Search This Blog

Monday, October 24, 2022

DOKTA MIMI SIUMWI HUKO - 4

 





    Chombezo : Dokta Mimi Siumwi Huko

    Sehemu Ya Nne (4)



    Hata wewe uliamua kuacha

    kuniambia mapema mpaka

    Mimba yangu imetoka aaaayi

    M'baya sana wewe nakuchukia

    wewe na shangazi wauwaji kabisa nyie nibora usingeniambia tu Mimba imesababisha niachike

    leo hii inatoka/naipoteza kirahisi hivi hapana haiwezekani kabisa"

    "Sulee Nimejuwa baada yakutoka

    ndipo aliponiambia mimi kosa langu likowapi kukuambia au?

    Kumbuka sulee Tatizo lako ndiyo langu nisingeweza kukuficha mimi wangu namimi naumia sana sulee shangazi aliniambia baada ujauzito wako kutoka"

    "unaongea yana uhakika hayo"

    "ndiyo"

    "unaniakikishia vipi mimi nikuamini"

    "Naapa mbele ya Mungu kuwa, haya nayo yasema mimi Monica niukweli mtupu"

    "basi sawa" Sulee na Monica walikumbatiana

    huku sulee akilia kwa uchungu sana:

    Eeeh Mungu naomba unisamehe

    kwa mambo yote niliyo mtendea Mume wangu popote alipo naomba umlinde naumpe Moyo wa kunikumbuka:

    Alipokuwa akisari sulee simu yake ikawa ina ita Alipo itazama alikutana na namba iliyo ishia na 78 ilikuwa ningeni kwake akapokea.

    "hallow nani mwenzangu"

    "Adams j Maryo jr.

    Upo wapi sahizi"

    "oooh nipo home nw"

    "ok upo na nani"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "nipo na ndugu yangu"

    "poa sasa tutafanyaje sulee"

    "kivipi"

    "nilitamani tuonane

    kama utakuwa una Muda"

    "e eeeh yap ninao"

    "asante Mimi nipo Mikocheni"

    "swa kwahiyo"

    "naomba tukutane Tegeta Africa sana"

    "poa sasa hivi naja"

    "ok nakusubiri"

    Yalikuwa ni maongezi kati ya sulee na Adams wakipeana ahadi

    yakuonana kwao, sulee Akajiremba safi akiwa mlangoni akitoka alikutana na shangazi yake.

    "Afadhari sana tumekutana"

    "kivipi sulee mbona kama una jazba vile"

    "hujuwi eeh hujuwi"

    "nijuwe nini mie"

    "sikia wewe hivi unajiskiaje

    mimba yangu ilivyo toka"

    "mbona nikawaida tu"

    "kawaida eti, kwahiyo umefurahi"

    "mh kivipi"

    "wewe ndiyo uliye sababisha

    haya niambie nia yako sasa"

    "mbona sikuelewi sulee"

    "hunielewi eee haya sasa

    njama yako uliyo ifanya

    imejulikana eti ukafanya njama na dokta wako aseme mimi naukimwi ili Mume wangu aniache pia mimba yangu itoke

    nanimebaini shangazi wewe ni muuwaji sana sikupendi sikupendi"

    "mpumbavu sana wewe leo mimi muuwaji kwa nini nisinge kuuwa tangia mdogo eeeh huni pendi kwani mimi ndugu yako shenzi wewe huruma yangu niliamuwa kukulea kama mwananguz/mtoto wandugu yangu mpaka leo jitu kubwa umesha ota mapembe basi unavimba kichwa nilikutuma ukafanye ujinga wako ulio kufanya uachike eeeh"

    Shangazi alinisimulia kila kitu katika maisha ya wazazi wangu

    mpaka wakafariki iliniuma sana Moyoni nikawa sina jinsi yakufanya.

    ghafla simu yangu

    ikaita nikatazama nikaona namba

    ya Adams japo siku isevu niliikumbuka.

    "hallow"

    "vp mbona kimya hivyo"

    "ooh nilikuwa nakikao naja nipo njiani"

    "ok wahi basi"

    Nilitoka bila kuaga

    "ukiona nakubana usirudi hapa"

    "sawa tyuu"

    Nilimjibu hivyo kwakuwa nilikuwa nina hasira sana

    safari yakwenda Tegeta ilianza

    nilikodisha tax njiani nilikuwa nina mawazo mengi sana

    hata kufikilia uwito wakwenda kwa Adams nilikuwa sina kabisa"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    _________________­__­____________________­_

    Ehee nini kilicho kutuma umwambie Sulee kuwa hana ukimwi na kuwa mimi ndiye niliye fanya mpango huo"

    "shangazi sijamwambia mimi"

    "amejuwaje"

    "alikuwa akilalamika

    kichwa kinauma alienda kupima

    kaniambia alipima kama kinga zime shuka au zipo juu alipopima aliambiwa kuwa hana H.I.V.

    Nihapo alipo juwa, pia akaenda kwa dokta tuliko endakupima sikuile alimpeleka mahakamani

    ndiyo alikutaja kuwa wewe unahusika shangazi"

    "unajifanya mjanja eeeh

    subiri"

    ______________­__­______________

    dk45

    sulee alifika Afica sana alipo

    kuwepo Adams aliye tulia

    katika baa ya, Mango garden.

    Alikuwa hana wasiwasi akiwa

    anakunywa juice ya embe.

    Talatibu sulee alitokea katika lango kubwa alikuwa akizubaa zubaa akiangaza angaza kushuto kulia akimtafuta Adams alipo kaa

    Adams alipo muona alimuita Muhudumu hakutaka kupiga simu.

    "dada tafadhari naomba niitiye

    yule dada aliye vaa nguo za pink

    getini"

    "sawa kaka"

    Dk2 zilimtosha sulee kufika katika eneo alipokuwepo Adams kijana aliye kuwepo katika pozi matata ndani ya suti maridadi sana manukato yake yalikuwa mazuri sana hakika alitokerezea mbaya.

    "mambo vp mrembo sulee"

    sulee alivuta pumzi uuuu phuuu

    "safi Mr zatokea siku ile"

    "nzuri tu samahani kwakuto kukupigia sikumbili zilizo pita

    nilikuwa na mizunguko sana"

    "ooh wala usiwaze kwahilo

    hata mimi pia nilikuwa na mambo mengi sana"

    "kuna tatizo"

    "mhh yah yah"

    "vp kifamilia au kibinafsi sulee"

    "naweza sema kifamilia pia yangu binafsi pia"

    "pole sana siwezi kujuwa"

    "mmh mapema sana Mr"

    "ok usijari "

    Adams aliinuka katika kiti

    alipo kaa.

    "sulee samahani naenda

    choon"

    "ok ok"

    Adams alipokuwa akielekea

    choon macho ya sule yalikuwa mbele kumtazama Adams

    aliye valia suti ya Rangi ya maziwa iliyo mpendezesha sana.

    "mmh huyu kaka mzuri...!



    Sana sijuwi ataniambia nini

    atakacho niambia kazi kwake ngoja arudi sasa atanijuwa tyuu.

    Samahani Sulee kwakuchelewa"

    "bila samahani,mpendwa"

    "Ehee nipe story"

    "nakusikiliza wangu sikuile ilikuwa juu juu"

    "nikweli kabisa, Muhudumu tafadhari njoo"

    "naam kaka"

    "sulee agiza unacho taka

    kuwa huru"

    "Nipe maji baridi sana"

    "mmh sulee maji"

    "yaah, yana tosha"

    "hapana,dada niitie na yule

    muhudumu wa jikoni"

    "sawa kaka"

    Tuliendelea kuongea

    mawili matatu.

    "Kaka nimekuja kusikiliza uwito"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "ndiyo tuna taka nyama mbuzi kilo2 na ndizi 8 sawa haraka"

    "ok sasa hivi"

    _________________­__­____________________­

    "sulee naona hauko sawa

    kwa nini"

    "yah sipo sawa Adams"

    "tafadhari naomba niambie"

    "Adams takwambia nipo katika

    wakati mgumu sana mihivi

    _________________­__­____________________­____ Yah Huyo mwana ume sijuwi mpaka leo alipo na hapa nimetoka kugombana na shangazi yangu nanimemuacha Monica ambaye mwenzangu ana mtoto

    sasa baada yakubaini kuwa shangazi ndiye aliye nifanyia mpango huo ilinionekane nina H.I.V .nimetokea kumchukia sana

    nimuuaji kasababisha mimbaya yangu itoke ambayo iliyo sababisha kuachana na mume wangu ambaye nilimpenda sana"

    "umesema huyo dokta anaitwa nani"

    "simkumbuki jina kwakuwa yamesha pita tuachane nayo

    Adams"

    "ok sasa umegombana na shangazi yako itakuwaje utaenda kuishi wapi"

    "sijajuwa taenda kilosa kwa Rafiki yangu ana fundisha huko"

    "mh!"

    "mbona una guna"

    "yani uzuri wako huo ukakae bush"

    "ndiyo kuna tatizo kwani"

    "ndiyo huoni"

    "sioni"

    "utakuwa mzee kibibi asee"

    "sasa tafanyaje"

    "ok nataka nikupeleke Iringa kuna

    kampuni yangu pale"

    "ya nini"

    "najishugulisha na uuzaji wa magari natoa japani naingiza tanzania kituo kikubwa kipo morogoro"

    "kweli Adams"

    "ndiyo"

    "tashukuru sana jamani"

    "wala usijali uaminifu kitu bora kwangu utaona mafanikio yako

    uta sahau shida zote sawa"

    "Adams ooooh asante siamini"

    "sawa sulee ukiwa tayari utanijulisha mimi naondoka kesho leo talala hapa hapa katika hotel hii asubuhi naondoka zangu"

    "Adams Mimi sirudi kwa shangazi tena kama upo tayari tuondoke wote sawa"

    "ok hakuna shida "

    Nyama ndizi zilikuja tukala

    mpaka zikabakia muda ulikimbia

    ilikuwa saa5 usiku Nilikuwa nikisubili chochote atakacho sema

    muda wote nilikuwa katika sura ya furaha najinsi macho yangu yalivyokuwa yakulembua yalimpa shida Adams aliye onekana akiwa ana hangaika akitaka kusema kitu ambacho alishindwa kunitamkia.

    *huyu sulee kwakweli mrembo sana sijuwi nimwambie ukweli kuwa tuka lale wote, lakini atajuwa mimi maraya mmh angalia jicho lake uwiii jamani naumia mimi aaaah*

    Alijisemesha Adams.

    *mmh Adams ananivutia jamani

    zaidi ya mwanaume lakini anaonekana muoga sana ah ananichelewesha mimi nahamu nae kwakweli ana vutia*

    kila mmoja aliwaza anacho jua

    mwenyewe akilini mwake lakini nani amuanze mwenza wakawa akiogopana.

    "sulee tuingie ndani sasa"

    "sawa"

    "Dada tupe chumba kingine "

    "ok namba 115 nikizuri karibu"

    "sawa"

    "sulee nadhani kitakufaa"

    "yaah kizuri sana"

    "tena wewe ni 115 mimi

    ni 118"

    "kweli adams tupo jirani sana"

    "ok usiku mwema"

    "nawe pia"

    tulipo agana

    ndani ya dakika 40 nili inuka kitandani nakufungua mlango nakutembea mpaka katika mlango wa chumba namba 118

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    nilinyosha mkono nigonge mlango lakini moyo ukasita nikaegemea ukuta nikiwaza nifanyeje sasa nigonge au naakifungua tamwambia nini Adams.

    _________________­__­___________________

    Adams nae ndani katika chumba chake alikuwa kaamka akiwaza njia yakuingia katika chumba cha sulee namba 115 alitembea mpaka mlangoni aka nyonga ufunguo mara ya kwanza sulee alipo sikia alitimua mbio mpaka chumbani kwake na kujifungia

    nakuegemea katika mlango.

    Adams alinyonga ufunguo mara ya pili mlango ukafunguka

    akatemea kama atua 8 alifika katika mlango wa sulee

    aliushika mlango na kushusha pumzi uphuuu akageuka na kuegemea mlango wa chumba cha sulee alikuwa kaishiwa nguvu

    Adams aliwaza sana Sulee atanifikiliaje kumgongea usiku huu naje akitoka tamwambia nini

    tarabiiibu alirudi chumbani kwake Adams alionekana hana furaha kabisa.

    Saa9 usiku sulee aliamka

    nakwenda katika chumba cha Adams kwakuwa alishajuwa azma yake Adams nae.

    Safari hii nagonga tu mlango potelea mbali"

    Sule alifungua mlango wake

    na kutembea taraatibu mpaka mlangoni mwa Adams...



    Sulee aligonga mlango

    mara mbili Ulipofunguliwa

    Adams aliuliza "vipi sulee kuna tatizo"

    "ndiyo Adams"

    "lipi"

    "Usingizi sipati kabisa"

    "kwa nini"

    "hapa tupo mlangoni naomba

    tuingie ndani nikuelezee vizuri"

    "ok ingia"

    Nilimweleza yangu ya moyoni

    sikuficha hata kidogo jinsi navyo mpenda sana Adams

    nilinyanyuka nilipo kaa nakwenda

    jirani na alipo kaa Adams.

    "Nakupenda Adams

    niamini japo sijakufahamu kiundani sana ila umetokea kunifutia sana sina nia mbaya na wewe ni moyo wangu ulio dondokea kwako plz naomba unikubalie."

    "sulee sawa nimekuelewa

    lakini nataka kukusaidia tyuu

    kimaisha nikupe kazi"

    "sawa lakini tunaweza kuwa wapenzi huku kazi ina fanyika

    vizuri"

    "sulee kazi na mapenzi

    haiwezekani kabisa"

    "najuwa sana ila mimi kwangu haipo hivyo niamini"

    "sulee siyo leo nipe Muda"

    "sawa ila siwezi kulala peke yangu chumba kubwa vile"

    "kwa hiyo"

    "tulale wote hapa hapa"

    "itakuwa ngumu"

    "sawa basi nipe nauri ni Rudi

    nyumbani"

    "sahizi usiku sana Sulee"

    Nili anzisha vurugu patashika

    mle ndani mara nikae vibaya

    kwenye sofa lililo

    kuwepo ndani mara nijilaze kitandani imradi nimpe matamanio Adams ili akolee

    lakini Adams alikuwa jasiri sana

    "sulee basi nimekubari

    tulale wote sawa"

    Nilifurahi sana nikaanza

    kuhisi joto la Adams likitoka kifuani kwake Nilipanda kitandani

    fasta nilijuwa anaweza akabadirika'

    "sulee basi keukia huko

    mimi na geukia huku"

    "aaah tena jamani"

    "sasa unatakaje"

    "unikumbatie jamani"

    nilideka sana lakini

    haikuwezekana kabisa:

    _________________­__­____________________

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Adams mate yalikuwa yakimtoka

    kwa Sulee lakini alihofia kuwa sulee wenda ana ukimwi kweli

    *siwezi kufanya mapenzi nae bila kupima*

    alijisemea moyoni

    kwake Adams hakuwa nawazo

    la kufanya uamuzi wakufanya

    ngono na sulee.

    Tulilala mpaka asubuhi

    tulipo amka tukajiandaa

    kwaajili ya safari ya kUnipeleka

    Iringa katika ofice aliyo nihaidi

    sehemu takayo fanyia kazi

    nilifurahi sana kwakuwa

    nilimueleza ukweli wangu wakumpenda Adams nilisha utua mzigo ulio moyo..



     Kwangu juu ya Adams

    "ingia katika gari Sulee"

    "sawa mpenzi"

    "hahaa sulee bwana nishakuwa

    mpenzi mara hii khaa"

    "sasa hautaki"

    "ujuwe sulee nimekaa mimi muda mlefu sana bila kuwa na mwanamke unaweza kuamini"

    "hata kidogo kwajinsi ulivyo

    hivyo sitaki unidanganye"

    "amini amini nakwambia ukweli mtupu"

    "sawa bac najuwa Tafaidi

    sana utakuwa mchumba/mume Bora kwangu"

    "hahaa acha utani bwana.

    ________­__

    Monica alianza kuteseka sana

    pale nyumbani kwa shangazi

    yake sulee hakujuwa aende wapi

    kila mara alijaribu kupiga simu ya sulee lakini haikupatikana

    alijuta moyoni safari ya kijijini

    ilimuita lakini aliwaza sana

    (Nina umbo zuri sana lakumtamanisha mwanaume yeyote sasa yanini nirudi bush nikataabike hapana siendi

    labda nimtupe mtoto ili nianza maisha mapya

    lakini nilimsariti mume wangu kisa kupata mtoto leo nimtupe hapana labda nitapanga chumba

    kimoja mchana takuwa na mwanangu usiku tamfungia ndani

    kisha takuwa natembea katika mabaa ili nijiuze kwa wanaume ili nipate pesa)

    aliwaza jinsi yakufanya Monica

    ili atoke katika mateso hayo

    anayo yapata kwa shangazi yake sulee aliye geuka kuwa mbogo.

    "Umesababisha sulee akimbie hapa ndani utakoma Nibora uhame hapa ndani sikutaki kabisa

    sawa usije ukanifia humu ndani

    mshenzi wewe"

    "shangazi kosa langu mimi nini"

    "ebu tulia huko sawa takumwagia mafuta yamoto haya sawa napokuwa naongea mimi wewe

    kaakimya sawa"

    "sawa shangazi"

    "pumbavu weee paa paa paah(makofi) Nani shangazi yako

    eeeh"

    Mateso kila kukicha yalizidi

    Sikumoja walikuja wanaume wa3

    nyumbani kwa shangazi

    Alikuwepo Monica peke yake

    sebuleni akiangalia TV.

    Walipo kalibishwa ndani walikaa

    katika viti.

    "karibuni wageni"

    "asante anti Merry yupo"

    "ni nani huyo kwani"

    "mmh kwani wewe mgeni hapa"

    "siyo sana nashangaa ilo jina

    ni geni kwangu"

    "ooh Jina lako ni nani"

    "Monica"

    "jina Zuri sana kama

    umbo lako"

    Aliongea jamaa mmoja

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    aliye kuwa ana madevu kama

    osama.

    "vizuri sana sisi ni watu wakazi

    tumekuja hapa kufanya tukio kwa Anti merry tuna mdai nakama hayupo tuna omba zawadi kutoka

    kwako sawa"

    "zawadi gani tena hiyo kutoka kwangu"

    "aah hujuwi tunataka penzi lako utupe sisi wote kama tulivyo.

    (Wakati huo mlinzi alikuwa akikoloma kama time hizo zilikuwa saa8 za usiku kumbe ilikuwa ni mchana wa saa6

    hakujitambua kabisa)

    "noooh hapana siwezi mimi

    nyie vipi"

    "hutakieee utafanya kinguvu tu"

    "Abuu mkamate miguu"

    alisikika mmoja akimwambia mwenzake hivyo.

    Walipo kuwa katika jalibu hilo lakutaka kumbaka Monica

    Monica alikuwa na nguvu zaajabu sana hata yeye alijishangaa aliko zipata wapi alipambana na wanaume hao wa3 huku akipiga

    kelele za hari ya juu

    alimpiga mmoja teke la kwenye kolodani jamaa akadondoka chini

    nakupiga kelele za nguvu sana

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    zilizo mshtua mlinzi nje aliye kuwa ana sinzia mchana.

    Mlinzi aliamka akiwa amechoka sana naaliye kuwa kama mtu aliye lewa kumbe alikuwa ( Kapuliziwa madawa ya kulevya )

    Alijiuliza imekuwaje mpaka

    yupo katika hari hiyo' na kuna nini huko ndani kuna kelele hivyo

    hakupata jibu.

    Mlinzi aliingia ndani

    na bunduki yake mkononi

    alipo chungulia dirishani alikuta

    Monica akiwa amelaliwa juu na Mwanaume huku mmoja akiwa

    kamshika mikono na yule mmoja

    alikuwa pembeni kashika

    sehemu zake za siri akiugulia maumivu.

    Mlinzi ali ongea kwa sauti ya juu

    nyie wapumbavu acheni ujinga wenu sawa"

    walipo shtuka walikimbia kwakutokea mlango

    wa nyuma mlinzi aliwafukuza

    na kupiga Risasi paa paa

    aaaaah uuwiii

    zilikuwa sauti za mmoja wao na wale watu.

    Alikuwa kapigwa mguuni

    alichukuliwa mpaka police

    kuojiwa vizuri.

    Monica alikuwa salama japokuwa

    alikuwa kavimba kichwani kwakujigonga katika

    kabati.

    Mharifu alihojiwa kwanini walitaka kufanya tukio hilo

    alijibu baada ya kuteswa sana

    "Ni kwamba Anti merry alitutuma

    tumbake Yule dada ili tumwambukize ukimwi sisi wote

    ni waasirika wa H'I'V"

    "kweli mna uwakika"

    "nindoyo"

    Monika aliona kama Mungu

    ndiye kila kitu kwake kwakuponyeka katika tukio ilo.

    Shamgazi alikamatwa na kufungwa kutokana nakuwa ana pesa alihonga na akatoka.

    wakati huo Monica alikuwa akiishi

    nyumbani kwake alipanga chumba kimoja kazi yake ilikuwa

    yakujiuza lakini kila akipata bwana aliishia kuongea dau

    na kuachwa bila kuchukuliwa

    kila siku ilikuwa hivyo

    hakupata mabwana wakulala nao

    hali ilizidi kuwa mbaya sana

    njaa ilizidi kumtesa monica

    siku moja alimsimulia shoga yake neema kila kitu

    kutokana nakuto pata mabwana

    watakao mpa pesa.

    "Monica nenda kwa mganga wewe kila kazi ina dawa ya kuvutia wewe haushangai umbo lako zuri hivyo ukakosa mume yani wewe ungekuwa namba moja kila siku kuchukuliwa

    hapa ujanja upo shosti wangu"

    "mmh kweli Neema"

    "kalaga baho utazidi kuchina"

    _________

    ni kweli Adams

    nakupenda sana kwakweli

    yani natamani niwe mkeo

    uwe mume wangu"

    "sulee morogoro tumesha fika

    hapa naomba tulale kesho nikupeleke Iringa sawa"

    "haina tatizo kabisa"-

    Ilikuwa saa12 jioni.

    "sule ngojea nimwite meneja wangu anae nisaidia umuone"

    "sawa..



    Tambaa nayo sasa..

    Ukisha muona tuta lala kisha kesho itaanza safari ya kwenda iringa"

    "Mimi sina tatizo kabisa yani utakacho niambia mimi nipo tayari"

    "ok tumesha fika hii ndiyo kijumba changu kinacho nihifazi

    kwa kulala na kuishi jumla"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Adams mmmh kijumba

    nyumba nzuri hivi"

    "haha hapana mbona ni yakawaida sana"

    "bac sawa uonavyo wewe"

    Tuliingia ndani kulikuwa nakila kitu kilicho enea nilikaa katika sofa zilikuwa ni sofa zakujaza na upepo nilijisikia Raha sana

    dk chache nilisikia simu ikisubiliwa kupokelewa.

    "hallow Big upo wapi"

    "nipo home kwangu"

    "unaweza ukaja mara moja"

    "sawa nipo tayari maana tulikuwa

    tuna kikao kanisani"

    "poa njoo nyumbani kuna mgeni

    wangu uje umsalimie sawa"

    "naja sasa hivi"

    _________________­__­____________________­

    yalikuwa maongezi yakwenye simu baina ya Adams na dokta kisarawele.

    Baada ya nusu saa

    Kisarawe alikuwa jirani sana

    na nyumbani kwa Adams sekunde kadhaa alikuwa kisha fika

    nje ya nyumba ya Adams

    kisarawe alipokea simu yake

    kisha akaanza kuongea.

    "oooh nili sahau boss na hata hivyo data zote nimeacha katika compyuta ipo nyumbani"

    "nataka sasa hivi nijuwe

    ubora wake ulivyo wahizo gari sawa nitumie ili niwajibu wadhamini sasa hivi wana taka

    nakupa daki45 unitumiye katika

    mtandao sawa tuna taka gari 24"

    "ok sasa hivi nivutiye subira"

    "hakuna tatizo"

    Kisarawe alimpigia simu

    Adams aliye kuwepo ndani.

    "Adams sita weza kuingia ndani

    kuna kampuni ina taka gari kama 24 sasa wanataka

    maelezo yake ya ubora ngoja nikawatumie ili tupate kazi"

    "dakika mbili ingia umsalimie"

    "hapana tachelewa"

    "big kesho nampeleka iringa

    huwezi ukaonana nae, basi ngoja tuna kuja nje"

    "sawa"

    Adams na Sulee walipo toka nje

    hawakumkuta Kisarawe ambaye alipewa jina na Adams jina la Big kiutani"

    "sijuwi vipi huyu kasema sawa anasubiri kaondoka aah"

    "lakini salamu na kazi bora nini"

    "kweli sulee bora kazi ndomana

    huyu kaka nampenda sana anajituma sana katika kazi"

    "yani Adams shukuru mungu kwakupata mtu anae jari sana kazi yako kama yake mafanikio ladhima upate tu"

    "sulee kweli kabisa tokea nimpate huyu kaka mambo yangu kila siku yanazidi kuwa supe siyo siri"

    _________________­__­____________________­

    Kisarawe alipo fika nyumbani kwake alizituma data zote za sifa za gari hizo aliludishiwa taarifa kuwa wamelizika nazo na wakaongeza 6 tena nakufikia gari30 wapeleke kwa awamu mbili yakwanza 15 baada ya mwezi 15 tena kisarawe alifurahi sana kwakupata diri hilo

    alimpigia simu Adams kuwa diri limekamilika.

    "gari 30 zinahitajika kwanzia sasa"

    "kweli"

    "yes, boss"

    "usiniite boss niite hata mdogo wako sawa tyuu inapendeza"

    "sawa Adams tukutane kesho"

    "kesho asubuhi sana nataka nimpeleke iringa huyu dada etu katika ofice yetu"

    "ina pendeza ila ni mwaminifu,pia unamfahamu kiundani sana"

    "kuhusu uaminifu ondoa shaka kila mari yamtu huwa ina ulinzi hakuna tajiri yeyote awe na mari nyingi ikakosa ulinzi kuhusu kumfahamu ni story ndefu sana tutakuja kuongea nikirudi sawa"

    "sawa Adams nawatakia safari njema"

    "ok"

    _________________­__­____________________­

    Walipo fika Iringa Adams alimtambulisha sulee kwa wafanyakazi wenzake.

    "jamani mpeni ushilikiano wenu huyu mgeni sawa kama kawaida akikosea mpeni somo nadhani ataelewa tyuu ugeni uwa unasumbuwa sana mahari popote pale, mimi narudi zangu Morogoro sawa dada janeth utakaa na sulee nyumbani kwako sawa"

    "sawa boss , karibu sana sulee

    uwe na amani sana"

    "asante janeth"

    _________________­__­____________________

    Adams alianza safari yakurudi

    moro, Sulee nae aliongozana na janeth kurudi nyumbani wakiwa ndani ya gari ya ofice nyumbani walikokuwa wakienda ni nyumba ambayo ni ya Adams aliyo jenda kama sehemu ya kuwekea magari na vifaa vya magari yani spea zilizo tumika na mpya pia.

    "janeth maisha ya hapa iringa yakoje"

    "mazuri sana dada angu yani tofauti kabisa na morogoro"

    "kivipi yawe mazuri kuliko moro"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "kwanza iringa imejengeka vizuri sana unaweza kutembea sehemu mbali mbali ukaenjoy kwa mazingira yake siyo moro

    ipo ipo tyuu"

    "naomba unitembeze siku ambayo ya mapumziko ya kazi sawa"

    "sawa jumapili au jumamosi"

    "ok"

    Adams alifika salama moro

    alikutana na Kisarawe waka yajenga mipango yao kuhusu mauzo ya magari

    "tumekubariana kwa bei yetu

    niliwaanzia mbali kama ml50

    wamefika 45"

    "diri poa sana hilo kaka kisarawe

    nakuhaidi kaka ukiendelea hivi hivi takupa zawadi nzuri sana naomba tuishi kama ndugu nasiyo kama mtu na boss wake sawa"

    "uta furahi na kuna isue ipo dar wana itaji kama gari 5

    dodoma gari 3 pia naomba ufunguwe web na page katika mitandao ziwe kibao ambazo zitaweza kututangazia biashara hata kwa mtu mmoja mmoja

    atakae hitaji gari natukiweka na bei poa"

    "wazo zuri sana hilo kaka

    fanyia kazi sasa"



    "SAWA Adams"

    "ila umekosa kusaminisha

    Mtoto mzuri sana wangu"

    "Adams sina mpango tena wa wanawake tena naangalia maisha sasa"

    "khaa kaka umeamuwa sasa

    ila japo kuwa siyajuwi sana mambo yako ya zamani"

    "sinilikusimulia kisa chote"

    "yah najuwa ila poa kaka

    wake za watu achana nao"

    "sawa Nime mkabizi Mungu

    Moyo wangu"

    _________________­__­____________________

    "janeth Mji huu nimeupenda sana

    yani ni mzuri sana napenda sana haya mawe mawe kwakweli nime enjoy sana"

    "hahaa sulee hapa tupu tume zunguka sehemu chache sana"

    "sikunyingine takutembeza zaidi

    leo nime choka sana jana nili fua sana"

    "sawa usijari janeth"

    Tulirudi nyumbani

    Tulikula hotelini tulipo fika tukawa tunaangalia Tv huku tukiongea"

    "sulee naomba nikuulize"

    "uliza dada"

    "Boss Adams una mfahamu vizuri"

    "siwezi kukujibu kwanza, una maana gani janeth"

    "ungenijibu kwanza inge pendeza"

    Niliingiwa na Hofu

    je kuna nini anacho taka kuniambia nilitaka kumjibu kuwa na mfahamu vilivyo lakini nilisita kumwambia wenda kuna jambo lililo jificha nitaka kujuwa.

    "Janeth simjuwi nimekutana nae ndani ya siku 5, nyumbani dar"

    "Una uhakika usemayo"

    "Ndiyo niamini naomba kama kuna jambo usinifiche"

    "ok vizuri ni hivi"

    "boss wetu Ana H'I'V , najuwa mimi tu"

    "mh ,kwa nini ujuwe wewe tu"

    "niliviuna vidonge pamoja na vyeti"

    "mh kweli janeth"

    Janeth alikuwa mdada mzuri

    sana aliumbika sana mwili wake

    ulio jinyonga kama umbo la namba nane kiukweli tuliendana

    kiumbo mpaka tabia zake zilikuwa nzuri sana kwa Muda mchache nilio kaa nae nili mjuwa kama ni mtu mwema.

    "kweli sina muda wakumsingizia kabisa"

    "sawa ila nashukuru kwa kuniambia mapema maana

    Hawa Maboss hawakawiagi kutongoza wafanyakazi"

    "yah na ilo ndilo kusudi langu kukujulisha ili uwe makini nae sawa"

    "asante sana Janeth maana ilibakia kidogo sana niingie"

    "nilijuwa vizuri tyuu sasa kaa chonjo"

    _________________­__­____________________

    "Monica usi jiraumu sana

    kila kazi ina ulinzi wake ona umbo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    lako zuri sana jiulize kwa nini wanaume hawakutamani eeh ujuwe kuna kitu hapo

    jicgunguze mara mbili sawa usikae ukilaumu sana"

    hayo ni maneno ya changudowa

    mmoja aliye kuwaakimwambia Monica baada ya kuingia katika

    kazi za kujiuza alifanya kazi hiyo bira mafanikio hata siku moja hakupata mwanaume wa kulala nae siku moja alikuwa kasimama sehemu yao yakujiuza

    alikuta gari ikisimama alipo kimbilia akasubili kioo kishushwe chini ndipo akakutana na sura ya mwanamke.

    "binti haujambo"

    "sijambo"

    "vp upo hapa sahizi"

    "maisha tyuu"

    "maisha kivipi"

    "story ndefu sana kifupi kama wataka mpaka uwe na muda ndomaana nipo hapa"

    "ok ingia ndani basi nielezee"

    "ok kwa ufupi, _________________­__­________________ ndiyo hivyo mama angu maisha yangu yalivyo

    najuta sana kuipoteza ndoa yangu

    nilitamani sana mtoto"

    "mtoto yuko wapi sasa"

    "Nime mfungia katika chumba nilicho panga"

    "je tunaweza kwenda"

    "ndiyo"

    Walipo fika Monica na yule mama

    katika chumba chake walimkuta mtoto kalia mpaka kachoka sana

    walimchukua na kumnyonyesha.

    "sasa mbona wamnyonyesha wakati umeingia katika kazi mbaya"

    "yani mama angu tokea niingie katika kazi hiyo

    sija fanya mapenzi na mwanaume yeyote"

    "mh kwajinsi ulivyo hivyo monica"

    "niamini mama angu niliongea na

    mmoja katika marafiki nilio kua nao aliniambia kuwa wao

    wana tumia dawa za mvuto mimi nilikuwa sina nilionekana kama vichekesho kwa wateja"

    "mmh sawa una muda gani tokea

    uingie"

    "miezi mi3 sasa"

    "poa takusaidia leo

    chukua hii pesa kama elf50

    kesho takuletea godolo na kitanda sawa mambo mengine yatakuja sawa mama"

    "asante sana mama angu Mungu akubariki sana"

    "Amina"

    _________________­__­____________________­__

    "hallow janeth unasemaje sahizi usiku upo wapi"

    "nipo nyumbani"

    "kuna tatizo"

    "Hapana Adams, Najuwa wewe ni Boss wangu kila Mara nakuelezea

    hisia zangu kwako kwanini hutaki kunielewa Boss nakupenda nakuhitaji uwe Mume wangu nasiyo Boss tena"

    "Janeth janeth mara ngapi nakukatalia kuhusu suara hilo

    eeeh siko tayari kuwa na mke kwa sasa sawa"

    "sawa boss ila tambua hata mimi

    nahisia kama mtu mwingine sina cha kuhitaji zaidi yako nakupenda

    nanitazidi kukupenda daima

    Adams hata ukiniona sikufai tambuakuwa kunamtu anaye kupenda sawa"

    "Asante Janeth kwakuonyesha upendo wako kwangu ila tambua unaweza kumpenda mtu asiye kupenda hapo mbeleni unaweza kuteseka sana katika penzi lako"

    "niko tayali kuteseka nasiyo kukukosa wewe Adams naumia sana kila siku kwa penzi lako ninalo lihisi unapo nipa katika ndoto zangu nipe nafasi"

    "haita wezekana kabisa"

    "sawa napenda kukutakia usiku mwema"

    "asante nawe pia, Sulee"



    Asante sana"

    Baada ya mwezi mmoja Mahusiano kati yangu na Adams

    hayakuwa mazuri sana kiujirani kati simu tofauti na mwanzo ilivyo kuwa kila akinipigia simu nilikuwa nikikata au kuto pokea

    katika simu yangu ya mkononi

    Adams aliamuwa kupiga ya ofisini kwangu nilipokea kwa Haraka sana kwakujuwa huko hawezi kusema kuhusu mapenzi lakini ikawa siyo.

    "sulee haujambo"

    "sijamo vipi wewe"

    "yah niko poa sana"

    "mbona haujachangamka

    leo"

    "nipo kawaida mbona jamani"

    "hapana sulee sijakuzoea hivyo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    umeanza lini au una umwa, yes utakuwa unaumwa wewe ebu mwambie Janeth akupeleke

    hospitali sawa"

    "hapana Adams niko sawa"

    "mmh haya basi ngoja nikuache"

    _________________­__­____________________

    baada ya masaa ma5

    "kaka kisarawe nina tatizo"

    "Tatizo gani tena kama biashara

    zinaenda poa mbona"

    "aaah najuwa kaka ila zangu

    binafsi kaka"

    "ehe"

    "kaka yule dada niliye mtoa dar niliye mpeleka Iringa ana nichanganya sana naomba ushauri wako"

    "kaka wanawake hawafai

    kabisa mtu anaweza akawa mke wa Mtu lakini aka toa penzi inje tena kidhembe kabisa achana nae Adams kama unataka

    kaoe bush pia mpatie ubize ili asiweze kutoka mara kwa mara

    ila sijuwi kama itawezekana kuto saritiwa maana hata mimi kipindi

    cha nyuma nilikuwa nikiwakomesha ndani ya nusu saa tena wake za watu katika ofisini"

    "uliwezaje kufanya hivyo"

    "Adams utakuta mke wa Mtu anakuja mrembo sana

    kama ilivyo kuwa Mimi ni Dokta wa akina Mama nilikuwa nikiwatamani sana nilipenda

    kila umbo la mwanamke nipate

    ili nifanye nae mapenzi ili Roho yangu irizike kweli nilikuwa nikifanikiwa tena wale wasio shika mimba ndiyo walikuwa wengi sana"

    "ehee ikawaje"

    "mfano mzuri kuna madada wawili nilio wapa mimba kwa nyakati tofauti

    kuna mmoja alikuja akilalamika

    hajawahi kushika mimba miaka 8

    nilimpima pima kinafiki huku nikimtomasa tomasa mpaka nikampandisha nye... Kweli nikala mzigo ikawa kawaida mara kwa mara ananiletea nagonga mpaka

    mimba juu aka mmoja nae Maonica hivyo hivyo nikala mzigo

    mpaka mimba hapo ikawa kasheshe baada ya mumewe kupima nakujulikana hana uwezo wa kuzalisha kutokana na kupata ajari sasa mkewe akamwambia kuwa anamimba weee palichimbika kumbe yeye na yule wa mwanzo ni zaidi ya marafiki.

    Nako moto ukawake

    baada ya kujuwa walikuwa wakija

    wote kwangu kutibiwa Monica akasema kweli mimba ya kwangu mbele ya muewe"

    "yule wa mwanzo ana itwa nani

    vile"

    "sikumbuki sana maana kitambo sana, eeh nimekumbuka

    anaitwa sulee"

    "Nani"

    "sulee"

    "ok poa tuishie hapa kwaleo sawa

    ndugu utanisimulia kesho siku njema.



    Adams kwa nini nisikumalizie

    kisa hiki chote leo leo tafadhari

    sana nipe muda maana

    usipo juwa leo hii sizani kama utapata Muda wakunisikiliza"

    "Unajuwa nina mambo mengi sana yakufanya leo"

    "ika juwa kuwa sita kwambia sawa napia kwa nini Nimelitaja jina la sulle alafu ushtuke"

    "Hapana hakuna kitu"

    "Niambie nitakusaidia"

    "ok kisarawe ni hivi, SULEE ni huyo

    hoyo mdada niliye mleta yupo iringa"

    "Aaah kweli"

    "ndiyo ni kweli kabisa"

    "Ehee una mpango gani nae sasa"

    "Yah nampenda sana ila yeye ndiye kanitamkia kunipenda

    yani tatizo lipo kwangu kuku bali"

    "oh sasa nihivi sina mpango nae mimi sulee kama vipi nipeleke Iringa yeye aje hapa nakama itashindikana niache kazi"

    "kakaaaa noo haiwezekani

    kabisa wewe ni kila kitu kwangu

    siyo mwanamke pia kutoka hapa moro nikitu ambacho hakitawezekana kabisa"

    "sasa tutafanyaje"

    "ok tamleta hapa moro ila tutafanya usionane nae kabisaa

    siku zote sawa"

    "hakuna haita wezekana

    kabisa"

    "sasa tutafanyaje"

    "mlete sitaonana nae kipindi chote hicho sawa ila akisha zoeya mji huu sasa tuta onana sawa"

    "ok"

    "ila sasa siana mtoto wangu"

    "hapana mimba ilitoka kwa sababu .............. Nishangazi yake aliye sababisha"

    "aaah Mungu wangu sijuwi na monica itakuwaje"

    "uyo ana mtoto wa kike anaitwa happy"

    "aah nasijuwi kama ana ishi na Mumewe"

    "aliachana na Mumewe"

    "daah Najuta sana yani Najuta

    kuwaalibia maisha yao"

    "kaka usiwaze sana ngoja nifanye mpango wakumleta"

    "sawa"

    _________________­__­­___________________­_

    Baada ya myezi mi2

    Adams alikuwa akimbembeleza sana Sulee aje Moro pia alikuwa akijaribu kumshawishi kimapenzi lakini sulee alikuwa mbali sana.

    "sulee sikuhizi umebadilika sana

    yani ulikuwa ukinibembeleza sana

    nikupe penzi langu lakini leo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    mimi ndiyo nimekuwa ni msumbufu kwako

    nilikuwa nakuchunguza

    mwenendo wako nimeshajuwa

    wewe ni bora kuwa mke wangu

    naomba nikubalie tafadhari"

    "Adams nimebadili maamuzi

    sitaki tena naomba tuwe kaka na dada"

    "je nina tatizo lolote kuwa

    mume kwako"

    "hapana hisia zime hama kwako tena naomba nipumzike sasa katika mapenzi"

    "sulee unaniumiza sana

    kwa maamuzi yako hayo"

    "pole Adams"

    _________________­__­­___________________

    "Adams leo kutwa nzima nimekuwa nikikuwaza hata kazi kwangu ilikuwa nzito sana"

    "Janeth nimekwambia siku pendi siku taki sawa nakama ukiendelea

    kunipigiaga simu nakuniambia

    kuhusu mapenzi ujuwe kazi huna sawa"

    "Adams hapana usifanye hivyo"

    "lakini umenielewa"

    "ndiyo"

    "ok fanya yako sasa

    "sawa sawa boss"

    _________________­__­­___________________­_

    Monica hapa lakini siyo pazuri pakukaa sasa inatakiwa uhame

    uhamie hata kawe ili upate kupumzika sawa"

    "Mama tapa pesa wapi nikakae sehemu ya kifahari kule"

    "kuna nyumba yangu yupo mdogo wangu ana kaa peke yake

    sasa kampe kampani ya kukaa wote"

    "sawa haina shida"

    "ok"

    Monica alikaa kawe yeye mwanae na husna mdogo wake na Huyo mama msamaliya kwake

    maisha yali songa mbele

    mtoto alikuwa ana pata maziwa ya kopo na vilutubisho mbali mbali alikuwa na afya njema kabisa.

    ______­___________________­_

    sulee nimeamuwa nije Iringa ili nijuwe nini tatizo sawa".

    "Boss chai tayali"

    " Asante Janeth nakuja na maongezi na sulee dk chache"

    "sawa boss"

    .

    .

    "sulee je umepata Mchumba

    mapema hivyo"

    "hapana Adams nilitokea kukupenda sana lakini nimeamuwa kuku chukia/kukutenga na mimi"

    "kivipi"

    "Nimetokea kusingiziwa kuwa nina ukimwi iweje leo hii unataka kuniambukiza ukimwi wako"

    "Nini sulee paa paaa(makofi)

    nani ana ukimwi eeh nina miaka 15 sasa nipo bize na kazi/biashara

    simjuwi mwanamke wala nini

    mke wangu ni mari zangu mimi

    iweje niwe na ukimwi mimi

    sulee ndomana ulikuwa huni taki

    nakama ningekuwa nataka kukuambukiza ukimwi ningeshakuambukiza dar

    unakumbuka ulikuwa ukining'ang'aniza kufanya nini"

    "Najuwa sana(Nilijibu huku nalia)

    ndomana nilikuwa sijuwi Na Mungu akaniepusha"

    "sulee Nakupenda sana tofauti ujuwavyo sawa nipo tayali

    tuka pime wote wawili tulipo kuwepo dar uliponisimulia

    story yako yoote ya maisha nilichukulia kama somo kwako

    najuwa hauta Rudia tena pia ulitaka sana tusex ili unipate

    lakini niliogopa baada yakuniambia kuwa walikusingizia kuwa una ukimwi sikuamini kama kweli huna sasa naomba tuka pime wote sawa ili tuwe na uhakika nakama ukigundulika unao takutunza mpaka mwisho wako wa maisha sawa sulee"

    "sawa nipo tayali hata leo hii"

    "ok twende sahizi"

    "sawa Adams"

    TULI ONDOKA MPAKA HOSPITAL

    TUKA CHUKULIWA DAMU WOTE WAWILI nakupimwa baada ya saa moja na nusu majibu yalikuwa tayali

    mezani.

    "hongereni sana wote mko safi ila tunawashauri mkapime tena baada ya mwezi mmoja sawa"

    "asante dokta"

    Nilimkumbatia Adams huku

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    niki mkiss kiss kwa fujo sana.

    _________________­__­­_

    Hakika ningekupoteza Adams kijinga sana ivi kina endelea nini

    kati yako na Janeth, Adams?"

    "kwa nini wauliza"



    ITAENDELEA











0 comments:

Post a Comment

Blog