Search This Blog

Monday, October 24, 2022

MAJANGAAA MBONA MAJANGAAA ! - 2

 





    Chombezo : Majangaaa Mbona Majangaaa !

    Sehemu Ya Pili (2)





    Rehema na Eddy wakaingia kwenye hatua nyingine ya kusaula viwalo vyao katika maungo na kuingia uwanjani kusakata kabumbu. Hata hivyo, uwanja uliotumika haukuwa ule wa kawaida.
    Rehema na Eddy walikuwa wameamua kupiga shoo kwenye uwanja wa chandimu, hawakutaka kuingia kwenye dimba kubwa, waliamua kucheza gemu hilo kwenye uwanja mdogo wa fundi seremala yaani kwenye kochi huku wakiliacha dimba kubwa katika hali ya usalama.


    Rehema na Eddy ni kama vile walikuwa wamepaniana kila mmoja alitaka kumuonesha mwenzake ufundi wa jinsi anavyojua kusakata kabumbu


    Kukamiana huku kuliwafanya kuhangaika na kubadili mitindo ndani ya muda mchache hali iliyowashangaza sana watazamaji ambao hawakuwa rasmi, Irene na Pat.

    Safari hii walikuwa wakipiga shoo kwa mtindo maarufu uitwao Funika Kombe Mwanaharamu Apite, kweli ilikuwa ni balaa ndani ya balaa kwani kila mmoja alikuwa akihemea juu kwa kwa juu.

    Jasho lilikuwa likiwavuja pamoja na hali ya hewa kuwa tulivu huku upepo mwanana ukivujisha hewa iliyojaa ubaridi mithili ya kiyoyozi.

    Kama vile haitoshi pangaboi lililokuwa chumbani kwa Rehema lilikuwa likifanya kazi kwa namba ndogo lakini iliyotosha kutawanya hewa ndani ya chumba hicho.

    Waliendelea ‘kuseguasegua’ kwa mtindo wa Funika Kombe ambao kwa hakika ilikuwa ni vigumu kujua kama walikuwa wakila ‘wali kwa kuku’ au walikuwa wanakula ‘ugali kwa bata’ kutokana na mchezo wenyewe uliowalazimisha wawili hao kutazama upande mmoja.

    Wote walikuwa wamekaa katika mwelekeo mmoja huku kila mmoja akiwajibika kwa kuonesha ufundi wake kutokana na mtindo huo. Irene alivuta pumzi ndefu kisha akazishusha kwa nguvu, hata hivyo wahusika hawakuweza kuzisikia.

    Msichana huyo alikuwa amepagawa kutokana na shoo iliyokuwa ikipigwa na Eddy na Rehema, pamoja na kwamba alikuwa nje ya mchezo lakini alijikuta akichafua ‘kufuli’ yake.

    Ghafla, akiwa katika hali hiyo, kitu cha ajabu kikatokea, Pat alishindwa kuvumilia kutokana na kasi iliyokuwa ikioneshwa na wawili hao.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Msichana huyo akajikuta akipiga kelele ambayo iliwashtua Rehema na Eddy pamoja na Irene.

    Hali hiyo iliwafanya Eddy na Rehema kusitisha shoo yao kwa kuwa sauti ile ilisikika karibu yao kabisa. Licha ya kushtuka, Irene kwa upande wake alifanya kitendo bila ya kuchelewa alichomoka kama mshale na kukimbilia uani.

    Alipofika huko akaingia msalani ili kupoteza malengo kumhofia Rehema kama angetoka mle ndani asiweze kumuona wala kumhusisha na tukio alilolifanya Pat.

    Pat naye baada ya kupagawa akazinduka na kuamua kutoka mbio kuondoka eneo lile. Hakuwa akijua ni wapi alipokuwa akikimbilia.

    Baada ya Rehema na Eddy kusimamisha pambano lao wakawa wanajiuliza cha kufanya, wakasikilizia kama kelele ingejirudia tena lakini haikuwa hivyo.

    Wakaangalia dirishani hawakumuona mtu, Rehema ambaye alikuwa kama nyota wa mchezo huo aliinuka na kuvuta vizuri pazia.

    Mara alipomaliza kufanya hivyo akazima taa na kuachia bonge la msonyo huku akimlaani kwa maneno yote mabaya yule aliyeikatisha starehe yake.

    Kwa kuwa hakuwa amefika katika kilele cha mlima, iliwabidi wavute tena hisia kwa ajili ya kufurahisha miili yao.

    Akarudi pale alipokuwa amemuacha Eddy na kumtaka wahamie kwenye dimba kubwa ili waweze kuendelea na mchakato wa kukata kiu zao.

    Huko wakawa na jukumu kubwa la kurudisha hisia zao zilizokuwa zimetibuliwa, kwa kuwa walikuwa wameshapoteza ari na morali, wakaanza upya kusaka hisia zao.

    Kwanza iliwabidi kuondoa hisia kama vile kulikuwa na mtu aliyekuwa akiwapiga chabo, wakajipanga upya ili kuweza kumaliza ngwe waliyokuwa wamebakiza.

    Bila ya kutarajia ndani ya dakika kumi wakasahau kilichotokea, wakawa hawakumbuki kama kuna mtu alikuwa akiwachungulia.

    Wakawa bize na starehe yao, hatimaye wote kwa pamoja wakajikuta wakiongeza kasi ya viungo vyao kufanya kazi, jasho likawavuja, mihemo yao ikaongezeka.

    Kilichofuata ‘itv’ ilikuwa ni kila mmoja kuanza kupiga kelele kivyakevyake, huku akilalamikia kule na mwingine naye akifanya hivyo kwa upande wake.

    Mwishowe wote wakashindwa ‘kuikontroo’ miili yao, kwa pamoja wakaanza kutetemeka kama wamepigwa na shoti ya umeme.

    Baada ya kumaliza ngwe hiyo, hisia za Rehema zikarudi katika kitendo kile kilichotokea, akataka kujua ni nani aliyemvurugia starehe yake.

    Hasira zikarudi upya, akamwambia Eddy kwamba lazima atamkomesha aliyefanya kitendo kile.


    Rehema akainuka na kutoka katika uwanja mkubwa wa fundi seremala, akawasha taa yenye mwanga hafifu na kuchukua kitaulo kidogo kilichokuwa pembeni, akaifuata chupa ya chai na kuifungua.

    Ndani ya chupa hiyo kulikuwa na maji ya uvuguvugu, Rehema akayamimina kwenye kitaulo kile, kisha akamfuata Eddy pale alipokuwa amelala kwa uchovu na kuanza kumfuta ‘mzee’ wake.

    Hali hiyo ilimrudisha Eddy katika uhai wake, alihisi akipata nguvu mpya kutokana na joto alilolipata kupitia maji yale.

    Mwanaume huyo akawa anagugumia chini kwa chini kutokana na kupigwa deki ‘ikulu’ yake.

    Kilikuwa kitendo ambacho hakuwahi kufanyiwa katika maisha yake, ndiyo kwanza alikuwa akikiona, akachanganyikiwa.

    “Pole,” alisema Rehema kwa sauti nyembamba ambayo ilikuwa imelegezwa kwa makusudi ili kumfanya Eddy ajue kuwa alikuwa na mwanamke wa kweli aliyekwenda unyagoni na kufundwa kisha akafundika.

    Kama vile haitoshi, baada ya kumaliza zoezi hilo, Rehema alilifuata jokofu na kutoa matunda fulani hivi, hayakuwa mengine zaidi ya zabibu.

    Rehema akayachukua na kuyaweka kwenye kisaani cha chai kisha akapanda uwanjani ambako Eddy alikuwa amelala akiwa amechoka kutokana na safari ya kufikia kwenye kilele cha starehe.

    “Pole,” alisema tena Rehema kwa sauti ileile huku akizichukua zabibu mojamoja na kuanza kumlisha Eddy. Mpaka kufikia hapo Eddy akawa amezidiwa na kujiona kwamba amepatikana kwa kuingia sehemu ambayo hakuwa na uwezo nayo.

    Moyoni mwake akakiri kabisa kwamba alikuwa amepatikana, hakujua kama angeweza kujichoropoa katika mtego ule aliouingia, aliamini kwamba hakuwa na fedha za kuweza kumpa Rehema.

    Alijiuliza ni kiasi gani ambacho angeweza kumpa msichana huyo kwa ajili ya kumshukuru kwa huduma zote hizo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Matendo aliyokuwa akifanyiwa yakamfanya ajipe moyo wa kutafuta kibarua kwa nguvu zake zote ili aweze kulipia gharama hizo.

    Eddy alimini kwamba aliyokuwa akifanyiwa hayakuwa ya bure lazima kuna siku angetakiwa kuyalipia tena kwa gharama kubwa.

    “Sidhani kama nitaendelea kufanywa mwanaume suruali, iko siku nitapigwa mzinga wa maana, nikisema sina si nitakuwa nimezikosa hizi huduma?” aliwaza.

    Hata kabla hajapata hiyo kazi wala hajazitia mfukoni fedha anazotarajia kuzipata kutokana na kibarua kisichokuwepo, Eddy akafikiria ni kiasi gani ambacho kingeweza kumtosha Rehema, kila alichokifikiria alikiona ni kidogo.

    “Kwa nini ananifanyia hivi?” aliendelea kujiuliza wakati akiwaza hayo, Rehema alikuwa kama ameyasoma mawazo yake na kuhisi kile alichokuwa akikiwaza mwanaume huyo, akamwita kwa kulitaja jina lake:

    “Eddy.”

    “Naam,” Eddy aliitikia huku akitafuna kipande cha zabibu.

    “Nakupenda sana, tangu siku ile ya kwanza niliyokuona, ulinichanganya sana, sijawahi kuona mwanaume mwenye umbile kama lako, urefu wako, umejaa kifuani…” alisema Rehema huku akiizungusha mikono yake kwenye kifua cha Eddy kugusagusa bustani ndogo iliyokuwa ikianza kumea.

    Hali hiyo kwa kweli ilikuwa ikizidi kumfanya kijana wa watu ajione kama vile ni mfalme na kusahau shida zake zote za duniani, alihisi kama vile alikuwa katika jumba la kifahari na Rehema alikuwa kama malkia pembeni yake.

    “Hata mimi…” Eddy alijikuta naye akisema kulikubali penzi la Rehema.

    “Sema kweli?” alidadisi Rehema.

    “Kweli vile…”

    “Kwa hiyo leo utalala hapa au…?”

    “Hapana, niache tu nikalale kwangu kwa kuwa unajua miye ni mgeni…sijazo…”

    “Unamwogopa nani?” Rehema alimkatisha na kumfanya Eddy apatwe na kigugumizi cha ukubwa.

    “Si… si… simwogopi mtu…”

    “Ila…”

    “Basi tu…”

    “Najua unamtaka yule mwanamke wako…” alisema Rehema na kujifanya kukasirika.

    “Nani?”

    “Irene.”

    “Ndiyo nani huyo?”

    Unajifanya humjui wakati leo umempa sabuni ya kuogea?”

    “Aaah yule msichana ndiye anaitwa Irene?” Eddy naye alihoji.

    “Unajifanya humjui eeeh?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Simjui miye… aliniomba….”

    “Basi ishia hapohapo, huwa sitaki kusikia habari za vinuka mkojo…” alisema Rehema na kujidai kususa ili kumpima Eddy kama atakubali kulala au atakataa na kuondoka kwenda kulala chumbani kwake.

    Rehema akageukia upande mwingine na kumuacha Eddy akiwa amekaa bila kuelewa kilichokuwa kikiendelea, hali hiyo ilizidi kumchanganya kwa kuwa Rehema alionekana kususa.


    Kabla hata mwanaume huyo hajachukua uamuzi wowote, akamsikia msichana huyo akiangusha kilio cha kwikwi huku akitoa sauti yake ndogo.

    Kutahamaki, Eddy akachanganyikiwa na kumwinua huku akianza zoezi la kumbembeleza, tayari mashavu ya Rehema yalishajaa machozi ya uongo na kweli ili kulifanya zoezi lake lionekane kuwa la kweli.

    “Nyamaza Rey wangu…” Eddy alilitohoa na kuliita kwa mbwembwe jina hilo la mpenzi wake kiasi cha kumfanya Rehema kuhisi faraja.

    ***

    Wakati Eddy akiendelea kumbembeleza Rehema, Irene alikuwa akirandaranda nje kama fisi aliyekuwa akisubiri mzoga uachiwe na simba ili aweze kuambulia chochote.

    Mara kwa mara alikuwa akikatiza katika mlango wa Rehema na kujaribu kusikiliza kile kilichokuwa kikiendelea ndani.

    Kwa bahati nzuri au mbaya hakumsikia Rehema wakati akimponda. Akaendelea kupiga misele huku hasira zikimpanda kwa kuona mwanamke mwenzake akimzidi kete, aliamini kuwa akipata nafasi ndogo tu anaweza kuyabadilisha mawazo ya Eddy.

    Aliamini Rehema alikuwa akitumia nguvu nyingi kumng’ang’ania mwanaume huyo ili asiweze kumchoropoka mikononi mwake lakini alijua kuna nafasi moja tu angeweza kuitumia vyema.

    Mara ya mwisho Irene akapitiliza hadi barazani na kukaa huko huku akihakikisha anasikia kila kilichokuwa kikiendelea ukumbini.

    Muda ulikuwa umekwenda kwelikweli, ilikuwa ni saa nane usiku, bado nyumba ilikuwa wazi na watu wengine walikuwa wakifanya shughuli zao katika kitongoji hicho.

    Kati ya hao waliokuwa wakipitapita hakukuwa na aliyewahi kuamka asubuhi na kwenda kazini, kila mmoja alikuwa akilala pale alipoamua na kuamka pale anapoona kulikuwa na haja ya kufanya hivyo.

    Usiku mwingi baba mwenye nyumba akiwa ameambatana na mama mwenye nyumba walikuwa wakirudi nyumbani kwao wakiwa bwiii.

    Kila mmoja alikuwa akiimba wimbo wake, huku wakiwa wameshikana mikono, wakafika na kuukuta mlango wa mbele ukiwa wazi.

    Wakaanza kumwaga segere kwa kucheza bila ya kujali kama walikuwa wakiwapigia kelele majirani zao, hata hivyo baadhi ya majirani waliokuwa wamelala wakaanza kufungua mapazia yao ili kuweza kuona kitu cha kuhadithia kesho yake.

    Walipoacha kulisakata segere wakawageukia waliowakuta barazani, wakawauliza kwa nini walikuwa wakiangalia ngoma ya bure na kushindwa hata kuwatunza.

    “Kwa nini hamtutunzi?” alidakia mama mwenye nyumba kwa sauti ya juu.

    Vicheko vya walioulizwa swali hilo vilimfanya baba mwenye nyumba kukasirika na kuwaambia wote hawana adabu kwa kuwa walikuwa wakimcheka mama yao.

    “Haya kuanzia sasa naharibu starehe za watu, kila mmoja kwenda kulala…” alisema baba mwenye nyumba huyo huku akionesha kwamba hatanii.

    “Nahesabu mpaka tatu kila mmoja aingie chumbani kwake akalale…” alisisitiza huku akirandaranda kama vile alikuwa akitaka kuanzisha vita.

    “Mojaaaa… Mbiliiiii…” kabla ya kumalizia tatu akaanza tena na kuwataka hata wale wapangaji wake waliokuwa nyumba ya jirani waitwe ili waingie ndani kwani akishafunga mlango hautafunguliwa tena, alikuwa amedhamiria kulala na ufunguo mchagoni kwake.

    Kutokana na kauli ya baba mwenye nyumba, Irene hakuwa na ujanja wa kuendelea kukaa nje, akaingia ndani pamoja na wasichana wengine waliokuwa wamekaa barazani katika nyumba ya jirani.

    Hata baada ya kuingia ndani, Irene hakuweza kupata hata lepe la usingizi, muda mwingi alikuwa macho akijigeuzageuza huku na kule kuusaka usingizi huo bila ya mafanikio.

    Akiwa anahangaika hivyo, mdogo wake, Pat alikuwa akimwangalia na kumuonea huruma, kisha akamuuliza.

    “Dada hauko sawa?”

    “Aaah kawaida tu,” alijibu Irene.

    “Usinifiche, inaonekana hukupenda dada Rehema amchukue yule mgeni…?”
    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
    “Sitaki maongezi yako, hebu niache nilale,” alisema Irene na kujifunika shuka gubigubi, pamoja na kujifunika hivyo bado hakuweza kupata hata lepe la usingizi.

    Pat akaamua kumuacha na kujigeuza upande wake na baada ya muda kidogo akapitiwa na usingizi.

    Usiku mwingi, Irene akasikia mlango wa Rehema ukifunguliwa, akainuka na kujivuta mlangoni kwake, akafungua mlango huo taratibu na kuchungulia ukumbini.

    Akamwona Eddy akiwa anatoka chumbani kwa Rehema na kuelekea mlangoni kwake. Alipohakikisha kwamba Rehema ameshaingia ndani, akachomoka na kutoka.

    Akacheza na akili za Eddy aliyekuwa ametangulia mbele yake, naye akajifanya kama vile anakwenda msalani, Eddy akiwa mbele na yeye nyuma.

    Eddy alifungua mlango wake kwa funguo na Irene akawa anazuga kama vile alikuwa akienda uwani, kwa kuwa chumba hicho kilikuwa ni cha mwisho mkono wa kushoto kabla ya kufika uwani alifanikiwa kuweza kuzuga na kumsubiri Eddy afungue mlango wake.

    Alipofika karibu yake, Irene akapunguza mwendo na kusubiri afungue, alipofungua na kuingia ndani kabla hata Eddy hajafunga mlango nyuma yake, Irene akauzuia na kisha akazama chumbani humo.

    “Aaah!” Eddy akashtuka.

    “Shiii!” akasema Irene huku akiweka kidole chake cha shahada mdomoni mwake kumtaka asipige kelele kuwashtua watu wengine ndani ya nyumba hiyo.

    “Unataka nini?” Eddy aliuliza kwa sauti ya chini akionekana kutii amri ya Irene ya kutopiga kelele.

    “Moyo wako…” akasema mwanamke huyo na kumwashiria Eddy asogee kwenye uwanjwa wa futi tano kwa nne.

    “Lakini…” alijaribu kusema tena Eddy lakini Irene hakumpa nafasi akamziba mdomo kwa kutumia kiganja chake na kumtaka asizungumze chochote.

    Mkono wa Irene ukiwa mdomoni kwa Eddy ukimzuia kusema chochote, mkono mwingine ukawa na kazi ya kutembea na kuusanifu na kuusisimua mwili wa kijana huyo.

    “Eddy kwa nini umenisaliti?” alisema Irene kwa sauti ndogo karibu kabisa na sikio la kijana huyo kiasi cha mawimbi ya sauti yake kuutekenya moyo wa Eddy.

    Mbali na kusema maneno hayo, machozi yalionekana kutiririka katika mashavu ya mwanamke huyo huku akionesha kuguswa na kitendo alichokifanya Eddy.

    “Eeeh unalia!” Eddy alisema kwa mshangao.

    “Ulitegemea ningeweza kufurahi?”

    Eddy hakutegemea kitu hicho, akaendelea kupigwa na butwaa. Akawaza siku hiyo ilikuwa ikimaanisha nini katika maisha yake.

    Maana usiku wakati ukiingia alivamiwa na Rehema akamteka na kumwingiza chumbani kwake, hawakuishia hapo akapigishwa shoo ya nguvu.

    Kabla hata hakujapambazuka anavamiwa chumbani na mwanamke mwingine, naye anaonekana ana lengo lilelile la utekaji kama wa Rehema.

    Kinachomshangaza ni kumuona mwanamke huyo mzuri akimwaga machozi kwa ajili yake, akawa anashindwa kuelewa kama ni bahati au ni balaa linamwandama.

    “Kwa nini wanichukue kama mateka?”

    Alijiuliza katika nafsi yake, akiwa katika hali hiyo nywele zilimsimama na kukumbwa na kigugumizi cha ukubwani kila alipokuwa akiulizwa kitu na Irene.

    “Kwa nini umenisaliti?” aliuliza Irene huku akibadili mwelekeo na kuitembeza mikono yake miwili kwenye kifua cha Eddy.

    “Nimekusaliti vipi, mbona sikuelewi?” Eddy aliipaza sauti yake na kusema maneno hayo huku akizungusha macho yake kumwangalia kwa umakini Irene.

    “Unakumbuka miye ndiye niliyekuwa wa kwanza… kukutaka, kwa nini umekwenda kulala na Rehema?” Swali hilo lilikuwa gumu kwa Eddy, hakuweza kulijibu akabaki ametoa macho kama mjusi aliyekuwa amebanwa na mlango.

    Kijana huyo hakutegemea kama kwa wakati huo, Irene angekuwa na taarifa za yeye kutembea na Rehema, akashusha pumzi ndefu.

    “Unanidharau au?”

    “Sina kawaida ya kumdharau mtu,” alijibu Eddy.

    “Sasa kwa nini hukunipa nafasi ya kwanza?”

    “Kwani tulishaongea na wewe awali?”

    “Hapana ila visa vyangu viliongea, vilitosha kuonesha kwamba nilikuwa namaanisha nini kwako.”

    “Visa gani?”

    “Kama vile kukuomba sabuni na kukurudishia sabuni chumbani kwako, hukunielewa?”

    Eddy hakuwa na la kujibu kwa kuwa alishagundua tangu mapema kuhusu kile alichokuwa akikisema Irene.

    Kwa sauti iliyojaa mahaba na mihemo ya kuvutia Irene akamwambia Eddy:

    “Okey najua haikuwa dhamira yako, ulichukuliwa kama mateka… najua kila kitu lakini kuanzia sasa nataka uelewe kuwa miye ndiye mtu wako… umesikia?”


    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
    Eddy hakuweza kujibu kwa sauti yake akatikisa kichwa kuitikia kuonesha kwamba amekubaliana na hilo.

    “Achana na yule mwanamke kwanza si saizi yako miye ndiye saizi yako,” Irene alimwambia Eddy kwa sauti yake ya kunong’ona iliyojaa kila aina ya mvuto.

    Wakati huo Irene alipokuwa akisema maneno hayo hakuacha kusaula viwalo vyake, alishaona mwelekeo wa mafanikio katika zoezi lake la kumteka kijana huyo.

    Lengo lake lilikuwa ni kumkomoa Rehema na kuushusha umalkia wake katika nyumba hiyo.

    Kwa kuwa alikuwa akiziona nguo zake zikileta bughudha mwilini mwake, aliondoa moja baada ya nyingine na alipomaliza akamgeukia na Eddy.

    Akawa anafanya kama vile alivyokuwa akifanya, akaiondoa fulana aliyokuwa ameivaa, ndani ya fulana akakutana na singlendi nayo ikapigwa chini.

    Kifua kikawa cheupe, mtoto wa kike akashuka chini na kuanza kufungua mlango wa ikulu huku Eddy akiwa hana la kufanya wala hatoi kipingamizi chochote.

    Alipofanikiwa hakutaka kusubiri kitu kingine akafanya kama vile alivyokuwa akifanya Rehema, akamshika askari wa Eddy na kumwingiza kwenye njia ya kupitishia chakula.

    Mambo yakabadilika, Eddy akachanganyikiwa zaidi, joto lilikuwa kali kupita kiasi, utadhani alikuwa ameingizwa kwenye tanuri la kuokea mikate.

    Macho ya Eddy yalizunguka katika mwili wa Irene na kushuhudia mabonde na milima ambayo kwa njia moja ama nyingine yalimpandisha mzuka zaidi.

    Awali hakuwa akiamini kama angeweza kupiga shoo nyingine kwa usiku huo kutoka na ‘kupafomu’ kwa uhakika akiwa na Rehema, alijua kuwa nguvu zake zilikuwa zimekwisha kabisa.

    Lakini kadiri alivyokuwa akiangalia ramani ya mwili wa Irene, mawazo yake yakajenga picha ya kuvutia na kujikuta akipata nguvu nyingine mpya ambazo hakujua zilitokea wapi.

    Picha iliyojengeka akili mwake ni kwamba Irene alikuwa na ngozi nyororo kuliko Rehema, pia akagundua kwamba alikuwa na rangi adimu ambayo hata kama Rehema angetumia mikorogo yote inayotengenezwa Tandale na Manzese, Buguruni na Vingunguti yake asingeweza kuifikia.

    Aidha, akagundua kwamba joto la Irene lilikuwa na nguvu ya kusisimua kuliko lile la Rehema, kwa fikra hizo akajikuta akisisimka zaidi na kupandisha mori kama Mmasai aliyeibiwa ng’ombe wake akiwa machungani.

    Alishuhudia embe sindano zilizokuwa zimekaa kifuani mwa Irene, Eddy akawa hajiwezi, akajiuliza alikuwa na ngekewa gani ya kupendwa na mabinti warembo kama wale!

    Wakati Irene akiwa anaendelea na zoezi lake, Eddy akawa anasema maneno yasiyoeleweka, ghafla akawa anapayuka maneno, akasema:

    “Re… he… maaa…” Hali hiyo ilimfanya Irene kuacha kile alichokuwa anakifanya baada ya kulisikia jina la hasimu wake likitajwa.

    “Unaniiita nani?

    “Samahani… lakini… jina… lako… sili..jui…” alisema Eddy akiwa kama zezeta, akiwa anataka Irene afanye kile alichokuwa akikifanya.

    “Naitwa Irene Smart… au ukipenda niite Queen,” alisema Irene na kumfanya Eddy achague jina hilo la mwisho kwa kuwa hata akilini mwake aliamini kabisa kwamba msichana huyo alipaswa kuitwa Queen.

    Moyoni mwake Eddy alikiri kwamba Queen alikuwa mzuri sana lakini hata ungemuuliza kati ya msichana huyo na Rehema nani alikuwa zaidi, asingeweza kutoa jibu mwafaka.

    Alikuwa amebaki katikati na kuwa na kisebusebu na kiroho papo, huku anataka na kule anataka.

    “Tafadhali usiniite jina la Mala… wako.”

    “Samahani… nilighafirika.”

    “Kwa hiyo utaniita jina gani?”

    “Queen,” alisema Eddy huku akionekana kuwa mnyonge. Jina hilo lilimfurahisha sana Irene akawa anatabasamu na kufungua matuta yalioyokuwa yametanda kwenye sura yake.

    “Asante baby…” alisema na kurudia zoezi alilokuwa amelianza.


    Queen kama alivyomwita Eddy aliporudia safari hii alikuwa na mzuka mpya, akahakikisha kuwa anampagawisha Eddy kwa ujanja wake wote.

    Kweli hali hiyo ilizidisha mzuka wa Eddy akawa anahamasika na kupandwa na munkari kwa askari wake kuonesha dalili zote za kutaka kuingia vitani.

    Eddy hakujua hata nguvu alizipata wapi, akamgeuzia kibao Queen na kuanza kumshambulia kwa kufanya kujibu mashambulizi ya nguvu… akahakikisha haonekani bwege mbele ya Queen.

    Akapitisha ulimi wake katika kila kiungo cha Queen. Akaanzia shingoni kisha akapanda hadi kwenye mdomo hapo wakabadilishana ‘kinywaji’ na Queen.

    Eddy alipotosheka akarudi kwenye viwambo vya kusikilizia sauti, yote hiyo ilikuwa ni kumsaka shetani wa Queen. Kila kipengele ambacho Eddy alichokigusa kilikuwa kikimtia wazimu Queen.

    Alipotosheka kumpagawisha sehemu moja akahamia nyingine hata pale alipoona viwalo vya Queen vinamwondoa mchezoni alihakikisha anaviondoa.

    Baada ya kuviondoa vyote akawa anashuka chini kwa kupitia shingoni na kuuacha ulimi wake utalii katika maungo ya ‘bintani’ huyo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Akawa anashuka chini hadi kwenye embe sindano za Queen, akawa anazinyonya embe hizo na kumpandisha mori kiasi cha kumfanya akose uvumilivu na kuanza kulia.

    Hata hivyo, kilio chake kilikuwa ni tofauti na kile kilio cha kawaida, alikuwa akilia kwa furaha, kilio adimu kutokea kwa binadamu.

    Kilio chake kilikuwa kikiongeza hamasa moyoni mwa Eddy ambaye alimini kuwa alikuwa amemuweza. Aliamini kuwa kiwango chake cha kupagawisha kilikuwa kimeongezeka.

    Pamoja na kilio hicho cha Queen, Eddy hakuacha kufanya kile alichokuwa akikifanya, ndiyo kwanza akawa anazidisha majonjo, alipoona amempatia vyema msichana huyo, akazidisha makeke kwa kuweka vikorombwezo vingine vingi tu.

    Alipotosheka akashuka tena chini, akafikia kwenye tumbo jembamba la Queen, tumbo ambalo lilikuwa vigumu kwa mtu kujua kama msichana huyo alikuwa ameshiba au alikuwa na njaa.

    Hapo hakuchukua muda mrefu sana kupiga deki kama siyo kupiga msasa kwa kutumia ulimi wake, akashuka tena chini, akafika kwenye kiuno, hata hapo hakuchukua muda mrefu.

    Akashuka chini zaidi, zaidi na zaidi, akafika sehemu adimu kufikika, sehemu yenye ulinzi mkali lakini Eddy aliweza kuwapangua walinzi wote na kuweka ulimi wake.

    Queen alichanganyikiwa, akajihisi kama alikuwa yuko katika pepo ya Firdausi akiwa amezungukwa na malaika kibao.

    Sauti yake ilibadilika na kuwa ndogo, macho yake yakabonyea na kuingia ndani na kuwa madogo kama ya Mchina, akawa anapumua juu kwa juu.

    Pamoja na hivyo, akahisi kama vile alikuwa akitaka kukata roho. Kabla ya kufikia hatua hiyo alijihisi kama alikuwa akiishiwa nguvu, kisha akahisi kama alikuwa akitaka kuzimia.

    Maskini Queen hakuwahi kushuhudia kile alichokuwa akikishuhudia kwa wakati huo, raha zilikuwa zimemzidia, ilikuwa ni mara yake ya kwanza kufanyiwa alichokuwa akifanyiwa, akachanganyikiwa mara elfu moja.

    Wazimu ukampanda, akawa anajikuta anaingiza mipira golini kwake mfululizo bila ya kutegemea, akahisi raha kupita kiasi, raha ambazo kamwe hakuweza kuzielezea ladha yake.

    Kila goli alilojifunga alikuwa akipiga kelele za kushangilia.

    ****

    Ni wakati huo ndipo Rehema alipokuwa akitoka chumbani kwake na kwenda msalani. Nyumba ilikuwa imetulia kwa ukimya huku sauti pekee zilizosikika zikiwa ni zile za watu waliokuwa wakikoroma ambazo zilitokana na watu kulala vibaya au kutokana na uchovu wa mihangaiko yao ya mchana kutwa.
    Kelele nyingine zilikuwa ni zile za mlango na miguu yake wakati akitoka chumbani kwake.

    Rehema alishika uelekeo wa kwenda uwani.

    Alipofika kwenye mlango wa mwisho, alihisi kusikia kitu kisichokuwa cha kawaida, kitu adimu katika masikio ya watu wengi lakini akapuuza.
    Kupuuza kwake kulitokana na kutoka kwenye usingizi ambao bado ulikuwa ukimwelemea, akaendelea na safari yake hadi akafika msalani lakini wakati akiwa huko akameza mate ya akili na kutafakari kile alichokuwa amekisikia.

    Akajiuliza kilikuwa ni kitu gani, sauti ile ikajirudia katika akili yake, akahisi ni sauti ya msichana aliyekuwa amechanganywa na mtu anayejua mambo


    Akajaribu kukumbuka kama katika nyumba hiyo kulikuwa na msichana au mwanamke anayelala na mwanaume lakini hakuambulia kumkumbuka mwingine zaidi ya baba mwenye nyumba na mkewe.

    Akameza tena mate ya akili, akakumbuka kuwa mwanaume mwingine aliyekuwemo katika nyumba hiyo ni Eddy tu ambaye alishamchukulia dhamana kwamba hawezi kuwa na msichana kwa kipindi hicho kutokana na dozi walizopeana.

    “Hapana atakuwa siyo Eddy, kama akiwa yeye lazima nirudi kwa kungwi wangu upya na kumtaka anifunde upya,” alijiapia.

    Haikuchukua muda mrefu akatoka msalani na kurudi chumbani kwake, alipofika tena katika eneo lilelile akasikia vile vilio adimu vikiwa vinaendelea.

    Safari hii vilikuwa vikisikika kwa nguvu zaidi lakini kutokana na upepo uliokuwa ukivuma usiku huo, Rehema hakuweza kujua ni chumba gani hasa kilikuwa kikihusika.

    Kutokana na kile alichokisikia aliamini kuwa kuna msichana humo ndani ameingiza mwanaume chumbani kwake, akawa anataka kujua ni chumba gani.

    Wasiwasi ukamuongezeka kwa kuwa alikuwa akijua kuwa wasichana wengi wanaoshi katika nyumba hiyo wanalala wawiliwawili na wengine ni zaidi.

    Ni yeye tu anayelala chumba kizima peke yake ndiyo maana akapewa hadhi ya kuitwa malkia wa nyumba hiyo. Tena chumba chake ni kizuri na kina hadhi kubwa kuliko chumba kingine katika nyumba hiyo.

    Aidha, Rehema akafikiria labda kulikuwa na wasichana katika nyumba hiyo wakifanya kitendo kibaya cha kustareheshana wenyewe kwa wenyewe.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Inawezekana kweli?” alijiuliza bila ya kupata jibu la uhakika wa kile alichokuwa akikifikiria.

    “Dunia siku hizi imeharibika, unaweza kuwachukulia dhamana hawa wasichana kisha wakakuangusha,” akawaza tena Rehema na kumfanya wasiwasi wake uongezeke kwa kuhisi kwamba kulikuwa na kitu.

    Alifikia hatua ya kutaka kupuuza lakini kutokana na hisia hizo, akataka kujua ukweli ili kesho yake apate mada ya kusimulia kwa wenzake.

    Alijua stori tamu ni ile ya usiku wa manane kama huo ambao siku zote hushuhudiwa na watu wachache, pia inakuwa na raha kama itasimuliwa na malkia wa nyumba.

    Rehema akasogea hadi kwenye chumba cha jirani kabisa na kile cha Eddy akategesha sikio lake la kulia ili kusikiliza lakini hakuambulia kitu.

    Mawazo kwamba kitendo kile kinaweza kuendelea katika chumba cha Eddy alishayafuta, akasogea kwenye mlango mwingine wa chumba kinachotazamana na kile cha Eddy, akafanya kama vilevile alivyofanya katika chumba cha kwanza, napo hakuambulia kitu.

    Hakutaka kufuatilia katika vyumba vingine kwa kuwa vilikuwa mbali na alipokuwa amesimama kwa kuwa sauti ilikuwa haitoki mbali na sehemu hiyo.

    Kelele zilikuwa zikiendelea kusikika, akasogea katika chumba cha Eddy, alipotegesha sikio lake, nywele zilimsisimka na kuinua mdomo wake kama mtu aliyekuwa ameona au kusikia kitu cha ajabu.

    Miguu ikamtetemeka na kumfanya akose nguvu, akajitahidi na kuuegemea mlango huo. Akachanganyikiwa kabisa kwani alijua kulikuwa na shoo ya siri iliyokuwa ikipigwa chumbani humo.

    Wapiga shoo walikuwa wamejisahau na kufungulia spika zao kwa nguvu zao zote, aidha kwa kuzidiwa na furaha au kwa kujisahau.
    Nini kiliendelea? Tulia upate uhondo


    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog