hujaja kunichukua?”

    “Nimesahau.”

    “Umesahau! Tangu lini umeanza kusahau Metu.”

    “Nina mambo mengi sana kichwani usiponikumbusha lazima nisahau.”

    “Nimekukosea nini Metu.”

    “Hujanikosea kitu mbona sikuelewi halafu unanipigia simu unaanza lawama hujui nipoje naumwa au lah! aaggh!”

    “Basi naomba unisamehe Metu.”

    “Utajua mwenyewe,” nilimwambia kisha nikamkatia simu, haikuchukua muda akanipigia tena, nikapokea.

    “Nini?” nilimuuliza kwa ukali.

    “Metu upo sawa lakini?”

    “Ndiyo nipo sawa sema shida yako.”

    “Kuna kitu nataka nikuambie.”

    “Kitu gani?”

    “Ila sidhani kama itakuwa ni sahihi kukuambia kwenye simu.”

    “Wewe niambie tu! nimechoka kwanza.”

    “Nakupenda Metusela naomba uamini niyasemayo, nilikataa kukubalia ombi lako ili nikuchunguze tabia yako na mwenendo wako pia lakini nashangaa nashindwa kukuchunguza na badala yake nazidi kujiumiza, kweli nakupenda nimekukubalia ombi lako naomba basi usiendelee kunitesa kiasi hicho naumia,” aliniambia Samira maneno ambayo naweza kusema yalizaa penzi lingine jipya.

    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Kitendo cha Samira kunipigia simu na kuniambia alikuwa ananipenda kilinifanya nizidi kujiona mwanaume niliyekuwa na nyota kali mno, haikuwa rahisi hata kidogo kuamini kama kuna siku ningeweza kumpata msichana huyo japo niliwahi kumueleza ukweli wa hisia zangu lakini alionekana kutozijali.

    “Unasema kweli Samira au unanizingua?” nilimuuliza kwa sauti ya kukoroma.

    “Nakupenda ukweli Metusela wala sikutanii,” alinijibu.

    “Na huyo jamaa yako je?”

    “Jamaa gani?”

    “Huyo mpenzi wako ambaye uliniambia yuko Marekani.”

    “Sina mpenzi Metu.”

    “Kwahiyo ulikuwa unanidanganya?”

    “Hapana nilikuwa naye lakini ni muda sasa umepita tangu nilipoachana naye.”

    “Muda gani umepita?”

    “Miezi saba.”

    “Kwanini mmeachana?”

    “Ni stori ndefu Metu ila kiukweli nilitokea kuyachukia sana mapenzi sikutaka kujiingiza tena katika ulimwengu huu hata pale nilipokuwa najaribu kuzizuia hisia zangu zisiweze kukubalia ombi lako nashangaa najikuta nakufikiria kila wakati, nafsi inaniuma na moyo nao nahisi unahitaji kuwa na wewe, sijui hata ni kwanini?” aliniuliza swali ambalo jibu lake lilikuwa ni mapenzi.

    Kwa muda ambao niliendelea kuzungumza naye nikajikuta usingizi wote ukiwa umenitoka, sikuwa na lepe hata moja la usingizi japo nilikuwa nimechoka kutokana na mechi kali niliyokuwa nimetoka kucheza na Bianka lakini sikutaka hiyo iwe ndiyo sababu ya kunifanya nilale kizembe, niliendelea kuzungumza naye.

    “Kwahiyo unataka kusema nini?” nilimuuliza.

    “Nakupenda nipo tayari kufanya lolote kwa ajili yako ila naomba usije ukaniumiza kama Bryson,” aliniambia.

    “Bryson ndiyo nani?” nilimuuliza.

    “Mwanaume aliyeniumiza mapenzini,” alinijibu.

    “Usiogope mimi siwezi kukuumiza kama huyo Bryson wako halafu jua kuwa hata mimi nakupenda sana nadhani nilishawahi kukueleza hisia zangu lakini ulionekana kutozijali au ulihisi nakutania?”

    “Hapana Metu nilitaka nikuchunguze lakini nimeshindwa kufanya hivyo,” aliniambia kwa sauti ya kimalalamishi.

    Ama kweli Mapenzi ni kitu cha ajabu sana kwa muda mfupi ambao tulikuwa tukizungumza kwenye simu mpaka kufikia hatua tukawa wapenzi, alianza kuonekana kuwa na wivu, kila alilokuwa akiniambia hakuacha kuweka walakini katika maneno yake.

    Alikuwa akihofia kuchanganywa kimapenzi na wasichana wengine, alitaka kuwa yeye kama yeye mapenzini japo nilikuwa ni miongoni kati ya wavulana ambao walikuwa na mchezo huo wa kuwachanganya wasichana lakini nilimuahidi kuwa kisingeweza kutokea kitu kama hicho.

    “Metu unasema kweli?”

    “Niamini.”

    “Naogopa sana kuumizwa.”

    “Siwezi kukufanyia ukatili wa kinyama kiasi hicho,” nilimjibu.

    Kama unavyoyajua tena mapenzi ya mwanzo mwanzo huwa hayana kikomo cha kuzungumza, siku hiyo tuliitumia katika kuzungumza, muda wa mazungumzo ulipoisha tulihamia katika chatting, tulichat sana mpaka ilipofika majira ya saa nane za usiku nilimwambia alale ili asichelewe kazini.

    Huo ndiyo ulikuwa mwanzo rasmi wa penzi langu na Samira, alionekana kunipenda sana, hakutaka kusikia nina mwanamke mwingine zaidi yake, hiyo haikuwa kazi hata kidogo, nilichoamua kukifanya nilimuahidi na maisha yaliendelea huku kazi yangu ya kumfuata kila siku asubuhi na kumpeleka kazini Posta nikiendelea nayo lakini safari hii iligeuka kuwa kazi isiyokuwa na malipo.

    Kwa muda ambao nilikuwa nikiutumia kuwa na Samira katika penzi hilo jipya Bianka hakuwa mbali katika kuuliwaza moyo wangu kipindi ambacho Samira alikuwa kazini.

    Niliutumia ubize wake katika kuwasiliana na Bianka ambaye niliendelea kuwa naye na kwa wakati huo na yeye alikuwa ameshakolea penzini, alichokuwa anakitamani kutoka kwangu ni siku moja kuona anakuwa mke wangu halali.

    “Utanioa kweli Metu?” aliniuliza Bianka siku moja mchana, wakati huo tulikuwa ndani ya chumba changu.

    “Ndiyo lazima nikuoe ondoa shaka,” nilimjibu kisha nikaanza kumpapasa sehemu za mwili wake, akaonekana kusisimka mno na mimi nikaitumia nafasi hiyo katika kumuingia kiakili mpaka akajikuta tayari nimeshamvua nguo zake na mimi nilikuwa tayari nimeshavua zangu kwa wakati huo, kitu kilichokuwa kikifuata ni kufanya mapenzi.

    Nilifanya mapenzi na Bianka mpaka pale ambapo tulimaliza huku kila mmoja akiwa ameridhika, nilihakikisha namsugua vizuri kila kona ya kuta za goli lake nililoingia pekupeku.

    Nilipomaliza kufanya mapenzi na Bianka niliamua kutumia akili ya ziada kumuondoa ili niweze kwenda Posta kumchukua Samira ambaye kwa wakati huo alikuwa tayari ameshaanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe.

    “Kwani kuna nini Metu mbona sikuelewi?” aliniuliza.

    “Kuna sehemu nataka kwenda kumchukua abiria sasa hivi,” nilimjibu.

    “Huyo abiria na mimi nani mwenye umuhimu?”

    “Hayo maswali ndiyo siyatakagi nimekwambia nakwenda kumchukua abiria sasa unavyoniuliza hivyo una maanisha nini?”

    “Basi Metu yaishe ila siku nyingine naomba ukiwa na mimi uwe na mimi tu!sitaki kusikia kuhusu abiria wako,” aliniambia.

    Baada ya kumalizana na Bianka sasa nilianza safari ya kwenda Posta kumchukua Samira, wivu ulikuwa tayari umeshaanza kumuingia na alikuwa akihisi kwa wakati huo wenda nilikuwa nipo na mwanamke na ndiyo sababu iliyonifanya nishindwe kupokea simu zake jambo ambalo nililikanusha na kumdanganya nilikuwa bize kutokana na mishemishe zangu za udereva wa bodaboda.





    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Hatimaye niliweza kufika Posta lakini nilichelewa sana ukitofautisha na siku zingine. Samira hakuonekana kutabasamu baada ya kuniona, alikuwa amekasirika.

    “Usichukie mpenzi leo mambo yalikuwa mengi sana,” nilimwambia.

    “Mambo gani hayo wakati umetoka kwa wanawake zako,” aliniambia huku akiwa ameubetua mdomo wake.

    “Hapana! Sina mwanamke mwingine zaidi yako,” nilimwambia kisha akashindwa kuendelea kuzungumza kwa wakati huo, akanitazama usoni nilimkonyeza kwa makusudi kisha akatabasamu na hasira kwa wakati huo zikawa zimemuisha.

    “Sipendi unavyonifanyia Metusela,” aliniambia.

    “Ndiyo maana pakawa na neno Samahani mpenzi ila nisamehe sirudii tena,” nilimwambia kisha akapanda kwenye pikipiki tukaondoka.

    Tulipofika nyumbani kwake hakutaka niishie kuondokea nje kama ilivyokuwa kawaida yangu, siku hiyo alining’ang’ania niingie ndani na kama ilivyokuwa kawaida yangu nikajiongeza, nikaipaki pikipiki yangu halafu nikaingia ndani.

    “Karibu mpenzi,” alinikaribisha baada ya kuingia sebuleni kwake kisha nikakaa kwenye kochi.

    “Asante,” nilimjibu huku nikianza kuyaangaza macho yangu kila kona ya sebule hiyo iliyopambwa na mapambo ya kila aina, ilikuwa ni nyumba ya vyumba vitatu pamoja na jiko.

    Baada ya kunikaribisha aliingia chumbani na baada ya muda mfupi aliweza kutoka huku akiwa katika vazi la kanga, macho yangu yakazidi kuvutiwa naye kingono japo alikuwa tayari ameshanikubalia kuwa mpenzi wake lakini niliona kama alikuwa akinicheleweshea kunipa uroda, alikuwa amenona vilivyo, umbo lake, hips, wowowo pamoja na kifua chake kilizidi kuniweka mithili ya mgonjwa maututi ambaye alikuwa akisubiri huduma ya daktari.

    “Unatumia kinywaji gani?” aliniuliza, wakati huo alikuwa amekuja kukaa katika mkono wa kochi nililokuwa nimekaa.

    “Maji,” nilimwambia.

    “Maji?” aliniuliza.

    “Ndiyo yananitosha,” nilimjibu kisha akainuka na kwenda kuniletea maji,.

    Sikuwa na kiu wala hamu ya kunywa chochote ila niliamua kumwambia hivyo ilimradi nizidi kuyashuhudia makalio yake makubwa yaliyokuwa yakitingishika, alitembea kwa maringo sana. Nikazidi kumtazama kwa macho ya matamanio.

    “Mbona unanitazama sana?” aliniuliza baada ya kunikabidhi glass ya maji, wakati huo alikuwa amerudi kukaa kwenye mkono wa kochi, nikaanza kwa kunywa funda moja.

    “Kwani kuna ubaya nikikutazama?” nilimuuliza kisha nikanywa funda lingine.

    “Hakuna ubaya,” alinijibu.

    “Basi niache nikutazame,” nilimwambia.

    “Nitaoana aibu bana,”aliniambia.

    Kila nilipozidi kumtazama nilijikuta nikitamani kufanya naye mapenzi, hicho ndicho nilichokuwa nikikiwaza wala hakukuwa na kingine.

    Nilipomaliza kunywa maji niliweka glass chini kisha nikaupenyeza mkono wangu nyuma yake, nikakishika kiuno chake kilichokuwa kimeingia  kwa ndani kidogo.

    Hakuonekana kuhisi lolote baada ya kitendo hicho, nikaamua kukiminya kwa vidole vitatu akaruka.

    “Wewe,’ aliniambia huku akinitazama.

    “Nini?’ nilimuuliza.

    “Mbona hivyo?”

    “Nalihitaji penzi lako.”

    “Mbona bado mapema.”

    “Unataka mpaka ufike muda gani ndipo uweze kunipa mwili wako.”

    “Subiri nitakupa usijali.”

    “Lini?”

    “Siku nyingine lakini si leo, sipo sawa.”

    “Sikuelewi unajua.”

    “No, mpenzi wangu najua hunielewi lakini naomba univumilie hizi siku kadhaa zipite.”

    “Una maana gani?”

    “Niko Period.”

    “Una uhakika?”

    “Ndiyo,” alinijibu.

    Siku hiyo sikufanikiwa kufanya naye mapenzi japo alianza kuniomba radhi na kuniambia nisikasirike lakini sikutaka kumuonyesha hali yoyote ya utofauti. Mchana wa siku hiyo nilitoka kufanya mapenzi na Bianka hivyo sikutaka kuchukulia kuwa kama ni tatizo sana.

    “Upo sawa lakini?”

    “Usijali nipo sawa,” nilimwambia kisha nikamuaga na kuondoka zangu.

                                             ****

    Sikutaka kila kitu kilichokuwa kikiendelea katika maisha yangu kila mtu akifahamu hata kwa upande wa marafiki zangu ambao walikuwa wakiufahamu mchezo wangu wa kubadilisha wanawake kila siku haikuwa rahisi kwa wao kuweza kutangaza kwa watu, ilikuwa kama siri yangu niliyokuwa nikiishi nayo siku zote.

    “Utaoa lini mwanangu?” aliniuliza Mama siku moja nilipoenda kumsalimia nyumbani, alionekana kuchukizwa na muonekano wangu.

    “Nitaoa Mama usijali siku akipatikana mrembo ambaye nitapendezewa naye basi nitamleta,” nilimwambia.

    “Mpaka lini hivi unadhani miaka inakusubiri?”

    “Tusubiri,” nilimjibu.

    Licha ya maneno ya Mama yangu aliyokuwa akiniambia kila siku juu ya kuoa lakini sikutaka kuyachukulia maneno yake kuwa na uzito, nilijiona kuwa bado mtoto ambaye nilihitaji kupewa muda mrefu wa kukua zaidi.

    Akili yangu haikuwa ikifikiria kazi, kujenga, kuwekeza au kufanya jambo lolote kubwa katika maisha yangu zaidi ya kuwafikiria wasichana. Samira na Bianka hawa ndiyo wasichana waliyokuwa wamenitawala akilini mwangu.

    Kuhusu Bianka sikumuwaza sana kwani kama kufanya naye mapenzi nilifanya naye sana tena kwa muda mfupi isipokuwa akili yangu na mawazo yangu yote yalizidi kuwa kwa Samira msichana ambaye tangu alipoweza kunikubalia na kuwa wapenzi sikubahatika kabisa kufanya naye mapenzi, sikujua ni kwanini alikuwa ni mtu wa kunipiga kalenda kila siku.



    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Kuna kipindi kilifika nilianza kuchoka, nilihisi kuna siri Samira alikuwa akinificha na ndiyo iliyosababisha mpaka akawa ni mtu wa kunipiga kalenda, kila nilipokuwa nikimuhitaji kimapenzi alikuwa akiniwekea vikwazo lukuki.

    “Kuna kitu gani unachonificha?” nilimuuliza.

    “Hakuna kitu,” alinijibu.

    “Mbona linapofikia suala la kufanya mapenzi unakuwa ni mtu wa kuweka vikwazo.”

    “Sio hivyo Metu.”

    “Sio hivyo nini sasa?”

    “Tutafanya tu.”

    “Lini?”

    “Nitakwambia.”

    “Unanipenda?”

    “Ndiyo tena sana.”

    “Kwanini hutaki kunipa penzi lako lina nini?” nilimuuliza lakini jibu lake lilikuwa ni lile lile, hakutaka kufanya mapenzi kwa kipindi kile na alidai kuwa kuna siku ingefika kisha angeweza kuniambia.

    Nilizidi kushangazwa na aina ya mapenzi ya Samira, alikuwa ni msichana wangu wa tofauti sana ukitofautisha na wasichana wangu wote niliyowahi kutembea nao.

    Naweza kusema aliwazidi kuanzia uzuri, umbo, elimu mpaka kazi yake, alikuwa ni msichana mwenye malengo ya kimaisha lakini alikosa ulaini wa kunikubalia kufanya naye mapenzi, nilipokuwa nikimbembeleza kwa lengo la kunipa mapenzi alikuwa mgumu sana.

    Hilo likazidi kuwa tatizo katika mapenzi yetu ingawa nyuma ya pazia nilikuwa nikishiriki tendo na Bianka kikamilifu lakini tamaa zangu za kimwili hazikuacha kumtamani Samira, nilichokuwa nakifikiria siku zote ni kumvua nguo zake za ndani tu!

    “Usifikiri wasichana wote unaotembea nao wana akili sawa wengine wanajielewa,” aliniambia Amani huku akinicheka.

    “Sijui kwanini ananibania uchi wake?” nilimuuliza.

    “Hapo kazi unayo,” alinijibu.

    “Lakini lazima nitalala naye tu!”

    “Huwezi.”

    “Lazima nitaweza,” nilimwambia.

    Sikukata tamaa, niliendelea kila siku kumbembeleza Samira lakini bado alizidi kunikatalia kabisa na mpaka kufikia wakati huo sikufahamu ni sababu gani iliyokuwa inampelekea mpaka ananikatalia.

    “Mimi ni nani yako?” nilimuuliza usiku mmoja nilikuwa nikizungumza naye kwenye simu.

    “Mpenzi wangu,” alinijibu.

    “Sasa kwanini unanyima haki yangu?”

    “Haki gani?”

    “Mapenzi, nahitaji mapenzi yako.”

    “Nikuulize kitu?”

    “Niulize.”

    “Umenipendea nini?” aliniuliza swali ambalo jibu lake lilinichukua muda kujibu, sikulitegemea kwa wakati ule.

    “Mbona umenyamaza?” aliniuliza baada ya kimya kifupi.

    “Nimekupenda kama msichana wa ndoto zangu, niliyekuwa namfikiria kila siku, nimekusubiri siku zote nikiamini ipo siku nitakupata ili niweze kutengeneza maisha na wewe hatimaye nimekupata lakini unaonekana kama kutonijali, huzijali hisia zangu hivi unafikiri nitaishi vipi na wewe ndiye uliyeuteka moyo wangu?” nilimwambia kisha nikamuuliza swali, nikamsikia akivuta pumzi ndefu na kuziachia.

    “Usiseme hivyo nazijali hisia zako,” alinijibu.

    “Huzijali Samira, huzijali kama kweli unazijali huwezi kukubali niteseke kiasi hiki, naumia na hisia wakati nina mpenzi na hujali hilo,” nilimwambia kwa sauti ya kulalamika iliyokaribia na kulia.

    “Metusela mpenzi wangu,” aliniita.

    “Niambie.”

    “Nimekubali ila naomba tutafute Lodge.”

    “Kwanini?”

    “Nimeamua tu! sitaki kila mtu anione.”

    “Sawa hakuna tatizo,” nilimwambia.

    Usiku huo ulikuwa ni usiku wa furaha sana kwangu, sikutaka kuamini kama Samira alinikubalia ombi langu. Kichwa changu kilianza kuzikumbuka Lodge zote zilizokuwa Tandika.

    “Tufanye lini?”

    “Kesho.”

    “Huendi kazini?”

    “Hapana kesho sina kazi nyingi hivyo nitaomba ruhusa wala hakuna tatizo.”

    “Sawa.”

    “Kwahiyo umepanga twende wapi?”

    “Kuna Lodge moja tutaenda.”

    “Iko sehemu gani?”

    “Ipo hukuhuku.”

    “Sawa,” alinijibu.

                            ****CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Siku iliyofuata mapema nilitafuta Lodge kisha nikaenda kumchukua Samira. Alionekana kuwa mwenye aibu sana, aliwahofia watu waliyokuwa wakimtazama.

    “Achana nao,” nilimwambia.

    Baada ya muda mfupi tukawa tayari tumeshaingia katika Lodge hiyo ambayo ilikuwa maeneo ya Tandika. Bado nilikuwa siamini kama nilikuwa naenda kufanya mapenzi na Samira.

    Alinitazama kwa macho ya aibu huku akiving’ata vidole vyake, hakujua alitakiwa aanzie wapi kwa wakati huo ambapo tulikuwa tumekaa kitandani.

    Sikutaka kuruhusu muda wa mazungumzo kwa wakati huo, nikaanza kumpapasa taratibu kuanzia kifuani kushuka mpaka kwenye mapaja, mwili wake ukazidi kuniweka katika hisia kali mno, nilikuwa tayari nimeshapandwa na mizuka. Niliendelea kumpapasa kila sehemu ya mwili wake mpaka pale alipoanza kupandwa na mihemko, akaanza kulegea taratibu huku akinitazama kwa macho legevu.

    Niliusogeza mdomo wangu kisha ukakutana na mdomo wake, kitendo kilichoendelea kilikuwa ni kuanza kubadilishana mate, niliutumia utundu wa kuuzungusha ulimi wangu ambao niliupitisha katika fizi zake, wakati huo mikono yangu ilikuwa bado ina kazi ya kumpapasa.

    Sikutaka kuendelea kuwa mzembe wa kunywa juisi ya mlenda wakati mtoto alikuwa tayari ameshahama dunia nyingine, nilichoamua kukifanya ni kuanza kumvua nguo zake, nilipomaliza nikazivua na zangu.

    Macho yangu yakapata wasaa wa kumtazama kwa mara ya kwanza akiwa uchi wa mnyama, nikatabasamu kisha nikambusu tumboni, wakati huo alikuwa amelala kitandani, alionekana kuwa mwenye aibu sana, macho yake alikuwa ameyafumba kwa kutumia viganja vyake.

    Sikutaka kuzijali aibu alizokuwa nazo kwa wakati huo, nilichokuwa nimedhamiria kukifanya ni kufanya naye mapenzi tu!.

    Wakati alipokuwa amelala pale kitandani huku akiwa ameyafumba macho yake nikaanza kumlamba chuchu zake huku nikiwa kama nazing’ata kwa kutumia lips zangu.

    “Aiiisssshhh,”alitokwa na mguno huu baada ya kumfanyia mchezo huo.

    Sikukoma, niliendelea kufanya hivyo katika chuchu zote, hali ilibadilika sasa yale macho aliyokuwa ameyafumba akawa ameyafumbua, akawa ananipapasa kichwani huku akishuka mgongoni nilipokuwa nikiendelea kuzilamba chuchu zake.

    “Aaaiiissshhh aaaahhhhhh,” alizidi kutokwa na miguno.

    Nilijitoa ufahamu kisha nikaanza kutembea na ulimi tumboni mwake mpaka pale nilipofika kisimani.

    “Aaaaiiiiiii,” aliguna kisha akavuta pumzi ndefu na kuziachia kwa pupa.

    Nikaanza kazi ya kusafisha kisima huku nikitumia kidole changu kusugua katika kile kiharage, akaanza kutokwa na lugha za ajabuajabu, sikuishia hapo nikaendelea kumuonyesha utundu wangu katika kumuandaa.

    “Metu basiii naumiaaaa,” aliniambia wakati huo nilikuwa nimeshahama kutoka pale kisimani nilikuwa nimehamia upande wa masikioni, nilikuwa kama kuna kitu nataka kumnong’oneza aliponiruhusu nifanye hivyo nikaanza kuutumia ulimi wangu kulamba sehemu za ndani za sikio lake. Kitendo hicho kikazidi kumfanya atokwe na ukulele mkubwa sana huku akiwa amenikumbatia kwa nguo.

    “Basiiii babyyyy inatoshaaaa naumiiiaaa,” aliniambia kisha akanitaka niingie mchezoni.

    Kabla ya kufanya hivyo nilimwambia acheze na mtwangio wangu aliyekuwa amekasirika kwa wakati huo lakini kitu cha ajabu alikataa kufanya hivyo.

    “Ilambe basi kwanza,” nilimwambia.

    “Siwezi mpenzi ingiza tu,” aliniambia.

    “No! mpaka uilambe.”

    “Siwezi kufanya hivyo.”

    “Baby.”

    “Ingiza mpenzi,” aliniambia.

    Nilichoamua kukifanya nilitumia mate yangu kuulainisha mtwangio wangu ambao ulikuwa umesimama kikakamavu kabisa, nilipomaliza nilimrudia Samira, nikampanua mapaja yake akawa amelala staili ya kifo cha mende, nikauingiza mtwangio.

    “Aaaahhh oooohhhhh auuuuh aaaahhhh,” alianza kutokwa na miguno nilipoanza kazi ya kutwanga kinu.

    Kila sekunde iliyokuwa inapita nilizidi kuongeza kasi ya kutwanga, hali ambayo ilizidi kumfanya Samira azidi kutokwa na miguno lukuki pale kitandani.

    Alianza kuyakusanya mashuka yaliyokuwa yametandikwa vyema pale kitandani, aibu zilikuwa zimemtoka, akazidi kunitazama huku macho yaliyolegea yakinidhihirishia raha aliyokuwa akiipata kwa wakati huo.

    Niliendelea kutwanga kinu huku hisia nazo zikizidi kunipanda, nikaanza kutokwa na miguno, nilikuwa nakaribia kuwatoa wazungu weupe na baada ya sekunde chache nikawa tayari nimeshawatoa, niliwamwagia ndani.

    Tulibadilisha staili kama nane na kila staili niliyobadilisha nilihakikisha namtwanga vilivyo kinu chake. Sikumuacha mbali katika kuyatoa mashuti yake, alikuwa mwepesi wa kufunga magoli ya mfululizo na mpaka mwisho wa mchezo alikuwa amefunga magoli yasiyokuwa na idadi.

    Siku hiyo tulilala katika Lodge hiyo huku mchezo ukiwa ni huo huo usiku kucha, nilihakikisha namaliza hasira zangu zote.

    ****

    Baada ya kupita miezi mitatu maisha yangu yalibadilika kwa asilimia kubwa sana, Samira alikuwa akinipa pesa ambazo nilizitumia katika kubadili muonekano wa chumba changu, alinibadilisha kwa kiasi kikubwa sana, nilikuwa nikipendeza.

    Niliishi maisha hayo huku nikiendelea kumchanganya na wasichana tofautitofauti niliyokuwa nikikutana nao mpaka pale siku moja ambapo niliweza kupigiwa simu na Bianka, nilipopokea alikuwa akilia kwa wakati huo na sikujua ni nini kilichokuwa kinamliza.

    “Kuna nini?”

    “Naumbuka Metu.”

    “Unaumbuka na nini mbona sikuelewi?”

    “Nina mimba yako.”CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Una mimba yangu?”

    “Ndiyo Metu nina mimba yako,” alinijibu.

    Sikutaka kuamini kile alichoniambia Bianka, nilihisi kuchanganyikiwa kwa muda baada ya kusikia maneno hayo.

    Kama haitoshi nikapata pigo lingine tena, nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea ghafla! nilipata vitisho vikali kutoka kwa mwanaume aliyejitambulisha kuwa ni mume wa Samira, aliniambia nikae mbali na mwanamke wake huyo lasivyo nilikuwa najihatarishia usalama wa maisha yangu.









    ITAENDELEA
    Pseudepigraphas

0 comments:

Post a Comment

Blog