Search This Blog

Monday, October 24, 2022

SHEMEJI MONICA - 1

 





    IMEANDIKWA NA : NIRA SAIRE



    *********************************************************************************



    Chombezo : Shemeji Monica

    Sehemu Ya Kwanza (1)





    James alikuwa ndo kwanza amemaliza elimu yake ya kidato cha sita, akiwa anangojea matokeo akaamua kutoka kwao kijijini na kutembelea mjini ili angalau aone dunia invyokwenda, pia aliamini mjini kuna fursa nyingi ambazo hazitamuacha akae bure kama ambavyo amekaa kijijini. Mjini alipokelewa vizuri na kaka yake (mtoto wa baba yake mkubwa), ambaye alikuwa ni mwalimu katika shule moja ya sekondari pale mjini. Kaka yeke huyu likuwa na mke mrembo sana na mtoto mmoja wa takribani miaka 12.

    ?sasa wacha nielekee kibaruani, nikirudi nitakutembeza uune mji mdogo wangu? Paul, kaka yake James alimuaga mdogo wake akaenda kazini na kumuacha James akibaki na shemeji yake tu maana hata Peter, mtoto wa Paul, alikuwa amekwenda shule tayari. Basi James akarudi chumbani na kuendelea kusoma kitabu chake ?think big? ambacho alikuwa akikirudia mara ya tatu sasa kwani hakikuisha utamu, pia hakuwa na kingine cha kusoma. ?James… James? ilisikika mlangoni sauti ambayo bila shaka ilikuwa ya Monica, shemeji yake James akiita huku akigonga mlango wa chumba alichokuwemo James. ?naam?, James akaitika huku akiacha haraka kufanya ambacho alikuwa akikifanya na kutii wito ule. ?naomba unisaidie kuingiza mkaa ndani? alielezea shemeji mtu mara baada ya James kufungua mlago, na James hakuwa na kipingamizi,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    akaelekea nje ambapo kulikuwa na gunia la mkaa ambalo inaonekana ndo lilikuwa limenunuliwa tu. ?sasa shemeji utaliweza kweli hili?? James aliuliza baada ya kuona kuwa gunia lile lilikuwa kubwa sana kwa shemeji yake kuachiwa upande mmoja wa kubeba pekeyake.. ?nitajitahidi, tutalifikisha tu? alijibu Monica na kazi ya kubeba ikaanza. Ilikuwa nikazi ngumu sana kwa Monica, aliweza kunyanyua kidogo tu na kila baada ya hatua tatu akalitua chini na kupumzika, wakati wakiingia ndani khanga ya Monicaidondoka, ndani alikuwa na kagauni cha kulalia ambacho kalikuwa kafupi sana,juu ya magoti, lakini Monica akapuuza kuikota Khanga ile na kuendelea na kazi waliyokuwa wakiifanya, kwa macho ya wizi James alikuwa akiyaangalia maumbile ya Monica ambayo kwakweli yalikuwa na nguvu ya kumtikisa mwanaume yeyote aliye rijali, kagauni kali kaliweza kuonesha ndani na James aliweza kuiona vizuri chupi nyeupe ambayo Monica aliiva siku hiyo, japo alijifanya kama haangalii. Wakaufikisha mkaa ule ambapo ulipaswa kuwekwa kisha James akaanza safari ya kurudi chumbani. ?unakaa sana ndani ya wewe mume wangu, mwisho uje ukute mke kaibiwa huku? alitania Monica na James akacheka na kujibu ?sasa kama sina cha kufanya si bora nijifiche ndani ili mke asijue kama mumewe hana kazi!!?, Monica akacheka kisha akamjibu’ ?njoo ukae hapa uangalie movie bwana?, akamuwashia TV na kumuacha achague CD ambayo angependa kuiangalia, akamuweke kisha akaendelea na mambo yake mengine. Baada ya kama nusu saa Monica akamuijia James akiwa amependeza sana na kumuaga ?sasa shem mimi naenda Salon, kuwa na uhuru hapa ni kwako? alisema Monic,?kubadilisha hiyo ikiisha si unajua?? akauliza swali huku akiichukua Remote kutaka kumuonesha James namna ya kubadili CD kwenye deki ?siwezi kushindwa, uzuri wa vitu vya mzungu vinajieleza vyenyewe? James alijibu huku akipokea ile Remote na Monica akaondoka kimuacha James akitazama kwa uchu maumbile yake huko nyuma ambako kulikuwa na ?chura? ya maana ambayo ilikaa vizuri ndani ya ile suruali ya jeans ya kubana ambayo alikuwa amevaa Monica. James alijikuta kuanza kumtamani Monica ingawa alijitahidi kuzipuuza fikra hizo maana alikuwa akimuheshimu mno Paul ambaye alikuwa na upendo wa dhati kwake ingawa hawakuwa ndugu wa tumbo moja. Baada ya Monica kuondoka, James akaikumbuka CD yake ya ngono ambayo hakuwa hata amewahi kuiangalia toka ainunue akiwa kidato cha tano, maana kwao kijijini hakukuwa hata na umeme, hivyo alipokuja mjini akaibeba akitegemea kuiangalia kama atapata nafasi hiyo, sasa aliona kama ameipata nafasi tayari, hivyo akaenda chumbania na kuichukua ile CD na akafanikiwa kuiingiza ndani ya deki kisha akaanza kuiangalia kwa sauti ya chini sana. Baada ya dakika kama 10 tu toka aanze kuangalia umeme ukakatika, hapo ndipo James alipopata homa akijaibu kutumia kila njia kutaka kuitoa CD ile kwenye deki lakini jitiha zake ziligonga ukuta, ikambidi akae akisali umeme urudi haraka ili aweze kuitoa CD ile kabla wenyeji wake hawajarudi. Mpaka majira ya saa 8 mchana umeme ulikuwa bado haujarudi ambapo Paul alirudi kutoka kazini na kumtaka James watoke, James hakuwa na namna zaidi ya kutoka na kaka yake huku akiwa hajui nini kitatokea huko nyuma, safari hii dua yake ikabadilika kutoka kuomba umeme urudi na kuwa umeme usirudi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Safari ya James na Paul ikawachukua mpaka kwenye kituo kimoja ambapo walikuta wanafunzi wengi wakifundishwa masomo mbalimbali. ?hii ni biashara yangu, hapa tunafundisha masomo yote kwa ngazi ya sekondari? alielezea Paul huku James akiitikia tu, akili yake ilikuwa imevurugwa na majanga aliyoyaacha nyumbani. ?wewe bwana si umesoma PCM, kuna uhaba wa walimu wa Physics hapa kama unaweza nikupe nafasi uwe unafundisha vijana wa o’level? Paul alishauri na James akakubali haraka maana alikuwa anapenda sana kazi ya ufundishaji na aliamini atafanya vizuri na kujitengenezea kipato. ?sawa, kama uko tayari tumebakiza hatua moja, inakubidi kupewa darasa tuone uwezo wako kabla ya kuamua kukupa kazi? alielezea Paul na James akakubali, kisha Paul akamchukua James mpaka kwenye ofisi ndogo ambapo walimkuta kijana wa rika moja tu na James,?vipi sir Mdharuba?? alisalimia Paul, ?poa brother, shikamoo? akajibu kijana yule na kisha kupewa maelezo kuhusu James akimtaka kumtafutia muda ambao atapata darasa kwaajili ya majaribio ?tuna kipindi cha Physics fom 3 leo saa 10 na nusu, nadhani angekitumia hiki? alielezea sir Mdhauba ambaye alikuwa ndio msimamizi wa shughuli za pale na wote wakakubaliana kukitumia kipindi hicho kwaajili ya James kujaribiwa uwezo wake, wakati huu ilikuwa ni kama saa 9 na robo, hivyo James akatka kujua atafundisha nini na akautumia muda huo kujiandaa. Saa 10 na nusu ilipofika James akaingia darasani na ?kupiga pindi? pindi huku Paul na Mdharuba wakimuangalia, baada ya kipindi wote wakaukubali uwezo wake na kumpa kazi ?tunalipa elefu 4 kwa kipindi, kwahiyo itategemea unapta vipindi vingapi kwa siku, sawa?? alielezea Paul na James akakubali bila kipingamizi, kisha wakaondoka. Safari yao ikaenda kukomea tena kwenye bar ambapo Paul aliagiza pombe akimtaka na James kuagiza lakini James alikataa kwani hakuwa mnywaji wa vilevi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya Paul kulewa aakaanza kuonesha tabia za ajabu ambazo James hakuwahi kudhani kama kaka yake huyo anazo, akaanza kushika makalio ya wahudumu wa pale bar, na kuanza kupigia simu wanawake wake wa nje ambao alikuwanao,mwisho mmoja wao akaja na akaondokanaye huku akimchukulia James bodaboda na kumtaka atangulie nyumbani, akabaki nikijiuliza Paul anakosa nini kwa Monica mpaka anafanya mambo ya ajabu namna ile, yeye alimuona Monica kama mwanamke ambaye angekuwa wake angetulia mpaka mwisho, kwanini Paul anmafanyia hivi?? aliendelea kujiuliza.

    Alipofika nyumbani James alikuta taa inawaka na hofu ikanitawala, maana iliashiia umeme kurudi, akaikaingia ndani na kumkuta shemeji yake akiwa amekaa sebuleni akiwasubiri.. ?mwenzio umemuacha wapi?? aliuza Monica, ?ameniambia kuna jambo anafuatilia bado mjini mimi nitangulie? alidanganya James, Monica akaonekana kutoamini maelezo yale ila akapuuza na kumkaibisha shemeji yake chakula huku yeye akirudi kukaa pale sebuleni na kuwasha TV, James akainuka kuelekea kwenye chakula huku akimuona shemeji yake akichukua remote ya deki, hapo akaona nguvu za miguu zikimuisha, ila akajikaza na kuendelea na safari ya kuelekea kula.

    Shem hii CD ni yako??? swali kutoka kwa Monica likapenya masikioni mwa James wakati akiendelea kula, moyo ukampasuka,kashindwa hata kutoa jibu.



    Halikuwa swali gumu kwa James kwa maana jibu alikuwanalo, ugumu ulikuwa kulitoa hilo jibu, ?CD ipi?? James akajifanya kuuliza swali ambalo Monica alilipuuza, James akaendelea kula chakula ambacho alikuwa anakimeza kama dawa tu, utamu wa chakula uliibwa na mawazo juu ya janga lililokuwepo mbele yake.

    Baada ya kumaliza kula James akaamua kuelekea chumbani kwake kuficha uso wake, ila hili nalo lilikuwa na ugumu maana kufika chumbani kwake ilibidi apite pale sebuleni ambapo shemeji yake alikuwepo, mwisho akaamua kupita, liwalo na liwe. Wakati akikatisha pale sebuleni James aligundua kuwa shemeji yake alikuwa akiiangalia CD ile ya ngono, basi yeye akajikausha na kuchapa mwendo kuuelekea mlango wa chumba chake. ?unaenda kulala shem?? swali likamtoka Monica na kumlazimu James kusimama kulijibu japo hakugeuka kumtizama muulizaji,?ndio,wacha nipmzike nimechoka sana leo? alijibu James ingawa hakuwa na uhakika kama kweli nakwenda kulala huko chumbani. ?acha zako bwana,unaniacha na nani sasa usiku wote huu? Hebu njoo ukae hapa? alisema Monica huku akimuelekeza James kwenda kushirikiana na yeye kulikalia kochi alilokuwa amekalia, kochi ambalo lilitengenezwa kwa matumizi ya watu wawili. Agizo lile lilimshitua sana James, moyoni akawaza kuwa wito ule lazima ulitokana na moja kati ya mambo mawili,labda shemeji yake anamuita kwenda kumsema kwa tabia mbaya ambayo ameionesha au atakuwa amemtamani kimapenzi, sio jambo la kawaida mwanamke kumualika mwanaume washirikiane kuangalia kanda za ngono. Basi james akatii wito, akaenda na kukaa kwenye ile nafasi moja iliyobakia kwenye kochi baada ya nyingine kuwa imekwishatumiwa na shemeji yake, wakaendelea kutazama video ile ingawa James alijifanya kama

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    yeye hakuwa na haja ya kungalia kilichokuwa kinaendelea, muda mwingi alikuwa akiangalia chini kwa aibu. ?napenda sana mwanaume anayefanya mapenzi romantic kama huyu, halafu daah! Mdile wake umeshibaaa, huyo dada anafaidi kweli? James alishangaa kuona Monica anajaribu kuifanya video ile kama maigizo ya Kanumba, yani anategemea tuanze kuyajadili haya?? alijiuliza James ambaye aliamua kukaa kimya kama ambaye hakusikia maneno ya Monica. Mara Monica. Mara Monica akasimama,kisha akamwambia James ?nakuja sasa hivi, usiondoke? kisha akaelekea chumbani kwake, huku nyuma James alibaki njia panda,akajiuliza atoe ile CD au aiache, mwisho akaamua kuacha kila kitu kama kilivyokua maana hakujua matokeo ya kubadili mazingira aliyoyaacha shemeji yake. Baada ya dakika kama tano Monica akamudia James, lakini muonekano wake ulibadilika sana kutokana na kubadili mavazi, alikuwa amevaa kitop cha rangi ya pink ambacho kiliyaacha mabega yake wazi, ndani ya kitop kile chepesi hakukuwa na sidiria kwani James aliweza kuziona chuchu zikiwa zimesimama dede kama zinataka kukitoboa kitop kile, chini Monica alikuwa amevee khanga nyeupe ambayo ilikuwa na maua ya blue, Monica akamvuka James akielekea kwenye jokofu, huku akimuuliza James ?utakunywa nini mume?? wakati huu James alikuwa akimeza mafunda mazito ya mate akiangalia ufundi wa muumbaji,mirindimoiliyokuwa ikionekana nyuma kwa Monica iliashiria kuwa ndani ya khanga ile aliyokuuwa amevaa hakukuwa na vazi lingine lolote, khanga ile haikuwa na uwezo wa kuzuia maumbile ya Monica kuonekana, James alijikuta amepagawa tayari. Basi James akaagiza Juice, na Monica akaonekana akijongea kuelekea alipo James akiwa na glas mbili za juice, wakati akija James alifaidi hips zake ambazo zilikuwa zimeujenga mwili wake kike hasa, huu ulikuwa ugonjwa mkubwa sana kwa James, alipenda sana wanawake wenye hips zenye afya njema. Monica akafika na kuweka Juice mezani kisha akarudi kukaa kwenye kochi, baaada ya sekunde chache kukaa pia akaona hakufai na kuanza kumlalia James mapajani, James akajikuta akiingiwa na ubaridi fulani uliotokana na uoga, kabaki amejikunyata asijue cha kufanya, mkao huu pia ulimchukua Monic dakika moja tu kabla hajaamka tena na kuanza kumkumbatia James, chuchu zake zikipitapita mwilini mwa James na kuzidi kumpagawisha, akajikuta akisimamisha kila kilicho na uwezo wa kusimama mwilini mwake,sasa alikuwa akitaka apewe hicho ambacho anaingishiwa, lakini akili ikamkumbusha kuwa yule alikuwa shemeji yake ?shemeji sio vizuri, mimi namuheshimu sana kama Paul? alisema James huku akijinasua kutoka kwenye kumbato lile la Monica, wakabaki wakitazamana, Monica akatabasamu jambo ambalo liliziongezea nakshi lipsi zake ambazo zilikuwa zinatamanisha kunyonya wakati wote, ?we unadhani kaka akiju…? James akajaribu tena kujilazimisha kuzungumza lakini ulimi wa Monica ukamkata kauli, Monica akaanzisha uchokozi wa ulimi kwa ulimi na James akajikuta hana upinzani tena, akamuachia Monica kuwa dereva wa gari lile na yeye kubaki kuwa

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    abiria ingawa hakujua gari lile lilikuwa linaelekea wapi,wala hakutaka kujua tena. Wakati zoezi la kunyonyana likiendelea Monica akawa naulalii mwili wa James kwa viganja na vidole vyake, James alikuwa mpole tu akiendelea na kazi yake ya kunyonyana. Monica akafungua suruali ya James na ndani ya sekunde chache akakipata alichokuwa anakitafuta ?mmmh! Yote yako hii?? alitania Monica akiwa ameshika bakora ya James kama ameiteka vile, James alikuwa amebalikwa katika idara ile, kama angekutana na mwanamke asiye mzoefu asingethubutu kukubali kuingia vitani kupambana na silaha nzito namna ile,lakini Monica hakuonekana kuiogopa hata chembe, kwanza alionekana kuipenda kwa dhati. Monica akafanikiwa kuuchomoa ulimi wake kinywani mwa James akauamishia masikioni na shingoni kwa James,akampagawisha kijana wa watu kwa nncha ya ulimi wake kutalii maeneo hayo huku aki uvutavuta uume wa James kama anakamua maziwa ya ng’ombe. Haikuchukua hata sekunde ishirini Monica akasikia umoto mkononi mwake, James alikuwa amemwaga tayari, na sasa akili zake zikawa zimrudia na kwa mara nyingine akajiona alikuwa akifanya jambo ambalo halikuwa sahihi. Uume wake ukashuka, na akajikuta nnje ya mchezo, alitamani kumwambia Monica aache anachokifanya ila hakuweza kusema na hakujua ni kwanini, Monica akajaribu kumrudisha mchezoni kwa dakika kadhaa ila haikuonekana kusaidia. Monica akaacha alichokuwa anakifanya na kusimama, moyoni James akashukuru akijua zoezi limeahirishwa lakini akashangaa kuona Monica akijivua ile top aliyokuwa amevee na kisha kuifungua ile khanga akabaki kama alivyozaliwa, halafu akamsaula na yeye akabaki kama alivyozaliwa. Jicho lilikuwa limemtoka James akiona kila kitu clear kabisa, alijiona kama alikuwa anaota. Monica akamsukumi kwenye kochi akakaa na yeye akakaa juu yake, mnara wa James ukajikuta umesoma network tena. Monica akauchukua na kujizamishia chumvini huku akikaa vizuri mapajani mwa James. James akahisi kautelezo chenye joto fulani zuri kakiukaribisha uume wake ndani ya Monica, hapohapo akajikuta akishusha wazungu kwa mara ya pili. Monica akamuangalia kwa jicho baya sana,alionekene kukerwa na kitendo kile ila akakipuuza na kundelea kucheza singeli pale mapajani kwa James, lakini ndani ya dakika chache akashindwa kuendelea kwanu mnara wa James haukuwa hata na chembe ya network.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Hii ni mara yako ya kwanza kufanya mapenzi James?? aliuliza Monica akionekana kabisa kuwa alikuwa na uhakika wa kupata jibu la ndio. James akajihisi aibu kidogo kwa swali lile ?umejuaje?’? akajibu kwa swali James ambaye ni kweli hakuwahi kushiriki kitendo cha aina ile kabla,?learner hajifichi,sasa itabidi nikupe darasa, na baada ya hapo utakuwa mwalimu? alisema Monica huku akimpapasa James na mara mlango ukagongwa, sauti ya mgongaji ilikuwa ya Paul, wote wakapagawa kila mmoja akikimbilia nguo zake, James akakimbia na zakwake chumbani kwake akimuachia Monica msala wake.

    Akiwa chumbani James alisikia Monica akimkaribisha ndani mumewe vizuri kama hakuna chochote kilichotokea, ?karibu mezani upate chakula mume wangu? James alisikia kwa mbali Monica akimkaribisha mumewe chakula baada ya kumpokea, akaamua kupuuza maongezi yao na kubaki akiwaza yake. Alijiona mkosaji sana kwa kitendo alichokifaya na shemeji yake, aliona hakumtendea haki kaka yake ambae kama sio yeye angekuwa anapambana na maisha ya kijijini. Akaamua kuwa asingerudia tena kufanya jambo kama lile, nusu saa baadae James akazima taa na kuamua kulala,lakini kabla usingizi haujamchukua akasikia mlango wake unagongwa polepole, mgongaji hakutoa sauti yoyote zaidi ya kugonga mlango, akaamua kuitikia mwito ule mlangoni, akawasha taa na kufungua mlango, macho yakamtoka kukutana na Monica akiwa uchi, kama alivyozaliwa, umbile lake zuri liking’aishwa na weupe wake wa asili ambao ulikuwa ukimtoa roho James ?uko tayari kwa darasa?? aliuliza Monica akirembua macho kimahaba.

    ****************************************



    Sikia shem, kilichotokea leo ni makosa mkubwa sana na tunapaswa kuyajutia,sio kuyarudia kwa makusudi? Alisema James kwa msisitizo wa hali ya juu, kichwani alikuwa akijiuliza kaka yake alikuwa wapi wakati shemeji yake huyu anafanya mambo ya hatari namna ile. James akajaibu kufunga mlango lakini Monica akawahi kuuzuia, ?kweli unaniacha nikalale na ukame? Kuwa na huruma bwana? alisema Monica kwa sauti ya kudeka lakini James akajitahidi kuishinda nafsi, maana tayari mnara wake ulishaanza kutoa huduma lakini uoga ulizizidi hisia za matamanio. ?nenda kajipoze kwa mumeo aisee, ondoka usije ukaniletea matatizo? alisema James. ?Paul amelala na amelewa, hawezi kuamka sahivi, mbona unanifanyia hivyo lakini? alihoji Monica lakini James akajibu kwa kuufunga mlango kwa kustukiza, akafunga kabisa kwa funguo na kurudi kitandani, Monica akabaki kaduwaa pale mlangoni, hakuamini kama anaweza kukataliwa na mwanaume rijali kwa ujio aliomwendea nao James, akaamua kukubali matokeo na kurudi chumbani kwake ambapo alimkuta mumewe amelala akikoroma vibaya, akamuangalia kwa hasira sana kisha akaelekea bafuni ambapo hakwenda kuoga tu bali pia kutuliza mzuka wake kwa njia za asili ambazo alikuwa akizitumia mara nyingi ashki inapomzidia, kwani mumewe alimpa haki yake siku ambayo yeye alikuwa na uhitaji, na mara zote zoezi liliisha pale ambapo mume anakuwa karidhika, hakuwa akijua kama kitendo kile kina ushiriki wa watu wawili na kila mmoja wao anatakiwa kufurahia kinachofanyika.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Asubuhi James alichelewa sana kuamka, hii ilitokana na kuchelewa kulala ambako kulitokana na mawazo mengi juu ya kitendo ambacho alikifanya na shemeji yake. ?sasa nadhani umeshakuwa mwenyeji, leo utaenda pekeyako pale kituoni, mimi nitakupitia jioni? Paul alikuwa akitoa maelezo wakati akimuaga mdogo wake ambaye alionekana bado ana usingizi. Baada ya kuagana na Paul, James akaelekea bafuni ambapo alioga haraka akajiandaa kwa kutoka, ?natoka kidogo shem? aliaga James baada ya kukutana uso kwa uso na shemeji yake ambaye alikuwa ndio sababu ya kuondoka kwake mapema yote ile, alikuwa anakimbia vitimbwi vyake ambavyo alijua fika kama angebaki asingeweza kuviepuka. ?mbona mapema hivyo? Paul si amesema wewe unaenda kzini mchana?? alihoji Monica ambaye macho yake yalionesha kutojutia hata kidogo jambo walilofanya. ?natakiwa kwenda mjini kununua baadhi ya vitendea kazi ambavyo sina, pia natakiwa kupata sehemu tulivu niandae somo la leo? alijribu kujitetea James ambaye alikuwa hata hawezi kumtazama shemeji yake kutokana na aibu aliyokuwanayo juu yake. ?we sema hutaki kukaa na mimi tu, hapo mjini pana umbali gani mpaka upaendee asubuhi yote hii? Ndo kwanza saa tatu, ngojea kweny saa 6 nitakupeleka? alishauri Monica lakini James akashikilia msimamo wake na kuondoka.

    Akiwa amekaa kwenye bustani fulani nzuri ndani ya jiji akipunga upepo huku macho yake yakifaidi urembo wa wadada mbalimbali ambao walikuwa wakija na kutoka katiaka bustani zile, James alikuwa akingojea muda usogee aelekee kwenye kibarua chake kile ambacho kilikuwa bado kipya kabisa, nidhamu ya kazi bado ilikuwa ipo kwenye kiwango cha juu kabisa, hakutaka kuchelewa. Mara simu yake ikaita, akaitoa na kuangalia mpigaji, akakuta ni Sir Mdharuba, akaipokea na kuanza kuzungumza naye, Sir Mdharuba akamueleza juu ya mwanamke ambaye alikuwa amekwenda pale kituoni kuona kama anaweza kupata mwalimu ambaye anaweza akawa namfundishia binti yake nyumbani, hivyo Sir Mdharuba alitaka kujua kama James angeweza kuifanya kazi ile ili ajiongezee kipato, James akajibu kuwa angeweza kuifanya ile kazi na Sir Mdharuba akamtaka kuchukua usafiri na kufika kituoni haraka sana ili akapatane na mama wa binti ambaya alipaswa kuwa mwanafunzi wake.

    James akafika ofisini na kukutana na mama akiwa na binti yake, binti huyo alikuwa na mrembo sana, James hakutamani kuyaweka macho yake mbali na binti yule baada ya kumuangalia. ?huyu ni mwanangu, anaitwa Julieth, anasoma St. Chritine girls form 5, so tuliuwa tunatafuta mwalimu awe anakuja kumfundishia nyumbani? alielezea mama yake binti yule mrembo. ?unasoma Kombi gani dada?? James akauliza kwa sauti ya upole ambayo ilikuwa na nia ya kumshawishi mama yule kuwa yeye ni kijana mstaarabu. ?PCM? alijibu Julieth ambaye sauti yake ilifanana sana na muonekano wake, sauti kama hizi huwa zinatosha kumfanya msichana kuwa mrembo, sasa Julieth kwake ilikuwa ziada tu, alikuwa ameumbika hasa. ?Okay so ulikuwa unataka kusoma masomo yote matatu au?? aliuliza James. ?hapana, nataka kusoma PURE tu, am not good in it at all? alisema Julieth akimaanisha anataka kusoma somo la hesabu,somo ambalo mara nyingi huwa ugonjwa kwa wadada hasa wadada warembo. ?okay, tutasoma ila nataka ufute kwanza wazo la kwamba Maths ni ngumu, hukupata tu waalimu wazuri, sasa umepata mwalimu na tatizo limeisha? alisema James kwa utani na wote wakacheka. Baada ya kubadilishana namba za simu James akawatoa wageni wake mpaka ambapo ilikuwa imepaki gari yao. ?unaweza kuondoka tu na gari, mimi dereva wa ofisini atanichukua pale kwenye mgahawa? alisema mama Julieth kumwambia mwanae, ?lakini please go home, usipitie pengine popote? aliongezea akimkabidhi mwanae funguo, akaondoa gari ile huku akiwaacha James na mama yake kila mtu akichukua njia yake.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    James alijikuta amempenda sana binti yule lakini alijiona kama hakuwa na nafasi mbele yake maana alionekana waziwazi kuwa mtoto wa ushuani, hawa huwa wanaenda na waishua wenzao, sio mtoka kijijini kama mimi, aliwaza James ambaye alikwenda ofisini kupiga story na Sir Mdharuba akingojea muda wa kipindi chake ufike, ?haya sasa nimekupa pasi safi kabisa, akushinde mwenyewe mtoto mzuri yule? alitania Sir Mdharuba ambaye alionekana kuwa mtu wa totoz sana, James akacheka tu na kubadili mada.

    Baada ya kumaliza kipindi James akatoka na kumpigia Julieth kutaka maelekezo zaidi ya kufika kwao, kama ambavyo walikuwa wamekubaliana. ?kwani wewe uko wapi?? aliuliza Julieth baada ya James kumwelezea lengo la kumpigia. ?mimi ndo natoka ofisini? alijibu kwa kifupi James, basi Julieth akamuelekeza kwenye mgahawa ambao ulikuwa karibu akimtaka amsubiri hapo akamchukue. Baada ya dakika kama kumi Julieth akawa amefika, na akashangaa kumuona James akiwa amesimama nje ya Mgahawa ule, akshusha kioocha gari na kumuita, safari hii alikuwa amekuja na gari tofauti na ile ya mwanzo. ?mbona umesimama nje sasa?? si ungeingia ukapumzika?? alihoji Julieth akiondoa gari baada ya James kuingia. ?aah! Hii migahawa yenu haiaminiki, unaweza ukanywa juice tu wakakudai elfu 20, nikaona nikungoje nje nisije nikavuliwa shati bure? alisema James na Julieth akacheka sana. ?jamani, nilikuwa nakuja kulipia chochote ambacho ungetumia? alisema Julieth ndani ya kicheko. ?ndo ungejieleza vizuri sasa, mi nimeogopa bwana?.

    Safari yao ikkomea kwenye jumba moja la kifahari maeneo ya ushuani, Julieth akapiga honi, geti likafunguiwa na mtu ambaye bila shaka alikuwa na mlinzi kutokana na sare alizokuwa amevaa. James akaongozana na Julieth kuelekea ndani ya jumba lile ambalo James huonaga kwenye TV tu majumba ya aina ile. James akakaibishwa vizuri, akapewa na Juice kisha wakapumzika kwa kama dakika 20 kabla ya kazi ya kufundishana kuanza. Julieth hakuwa kilaza kama ambavyo James alimdhania mwanzo, alionekana kuwa na kichwa kizuri sana ila hakuwa na mapenzi na somo lenyewe, James aliligundua hilo mara moja na kuamua kufundisha katika hali ya kutaniana sana na kuuhusu Julieth amzoee ila baadae ampende, maana aliamini kuwa ukimpenda mwalimu lazima ulipende somo lake na hiyo ingekuwa dawa tosha kwa Julith.

    ?kwakweli siamini, logic imenitesa sana hii huko shule, kumbe ni rahisi hivi?? alisema Julieth wakati akimtoa James baada ya kumaliza kipindi. ?mwalimu wako hakujua namna ya kukufundisha, nakuhkikishia hakuna hesabu ngumu, ukiniamini katika hilo basi umepona? alisema James kisha wakaagana, Julieth alionekana mwenye furaha sana, tabasamu halikuisha usoni kwake, James alitamani kuendelea kumuangalia tu lakini ndo hakukuwa na sababu ya kubaki pale ili aendelee kumuangalia kwani kipindi kilikuwa kimeisha kwa siku hiyo.

    James alifika nyumbani majira ya saa 2 usiku, akamkuta Monica nyumbani akiwa pekeyake, cha ahabu siku hiyo Monica aionekana kumnunia, alikuwa tofauti sana na jinsi alivyomuacha asubuhi. James akampa salam ambayo aliijibu kama hataki, James akaamua kumpuuza na kuingia chumbani kwani hakuona kama alifanya kosa kukataa ujinga wake.

    Alipofika chumbani katoa simu yake ambayo hakuwa amejishughulisha anyo kwa muda mrefu sana, alipoingalia akagundua kulikuwa na sms 4, akazifungua na kugundua 3 zilikuwa za Monica na moja ilikuwa ya Julieth, akaanza na ile ya Julieth ambayo ilikuwa imeandikwa ?nimekupenda sana Teache James, wewe unajua namna ya kunifundisha, natamani ungenifundisha na vitu vingine?, James akashangazwa sana na ujumbe ule, akajiuliza kama kweli ulikuwa ukimanisha ambacho alikuwa anakifikiria au ulikuwa na maana nyingine ?atakuwa anataka kuongeza somo huyu, labda anataka nimfundishe na Physics au Chemistry? aliwaza James huku akiijibu sms ile ?usiwe na shaka, ni wewe tu niko vizuri pia kwenye Physics na

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Chemistry?, kisha akafungua sms za Monica, moja iliandikwa ?mambo? Uko wapi?’ nyingine ilisomeka ?uwahi kurudi tuje kuendelea na darasa letu, unajua hujakamilika kama mwanaume kama hujui mabo yetu yale? nyingine ilisomeka ?mbona hujibu sms zangu? hapa ndipo akagundua kwanini Monica amenuna, alifikiri kuwa sms zake hazikujibiwa makusudi. Wakati akiendelea kulitafakari hili mara sms ikaingia, ilikuwa inatoka kwa Julieth ?mimi sina tatizo lolote kwenye Physics wala Chemistry, wala sihitaji msaada wako upande huo?, sms ile ikamuacha James njia panda, akabaki akijiuliza kitu gani anataka mtoto huyu? Au fikra zangu za awali zilikuwa sahihi? ?sasa unataka nikufundishe nini kingine?’? akauliza kwa sms James baada ya yeye kutokuwa na majibu ya uhakika, akabaki kaikodolea macho simu yake akingojea kwa hamu jibu la Julieth, ?mapenzi? Julieth akajibu kaujumbe kafupi tu, lakini kalitosha kuikologa akili ya James, akabaki akijiuliza anachokiona kweli au ndoto, akiwa kaikati ya mawazo ujumbe mwingine ukaingia ?sio siri nimekupenda na nataka uwe wangu ila sijui chochote kwenye mapnzi, nategemea uwe mwalimu wangu?, James hakuamini anachokiona, ni kweli alimpenda sana Julieth ila hakudhani anaweza naye anaweza kumtaka mtu kama yeye,sasa nitamfundisha nini ikiwa mimi mwenyewe sina nijualo? Alijiuliza James, mwisho akachukua simu yake na kutuma ujumbe ?samahani, nikiwa kazini sishiki simu, ila niko tayari kwa darasa? kabla hajaituma akajiuliza mara mbilimbili kama aitume sms ile ama laa, mwisho akafumba macho na kubonyeza kitufe cha kutuma. Baada ya sekunde chache ujumbe wake ukajibiwa ?kama unataka kujifunza nitakufundisha ila kwa mashariti matatu? James akajaribu kutabiri hayo mashariti lakini akafeli mwisho akaamua kutuma tena ujumbe ?masharti gani tena hayo?

    ****************************************



    ITAENDELEA
    Pseudepigraphas

0 comments:

Post a Comment

Blog