Search This Blog

Monday, October 24, 2022

KANGA MOJA KIUNONI...MBENGEMBENGE - 3

 







    Chombezo : Kanga Moja Kiunoni...Mbengembenge

    Sehemu Ya Tatu (3)



    ILIPOISHIA : “Kuwa kwangu tayari si inategemea unataka kutoa dukuduku gani anko, mimi niko tayari nakusikiliza...” SASA JIACHIE MWENYEWE... JOMBI alimwangalia mwanamke huyo kwa macho yaliyojaa aibu licha ya kwamba ni mwanaume kisha akasema... “Najua huenda nitakukera lakini unatakiwa kunivumulia...” “Mimi nimeshakuvumilia anko, ndiyo maana niko hapa tena nimekuletea na chakula, huoni kuwa nimekuvumilia?” “Kweli...kweli umenivumilia... kifupi anti mimi kama mimi, yaani kutoka moyoni mwangu humu, tena ndani kabisa ya moyo kusema ule ukweli labda niwe wazi tu ili nitoe dukuduku langu ni kwamba, kutoka moyoni mimi mwenzio nimeamua kufunguka,” alibabaika Jombi mpaka

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    mama Mei akashangaa... “Sasa hapo mimi nikueleweje anko? Ndiyo umesema nini sasa?” mama Mei aliuliza akiwa ameegemeza mikono kwenye meza na kumwangalia Jombi kwa macho ya mvuto... “Ina maana hujanielewa anti?” “Sijakuelewa anko, umemaliza kwa kusema umeamua kufunguka, sasa unafunguka kuhusu nini?” “Aha! Yaani mimi kama mimi... kwanza mimi naitwa Jombi, nina mke na mtoto mmoja, nafanya kazi serikalini, tunakwenda kazini kila siku kasoro Jumamosi na Jumapili tu au siku za sikukuu au siku niumwe na nikiumwa lazima niende na sick sheet.” Mama Mei alijikuta akishikwa na kicheko cha moyoni lakini akajikaza asikioneshe waziwazi kwa Jombi... “Maskini, pole sana kwa kuumwa anko, kumbe huwa unaumwa mpaka unachukua sick sheet...?” “Eee! Lakini hilo silo nililotaka kulisema...” “Ulitaka kusema lipi anko?” “Mimi nakukubali saa anti, yaani Mungu amekuumba vizuri, amekupendelea kila idara yaani...da! nampongeza sana mista, amepata mke mzuri,” alisema Jombi huku macho yake yakiangalia ukutani ambako kulikuwa na bango la tangazo la kampuni moja ya bia... “Asante sana anko kwa kunipamba, lakini mimi najiona kawaida sana...” “Wewe unajiona kawaida lakini watu

    wengine tunakuona si kawaida.” Mama Mei alicheka, Jombi yeye aliachia tabasamu tu kisha kukapita ukimya kwa muda wa kama sekunde kadhaa... “Sasa hujanipa jibu anti,” alisema Jombi, mama Mei akashtuka... “Anko jibu gani tena?” “Kwani nimesema nini?” “Umenipongeza tu, nikasema asante jamani kwa kunipamba.” Mpaka mama Mei anaaga ili kuondoka kwenye baa hiyo, Jombi alikuwa hajui hatima yake lakini alikiri moyoni mwake kwamba, maneno yake aliyomwambia mama Mei hayakuwa yanatosha kumfanya ajisikie ametongozwa, akaamua kulipuka... “Anti mimi kusema ukweli nakupenda tu...” “Asante anko kwa kunipenda,” alijibu mama Mei kwa kulegeza sauti... “Natamani sana uwe wangu,” Jombi aliongeza... “Kivipi anko?” “Uwe wangu katika mapenzi...” “Ha! Anko, itakuwa ngumu sana, yaani una mke, una mtoto na mimi nina mume nina mtoto halafu tunakuwa wapenzi, mbona ngumu sana.” Jombi alijisikia vibaya sana kwa jibu hilo, akaamua kuongeza gia... “Kwa hiyo unataka kusema unataka kuwa na mpenzi asiye kuwa na mke au?” “Sitaki kuwa na mpenzi kabisa, kwani

    tayari ninaye.” Jombi alihema kwa nguvu huku mama Mei akishika kapu lenye hotpoti tayari kwa kusimama... “Kesho basi anko...” “Da! Umeniacha njia panda anti...” “Kivipi?” “Sasa nijue nini?” “Si nimeshakwambia jamani anko.” “Oke...oke!” Mama Mei aliondoka huku Jombi akimsindikiza kwa macho mpaka anaishia. Wateja walimwangalia na kucheka, wapo waliojua si mkewe alikuwa anaimbisha tu na amepigwa chini kavukavu. *** Hakukuwa na mawasiliano kati ya Jombi na mama Mei kwa muda wa siku tatu tangu walipokutana siku ile, baa. Siku hiyo sasa, saa nne usiku, Jombi akiwa kwenye baa nyingine, alipokea simu ya mama Mei... “Anko uko wapi?” “Niko huku bondeni, kuna baa inaitwa Mundu...” “Nakuomba njoo nyumbani...”



    “MH! Anti kuna nini?” aliuliza Jombi akihisi kwamba, huenda namba yake kwenye simu ya mwanamke huyo imenaswa na mume wake, sasa akambana na kumwambia amuite... “Wewe njoo, utajua hapahapa nyumbani kuna nini!” “Mh! Oke...nije nyumbani kabisa au kwa nje hapo?” “Njoo nyumbani kabisa, ndani tena. Ukifika mimi utanikuta nje nakusubiri.” “Mmh! Anti lakini kwema kweli?” “We njoo tu.” “Oke nakuja.” Jombi aliomba aongezewe bia mbili, alijua anakokwenda kuna ishu kama siyo tukio, lakini hakuwa tayari kulikwepa kama mwanaume! Hivyo aliamini kwamba, kwa kulewa angeweza kukabiliana na lolote mbele ya safari... “Hizo bia mbili lete kwa mpigo halafu miminia naCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    kiroba kwa juu,” alisema Jombi akimwambia mhudumu... “Sawa.” Ndani ya dakika kumi, Jombi alikuwa sawasawa kiakili kwa maana kwamba, sasa alilewa. Hesabu ya harakaharaka ni kama alipiga bia tano na viroba vitatu...piga picha hapo! Njiani, Jombi alipigiwa simu tena  na mama Mei, akaipokea haraka sana... “Haloo...” “Umefika wapi anko?” “Niko njiani nakuja, kwema lakini?” “We njoo tu,” alisema mama Mei na kukata simu. Jombi alijiridhisha kwamba, kuna kitu kikubwa kule kwa mama Mei kwani kila akimuuliza kwema, anajibiwa wee njoo tu! alitaka kukatisha safari lakini moyoni akasema... “Nikifika nitasimama kwanza nje, akiniambia niingie ndani nakataa. Kama ni shida aniambie palepale nje.” Alipofika nje ya nyumba hiyo, Jombi alitaka kumpigia kwanza simu mzee Hewa na kumsimulia kisa hicho, lakini akajipa ujasiri na kuamua kumpigia mama Mei mwenyewe... “Uko wapo anko?” “Nje hapa.”

    “Nakuja.” Jombi alisimama kwa tahadhari kubwa sana, akatokea mama Mei mwenyewe akiwa amejifunga kanga moja tu, kwa kuikatisha kwenye nido. Mwanga wa nje ya nyumba hiyo japokuwa ulikuwa hafifu lakini aliweza kuonekana sawia kwamba, ndani ya kanga hakuwa na kitu kingine. Jombi alishangaa kumwona mama Mei anatembea mpaka kwenye kona ya nyumba hiyo huku akimuita kwa alama ya mkono, akaenda na yeye... “Anko sikia, naingia ndani na wewe nifuate nyuma yangu, sawa?” “Ah! Noo! Kuna nini ndani kwako?” “Unaogopa nini?” “Siyo bwana! Mumeo yupo?” “Angekuwepo ningekuita? Kaenda Nairobi,” alisema mama Mei akiwa amesimama kimachalemachale akihofia mpangaji yeyote au hata mzee Hewa mwenye nyumba anaweza kutoka... “Kweli?” alihoji Jombi... “Kweli kabisa, we njoo kiaina,” alisema mama Mei akianza kutembea. Kwa nyuma, Jombi alipoona mchezo ukitetemeka,

    hakuvumilia, akasema moyoni... “Aaa! Hata kama mume wake yuko chini ya kitanda, mimi naingia tu.” Jombi alimfuata mama Mei, akazama naye ndani kwake, sebuleni. Lakini wakati anazama, mpangaji mmoja ambaye wakati baba Mei anasafiri alimuaga, alishangaa kuona mwanaume akimalizikia kuingia... “Haa! Jamaa si kasafiri, huyu ni nani?” alijiuliza yule mpangaji akiwa amesimama mlangoni kwake. Mama Mei alimwonesha sofa la kukaa Jombi, akakaa. Kisha na yeye, mama Mei akakaa jirani yake na kuanza kusema... “Wewe anko si ulisema umenipenda?” “Ndiyo...” “Basi leo ushindwe mwenyewe. Jamaa amekwenda Nairobi anarudi baada ya siku sita...” “Haa! Kweli?” “Kweli ndiyo,” alisema mama Mei akamsogelea Jombi na kumpelekea kinywa, kilipofika karibu akachomoa ulimi, Jombi akaupokea huku akifumbafumba macho kwa ulevi.

    Hata kule nje, mama Mei alipotoka, alipomuona tu Jombi alijua yupo hoi kwa pombe! Walijikuta wapo kwenye denda...denda denda mpaka wakaangukia kwenye sofa jingine kubwa, mama Mei akasimama, akamshika mkono Jombi na kumpeleka chumbani, kitandani pwaa! Hali ya Jombi ilizidi kuwa mbaya kwa mwanga wa taa, akajikuta akipitiwa na usingizi wa moja kwa moja. Mama Mei alijitahidi kumwamsha, wapi! Amsha wee wapi! Akamwacha alale! Saa kumi na moja alfajiri, Jombi alishtuka mwenyewe, pombe zilikata sasa, kuangalia hivi ndani ya chumba akagundua yupo ugenini, akakurupuka kutoka kitandani. “Oya...oya! Oyaa,” alimwamsha mama Mei ambaye alilala kifudifudi na kanga aliyoivaa ilivuka yenyewe kwenye kujigeuzageuza. Kwa hiyo alikuwa kama alivyototolewa!



     “KUMEKUCHA mimi naondoka,...da! Pombe hizi jamani!” alilalamika Jombi. Mama Mei akiwa na hasira zake kwa kukosa mechi, alijigeuzageuza bila kuitikia aga ya Jombi. Alitoka kitandani, akafungua mlango na kumtaka Jombi asubiri kwanza yeye aangalie hali ya hewa ya wapangaji wengine nje ndipo aondoke... Kufunguliwa kwa mlango wa mama Mei kulimkurupusha yule mpangaji mwanaume ambaye alishuhudia mwanaume akiingiaCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ndani kwa mwanamke huyo. Alitoka kitandani na kusimama sebuleni kwake akisikilizia nini kitaendelea. Mama Mei alipoona hali ya nje ni salama, alirudi ndani, akamtoa Jombi akimtakia maisha mema... “Kwani jioni si tutaonana baby?” aliuliza Jombi... “Uonane na nani? We nenda bwana,” alisema mama Mei kwa sauti iliyojaa hasira. Jombi alipoondoka, mwanamke huyo alifunga mlango mkubwa na kurudi chumbani kwake. Kwa yule mpangaji, akitumia dirisha lake la mbele aliweza kumwona Jombi na kubaini ndiye aliyetoka kwa mama Mei lakini hakumjua kwa sura kutokana na hali ya giza... “Yule ni nani? Siyo Mashaka kweli? Hapana, Mashaka hana tabia za kihuni, atakuwa Madee. Lakini hapana, Madee yupo Uganda,” alisema mpangaji huyo akijitahidi kuwafananisha watu anaowajua yeye na Jombi. *** Kitandani, mama Mei alilala kwa hasira sana. alimshangaa Jombi kulewa kiasi cha kulala kama mfu huku yeye akiwa na usongo ile mbaya... “Wanaume kama wale ndiyo wanaosababisha wake zao wasaliti ndoa. Pombe gani zile sasa? Hanioni tena kumtafuta,” alisema mama Mei akiusaka usingizi mwanana. *** Jombi aligonga dirisha la chumbani

    kwake, mkewe akamuuliza... “Wewe nani?” licha ya kwamba alijua mumewe hajarudi... “Aaah! Swali gani hilo mke wangu...” “Lazima niulize kwani kuna ubaya?” “Hakuna ubaya, ungefungua kwanza basi...” “Kwani unatoka wapi muda huu?” “Fungua nitakwambia.” Jombi na mkewe walibishana huku kukiendelea kupambazuka kiasi cha kuwafanya baadhi ya majirani kubaini linaloendelea kwa wawili hao... “Hata siku moja hujawahi kunirudia asubuhi hapa, leo iweje? Mbaya zaidi simu unayo na mimi simu ninayo, nimekupigia sana hujapokea, unadhani mimi nitafurahia tabia hiyo?” mke wa Jombi alikuja juu... “Kumbe unajua sijawahi kurudi asubuhi hata siku moja, ndiyo ujue kuna tatizo mke wangu, fungua basi... mpaka majirani wajue bwana...” “Hata wakijua kuna nini? Na kuna faida gani mimi kuzuia majirani kujua wakati naumia?” Mwishowe, ubinadamu ulimwingia mkewe, akatoka kumfungulia mlango, ikabaki kesi ya ndani. *** Kulikucha, mama Mei akiwa ndani ya kanga moja tu, alikuwa akifanya usafi uani. Kijua kilipokuwa kinatoka, kiliufanya mwili wake uonekane sawia licha ya kuwa ndani ya kanga hiyo moja.

    Muda mwingi, kanga ilibughudhiwa na upepo kiasi cha kumfanya yeye awe anaiweka sawa kwa kuibana katikati ya miguu mara kwa mara kisha kuendelea kufagia. Aliyetoka uani asubuhi hiyo na kukutana na mama Mei ni mzee Hewa. Bosi mwenye nyumba..! “Hujambo binti?” mzee huyo alisalimia kwa sauti ya kizee huku akimwangalia mama Mei kwa macho yaliyojaa mahaba ya hali ya juu. Hakujua kama Jombi alilala pale na alichemsha... “Sijambo, shikamoo mzee Hewa...” “Unataka kuninyima nini mpaka unaniamkia?” alisema mzee Hewa kwa sauti yenye utani kidogo... “Sasa jamani kwani mi nimesema nitakunyima nini? Mbona sijakunyima chochote na wewe unajua...” “Basi nisalimie vingine...” “Haya...umeamkaje baby?” alisema mama Mei huku akiachia tabasamu pana... “Nimeamka salama mpenzi wangu, sijui wewe?” mzee Hewa alisalimia kwa furaha huku akiachia tabasamu lenye kushusha ngozi ya mashavuni. Mama Mei alicheka, lakini akakatisha kicheko baada ya kusikia mtu akienda uani. Alikuwa yule mpangaji aliyemwona Jombi.



    *** KULIKUCHA kabisa, jua lilikuwa juu ya saa nne asubuhi. Ndani ya nyumba hiyo, baada ya kuondoka wengine kwenda makazini kwao, alibaki mzee Hewa na mama Mei  tu. Mzee Hewa yeye ni mstaafu, yupo tu nyumbani akila mafao! Mzee Hewa aliingiwa na moyo wa kumbaka tena mwanamke huyo baada ya kufanikiwa mara ya kwanza bila kusikia malalamiko au lawama. Lakini aliamini safari hii angefanikiwa zaidi kuliko mwanzo kwani hali ya hewa ya mama Mei asubuhi ile ilikuwa nzuri. Alicheka naye vizuri kule uani. Kwa hiyo, mzee huyo alitoka ndani kwake, akapita kukagua mlango kwa mlango ili kujiridhisha kwamba, hakuna watu wengine kwenye vyumba vyao kwanza kabla hajaenda kumgongea mama Mei. *** Kwa upande wake, mama Mei alijilaza kidogo kwenye kochi kubwa akiwaza kuhusu alichofanyiwa na Jombi usikuCHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    uliotangulia... “Yaani mimi ni mwanamke yeye ni mwanaume, siyo ndugu, tumelala pamoja lakini ameshindwa kufanya chochote. Ama kweli yule mwanaume ni kiboko aisee! Tena mbaya zaidi mimi ndiye nimemtafuta baada ya kuona siku ile baa anajiumauma hata kusema hawezi. Au mdomo zege yule?” alijihoji mama Mei... “Ina maana yeye ameridhika kabisa kuniacha na kiu yangu... mh! Afadhali mume wangu angekuwepo tu haya yote yasingetokea,” aliwaza zaidi mama Mei... “Ngo ngo ngo ngo!” mlango wake uligongwa, mama Mei akashtuka kwani hakumjua mgongaji... “Nani? Karibu,” aliitika mwanamke huyo na kutoka, akafungua mlango wa sebuleni, akakutana na sura ya mzee Hewa... “Karibu mzee Hewa,” alisema mama Mei akisisitiza ukaribisho wake kwa mwenye nyumba yake huyo... “Asante binti...nimekuja kukutembelea...” “Karibu,” mama Mei alisema huku akiwa bado ameganda mlangoni kwake... “Karibu wapi sasa, ndani au hapahapa?” “Kwani we unataka kuingia

    ndani kwangu?” “Ndiyo lengo langu ndiyo maana nimesema nimekuja kukutembea.” “Hapana mzee Hewa, kuingia ndani kwangu ni hatari, unataka kufanya kama jana? Haiwezekani,” alisema mama Mei lakini huku dhamira ikimsuta kwamba, anamkatalia mzee huyo lakini Jombi alilala humo mpaka kunapambazuka... “Binti, mara moja tu nataka kuongea na wewe,” alisema mzee Hewa... “Ongea hapahapa mzee Hewa...” “Hapa hapana, nataka ndani kwako.” “Basi mimi sitaki.” Mzee Hewa akaona hakuna njia nyingine zaidi ya kumsukumia ndani mwanamke huyo kisha na yeye kuzama na kufunga mlango ili kufanya yake. Na kwa jinsi alivyomkuta alivyo mama Mei kwa muda huo, mzee Hewa alihamasika sana... “Kwa hiyo?” alimuuliza... “Kwa hiyo haiwezekani mzee Hewa.” Mzee huyo alimwangalia kwa muda mama Mei kisha akamshika mkono na kumlazimisha kuingia ndani kwake... “Noo mzee Hewa, nimesema haiwezekani bwana...”

    “Itawezekana tu...yaani nipate tabu wakati raha ipo.” “Hapana mzee Hewa, labda twende chumbani kwako...” “Utakataa wewe.” “Siwezi kukataa bwana, nakuapia siwezi.” “Utatangulia mwenyewe?” “Ndiyo nitatangulia mwenyewe.” Mzee Hewa alimwachia mama Mei kisha akasimama kumwangalia kama kweli atakwenda kwake... “Tangulia sasa kutoka basi ili nifunge mlango,” alisema mama Mei. Mzee Hewa alitoka, akaingia ndani kwake. Alikaa sebuleni, akasikia mlango mkubwa wa kwa mama Mei ukifungwa na funguo, akatupia macho mlangoni kwake, mama Mei akazama mwenyewe bwana... waaa! “Enhe, mzee Hewa unasemaje kwani?” alisema mama Mei huku akikaa pembeni ya mzee huyo kiasi cha kugusana... “Binti, mimi nikikuonaga tu wewe naishiwa nguvu mwenzio. Kwa nini hupendi kunielewa binti?” “Mzee Hewa unavyodhani wewe na mimi tunaendana?” “Kwa sababu ya uzee wangu au?” “Ndiyo, si nitaonekana

    nataka kukuua?” “Atakayeona hivyo ni nani?” mzee Hewa aliuliza swali ambalo lilimpa tabu mama Mei kulijibu kwani yeye alitaka maongezi ya siri, sasa wasiwasi wa mama Mei watu wakijua nani atajua na atajuaje? Mama Mei akamtolea macho mzee Hewa, akayarembua f’lani hivi, mzee wa watu akaishiwa nguvu kabisa, akamshika mkono mama Mei, akamvutia kwake. Mama Mei akamwegemea mpaka kwenye mapaja. Kisha akaanza kumchojoa nguo mzee Hewa, moja baada ya nyingine huku akisema... “Lakini mzee hewa inatakiwa kuwa na siri sana kuhusu mapenzi yetu, akijua mtu mmoja, atajua na mwingine na mwingine na mwingine, mwishowe yatafika kwa mume wangu, itakuwa balaa mwenzio.” Mara mlango wa mama Mei uligongwa kwa upole sana. Ilionekana mgongaji hakutaka kusikika na mtu mwingine... “Ngo ngo ngo ngo...”



     Je, nini kilitokea hapo?

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog