Chombezo : Jamani Antiii...Nishushe Ununio
Sehemu Ya Tano (5)
Kuona kama Bigambo anamchelewesha, Vivian alimsogelea na kuanza kumpa uchokozi wa wazi kabisa ulioashiria kwamba anataka dozi ya maana kwa wakati huo na siyo maneno mengi kama ilivyokuwa wakati wakiwa nje.
“Baby,” Vivian aliita kwa sauti kavu lakini yenye kuelemewa na mahaba mazito sana.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Mmmh,” Bigambo aliitika lakini kabla hajafanya chochote alishangaa kumuona Vivian akichukua nguo na kuanza kuvaa huku akitokwa na machozi.
BIGHAMBO aliruka kama kima kwenye miti ya mvinje na kumshika Vivian huku akimuuliza kulikoni aanze kulia baada ya kutoka kwenye gwaride la kupeana raha za kidunia.
“Mbona unakuwa hivyo jamani?” Bigambo aliuliza huku akimshika kwa uangalifu wa hali ya juu sana, Vivian akajisikia amani moyoni na kuamua kuachana na zoezi la kuvaa na sasa akasimama wima na Bigambo, wote wawili wakajikuta wamekaribiana na kugusana tena.
Joto la miili yao lilikuwa limepanda na kufikia kiwango ambacho kama ni mgonjwa wa malaria hali ilikuwa mbaya sana. Wote walibaki kama walivyokuja duniani na Bigambo alimfuata Vivian na kumvaa mzimamzima na wote waliangukia kitandani puuu…
Bigambo alipeleka kinywa hadi kwenye papi za mdomo wa Vivian, ambaye midomo yake ilikuwa na lipsi nene na zenye kuvutia zaidi. Vivian alilala kwa mtindo wa kuhesabu mabati. Bigambo kuona hivyo, akiongozwa na mhemko wa kilevi alichokuwa ameshindilia ubongoni, alianza kuyakabili matunda ya mwanamke huyo ambaye kwa wakati huo alikuwa akihema kama bata dume aliyetoka kupambana na jogoo.
Hakuishia hapo. Bigambo alianza kufanya utalii kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wa Vivian aliyekuwa akiendelea na kuhema huku akifumba na kufumbua macho. Ili kuwa ni raha isiyoelezeka.
Vivian aliendela kujitikisa kwa kufuatisha msisimko uliotokana na utalii wa Bigambo mwilini mwake. Hakika Bigambo alikuwa mtaalam wa mahaba, raha aliyompa Vivian ilikuwa haina kifani. Raha hiyo ilimfanya Vivian ashindwe kujizuia na kuanza kuropoka maneno mengi ya hovyo.
“Bigambo…”
“Naam…”
“Unajua sana jamani baba.”
“Kufanya nini?”
“Kunipa raha,” Vivian alijieleza kwa maneno yote matamu aliyoyajua lakini Bigambo hakusitisha suluba zake ambapo sasa alianza kutumia jembe lake kumuadhibu Vivian. Kwa kifupi wote walizama kwenye dimbwi la mahaba.
Mtanange ulikuwa wa kukata na shoka. Timu zote mbili zilikuwa zikishambulia lango la timu pinzani kwa nguvu na pasi za kushtukiza. Ikafika mahali Vivian alichoka na kuruhusu mashuti kadhaa yatikise nyavu.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Muda mfupi baadaye, wote wawili walijikuta wakitangaza kufika mwisho wa miti ya minazi na sasa walialikana kupasua madafu pamoja. Kwa upande wa Bigambo lilikuwa dafu lake la kwanza kupasua tangu waanze kazi ya kukwea minazi lakini kwa upande wa Vivian lilikuwa kama dafu la nne.
“Nafika…,” Vivian alianza kutangaza kwa sauti ya kupayuka huku akihangaika mwili mzima ili ashike vizuri asije akaanguka na badala ya kuvunja dafu iwe stori nyingine.
“Umefika wapi mama…?” Bigambo alihoji lakini kabla hajajibiwa naye alianza kusikia kitu cha tofauti na sasa alianza kukoroma huku akikunja sura na hapohapo alianza kuropoka kwa sauti yake ile mbaya.
“Oooh, mama nami naelekea kupasua daaaafuuuu…,” Bigambo aligugumia na hapohapo alizidisha kasi ya ukweaji na kulishika dafu moja kabla ya kuliachilia na kulipasua kwa hasira kali, kitendo kilichomfanya Vivian naye apasue la kwake wote kwa pamoja walijikuta wakihitimisha safari kwa wakati mmoja, lakini kufumba na kufumbua Vivian alianza kuonesha jambo ambalo hata Bigambo lilimshangaza kwani hakulitegemea.
Bigambo alijivika ustaarabu ambao hakuwa nao na lengo likiwa ni kumpumbaza Vivian, ili atoe ushirikiano ambao ungeleta matokeo chanya kwa mpambano huo wa watani wa jadi.
Bigambo alimfuata Vivian mahali alipokuwa amelala na kuanza kumfanyia fujo zote ambazo hufanyiana wapendanao pindi wanapokutana kwenye eneo walilokuwepo Bigambo na Vivian.
Vivian naye alimpokea na safari hii alilala kwa mtindo wa kawaida, aliweka kichwa maeneo ya kiuno na akawa kama anakibilingisha kichwa, hali iliyopelekea hali ya Bigambo kuanza kubadilika.
Vivian hakuishia hapo, akajisogeza kwa mbele zaidi na wote wawili kujikuta wakitazamana usoni.
“Baby…” aliita Vivian wakati huohuo mkono wake wa kushoto ukitalii kwa umaridadi mkubwa kabisa kwenye vichuguu vifupi viwili, mahali ambapo maruhani ya Bigambo yalikuwa.
“Mmm…,” aliguna Bigambo kwa mtindo wa kufyonza muwa mtamu…
“Oooh, yes baby…,” Vivian alichombeza kwa maneno laini na kuyafumba macho kwa maana ya kuhamasisha zaidi. Hali ya Bigambo ikazidi kuwa mbaya, kama ni kuharibikiwa sasa ilikuwa kwa kiwango cha kuhitaji msaada kamili na si maneno matupu.
Kuona hivyo, Vivian akazidisha mbwembwe. Akafumba macho na kukisogeza kinywa karibu na kile cha Bigambo. Bigambo naye akalegea kwa maana ya kumpokea Vivian kwa mtindo huo. Wakasogeleana na kuanza kushiriki pamoja kutafuna miwa ya Kilombero.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Walifanya hivyo kwa muda wa zaidi ya dakika kumi na tano, kila mmoja akionesha ufundi wa namna ambayo miwa mitamu huliwa.
Vivian alizidisha manjonjo, akawa anajikunja kwa kuweweseka kimahaba zaidi, ikawa mara akunje miguu na wakati mwingine ainyooshe kama anayejipima urefu, ilimradi kuonesha namna ambavyo alikuwa amekolea kwenye dimbwi la uhondo wa kilichokuwa kikiendelea.
Bigambo hakuwa nyuma. Naye aliamua kupeleka mashambulizi kwa Vivian, tena yalikuwa yale ya kushtukiza kwa lengo la kumvizia adui akiwa amejisahau.
Bigambo alipeleka mkono mmoja na kuyavamia maembe bolibo ya Vivian na kuyashika kama anataka kuhakikisha yameiva au la…
Hakuishia hapo, akalishika embe moja na kulitupia mdomoni huku lile jingine akiendelea kulifanyia visa vya kichokozi… Vivian akashindwa kuvumilia.
Sasa akajiachia kwa uhuru, akakaa mkao ambao ulimpa uhuru Bigambo kuonesha utundu wake zaidi ya huo. Kuona hivyo, Bigambo akaona isiwe tabu zaidi ya kupania kuonesha ufundi maridhawa, akamfuata Vivian na kumuweka vyema.
Kufikia hapo, Vivian alikubali kutoka moyoni kabisa kwamba Bigambo ni mtaalam kwenye eneo la kusakata kabumbu hususan kama mechi yenyewe imewakutanisha watani wa jadi ambao kila mmoja hutazama sana ushindi wa pointi na si wingi wa vyenga kama ambavyo wengi hudhani.
Walicheza ligwaride hadi kila mmoja akaridhika na mwisho wa siku wakakubaliana kuondoka eneo hilo kwa kuwa Vivian alikuwa na ratiba ya kukutana na mtu nyumbani kwake, huku Bigambo akitarajia kwenda kufanya kazi zake binafsi.
“Lakini baby,” Vivian alisema huku akitafuta mahali zilipokuwa nguo zake.
“Vipi mama.”
“Wewe ni kiboko.”
“Kwa nini?”
“Si kama hivi, kwanza sikuwa na mpango kabisa wa kufanya chochote tena na usingeniwahi wakati navaa, ndiyo kwanza ningekuwa nimeshafika nyumbani zamani mno, lakini uungwana wako wa kuniwahi na kunibembeleza kwa maneno na bembelezo maridhawa, hatimaye tumeweza kurudia mchezo tena,” Vivian alisema huku akimtazama Bigambo kwa lile jicho la pembeni na kuachia tabasamu laini.
“Umetumia utundu wako wote kuhakikisha najikuta nikiingia mchezoni tena, hakika umeniweza.”CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Kwa hiyo umecheza gemu kwa kulazimishwa?”
“Sijamanisha hivyo bwana.”
“Sasa kumbe?”
“Mwanzoni sikutaka kwa kweli, lakini ushawishi wako umesaidia sana hadi nikajikuta nafurahia maandalizi na hatimaye namna ambavyo mchezo mzima ulivyokwenda,” Vivian alisema na hapohapo akawa anamalizia zoezi la kuvaa na kumsubiri Bigambo amalize ili waweze kutoka pamoja kabla ya kuachana na kila mmoja kuangalia njia na ratiba yake.
BIGAMBO alikuwa tayari ameshavaa suruali yake na muda huu alikuwa akivaa shati. Upande wa Vivian ndiyo kwanza alikuwa akijivuta katika kuvaa nguo…mara achukue sidiria na kuigeuza mara aiweke sawa…
“Vipi nitangulie?”
“Hapana bwana kwa nini uniache Bigambo wakati kuingia tumekuja wote… mechi tumecheza wote tena kwa furaha ya juu kila mmoja amefurahi kufika kileleni…”
Bigambo alionekana kukasirika licha ya kuambiwa maneno mazuri ya kuliwaza na Vivian…
“Unavaa taratibu sana lakini…mbona kabla hatujaanza kucheza mechi ulikuwa unavua harakaharaka?” Bigambo alimtania Vivian akaonesha tabasamu na kuvaa kwa spidi…
“Haya nimemaliza… kifuatacho?”
“Tuachane hapo nje mi niende kazini na wewe uendelee na ratiba zako,” alisema Bigambo na Vivian kukubali kwa kutikisa kichwa.
Walitoka nje kama walivyokuwa wameahidiana… Vivian akielekea nyumbani kwake ambapo alikuwa na ahadi ya kukutana na rafiki yake mwingine ambaye Bigambo hakuwa akimjua.
***
“Nimekusubiri sana… nakupigia simu yako hupokei kwa nini jamani?” Rama alilalamika mara baada ya Vivian kufika karibu na nyumbani kwake na kumkuta akiwa nje.
“Nisamehe si unajua tena Kariakoo kulivyokuwa na mavurugu…simu nilikuwa naisikia sana lakini ilikuwa kwenye pochi nikasema nikifika ndiyo nitaangalia nani alikuwa amepiga,” alijitetea Vivian.
Rama na Vivian waliwahi kuwa wapenzi kipindi cha nyuma ambacho Vivian alikuwa akiingia rasmi kwenye usichana wake…mapenzi yao yalikuwa ya kukorofishana na kurudiana. Kipindi hiki walikuwa hawajaonana karibia miezi sita na Rama ndiye aliyeanza kumtafuta na kukubaliana wakutane nyumbani kwake na kumpa maelekezo hadi nyumba anayoishi.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Basi nisamehe mimi ambaye sikuwa najua ulikuwa katika wakati gani?” Rama naye alitupia jiwe gizani ili kumlegeza Vivian aliyeanza kuonesha kama mtu aliyekasirika. Rama ni kati ya wanaume waliokuwa wakimjulia sana Vivian pale anapokuwa amebadilika jinsi gani ya kumuingia.
“Nimefika hapa nje kama ulivyokuwa umenielekeza lakini bado sijajua hata ni nyumba ipi zaidi ya kuniambia nikifika nitakuta kwa nje kuna duka limeandikwa Massawe.”
“Akili zako za darasani kumbe bado zinafanya kazi vizuri. Duka la Massawe hilo hapo na kwangu paleee,” Vivian alimuelekeza Rama kwa alama ya kunyoosha kwa mkono.
“Tungetafuta sehemu basi tuongee tupate kidogo,” Rama alitupia swali la kiuchokozi.
“Huko nilipotoka nimezibwia za kutosha si unaona ninavyoyumba kwa mbali…”
“Basi tutafute sehemu tuongee.”
“Ni sawa lakini kwangu kunatosha wala usiogope!”
“Hapana, kuna kipindi uliniambia umeshapata mtu kwa hiyo naogopa kufumaniwa,” alisema Rama akionesha tabasamu mbele ya kope za Vivian.
“Haaa haaa Rama bwana! Akupige nani kwa maisha haya ya siku hizi?”
“Si bwana wako unayeishi naye?”
“Sikiliza Rama! Siku hizi nimekuwa tofauti kwanza nawachukia kweli wanaume, pili natamani hata ningekuwa mwanaume tu,” Alisema Vivian kwa msisitizo.
“Hapana Vivian usiseme hivyo! Ujue umeumbwa hivyo mwanamke, ni kosa kumsema vibaya aliyekuumba hata katika maandiko ipo hiyo,” Rama alidakia na kumfanya Vivian kumuelewa.
“Haya twende ukapafahamu ninapoishi,” Alisema Vivian na kusababisha furaha ndani ya moyo wa Rama aliyekuwa amelimisi penzi la Vivian kwa zaidi ya miezi sita na hata ujio wake ulikuwa kujaribu tu.
“Tangulia mbele mi nakuja kwa nyuma.”
“Haaa haaaa Rama bwana! Haya twende!”CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Waliongozana hadi kwenye mlango wa Vivian. Vivian alifungua mlango wake na kutangulia ndani…akawasha taa kufanya nyumba iwe na mwanga mara mbili yake.
“Sasa unaweza kuingia ndani,” Vivian alimwambia Rama huku akishusha pazia vizuri. Rama akazama hadi ndani na kujitupia kwenye kochi.
“Umejipanga? Safi sana!” Alisema Rama kiuchokozi.
“Nijipange wapi? Mjini hapa nikasema nisikae kihasara japo vijikochi na TV na hako kagesi vinatosha!” Alisema Vivian akimwangalia Rama kana kwamba kuna kitu anataka kumuuliza.
“Hujaniambia, wifi anaendeleaje huko? Vipi una watoto wangapi sasa hivi?” Vivian alirusha swali kwa Rama.
“Watoto nitoe wapi wakati bado nataka kula ujana! Nipo singo kwa sasa!”
“Heee! Rama jamani kwa nini?”
“Basi tu si unajua maisha, ujue kuna wanawake wengine wameumbwa tofauti sana,” Rama aliinuka mahali alipokuwa amekaa na kushuka chini kabisa kwenye kapeti ambapo Vivian alikuwa amekaa.
“Huwezi amini kwa sasa nimeamua nijikite tu katika biashara zangu mikoani, ukifika muda wa kuishi na mwanamke nitaishi naye lakini si kwa sasa!”
“Bado sijakuelewa vizuri, yule wifi yangu wa kipindi kile ulichonitambulisha sijui alikuwa akiitwa Anna yupo wapi kwa sasa?” Vivian aliendelea kumkazia Rama.
“Ndiyo huyo niliyeachana naye baada ya kurudi safari na kukuta amesafisha karibu chumba kizima na kuniachia kapeti tu na kitanda chumbani…” alisema Rama kana kwamba ni kweli kumbe alikuwa akicheza na akili ya Vivian bila kujua.
“Masikini pole sana, pole…” Vivian alijikuta akiingiwa na moyo wa huruma…alichukua mkono wake na kumgusa Rama begani…Rama naye hakutaka kusubiri kuambiwa kitu, aliushikilia mkono mmoja wa Vivian.
“Asante sana Vivian…juzi uliponipigia simu sikutaka kuamini kama ni Vivian yule tuliyeanza naye uhusiano. Nikasema nisisafiri mpaka nije kukujulia hali kwanza na kukuona. Hivi namba yangu uliipata wapi maana nilibadilisha simu na namba ya simu hapa katikati,” Rama aliongea kwa sauti ya taratibu yenye kuliwaza masikio ya Vivian.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Kama ulivyokuwa wewe, nilikukumbuka tu baada ya kukutana na rafiki yetu mmoja tuliyesoma naye si unamjua Maulanga?”
“Anhaaa kumbe ulikutana na Maulanga?”
“Yaaas! Ndiyo huyohuyo. Mgeni unatumia kinywaji gani maana naona maongezi yamekuwa mengi hadi nimesahau koo lako masikini.”
“Mhh! Vivian bwana! Asante situmii chochote.”
“Bwana Rama, chochote basi hata soda!” Alisema Vivian akiinuka na kuelekea kwenye friji lake lililokuwa limesheheni pombe kali mchanganyiko na soda.
“Nipe hiyooo…nimiminie kidogo kwenye glasi,” alisema Rama mara baada ya Vivian kufungua friji na kuona kinywaji aina ya Amarula.
“Umeniambia huna mtu sasa hii ukinywa si matatizo jamani?”
“Hakuna kitu kama hicho, watu wanaongeaga tu mbona hicho ni kinywaji kama vingine, hakileti kitu chochote mwilini.”
“Kukumiminia nakumiminia lakini tambua siku hizi mapenzi nooo!”
“Wala usijali,” Rama alimtoa wasiwasi Vivian…akamiminiwa kile kinywaji na kuanza kuinywa.
“Unaisikiaje?” Vivian alirusha dongo…ukweli ni kwamba hakutaka kucheza mechi yoyote na Rama kwa kuwa Bigambo alikuwa amemaliza kiu yake yote. Ile kauli yake ya kuachana na wanaume ambao walikuwa wakimtumia tu ilikuwa imeendelea kukaa katika kichwa chake.
“Naisikia murua kabisa! Hizi huwa nakunywaga mara mojamoja nikiwa safarini, huwa zinachangamsha mwili sana,” Rama alianza kuongea maneno mengi baada ya kukata fundo tatu za fasta.
“Mi nimeiweka tu kwa wageni na pia nikitaka kumleta mpenzi wangu huwa naanza kutumia hiyo kwanza.”
“Kumbe una mpenzi?”
“Kwa umri huu kweli Rama nikose mpenzi?”CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Umekuwa msiri sana Vivian ila hongera sana!” Rama alionesha kukata tamaa kwa kile kilichokuwa kimeanza kujengeka kichwani mwake juu ya kumvaa Vivian na kesho yake asafiri kufanya biashara zake.
“Hongera sana!” Rama alitua glasi yake chini na kumshika Vivian mikono yake yote miwili.
“Asante Rama, asante sana!”
“Nina ombi moja tu kwako kabla hata sijaondoka,” Rama alitupia swali kwa Vivian.
“Niambie tu nipo tayari kukusaidia.”
“Vivian wewe ni kati ya wasichana warembo wenye kumvutia kila mwanaume! Umeumbwa ukaumbika mamaaa! Nakuomba kwa muda huu tukumbushie yale mambo yetu ya zamani kipindi kile tumeanza uhusiano,” Rama kwa mara ya kwanza alishindwa kuzuia hisia zake na kujikuta akishikilia mapaja ya Vivian… Vivian akajitahidi kuepukana naye lakini akashindwa kwa sababu kile kinywaji kilimtuma Rama kuhama eneo la mapaja na kuelekea katika kifua cha Vivian hali iliyomfanya kuwa mpole na kumuacha akiendelea kutazama idara nyeti…
VIVIAN hakuwa na namna tena. Akamuacha Rama aendelee na alichokuwa anakifanya, ingawa kuna mahali alilazimika kumzuia kwa nguvu kutokana na kuzidiwa na ujuzi wa Rama, yote haya aliyafanya lakini kwa geresha tu, moyoni alianza kusikia kiu ya kukunwa kwa nazi yake.
Rama hakuwa na aibu wala simile. Tayari ubongo wake ulishachanganyikana na maji yenye kimea na kuondoa kabisa uwezo wa kujidhibiti ukizingatia ukweli kwamba hakukuwa na chochote kigeni mwilini mwa Vivian kwani walishakuwa wapenzi kipindi ambacho wote walikuwa wageni wa Jiji la Dar, ndiyo kwanza walikuwa na Krismasi moja wakiwa mjini.
“Rama bwana, nini lakini…. Mimi sitaki ujue,” Vivian alianza kulalama kimahaba huku akijikunjakunja kufuatia vidole vya Rama kuanza kugusa maeneo yenye shoti za umeme na ziletazo hatari zaidi mwilini mwake, mwenye asili ya Tanga, mkoa ambao unasadikiwa umejaaliwa wakazi wenye ujuzi wa mahaba na mapenzi. Ninaposema mahaba na mapenzi msomaji, lazima ujue kwamba nazungumzia mambo makubwa mawili totauti.
Mahaba ni yale manjonjo ya wapenzi waonyesheapo wakiwa wawili kwenye eneo husika na mapenzi ni zile hisia za ndani wa moyo wa mtu kwa mwingine.
Rama alizidisha utundu na kuanza kumkabili mwanamke wa watu kwa hali ya kujiamini zaidi. Ikafika mahali wote wawili wakaweka aibu pembeni, vigezo na masharti pembeni, Viviana akajiachia kwelikweli na Rama akaamua kumkabili kiume kwelikweli.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Lakini Rama, mbona huishiwi manjonjo na hauishi hamu kabisa baba,” Vivian alianza kuropoka huku akipeleka mikono kifuani kwa mwanaume huyo kama anayefanya zoezi la kudarizi kitambaa cha sare za wacheza shoo wa harusini!
Rama alizidi kupagawa kupindukia. Wingi wa kimiminika kichwani ukichanganya na ujuzi wa Vivian, mvulana huyo alikaribia kuyataja majina yote ya babu zake waliotangulia mbele ya haki miaka mia moja iliyopita.
Siku hiyo Vivian alipania ile mbaya kumaliza ufundi wote kwa Rama wake, mwanaume wa kwanza kabisa kumtoa ushamba alingia jiji la maraha, Dar es Salaam.
“Jamani Rama… Rama…. Ramaaaaa…,” Vivian alilama na kwa safari hii alipaza sauti kwa kiwango cha kuhamasisha zaidi. Akapeleka mikono yake na kumnyonyoa manyoya Rama na kisha kumalizia kwake na sekunde chache baadaye walibaki saresare maua wakibembea kwenye ulimwengu wa wachache, ulimwengu ambao hauna lugha thabiti ya kuelezea ikaeleweka zaidi ya kubakie kwenye hisia za akili na roho ya mhusika!
Walipashana na wote wakapashika. Mwanaume wa watu akajiweka sawa na kuingia kazini. Weee, achana kabisa na kinywaji alichokuwa amekipitisha kwenye koo yake Rama. Alichimbua mtaro hadi Vivian akalazimika kutumia nguvu kumuondoa kwenye mfereji wa maji taka. Kama ni mechi ilikuwa kali zaidi ya ile ya ngao ya hisani ya watani wa jadi.
“Basi inatosha mume wangu, nakupenda sana Rama jamani, kabisa baba yangu na kuanzia leo nakukabidhi maisha yangu yote. Wewe ndiye mwanaume unayefaa kunichukua jumlajumla. Kweli tena jamani, wala sitanii naapa mimi weeee,” Vivian alikiona cha mtemakuni.
Mchezo ulichezeka na kuhitimika kwa timu zote mbili kutoa suluhu ya mabao mawili kwa mawili. Wote walikuwa hoi na kutoka mioyoni mwao, kila mmoja alikiri na kujisikia hali ya kumkubali mwenzake.
“Lakini Rama, hakika wewe ni kiboko baba yangu,” Vivian alisema huku akimuegemea Rama kifuani kwake, lakini kabla Rama hajajibu chochote, ghafla mlango uligongwa na kwa kuwa Vivian ndiye alikuwa mwenyeji alivaa taulo harakahakara na kutoka kuufuata mlango ambapo alifungua taratibu na wakati anajiandaa kuuliza ni nani mgongaji, alishtukia akisukumwa na kuanguka hadi chini, kufumba na kufumbua alikuwa ni yule mjumbe wa nyumba kumi akiwa ameambatana na Jisu, yule fundi ambaye alimtengeeneza mlango Vivian wakati ule wa ugomvi wake na mzazi mwenzake ambapo baadaye walizaa penzi kutokana na kuzidiwa na pombe.
Mjumbe na Jisu walidhamiria kufanya fujo ya aina yake kwa Vivian. Walijitosa ndani na kuanza kurusha vitu huku na kule. Kifupi ni kwamba walikuwa wamelewa kupindukia. Rama alishtuka si kitoto. Alichokumbuka kukimbilia ni kuvaa nguo na kusimama kiume.CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kiasili Rama alikuwa mwanaume shupavu na kwa historia fupi ni kwamba aliwahi kujiunga na jeshi lakini hakumalizia mafunzo kutokana na kuugua ghafla kwa muda mrefu hali iliyopelekea kuachana na jeshi, kwa hiyo alikuwa vizuri sana lilipokuja suala la kurusha makonde.
Kichwani alikumbuka maelezo ya Vivian kwamba kwa wakati huo hakuwa na mwanaume hivyo Rama alijawa na ujasiri mkubwa, ingawa ukweli ni kwamba Vivian alikuwa mwanamke zoazoa. Kila mwanaume alikuwa wake, inategemeana tu na gia atakayomuingilia.
“Vivian hawa ni akina nani mama?” Rama aliuliza huku akijaribu kumzuia mjumbe na Jisu wasiendelee kufanya fujo mle ndani.
“Ni miongoni mwa wanaume wanaonisumbua mtaani hapa kimapenzi lakini mimi nimekuwa nikiwakatalia na leo wameamua kuja kunifanyia fujo…,” Vivian hakumalizia maelezo yake, Rama aliamua kuingia kazini. Aliwakusanya wote na kuwapigisha vichwa ambavyo si vya mkoa wala nchi hii.
Walipigika ile mbaya na kisha kuwatoa nje ambapo soo lilikuwa kubwa na kukusanya mtaa mzima.
Mjumbe ambaye alikuwa akiogopeka mtaani hapo kwa ubabe na ukorofi, sasa alikuwa mkononi mwa Rama akichezea kichapo kitakatifu tena mbele ya wananchi wake na hakuna aliyethubutu kuamulia zaidi ya kushangilia na kuuliza kulikoni na walipobaini kwamba chanzo kilikuwa ni kumfanyia fujo Vivian, walizidisha makelele.
Ni kama Mungu, wakati vurumai hiyo ikiendeela, gari la polisi ambalo lilikuwa doria maalum lilifika maeneo yale na kuwachukua wahusika wote, yaani Vivian, mjumbe, Jisu na Rama na kwenda nao kituo cha polisi ambacho hakikuwa mbali kutoka hapo. Walilazwa mahabusu hadi kesho yake asubuhi ambapo kulingana na maelezo yao, Rama na Vivian waliachiwa huru na kuwaacha mjumbe na Jisu kwa mahojiano zaidi ambapo askari mmoja aliambatana na Vivian hadi nyumbani kwake kwa ajili ya kufanya tathmini ya vitu vilivyoharibika kutokana na ugomvi huo.
Siku chache baadaye, Vivian na Rama walikubaliana kuoana na kwa kuwa Rama alikuwa na dini tofauti na Vivian kwa pamoja walikubaliana kufungia ndoa bomani na Vivian aliamua kuacha kazi mwenyewe kwenye ile Kampuni ya Nta na Asali na wakaamua kufungua biashara zao huku wakimtumikia Mungu kila mmoja kwa imani yake na ndoa yao ikishamiri kwa furaha na raha mstarehe, ambapo Vivian aliamua kukiri dhambi zake zote kanisani kwake.
Kwa upande wa Bigambo naye aliachana na maisha ya kuzoazoa wanawake hovyo na aliokoka na kuanza kumtumikia Mungu kwa kwenda kanisani na kushiriki ibada mbalimbali, ilifikia kipindi akakutana na Vivian akiwa na Rama katika majukwaa ya dini, wakawa waumini wazuri ambapo sasa walianza kuitana kaka na dada na maisha yalibadilika kabisa.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kwa upande wa Jisu na mjumbe walihukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kushindwa kulipa faini na fidia kwa uharibifu baadhi ya vitu vya Vivian na walipoachiwa wote waliokoa na kuachana kabisa na maisha ya kijinga na cha kushangaza wote waliamua nao kumtumikia Mungu, ikawa familia yenye upendo na maisha yao yakatawaliwa na Mungu na hadi sasa walishabadili kabisa maisha na kila mmoja wao anafurahia uwepo wake duniani.
MWISHO..
0 comments:
Post a Comment