Search This Blog

Monday, October 24, 2022

KANGA MOJA KIUNONI...MBENGEMBENGE - 2

 







    Chombezo : Kanga Moja Kiunoni...Mbengembenge

    Sehemu Ya Pili (2)



     “Mzee Hewa, mume wangu kasema anakuja muda huuhuu, please nakuomba basi tupange siku nyingine...” “Siku nyingine ni leo binti, we kubali yaishe,” alisema mzee huyo huku sasa akilazimisha denda.

     Mama Mei alijiachia, akapoteza nguvu za kupambana, mzee Hewa akamchojoa kanga na kuzitupia chini... “Mzee Hewa,” mama Mei aliita kwa sauti ya chini sana... “Nini?” mzee huyo aliitika kwa sauti ya utemi... “Basi twende kwako lakini si humu chumbani ninapolala mimi na mume wangu...chondechonde...” “Hapahapa... muda huuhuu!CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nakujua wewe, nikibadili mawazo tu utanikimbia kama saa zile...” “Kweli tena siwezi kukukimbia, niamini mimi baby wangu,” ilibidi mama Mei atumie jina la mahaba ili kumlainisha mzee huyo akubaliane na matakwa yake... “Mbona kule kwangu ulinikimbia?” alihoji mzee Hewa akiwa anajiandaa kuingia uwanjani tayari kwa mchezo wa kulazimisha... “Please mzee Hewa, twende kwako utajiachia unavyotaka...hata ukitaka mara saba mimi niko tayari lakini isiwe humu ndani kwangu si vizuri bwana, halafu wewe unajua,” alisema mama Mei kwa sauti ya kutia huruma huku akimwangalia mzee huyo kwa macho ya kulegea. “Hapana,” mzee Hewa alikataa katakata. Mama Mei akapiga kelele za juu akisema... “Ja...ma...ni e...e...” alitaka kusema ‘jamani ee nabakwa huku’, lakini mzee Hewa alimuwahi akamziba midomo, sauti yake haikutoka kwenda mbali na mbaya zaidi, kwa muda huo, ndani ya nyumba ile hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya wao wawili tu. Kitendo cha mama Mei kupiga kelele hizo kilimkera sana mzee Hewa kwani alijua kama atakuwa amesikika, watu wakifika ina maana yeye atakuwa na tuhuma za kutaka kumbaka mwanamke huyo, akaamua kuongeza nguvu zaidi ili kumpata. Na kweli, nguvu za mwanaume ni

    za mwanaume tu, mzee Hewa alimzidi mama Mei, akamlazimisha kuingia kwenye mechi. Hali hiyo nayo sasa, ikamfanya mama Mei kulainika, kwani hakuwa na namna ilibidi atoe ushirikiano wa kina ili mzee huyo amalizane naye awe huru kwani wasiwasi wa kufumaniwa na mumewe ulimtawala. “Basi sawa mzee Hewa lakini kumbuka mume wangu anakuja kutoka kazini,” alisema mama Mei huku akikazana. Mzee Hewa dakika tano tu mbele akawa hoi. Hakusubiri kupoa, akatoka na kukimbilia kwake huku mama Mei akikimbilia bafuni. *** Mama Mei alikuwa mpole, alikaa sebuleni kwa muda akimtafakari mzee Hewa. Ilivyo ni kwamba, tangu amefunga ndoa na baba Mei, mama Mei hakuwahi kufikiria kuchepuka, sasa kitendo cha mzee huyo kumchepusha kilimpa wakati mgumu sana... “Da! Mzee Hewa kaniweza kweli... kweli leo nimechepuka?! Halafu kwanza hakuna starehe yoyote ile kama tunakimbizana vichakani bwana!” aliwaza moyoni mwanamke huyo. Kutoka moyoni mwake, alimchukia sana mzee Hewa... “Basi angekubali tukaenda kwake, chumbani kwangu?! Mzee huyu hamnazo kabisa. Iko siku yake,” alisema mama Mei na kusimama kwenda kuendelea na kazi za nyumbani lakini

    huku moyoni akiendelea kuwaza... “Kwanza ameniacha hivihivi kama alivyonikuta...halafu hiyo dozi aliyosema atanipa ili mume wangu aache wivu hajanipa...au... au dozi yenyewe ndiyo ...mh!” hakumalizia mama Mei, akajikuta anakunja sura kwa hasira endapo kama kweli dozi yenyewe ndiyo vile alivyomfanyia. *** Mzee Hewa kwake alishangilia ushindi kwani alitoa la moyoni kwa vitendo. Aliamini kwamba, sasa akimwona mama Mei na umbo lake tata hataumia sana kwani amehusika kulifahamu kama anavyolifahamu mume wake, baba Mei. *** Jombi aliporudi kutoka kazini alioga, akabadili nguo na kwenda baa akipitia njia inayokatisha nje ya nyumba ya mama Mei akiamini atamwona mwanamke huyo. Ni kweli kabisa, wakati Jombi anapita nje ya nyumba hiyo, mama Mei alikuwa akitoka nje kwa lengo la kwenda kwenye baa ambayo Jombi alikuwa anakwenda. Mama Mei yeye alitumwa bia na mume wake...

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “ANKO mambo vipi? Upo..?” “Nipo anti, za kwako jamani?” “Mimi mzima, wapi tena mida hii?” “Ah! Nafika hapo kwenye Baa ya Moment nikapoteze mawazo kidogo...” “Aha! Na mimi nakwenda hapohapo, mzee yeye anataka kupotezea mawazo nyumbani,” alisema mama Mei... “Sawasawa, amechoka na kazi...mimi kupotezea mawazo nyumbani siwezagi kabisa,” alisema Jombi huku akimwangalia mama Mei kwa macho ya wazi kabisa kwamba anamzimia ile mbaya. Halafu mama Mei jioni hiyo alivaa t-shirt ndefu kidogo,

    ndani alizungushia kanga moja tu, kama kawaida yake, weee! Jombi aliiona nafasi ile ni ya kipekee kujua kama atavuna mahidi au mabua kwa mwanamke huyo, akaanza... “Anti...” “Abee...” “Hivi naweza kupata namba zako za simu ili tuwe tunawasiliana?” Mama Mei alionekana kushangaa kidogo kwa ombi hilo, akauliza... “Anko unataka namba yangu kwa ajili ya mawasiliano gani?” Jombi hakujiandaa na swali kama hilo, lakini akajiongeza na kujibu... “Mawasiliano ya kawaida sana anti, si unajua tena...” “Jamani! Lakini mi sina simu,” alisema mama Mei... “Haiwezekani.” “Kweli tena...mara nyingine huwa natumia simu ya mume wangu ili kuwasiliana na ndugu zangu mbalimbali... labda nikupe hiyohiyo...” “Haa! We nipe hata hiyo, nitafanyaje sasa.” Kweli, mama Mei alimtajia namba za simu ambazo, Jombi alijua ni za mume

    wake, baba Mei. Alijua kama angekataa angempa maswali mengi mwanamke huyo wakati yeye alisema ni namba ya mawasiliano tu. Jombi alizisevu namba hizo, akaandika ‘Kanga Moja Mbengembenge.’ Wakati wanakaribia kuingia kwenye baa, mama Mei akasema: “Utume meseji basi ili niione namba yako.” Jombi alishangaa... “Huyu si amesema anatumia simu ya mume wake, sasa nitume meseji kivipi?” alijiuliza, lakini akasema moyoni atatuma tu, kama atakamatwa si yeye mwenyewe bwana! “Oke, natuma, yangu inaishia na hamsini na tano,” alisema Jombi... “Oke...nitakucheki basi,” mama Mei alihitimisha kusema huku wakiachana, mama Mei alikwenda kaunta, Jombi alikwenda kukaa kwenye kiti. Jombi akiwa anapata moja moto, moja baridi, alifikiria sana kuhusu kumtumia meseji mama Mei lakini moyoni mwake alikiri kuwa, mwanamke huyo ametokea kumpenda kuliko hata mke

    wake. Alikuwa tayari ndoa ya mama Mei ivunjike na yeye pia ivunjike, yeye na mama Mei waishi pamoja. Mwishowe, Jombi aliamua kumtumia meseji mama Mei... “Namba yangu ni hiyoJombi hapa.” Mama Mei alikuwa akipika msosi wa usiku, mume wake alikuwa sebuleni akiendelea na zile bia zake. Mama Mei alishika simu haraka ili kusoma meseji iliyoingia... “Namba yangu ni hiyo-Jombi hapa,” mama Mei aliisoma meseji ya Jombi akaachia tabasamu laini huku akiwa makini na mazingira ya pale ili isijekuwa mumewe akatokea ghafla na kumnasa akisoma meseji za wanaume. Akamjibu Jombi... “Poa, mimi napika.” “Mh! Nije kula mama?” Jombi alirudisha majibu. Mama Mei aliachia tabasamu tena, hasa baada ya kusoma lile neno ‘mama’ alilolitumia Jombi kumwita... “Huogopi?” aliuliza mama Mei... “Kimtindo.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mtindo gani?” “Yaani kiaina, naweza kuja kula kama utanikaribisha wewe mwenyewe.” “Mh! Unamjua unamsikia..?” “Nani?” “Mume wangu...” “Nakuja kama kaka yako...” “Mbona kwenye harusi hukuja?” “Teh! Teh!” alicheka kwa sauti Jombi lakini akatuma meseji hiyohiyo ya kicheko. Mama Mei naye alichekea moyoni, akamjibu... “Umeona ee? Labda nikupakulie chakula chako kwenye hotpot kama hutajali,” alisema mama Mei. Jombi alijua utani, lakini akajibu haraka sana... “Niko tayari kama ni kweli.” Kuanzia hapo, mama Mei hakujibu tena meseji za Jombi na ukimya huo ulitawala kwa muda huku Jombi akiendelea kutumatuma meseji za hapa na pale zenye mlengo wa uchokozi.



    ************



     “Tunaomba maji ya kunawa.” Jombi alifutua macho kwa taarifa hizo, akamwangalia mama Mei kwa macho yenye mahaba, wakakutana macho, mama Mei akaachia tabasamu jepesi na kusema...  “Nimemtumia meseji mume wangu...” “Kwamba..?” “Kwamba nakuja hapa baa.” “He! Anakuruhusu?” “Mh! Ananiruhusu lakini lazima kwanza nijipige picha nimtumie kwenye WhatsApp ajue nimevaa vipi wakati nakuja...” “Hapendi uvae vipi?” “Sketi tupu au suruali tupu, hasa usiku. Lakini kwa mchana hapendi nivae kanga, anataka magauni makubwa, unajua umbo langu mimi ni la utata,” alisema mama Mei kwa sauti iliyojaa utulivu... “Oke, sasa ulipokuwa unakuja hapa, mzee Hewa hajakuona?” Mama Mei alikosa raha ghafla, akainamisha kichwa kisha alipokiinua, akasema... “Yule mzee ni kama mbwa.” “Kivipi?”

    “Jamani salama hapa?” mzee Hewa alisalimia akivuta kiti na kukaa kwenye meza yao... “Ahaa! Mzee Hewa, karibu sana...sisi tupo salama,” Jombi alichangamka... “Naona uhusiano wenu unakua siku hadi siku,” alisema mzee huyo huku akimwangalia mama Mei kwa macho yaliyojaa msuto na wivu... “Kwa nini mzee Hewa?” swali lilitoka kwa Jombi. Lakini mpaka wakati huo, mama Mei alishajua kuwa, kauli yake ya kusema mzee huyo ni kama mbwa hakuisikia mwenyewe, alimwacha Jombi aendelee kujibu, yeye akainuka kwenda chooni. Baa nzima macho kwake. Maana alipotembea unaweza kusema ataliangusha wowowo au litaanguka lenyewe muda wowote ule. Mzee mmoja yeye alikaa na mkewe, akamkata jicho mama Mei huku akichezesha shingo yake kwa maana ya kufuatilia mdundo wa mwendo... “Baba Nuhu, kwa hiyo wewe uwepo wangu mimi hapa baa huuthamini mpaka unaangalia wanawake vile?” aliuliza mke wa mzee huyo na kumfanyaCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    mumewe kushtuka sana. Wako wanaume walitamani kumfuata mama Mei kulekule chooni ili wajifanye wanaingia kwenye vyoo vya kiume na kumlia taiming nje akitoka waombe namba. Huku baa, wengine walipomaliza kumwangalia mama Mei waliangaliana wao, wateja kwa wateja na kuachia vicheko, wale waliolewa sana bia, waliambiana... “Mzee unacheki zigo, maana’ke lile huna haja ya kudai risiti...” “Acha kabisa! Lazima supu ya pweza ihusike...teh! Teh! Teh!” Kwa upande wake, mzee Hewa pia, licha ya kwamba alishapata japo kwa kubaka, alimsindikiza mama Mei kwenda uani kwa macho yaliyojaa tamaa... “Huyu binti bwana mdogo si wa kukaa pale kwangu, lazima ahame,” alisema mzee huyo... “Kwa nini mzee Hewa..?” “Kesi...huyu binti ni kesi... yaani ukimwangalia tu unajua ni kesi...” “Kesi kivipi mzee Hewa?” “Lazima umbake...wewe unaweza kuishi nyumba moja na binti mzuri kama huyu ukamwacha hivihivi

    tu...eti kisa ana mume wake? Ukimwangalia hivi kama amejengwa badala ya kuumbwa. Tena wajenzi wenyewe ni wale mahodari... “Kutoka kifuani kuja kwenye kiuno mwembamba, matiti yake kama hajawahi kunyonyesha na anasema ana mtoto...lakini kutoka kiunoni kwenda chini ndiko kwenye kesi yenyewe. Akitembea yeye juu anakuwa mbele, yeye chini anabaki nyuma... tuache anarudi...mimi naondoka bwana, nilipomuona anakuja huku nikajua yuko peke yake ndiyo maana nikaja, kumbe umeniwahi kijana,” alisema mzee Hewa huku akisimama. Wakati mzee huyo anaondoka, mama Mei anakaa baada ya kusababisha utulivu kwenye baa nzima, mpaka mtu wa kaunta achilia mbali wahudumu wa baa hiyo inayojaza wateja wengi! “Vipi huyu mzee alikuwa anasemaje?” lilikuwa swali la kwanza kwa mama Mei kumuuliza Jombi. Yeye mawazo yake alijua ametoboa siri ya tukio alilosema... “Ha! Hana jipya, anasema alikuona ukija, akajua uko peke yako ndiyo maana alikufuata...”

    “Khaaa! Jamani! Huyu mzee ananitafutia nini mimi? Aje anifuate mimi ili iweje kwanza? Yeye ni nani yangu? anikome kabisa,” alisema kwa hasira mama Mei. Mama Mei alikuwa akinywa bia na sasa alikuwa anakunywa ya tatu ambapo lugha pia ilianza kubadilika... “Kawaida huwa unakunywa bia ngapi anti?” Jombi alimuuliza... “Mimi nikinywaga bia tano au sita ndiyo nakuwa vizuri,” alijifagilia, lakini moyoni Jombi alikataa kwa vile alionesha si mzoefu wa bia. “Aisee! Hongera sana anti... lakini mimi leo nataka kutoa dukuduku langu, sijui uko tayari?” Jombi alisema hayo akimwangalia mama Mei usoni... “Kuwa kwangu tayari si inategemea unataka kutoa dukuduku gani anko, mimi niko tayari nakusikiliza...”  Je, Jombi atafungukaje?

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog