Chombezo : Dokta Mimi Siumwi Huko
Sehemu Ya Tano (5)
SULEE"
"kwakuwa Janeth ana kuwa mkaidi sana kwangu mimi
natena pale tu ninapo kuongelea"
"kivipi sulee"
"Jambo lolote tu sijuwi kwa nini mpaka ikafikia hatua akaniambia"
"akakwambia nini"
"Adams nijibu kwanza swali langu
wewe na janeth mkoje, pia una mpenzi au huna"
"sina mpenzi pia jane, nikwamba ana nitaka tuwe wapenzi ila mimi sitaki kabisa"
"hapana Adams unanidanganya
wewe na jane, niwapenzi ndomaana akanitisha eti wewe una ukimwi ili niachane nawewe
plz sitaki matatizo Adams hatujawa wapenzi bado hari hii
inajitokeza je ikiwa tayari wapenzi itakuwaje sitakufa nimetokea katika matatizo
basi sipendi nirudie huko"
"ahaaaa kumbeee
Sulee niamini niamini jane, sina mahusiano nae hatakidogo
yeye ana ladhimisha iwe hivyo mimi sittaki"
"siwezi kuamini nihakikishie basi
kwa jambo lolote"
"ok sawa sawa nipe wiki2 utafurahi"
"sawa iwe ahadi ya kweli
Adams nakupenda sana nataka uwe mume wangu Mzee Maryo nije nimuite mkwe wangu"
"hahaa wala usijari nami pia nakupenda kupita maelezo"
"basi sawa nakuamini"
"asante pia naomba nikuamishie Morogoro hapa ni tatizo tena asije akakuwekea madawa"
"hata mimi nilikuwa na wazo hilo hilo je nyumbani unakaa na nani"
"nipo na wadogo zangu wakike na wakiume"
"kwahiyo takaa kwako au utanipangia"
"kuna kupanga tena hapana utakaa kwangu"
"sawa"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
_______________________________________
TULIONGEA MAMBO MENGI TUKIWA iringa mida ya jioni saa10 tulianza safari kufika ipogoro gari ili
pata pancha Tushukuru mwendo haukuwa mkubwa.
Tuli shuka chini nakubadilisha tayri nasafari ikaendelea saa4:30 usiku tulisha fika Morogoro
hatukufikia nyumbani kwa Adams.
"sasa sulee hapa ni morogoro
tumefika hari ya hewa ina ubaridi kidogo"
"kweli kabisa naona"
"sasa naona tufikie gest tulale kisha asubuhi tufike nyumbani"
"sawa tu wewe nimwenyeji wangu"
"ok, Wewe utachukuwa chumba chako na mimi changu"
ALINICHANGANYA SANA SIKUJUWA NIA YAKE NI NINI KWANGU SASA KILA MTU CHUMBA CHAKE CHA NINI WAKATI TUSHAKUWA WACHUMBA.
"sawa "
"sasa sulee una itikia sawa umelidhika kila mtu alale kwake"
"Adams vyovyote sawa"
"mmh ๏๏ sulee twende tuka lale wote sawa"
NIKAMA ALINITEKENYA
ADAMS NILIJIONA NIMEPATA PRESHA YA SEX GHAFLA NILITAMANI TUFIKE KITANDANI HARAKA SANA mwili wangu uliishiwa nguvu kabisa nilitembea huku nikijishikilia begani kwa Adams.
"sulee vip"
"niko sawa"
"kweli sulee"
"yes kwani vipi"
"naona upo tofauti kidogo ghafla"
"wala hisia zako tu"
KAMA ALIJUWA VILI adams wangu AKANIKUMBATIA KIUNONI KWANGU TARATIBU AKAWA ANANIKOKOTA NIKAMA MTU ALIYE LEWA HAJIWEZI
nililewa kwa mahaba niliyo yaona katika hisia zangu nilikuwa navuta picha jinsi Adams atakavyo kuwa yupo juu ya kifua changu namimi ninavyo onyesha maufundi ya kukata nyonga
nilikuwa na waza stayle gani nizitumiye kati mechi yetu.
"Adams Adams najisikia vibayaaa
aaah"
"Nini tena sulee"
Nilijikuta nikimshika mkono
wake nakuutumbukiza ikulu kwangu naye bila ajizi aliipekecha chupi yangu nakutumbukiza kidole chake cha kati katika(..........)
"yalaaa ashii ashii aaah.....
adams aah naumia mpenzi wangu
naomba nitibu haraka nipo mahututi mpenzi"
"ok okkkkky ayaah"
zilikuwa sauti za mahaba katika
chumba hiko furaha ya ngono
ilitawala katika chuma hiko
Sulee alitumia ujanja wake wote
wakumteka kimapenzi Adams
naye Adams alionyesha ufundi
wake wote wakumfanya sulee alizike na penzi lake
hakika mchezo ulikuwa
wanguvu sana Sulee alianza kuchoka kwakuwa alitumia stayle zote za 6by6.
"Asante mpenzi wangu kwakunipa penzi lako tamu sana
hakika wewe ni mwanamke utakae nisuuza Moyo wangu"
"Nami nime furahia sana penzi lako tamu kamaaaa siwezi kufananisha na chochote naweza kusema ni tamu sana Adams"
Walipoa maliza walijilaza
kitandani na usingizi uka chukuwa nafasi yake kwa wote wawili
walilala wakiwa wamekumbatiana.
_______________________________________
Sulee kumekucha nadhani tuka
oge ili tuelekee nyumbani"
"sawa mpenzi wangu ila nimechoka sana kiuno kime kaza sana naomba uni nyoshe"
"ok sawa"
mchezo ulianza kwa dk45
wote walichangamka
walienda bafuni kuoga walipo maliza waliludi chumbani na kuvaa nguo zao na kuondoka.
"hapa ndiyo nyumbani sulee"
"aah panzuri sana mpenzi wangu
hongera sana"
"asante ila hapa tawaacha wadogo zangu mimi tahamia
nane nane najenga nyumba nzuri
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
kuliko hii"
"ooh Sawa mpenzi sina neno kwako tumuombe Mungu atulinde"
"nikweli yeye ni kila ki
tu"
________________________________________
Tuliingia ndani kwakweli
kulikuwa kuzuri sana tatizo uangalizi mzuri kulikuwa hakuna
vitu vilikuwa holela holela.
"sasa sulee mpenzi ngoja niende ofsini nadhani kila kitu kipo jikoni
uta pika kisha kama kula utakula
mimi tarudi badae naenda kupanga mambo sawa"
"sawa mpenzi wangu"
______________________________________
"kaka kisarawe habari za kwako"
"nzuri Adams za huko"
"safi sana wangu kila kitu kimeenda sawa kabisa"
"kweli"
"yes"
"sasa ngoja nikupe siri ya mapenzi
kati ya Mume na mke ndani ya ndoa"
"ipi hiyo kaka kisarawe"
"nikwamba, Jitahidi sana sana
kuwa jirani na mkeo pia kumlidhisha kimapenzi/sex hakika hawezi kutoka nje ya ndoa yako
kabisa punguza ubize mjari mkeo
kabisaa hiyo ni siri ya penzi"
"Nimekuelewa kaka"
"zingatia sana asilimia kubwa sana wake za matajiri wana toka nje ya ndoa zao kwa sababu kuu mbili (1) Kuto pata ukalibu
sana na mumewe mara nyingi wanaume wanakuwa bize sana
mwanamke anataka faraja aliwazwe kama mtoto (2) Wanahitaji sex pale anapokuwa na hamu Mara nyingi wanaume wanarudi nyumbani wamechoka
kiakiri sasa hata wazo la ngono na mkewe wanakuwa hawana kabisa
Mtu akiwa na mawazo hisia huwa zina potea za kimapenzi, nadhani umenielewa"
"kaka somo kubwa sana hili
tafanya hivyo"
"itapendeza sana huo ni uchawi wa mapenzi, kwahiyo yupo nyumbani au"
"ndiyo yupo kaka"
"sasa sijuwi itakuwaje nikionana nae maana itakuwa tatizo"
"kaka najuwa mkionana yeye ata hamaki alafu ata fanya yeye hakujuwi nakama anakujuwa ataonyesha kushangaa kuwa wewe upo na mimi usionyeshe dariri yoyote ya mashaka mchangamkie sawa alafu mimi tamwambia siku nyingine kila kitu
alafu tamwambia nime msamehe"
"yes nalo ni wazo zuri jioni takuja"
"sawa tamwambia kunamgeni ana kuja"
"ok "
"ehee kazi zina semaje"
"kama kawaida katika page zote tatu kunamaombi ya Noah Min, kama 10 tatu mikumi 3 mikese na 4 hapa hapa ndani ya siku 20 ziwe hapa na kuwapelekea nimeongea nao na advansi wame toa milioni5 kila mmoja"
Biashara ya Adams iliongezeka
mara 3 zaidi ya mwanzo alivyo kuwa mwenyewe alifurahi sana
kuwa juu kiuchumi.
"kaka kisarawe nashukulu sana
kwa usaidizi wako"
"usijari Adams na hapa ni nyumba ya nani Ramani yake ni nzuri sana nimeipenda sana kwa kweli
Namuomba Mungu Akinipa pesa tajenga kama hivi..
"KAKA kisarawe mambo madogo sana haya unaweza kupa nawala
usiumize kichwa chako"
"Ndoto hizo Adams"
"wala siyo ndoto ni kweli unapo fanya kazi kwa bidii na ukiwa na malengo kichwani hakika uta weza kufanikisha ndoto zako"
"sidhani kama ni kweli wengi wetu hukata tamaa haraka sana
kabla ya kujalibu jambo"
"hapo ndipo tunako kosea"
Kisarawe na Adams walizidi kuongea huku wakikagua
mazingira ya nyumba hiyo
nzuri sana ya kisasa.
"Fundi hapo bado nini na nini"
"Nadhani bado umeme na
bustani tu kila kitu kiko tayali kabisa"
"vizuri umeme kesho wanakuja nimeongea nao leo"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"sawa"
Kisarawe hii ni nyumba yako naomba nikukabizi kutoka Moyoni mwangu ni zawadi yangu kaka"
"Eeh eeh Mimi"
"yes wewe"
"siamini kabisa ooh Mungu wangu asante sana kwakuonyesha njia hii iliyo bora kwangu, kaka Adams asante sana"
"asante wewe kaka maana ume niwezesha sana kupata mafanikio hapa nilipo yamekuwa kwa kiwango kikubwa sana"
"hapa ni mwanzo tafanya kazi kama kazi yangu sitajari kama kazi siyo ya kwangu na Mungu ata saidia"
"ok twende nyumbani ukaonane na Sulee sasa naomba heshima iwepo kwani huyo dada nampenda sana"
"sawa taonyesha bila wasi wasi yazamani yame pita"
______________________________________
Karibu sana kaka, baby baby
kuna mgeni"
"naja sweet"
Nilipo ingia sebuleni nilipatwa na mshtuko nili simama lakini kutoa hofo kwao nili geuza nyuma
nakwelekea moja kwa moja mpaka
kwenye friji nakutoa jagi lamaji na glasi nakwenda nayo na kuweka mezani.
"pole nakazi Mume wangu"
"asante sana za hapa"
"nzuri tu, karibu mgeni za kwako"
"salama sana za hapa"
"safi tu tupo"
"asante shemeji"
"baby wangu huyu mgeni anaitwa kisarawe alikuwa ni dokta sasa ni msaidizi wangu katika kazi zangu za kibiashara,
kaka kisarawe huyu ni shemeji yako anaitwa sulee naombeni heshima iwepo kati yenu wawili sawa"
"sawa Adams bila shida yoyote, shemeji karibu sana Nipo nae mr wako hapa ni mwaka na nusu sasa tupo kama ndugu"
"asante shemeji kwakukufahamu,
naombeni mniluhusu nipo na pika jikoni"
"sawa lakini takutafutia mfanyakazi sawa"
"sawa mpenzi wangu"
Baada ya kuongea maongezi hayo pande3 zote walikula chakula nawalipo maliza kula Kisarawe aliondoka nakurudi kwake.
"sasa unaweza kuhamia katika nyumba ile sawa kuna vutu nime kupelekea pale unapo kaa kuna kijana anakuja kukaa mfanyakazi
wa nyumbani atakuwa anafanya kazi kwangu lakini ku lala atalala pale"
"sawa asante sana Adams sikutegemea kabisa"
Maisha yali songa mbele Adams akajenga nyumba nyingine akawapeleka wadogo zake kukaa uko.
"Adams mpenzi wangu"
"naam"
"una nipenda kweli"
"ndiyo tena sana"
"sawa asante nadhani hauta nificha nikikuuliza"
"yee yes yes"
"kisarawe ukoje nae au ulimpata wapi"
"mmh ni mfanyakazi wangu"
"kweli alafu ulimpata wapi"
"tulikutana oficeni kwangu, kwanini unauliza hivyo"
"hana jina lingine"
"sitambui ,mbona maswali hivyo kuna nini"
"kama namkumbuka vile"
"wapi ulionana nae"
"kama dar vile"
"labda umuulize ata kujibu"
Mpenzi wangu Adams siyo Majibu
hayo kama nimekukosea Nisamehe"
"No no hapana upo sawa
Mpenzi wangu unakila sababu yakuniuliza jambo lolote
kama linanihusu, ila kuhusu mambo yote naomba muulize
Yeye mwenyewe kisarawe atakujibu Mimi sijuwi"
"sawa mpenzi wangu"
Tuliacha Maongezi hayo tulianza kuongea story zingine za maisha
yetu jinsi itakavyo kuwa mbeleni
siunajuwa Maisha yalivyo magumu.
___________________
Maisha ya Monica na mwanae yalikuwa yakawaida sana japokuwa alipewa msaada na mama yule lakini msaada uli simama baada ya Mama yule kupata ajari ya gari akielekea Arusha na kufa papo hapo
Monica alitaabika sana hakujuwa wapi aende na Mtoto wake Mdogo sana.
Aliamuwa akaombe kazi ya kuuza bar/baamedi.
Alijitolea kwavyovyote vile imladi
apate kodi ya nyumba na yachakula pia Monica hakuwa na mawasiriano kabisa na Sulee.
_____________
Samahani Dokta leo jioni namaongezi na wewe kama utakuwa na muda"
"sulee shemeji niite Kisarawe inatosha siyo dokta tena sawa"
"sawa ila limenikaa sana ilo jina la dokta"
"ok sangapi utakuwa na muda huo mmh saa9 maana nikama saa1 hivi niwahi kurudi home"
"ok sawa"
"poa, eeeh mawasiriano sasa
tupeane ila usumbufu sitaki"
"aah shemu nakaa vizuri sana na Adams kama kaka na mdogo nizaidi ya boss na mfanyakazi tunaaminiana sana katika pesa na katika mapenzi siwezi kumwingilia/kumwibia nakama kuiba niibe pesa nasiyo mke/mpenzi wake ok sulee"
"sawa nimekuelewa namba yangu ni 0704651394 hii hapa"
"asante taku bipu"
"ok mchana mwema
usimwambie Adams kama tuna juwana na tukio zima lililo tokea"
"sawa"
baada ya kutimia saa9 jioni
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Sulee alianza kuhaha kutokana na kumpa namba kisarawe nae kisarawe hakumpigia sule alikuwa hana namba ya kisarawe.
"tafanyaje sasa"
ngongo ngoongo
sauti ya mlango ulikuwa ukigongwa nyumbani kwa sulee.
"ingia mlango upo wazi"
"asante"
Kumbe alikuwa ni dokta kisarawe
alikuja nyumbani kwa sulee/Adams.
"mbona umekuja hapa"
"boss/Adams kanituma
sehemu nayeye hawezi kurudi hapa"
dk2 simu ya sulee ikaita.
"hallow mpenzi nambie"
"safi tu nyumbani vip safi"
"ndiyo safi nilihitaji tuwe wote sahizi mpenzi wangu"
"ooh sawa nami pia ila siwezi kurudi kisarawe nimemtuma mahali furani"
"ok sangapi warudi"
"saa12 jioni"
"ok nipike nini"
"chochote ukipendacho"
"mmh wanaume hamtakagi kusema chakula flani sawa takupikia chakula kitamu sana
sawa"
"nitafurahi sana mpenzi wangu"
_________________
"ehee sulee tuongee haraka haraka"
"poa samahani sana kwakukusumbua"
"bira samahani"
"ok nadhani kila mtu anatambua
matatizo yetu wawili yaliyo pita"
"nikweli kabisa sulee"
"sitaki tukumbushane saana
ila naomba heshima iwepo sitaki tuludi katika ujinga ule
kila mtu aangalie kile alicho kifata hapa tusialibiane maisha sawa"
"upo sahihi sulee hata mimi siku hizi sipo kama zamani ni kisarawe mpya kabisa"
"nashukuru kwahilo uliongealo"
"kabisa nipo na Mungu sasa masuala yale sina kabisa
nilikuwa naendea kubaya kabisa
najenga maisha yangu sasa nahitaji familia bora kwa sasa nahitaji Mtoto aniite baba namimi niseme mwanangu tucheke na mke wangu pia"
"aaah nimekumbuka jambo"
"lipi sulee"
"Aah sijuwi aliko Monica kwanini usimtafute uje kukaanae"
"hapana ni mke wa mtu yule"
"kumbuka umesababisha aachike napia ana mtoto wako
tena sura yakwako japokuwa wakike"
"kweli sulee usemayo"
"ndiyo kabisa"
"je namba yake unazikumbuka"
"taangalia katika simu yangu"
"fanya hivyo shemu"
"sawa usiwe na hofu kisarawe"
****
Mpaka sahizi kisarawe haja rudi
mmh Roho yangu ina uma, Ngoja nimpigie sulee, mbona simu haipatikani kuna nini sasa"
Adams aliwaza sana
alihisi kumegewa tunda lake.
________________
"Adams safi"
"safi nini sasa kaka"
"nimeongea nae kila kitu safi pia
kanishauli nimfate Monica nije nikae nae hapa pamoja na Mtoto wangu"
"Monica ninani"
"siyule niliye kusimulia"
"ooh kweli itapendeza fanya hivyo haraka sana"
"sawa Adams tafanya hivyo
ila naomba Shemeji sulee anisaidie kwa hili"
"sawa utaongea nae sawa"
Kweli Talatibu za kumtafuta
Monica zikaanza Bila mafanikio ikabidi niondoke na Kisarawe kwenda Dar, kumtafuta Monica
kila mahali tulimtafuta bila mafanikio, Adams alimwamini
Kisarawe kwa asirimia kubwa sana kumwacha na mimi yeye mara nyingi alikuwa bize na kazi zake.
Dar tulikaa siku3 bila kumuona Monica lakini tulisikia kuwa yupo mwananyamala ilikuwa usiku
sana wa saa2.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"sasa sulee ngoja tulale kesho tutaenda huko"
"sawa Kisarawe usiku mwema"
"Nawe pia"
"ila kisarawe mbona mapema sana tukalale kweli"
"yes nausingizi sana sule"
"mmh twende tukanywe kidogo"
"nini pombe"
"ndiyo kidogo tu moja moja
akili ichangamke"
"sulee mmh .
Hapana hapana"
"kwa nini kisarawe"
"sikuhizi nime okoka Sulee"
"Haha yani dhambi zako umeacha
kweli maajabu sana wewe dokta kisarawe ume ungama na kuacha kuwa... Wake zawatu khaa ,ila tunye kidogo"
"sawa tajalibu"
Monica alizidi kujituma kufanya kazi ya u'bar medi ili japo apate pesa ya matumizi yakumlea mtoto wake mdogo sana Kipindi
yeye yupo kazini akiuza bar Mtoto alikuwa akimuacha na Rafiki yake aliye kaanae chumba kimoja
yeye alikuwa akifanya kazi ya
ukahaba usiku.
Monica alikuwa hana furaha kabisa katika Maisha yake aliwaza sana jinsi alivyo ialibu ndoa yake na mtoto wake ndiyo ilikuwa furaha yake japo aliumia sana
moyoni, machozi yalimtoka sana
akiwa akitoa huduma tena kwa boss wake sanga.
monica nini mbona una lia"
"Kichwa kinauma sana"
"pole sana dada angu ebu nenda
kapumzike ndani ,ila meza dawa
kwanza sawa"
"sawa boss"
Kwakuwa bar iyo ilikuwa
ndani ya gest tuliyo fikia Monica alienda kupumzika katika chumba cha wafanyakazi kilicho kuwepo katika gest iyo tuliyo fikia sisi.
Tulikuwa tukitoka
nje mimi na kisarawe tukiwa mbali kwa mbali kisarawe akiwa nyuma yangu mimi mbele
hamady uso kwa uso na Monica alikuwa katika sare za wahudumu
iliyo andikwa sanga bar.
"Monica monica"
"sulee sulee jamani"
"Mambo Monica"
Hakujibu Monica alibakia akitoa macho.
"Monica nini mbona hauongei"
lakini nikajuwa kuwa alikuwa
kamuona kisarawe ndomana
alibakia akishangaa alionekana
mtu mwenye hasilla sana usoni.
"Monica kuwa mpole hii safari
imekuja kwako nakama miujiza
kukutana na wewe hapa"
"sitaki sitaki sulee mbaya sana wewe yani umeludiana na kisarawe mmetoka gest hauna hata aibu umeniacha kwa shangazi yako na mateso juu sitaki kuwaoneni hapa sawa"
"sikiliza sulee sisi tumetoka
morogoro kwajili yako kukutafuta
sawa naningekuwa na namba zako ningekupigia uje moro
tafadhari naomba utusikilize sawa
nakama unajuwa tumetoka gest twende kwa muhudumu alafu
angalia kama tumechukuwa vyumba vingapi"
Muhudumu akamwambia
ni vyumba viwili tuli chukuwa
hapo tuliingia katika chumba kimoja wote watatu.
"sasa Monica nielewe nacho ongea sawa Mimi nimepata mchumba
anae itwa Adams j maryo jr. Nimfanya biashara Morogoro Nadhani unakumbuka nilikwambia kabla sijaondoka kwa shangazi nilikutana nae kipindiulipo niambia nikapime ili niondoe mashaka unakumbuka Monica"
"ndiyo nakumbuka uliniambia"
"ok sasa nilipo fika kwake aliniambia anamfanyakazi wake
alipo tukutanisha mimi na huyo mfanyakazi wake hakuwa mwingine ni huyu kisarawe kwa sasa ni shemeji yangu Monica sikuona sababu ya kuteseka wewe na mtoto wako nilimshauri kisarawe ili akuchukuwe wewe na mtoto wenu mkamlee kama baba na mama sawa sitapenda ukatae suala hili unasemaje kama wewe"
"sulee kisarawe katuumiza sana nafsi zetu namchukia namchukia
leo mpaka kesho kiufupi sitaki sitaki kuwa nae acha niishi na maisha yangu haya haya magumu najuwa mwanangu atateseka siyo mbaya atakuwa mkubwa na yeye atakuwa na maisha yake"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Monica monica Mimi siko hivyo kama zamani nime badilika
Monica naomba unisahau kisarawe wazamani sasa niko mpya niamini siwezi kukuumiza tena"
Kisarawe aliongea huku akimsogelea Monica alikuwa amepungua sana kutokana na maisha duni na kuwa na mawazo sana ya maisha yake yaliyo msumbua sana.
"Kisarawe usini guse sitaki sitaki
sawa ishia hivyo hivyo.
Monica alimpiga kibao
kisarawe mpaka akadondoka kisarawe chini Roho yangu iliuma sana kwanini Monica kampika kisarawe hivyo sikujuwa nilibakia niki shanga shangaa.
kwajinsi Monica alivyo badilika
alikuwa kama simba mwenye hasira sana.
"Monica kwa nini unafanya hivyo"
"Sulee nyamaza hivyo hivyo namuona kama adui yangu huyu
sitaki kumwona kabisa mbele yangu amenialibia maisha yangu yote na Mume wangu ambaye nilimpenda sana kila siku"
"sawa Monica najuwa hivyo namambo yamesha halibika
sasa tuya jenge upya kama mimi nimekutana nae morogoro ikabidi nimsamehe nikaonea kuwa tuje kukutafuta kwakuwa mwenzangu una mtoto wake ebu mpe nafasi
mtoto wako alelewe na baba na mama kwapamoja apate Raha na Amani pia"
"Monica najuwa unanichukia sana nikweli nilifanya makosa sana ulikuwa ulimbukeni kwa sasa nimebadilika sana ebu tazama
upo hapa sahizi katika mazingira haya je mtoto wetu yupo katika mazingira gani Monica nipe nafasi nikutunzi pia uwe mke wangu wa ndoa"
Monica aliinama chini akiwa
analia kwa uchungu sana Aliumia sana nilimuonea huruma sana nilimkumbatia huku nikimbembeleza kwa kumfuta machozi yake.
"nyamaza monica haya ni maisha unapitia mambo mengi sana nahili lako ni tatizo ambalo lita kupotea katika akiri yako ,Monica mkubalie Kisarawe maisha nimazuri sana anayo ishi kwake tofauti na maisha ya kwanza kwako"
"Mapenzi yakweli ndiyo nayataka nasiyo mapenzi ya pesa/mali yasiyo na ukweli yaliyo na utapeli
sipendi kuumizwa kabisa naweza kuuwa au kujiuwa kabisa nimeumia sana nilipo msariti mume wangu sitaki tena ujinga kama huo au kunisariti kisarawe nakukubali ila naomba usinitende
ukinitenda juwa kuwa iyakuwa vita kati yangu na yako sawa"
"Monica niamini sita fanya hivyo
nakuahidi fanya utakalo liamua juu yangu utakuwa una haki
kulifanya"
"Jamani mbona mna haidiana
mambo mazito kiasi hicho khaa
ila sawa inaonyesha kuwa mtakuwa makini na kuwana penzi la kweli kati yenu".
Tulimaliza maongezi pale
na haja ya kulala ikawa ime isha pale pale, Tuliondoka na kwenda mpaka alipokuwa akikaa Monica
tuliingia ndani nakumkuta Rafiki yake Monica akiwa kalala na mtoto wa Monica.
Aliamka yule dada tukasalimiana
natuka mchukua mtoto nakumpakata.
"Hakika Kisarawe
huyu ni mwanao ona ulivyo fanana nae"
"yah nimekubali kabisa"
"sasa Monica hakuna kulala hapa
sahizi ni saa1:25 inatakiwa tuondoke kwenda moro"
"sawa tu"
Safari ilianza yakwenda moro
tulifika saa3:35 kwakuwa tulikuwa na gari yetu wenyewe
moja kwa moja kisarawe alinipele nyumbani kwangu na wao walielekea kwao.
"usiku mwema jamani"
"nawe pia sulee"
"Asante"
"vipi zahuko mmefanikisha au"
"yani kama bahati tu"
"kwa nini"
"tumemuona na tumerudi nae"
"Mungu mkubwa"
"hakika"
tulilala na Mpenzi wangu Adams
mpka asubuhi niliamka nikiwa nimechoka sana kutokana na
kupeana haki yetu usiku
niliona uvivu kuamka kwajinsi nilivyo choka kwa shuguli
ya usiku lakini kuna kitu kilicho.
Niumiza kichwa siyo kingine
kuhusu kisarawe na Monica
kweli Monica ameenda kwenye utamu kweli kisarawe anaweza sana ku.... Kuliko Adams wakawaida sana sema anapesa zake tu ila mapenzi no no
Najana angejalibu kunywa pombe angekoma sema ilikatishwa na Monica ila tadiri nae tu ladhima nimpate tena Mimi sindiyo sulee bana mtoto wa mjini.
_____________________________________
Monica hapa ni kwangu Tafadhari
karibu sana"
"hii nyumba ni ya nani"
"ya kwangu kwani vipi"
"ooh nzuri sana jamani hongera sana"
"mh wakumpa hongera ni Adams
boss wangu mimi ambae ni mume wa Sulee kanipa yakwangu kabisa kutokana na kazi yangu nzuri katika kampuni yake"
"anamoyo sana wa huruma Na mungu amjalie kila siku"
"kwakweli".
Yalikuwa maongezi kati yake Monica na Kisarawe.
(Mmh nahitaji kumjuwa huyo Adams sijuwi yukoje maana sulee anammwagia sifa Kisarawe nae hivyo hivyo ana pesa kiasi gani uyo ngoja siku tukionana)
Monica aliwaza maneno hayo
usiku akiwa ame lala
chumbani kwake hawakuwa wame lala pamoja kutokana na kuahidiana kuto kutana kimwili mpaka wakapime h'i'v ili wajitambue Afya zao kama zipo salama.
"Mpenzi umeamkaje"
"salama Adams vp wewe"
"safi tyuu"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"Asante sana kama hivyo"
"ila nataka nipitie nyumbani kwa kisarawe ni msalimie shemeji kisha niende kazini"
"chai je subili unywe kabisi"
"hapana tumzika tu maana shuguli ya leo noma"
"haha ilooo umekomaje"
"sulee yaleo tamu balaa"
"basi poa badae na kazi njema"
Nili bakia nime lala huku niki mfikiria kisarawe kwaufundi wake pale kati.
_________________
"hodi hodi wenyewee"
"karibu pita uko wazi mlango"
"asante naona kimya sana"
"tupo karibu sana"
(Monica alijiuliza huyu ninani
kijana aliye pendeza sana akiwa ndani ya suti malidadi sana machoni akiwa ndani ya miwani mweupe siyo ya macho ni ya show tu usoni kweli Adams alikuwa kapendeza sana kama kawaida yake hakupenda uchafu.
KAbisa japo alikuwa hana
mke lakini alijitahidi sana kuwa msafi katika nguo na mwili pamoja na nyumbani kwake.
"Karibu mgeni"
"Mgeni wewe nasiyo mimi"
"mh"
"Najuwa una shangaa
kwakuwa huni juwi Eemh' Naitwa
Adams kama sijakosea wewe ni Monica siyo"
"yah hauja kosea shemeji
karibu sana kumbe ww ndiyo Adams nasikia jina tyuu"
"ndiyo Monica Vp mtoto hajambo"
"hajambo kalala sahizi "
"ooh usijali shemu vp Kaka yupo"
"daa kajidamka asubuhi sana
kasema kuna gari 3 inatakiwa
zitoke mapema sana siku yaleo"
"daah nilisha sahau basi ngoja niende badae tapitia kumwona baby"
"sawa"
"utampa pesa hizi mtoto ,lf50"
"asante shem"
(eeh Sulee ana bahati sana
yani kapata mume mzuri pesa anazo sasa kwaujinga wake
anaweza akampoteza mume)
"hallow shemeji sulee kwema"
"yaha hakuna tatizo ila nimekupigia simu nina shida na wewe"
"ipi tena"
"inahitajika Muda na pia iwembali na mjini"
"mh"
"mbona mh"
"hapana niko sawa,sasa wapi tukutane"
"nane nane kuna bar pale"
"sawa tafika bila kukosa
sulee"
baada yakufika pale nane kisarawe alishuka katika gari
yake aka shuka naku chukukua simu ili ampigie sulee....
Samahani kaka"
"bila samahani unaweza kuongea"
"kuna dada yupo pale kanituma nikuite uwende"
"anaitwa nani"
"sula kasema"
"ni sulee"
"ah ndiyo ni sulee"
"poa twende"
Alipo fika pale kisarawe alimkuta sulee kavaa kimini yani naweza kusema ilikuwa nitoe Roho mate yaka mtoka kisarawe ila alijikaza zaidi ya maumivu ya jipu alikaa chini sulee alikuwa kakunja miguu mfano wa namba4
yani kwajinsi mapaja yake yalivyo onekana Moyo wa dokta/kisarawe
ulimuuma sana alikumbuka matukio ya nyuma kati ya Monica na sulee marafiki alio walamba wote kipindi hicho.
(Monica alikuwa mzuri wa umbo lake lakini sulee ni balaa pale kati kiukweli anaweza mwanamke ana pumzi)
"wee kisarawe mbona unaonekana una mawazo sana nimekuita hapa tuongee machache kama hauta jali"
"ok ok mh nipo sawa"
"kisarawe unajuwa jinsi ulivyo alibu ndoa yangu"
"najuwa"
"unajiwa jinsi gani nilivyo umia
katika kuachwa kwangu"
"Najuwa"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"je Unajuwa asala ya kuachwa na mtu umpendae"
"najuwa"
"nizipi hizo"
"moja Moyo huumia sana kwakipindi kilefu sana, mbili huwezi kumpata mtu umpendae
kama wa mwanzo"
"upo sahihi kabisa mpaka leo hii
sijampata nimpendae kama mume wangu wazamani"
"sulee unaongea nini wewe
na Adams je?"
"siyo chaguo langu nimemkubali
kwaajili ya matatizo yangu
naaliniomba niwe mpenzi wake sasa sikuona sababu zakumkataa"
"sulee Adams ana kila kitu
mpaka na yeye ana vutia sasa hakufai"
"Ananifaa kimaisha lakini siyo kimoyoni yupo ambae ananifaa ki moyoni nahisi ndiye atakae nifariji
moyoni na moyo utatulia.
____________
eeh Sulee ana bahati sana
yani kapata mume mzuri pesa anazo sasa kwaujinga wake
anaweza akampoteza mume
huyu kwajinsi navyo mjuwa
mimi"
Aliwaza Maneno hayo Monica
akiwa nyumbani baada ya Adams kuondoka.
Adams alikuwa ofisini
kwake alipiga simu kwa Mpenzi wake sulee lakini simu haikupokelewa zaidi ya mara5
aliwaza sana Adams lakini alijipa
Moyo: Labda atakuwa anafanya usafi nje: Akampigia simu kisarawe nae simu iliita zaidi ya mara2 nakukata bila kupokelewa.
"mh mbona majanga mpenzi wangu hapokei kisarawe hapokei
nini sasa jinacho endelea. Ila wenda anaendesha gari. Ngoja niende nyumbani kwake kisarawe.
Adams aliondoka ofisini nakuwasha gari lake nakuelekea
kwa kisarawe nyumbani kwake.
_______________
Sulee ni nani huyo nakama yupo
nibora umwambie ukweli
kabisa"
"Mbona anajuwa nasiyo mwingine
ni wewe dokta nakupenda uwe dawa ya moyo wangu naomba unitulize akili yangu Adams nimempendea pesa zake lakini siyo kwa mapenzi"
"sulee acha acha wewe
hauoni hatari hii ona Monica kaja
ni Rafiki yako haya Adams ni Boss wangu aah ah aaa unanichanganya sulee"
"boss atabaki kuwa boss na Rafiki yangu atabakia kuwa Rafiki yangu
tuta fanya siri kati yangu na yako
naomba iwe hivyo onyo ukikataa takupotezea kazi yako"
kisarawe akawa mpole nikama teja aliye pata dozi ya unga
sulee aliinuka nakumshika shingoni nakuusogeza mdomo wake ulio jaa lipsitic mbele ya mdomo wa kisarawe alipo ona hashtuki aliugusanisha mdomo wake nawa kisarawe akachomoa ulimi wake akaukaza nakuingiza katika mdomo wa kisarawe
Sulee hakuona aibu mbele ya watu wengi aka upekecha pekecha nakuanza kuuzungusha ndani ya mdomo wa kisarawe.
Kisarawe akahisi joto katika mwili wake aka tetemeka naku shusha pumzi nzito puani uphuuu pumzi iliyo sababisha kutoka kamasi zilizo mlukia sulee katika pua yake.
Sulee akazilamba kutumia
ulimi wake.
"baby kisarawe unaonaje tuingie
katika chumba hapa gest"
"sawa sawa tuu sina lakusema mimi mamlaka unayo wewe
mimi nipo nipo tu eeh"
sulee akachukua chumba
nawakaingia ndani nikama walikamiana wali fika kitandani wali jitupa na kazi ika anza
shuguli ilikuwa pevu sana
ndani ya dk25 walisha fungana
gol 2 kwa 2
wakiwa katika kasi ya ajabu sana
kila mtu alikuwa akimwonyesha ufundi mwenzake
kama kawaida sulee alikuwa mkali sana kwa kisarawe aliye jaliwa na fimbo ya musa iliyo na nguvu na ndefu kisarawe alikuwa aki cheuwa mara kwa mara kwajinsi mtalimbo ulivyo kuwa ukifumuwa alihisi kutapika pale mtalimbo ulipo kuwa uki chimbua
ilikuwa noma sana.
Simu ya sulee ilikuwa ikiita
lakini ilikuwa kelo kwao ilizidi kuita mara kadhaa lakini haikupokelewa hawakujuwa ilikuwa ikitoka kwa nani maskini ya Mungu daah walikuwa wakikalibia kilele cha madavi davi
yao kila mmoja ali maliza kwa sekunde zao zilipishana kama 20
wakiwa wana vutia kasi yao
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
simu ya kisarawe ika ita mara ya kwanza ika ita mara ya pili
kisarawe akainuka nakukuta jina la Adams boss ali dhohofika sana
alilegea na kukaa chini ya kitanda.
"vipi mpenzi"
"Adams bwana kapiga"
"kweli achana nae bwana
hana maana kwetu"
"eeh hana nini"
"hana maana kabisa au ndiyo alipiga na kwangu"
sulee aliangalia misscall alikuwa tano kutoka kwa Adams.
"mungu wangu ni yeye vaa halaka halaka tuondoke
zetu"
"SAWA twende"
Tuliondoka mpaka nyumbani
kwetu kisarawe akaniacha nyumbani Ane akaelekea kwake
nyumbani.
"karibu Mume wangu"
"Asante, Tumbo lina uma sana"
"kunywa dawa hizi hapa wenda lita tulia"
"Asante Monica"
Akanywa dawa kisha akapumzika
katika kochi. Dk 25 Adams akawa amefika nyumbani kwa kisarawe
akagonga mlango ukafunguliwa
akaingia nakumkuta kisarawe ame lala katika sofa.
"vp kaka"
"daah kiasi"
"kivipi"
"Tumbo lina uma sana"
"mmh limeanza sangapi"
"kama saa moja hivi nilikuwa nime lala"
"kweli kaka"
"yah"
"mbona simu hukutaka kupokea"
"Adams usingizi tatizo uwenda
nilipitiwa"
"ok sawa maana ulikuwa haupokei pia sulee nae hapokei
nilichanganyikiwa sana
ok acha niende nyumbani"
Adams akawasha gari
mpaka nyumbani aliingia ndani
nakumkuta sulee nae kalala sakafuni akiwa hoi.
"ehe vp mpenzi mbona hivyo"
"kichwa kina uma"
"sangapi tena"
"kama saa moja lililo pita"
"mh, ndomana ulishindwa kupokea simu yangu mara5"
"ndiyo"
"pole sana mpenzi wangu, mmh mwa mwa"
Adams akabadilisha nguo
na kuingia katika chumba cha mazoezi alifanya mazoezi huku
akiwaza nijinsi gani habari zilivyo
fanana kati ya sulee na Kisarawe
aah hivi ndivyo uwa hatutaki kuowa maana ina tia uchungu sana siunaweza uka uwa?
Alijisemesha Adams huku akinyanyua chuma .
"sulee mpenzi wangu
una nipenda"
"ndiyu mpenzi ndomana nipo hapa"
"ooh vizuri ila kuwa hapa iwenda kukawa na mambo mengi sana
kuna maapenzi
kuna pesa
kuna kuiba
sijajuwa upo kwajili gani?"
"kwa nini unauliza hivyo"
"itajulikana siku moja
nibora uniweke wazi Adams hivi na hivi nijuwe"
"hapana sina tatizo na wewe"
"sawa mimi nakupenda sana
naukumbuke mimi ndiye niliye kuanza kukutamkia nakupenda siku ya kwanza nilipo kuona Dar hospital"
"nakumbuka sana"
baada ya siku5
"kuna nini kinacho endelea
kati yako na Adams"
"kwa nini Monica wauliza hivyo"
"mh naona Adams kabadilika
siyo mchangamfu kabisa yani ucheshi wake umepungua
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
napia haji hapa mara kwa mara
kututembelea"
"hata mimi sijuwi mpenzi
wangu"
"mh ila siyo kawaida kuna jambo
hapa ita faamika tu na ninahitaji kujuwa nakama kunajambo baya
nakuomba achana nalo tafadhali"
maisha yaliendelea
kwa kuibana kati ya sulee na kisarawe kama kawaida yao waliweza kwenda mbali
kutumia gest zilizopo huko
kufanyia maovu yao,
"Shemeji sikuhizi nikama hauna furaha kabisa kwa nini"
"nipo sawa shemu kwani kuna nini"
"mh shemeji haupo sawa
kabisa nimekuzoeya kwa mda mfupi sana ulikuwa mchangamfu sana lakini kwa sasa naona haupo vile"
"shemeji Monica tutaongea kesho
sawa kuna mengi sana ya kuongea lakini leo sipo vizuri kichwa kinauma"
"sawa shemu kazi njema"
"ume tokea wapi kwani"
"Mtoto anaumwa nampeleka
hospital"
"pole sana chukua hii elf30
utamnunulia dawa"
"asante shemu ila kesho takutafuta mr Adams"
"sawa usijali...
BAADA ya siku mbili mbele
Monica na Adams walikutana
katika bar mmoja acasia iliyopo
maeneo ya Mawenzi waliongea mambo mbo mengi sana
juu ya utofauti wa Sulee na Kisarawe.
"yaani shemeji sikuhizi Sulee simwelewi kabisa yani
mambo mengi yana enda tofauti na mwanzo alivyo kuwa"
"Adams ni kweli kabisa hata Kisarawe hata kimwili hataki kukutana na mimi kabisa sijajuwa nini tatizo"
Walipanga mkakati wakujuwa nini kinacho sababisha.
"kaka kisarawe sasa hivi nakuona haupo sawa kabisa mpaka katika utendaji kazi wako ume shuka kabisa sijuwi kwa nini"
"Nipo sawa Adams wala hakuna tatizo"
"no no Tatizo lipo mwanzo ulikuwa ukijituma sana katika kazi
achilia mbali kazi hata kwangu umekuwa mtu wakujitenga kwangu sijajuwa nini tatizo pia
page zote za kutangazia biashara hauja post mwezi sasa"
"nikweli kabisa"
"kaka angalia sana Kazi ndiyo maisha yako na starehe zipo zita zidi kuwepo sawa upande wangu mimi naweza kukaa bila mwanamke tena bila kupungukiwa kitu chochote"
Kisarawe hakuwa na uwoga kabisa alisha data na penzi la sulee, sulee nae ali data na penzi la kisarawe, Adams alisha juwa nini kinacho endelea kati ya sulee na kisarawe hakuwa na hamu ya mapenzi tena na sulee alimuona kama mnyama mbaya sana alishindwa kumwambia Monica kuhusu ukweli huo aliogopa wata achana na Monica na Mtoto akawa katika wakati mgumu sana
pia Adams hakutaka kuwaambia ukweli Sulee na kisarawe alihitaji siku mmoja awafumanie live
hapo ndipo atakapo chukuwa uwamuzi wake.
"sasa ima sikia Asante kwa kazi
hiyo nzuri ila nataka siku niwafumanie live macho kwa macho ndipo nichukue maamuzi"
"wewe tyuu kaka"
"sawa kuanzia leo ukiwakuta ni shtuwe"
"poa"
Maisha yalisonga Raha za kujificha
ziliendelea kati ya Monica na sulee.
"sulee mpenzi wangu una nipenda"
"Adams kwa nini wauliza hivyo"
"nijibu kwanza"
"ndiyo zaidi ya sana"
"siyo kweli, na je mimi na kupenda"
"mmh yes yes"
"hapana sulee"
"kwa nini Adams"
"ok mpaka leo miezi mingapi
hatuja sex"
Sulee hakujibu kabisa Adams
alibakia kuwa bubu.
"haya huni jibu sasa hapa kuna mapenzi kweli ,mbona huni jibu
sina ongea nawewe, ok kaa kibubu bubu itafaamika tu"
Kisarawe alijiludi kimapenzi
kwa Monica, Monica alipata faraja
kwa Muda mchache.
(Hapa inatakiwa niwe mjanja sana
kwa Monica mama mtoto wangu
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
takuwa naonyesha mapenzi sana
ili asinishtukie ili ajuwe nampenda
lakini takuwa nakula Tamu ya sulee mwanamke kajaliwa
mpaka nakoma yani)
aliwaza kisarawe jinsi yakufanya
kwa Monica lakini upande wa sulee haukuwa hivyo.
Unapo chepuka kumbuka usimdharau mkeo au mumeo.
Fanya mambo yako kisiri siri.
Baada ya mwezi kupita.
"kaka njoo hapa The king hotel
sasa hivi nime waona wakiingia
sulee na jamaa mmoja hivi.
Ilikuwa saa7 mchana ambapo kisarawe nilimtuma kwenda
kihonda hapo alitumia kama ndiyo nafasi yake kukutana na
sulee.
"leo sulee tukae saa moja tu naenda kihonda boya kanituma"
"aah baby fanya ma wili mpenzi"
"sawa"
Adams na ima kijana aliye mpa kazi walingia mpaka akaunta
akauliza majina yawale walio ingia.
"wameingia kama dk15/20
kavaa shati nyekundu"
"aah yah yah, wapo chumba namba 20"
waliingia nakweli walipo gonga
mlango walipo funguliwa walikutana macho kwa macho
sulee na kisarawe wakimtazama Adams aliye shika koti
mikononi akivua mawani yake
akiwatazama sulee na kisarawe.
"safi sana safi sana, good sulee
good kisarawe inaonyesha mna pendana sana ok mkimaliza tuta onana, sulee tutaonana nyumbani ,kisarawe kaka bado nakuhitaji
tukutane kazini ok"
Adams aka mpa busu sulee tena mdomoni lililo mpa maumivu Moyo, sulee alibakia akiinamisha kichwa chini.
"sulee nina kupenda sana nadhani una tambua hivyo ila Utanisamehe kwa maamuzi yangu mazito takayo yaamua hapa ,sulee naomba tuachane
naona wewe siyo mwema katika mapenzi nakuacha kwakujuwa ubaya wako ulio nitendea nakutakia maisha mema chukua hii pesa ni milioni2 zitakusaidia mbele ya safari katika maisha yako"
sulee alilia sana majuto ni mjukuu
akaondoka zake sulee nyumbani kwa Adams.
"kaka kisarawe najuwa umenikosea lakini sikuoni kama unakosa ila mwanamke ndiye anakosa sasa naomba kaa na mkeo mtunzeni mtoto wenu sawa bado nakuitaji kazini kwangu
naomba uzidishe juhudi ya kazi
kama mwanzo pia ludisha mapenzi yako kwa mkeo Monica
umalaya haufai kaka usha fanya sana kila mwanamke ume mfanya je ume pata nini maishani mwako
hakuna zaidi yakujichosha pigana na maisha kaka, sulee nime mfukuza ok"
Adams alikaa zaidi ya miaka
mi5 bila kufikiria kutafuta mwanamke japo kuwa janeth mfanyakazi wake wa iringa alizidi kumsumbua kimapenzi Adams alitambua jinsi gani janeth alivyo kuwa akiumia juu yake.
Adams aka msaidia kisarawe
kufanikisha kufunga ndoa ilikuwa ni sherehe kubwa sana hapa morogoro, pia baada ya miezi miwili mbele ya harusi ya kisarawe na Monica kupita Adams na janeth walifunga ndoa nao.
Sulee alipoteza mwelekeo kabisa wa maisha yake akawa yupo yupo
mitaani.
Adams na janeth walizaa watoto
wawili wa G-B wana Amani
MWISHOO
0 comments:
Post a Comment