Search This Blog

Monday, October 24, 2022

USIKU WA BALAA - 4

 





    Chombezo : Usiku Wa Balaa

    Sehemu Ya Nne (4)



    ILIPOISHIA



    “Ni kweli meselina. Siku hizi kuna joto sana aisseh!”. Nilimjibu huku nikiwa sijielewielewi kwani sasa midadi ilianza kunipanda.



    Ghafla Meselina alisimama na kuja kukaa pale ambapo nilikuwa nimekaa mimi. Miili yetu sasa ilikuwa imegusana na kusababisha shoti fulani mithili ya umeme katika mwili wangu. Hali yangu sasa ilianza kuwa mbaya taratibu.



    SASA ENDELEA

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Ima kwani wewe umeoa?”. Lilikuwa ni swali ambalo lilichomoka kutoka katika kinywa cha Meselina huku mkono wake wa kushoto ukiwa unakipapasa kifua change taratibu.



    “Aaaaaah! Aaaaaaa! Hapana Meselina”. Nilimjibu Meselina huku nikiwa nimeshikwa na kigugumizi cha ghafla.



    “Sasa mimi ninapenda kuwa nawe Ima. Napenda niwe mpenzi wako!”. Meselina aliongea maneno ambayo kidogo yalinishtua kwani sikuyataraji hata kidogo.



    “Lakini Meselina wewe si umeolewa?”. Lilinifyatuka swali hilo huku macho nikiwa nimeyatoa pima kumtazama Meselina.



    “Kuolewa si tatizo. Waweza kuwa mpenzi wangu hata nikiwa nimeolewa kwani mimi nakupenda sana Ima”.



    “Lakini Mese wewe ni mke wa bosi wangu. Huoni kwamba akija jua itakuwa ni hatari sana kwetu?”.



    “Kwani ni nani ambaye atakwenda kwa mume wangu na kumwambia kwamba mimi nina mahusiano ya kimapenzi na wewe? Au wewe ndiye utakwenda mwambia?”. Meselina alihoji.



    “Hapana nilikuwa natoa tahadhari tu. Halafu jingine mimi namuheshimu sana bosi wangu hivyo siwezi kumsaliti”.



    “Halafu Ima mimi nilikuwa najua kuwa wewe ni mtoto mjanja wa town kumbe ni fala kabisa. Hebu fikiri mimi nina uzuri kiasi gani na ninatamaniwa na wanaume wangapi hapa mjini? Je, huoni kwamba wewe ni mwenye bahati kwa kupendwa nami? Kwa sababu kwa hali halisi huna hadhi ya kuwa na mimi?. Meselina aliongea huku sasa sura yake ikionekana kukasirika kidogo.



    Maneno ya Meselina yaliniingia vilivyo kwani alikuwa ameongea pointi kabisa. Ni kweli mimi sikuwa na hadhi ya kuwa na Meselina kwani alikuwa ni msichana mzuri na mrembo pia alikuwa ni msichana tajiri sana wakati mimi nikiwa kapuku kabisa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kitendo cha kuniona mimi bwege kiliniuma sana. Nikaamua sasa nimuoneshe kwamba mimi ni mtoto wa mjini.



    “Sawa Meselina nimekubali lakini naomba iwe siri”. Nilimwambia Meselina.



    “Hayo ndiyo maneno bwana!”. Meselina aliongea huku akinizawadia busu moja matata kabisa ambalo liliihamisha kabisa akili yangu na kunifanya nijihisi niko kwatika dunia nyingine kabisa.



    Meselina sasa alikuwa amenikalia katika mapaja yangu huku akivifungua vifungo vya shati langu. Wakati huo wote mikono yangu ilikuwa inakipapasa kiuno chake chembamba kama dondora na mahipsi yake manene balaa.



    Mikono yangu ilibadili location na kuhamia katika kifua chake ambapo ilikutana na chuchu zilizokuwa zimesimama tisti kama chuchu za binti kigori kabisa. Nikaanza kuzipapasa na kumfanya Meselina abadili mapigo yake ya moyo na kuzifanya pumzi zake kuanza kwenda kasi.



    “Ima twende chumbani”. Meselina aliongea mara baada ya kuona akizidiwa kutokana na utundu wangu katika kupapasa.



    Sikutaka kujivunga hata kidogo. Hapa nilitaka nimwonyeshe huyu mama kwamba mimi nilikuwa ni kiboko ya warembo. Nilitaka nimnyooshe leo na anyoosheke haswa. Hawezi kunidharau mimi na kuniona zoba wa kijijini huko Matiganjora Njombe.



    Nilimwinua yule mama na kumkokota mpaka chumba kimoja ambacho alikuwa amenielekeza kwamba ni chumba cha kulala. Nilimkokota kwa sababu alikuwa ni mzito kumbeba.



    Tulipofika kule chumbani nilimbwaga kwenye kitanda cha sita kwa sita. Chumba kilikuwa ni nadhifu sana kilichokuwa kimeshehenezwa samani za gharama kubwa sana. Nikajua haya yatakuwa machinjio mazuri sana.

    ***************

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nikamvamia pale kitandani na kuanza kuutembeza ulimi wangu katika mwili wa yule mama kwani kwa kipindi kile khanga ilikuwa imekwishamchomoka na kumwacha mtupu kama alivyozaliwa.



    Ulimi wangu ulifanya ziara ya mafunzo kuanzia katika paji lake la uso na kulekea kinywani mwake. Baada ya kuweka kambi ya muda hapo hatimaye uliendelea na safari yake kuelekea katika kifua chake ambako ulipata burudani ya kunyonyonya chuchu zake ambazo zilikuwa zimesimama tisti.



    Kwa muda wote huu Meselina alikuwa akitoa miguno mingi ya hisi ya utamu wenye kukonga nyoyo. Alikuwa akinipapasa kifua change huku akijinyonganyonga mithili ya buu.



    Nikaendelea na utalii wangu mpaka nilipofika katika boma ambako nilimwonesha ufundi wangu wote wa kucheza na boma.



    “Ima nimechokaaaa!”. Ni sauti ambayo Meselina alifanikiwa kuitoa na mimi nilimwelewa vema kwamba kwa wakati huo alikuwa akitaka nini.

    *****************

    “Ahsante sana Ima. Ama kweli nimeamini ya kwamba wewe ni mwanamume wa shoka!”. Meselina aliongea akinishukuru mara baada ya shughuli nzito sana ya masaa mawili ya miili yetu kupeana haki zake.



    “Usijali Meselina. Nami nashukuru sana kwa kunipa penzi motomoto ambalo sijawahi lipata mahali popote pale”. Nilimwambia Meselina.



    “Naahidi kukuenzi na kukufanya mwenye furaha daima Ima. Utapata vingi sana kwangu Ima na maisha utayafurahia”.



    “Ahsante Meselina”.Niliongea na kuiangalia saa yangu.



    “Meselina nimechelewa sana kazini. Bosi wangu atakuwa na wasiwasi sana nami. Naomba nikuache”.



    “Ahaaaaa! Ima tuendelee kidogo kwani mimi bado nina hamu nawe!”. Meselina aliongea.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Usijali Meselina. Kwa leo naomba uniruhusu niondoke ila nakuahidi nitatafuta muda wa kutosha ili nije nikupe vitu vitamu Meselina wangu”. Maneno haya yalimfurahisha sana Meselina.



    “Eti eeeh! Basi ngoja nikupe zawadi ndogo Ima”. Meselina aliongea na kwenda katika droo ambako alichukua bunda la noti na kunikabidhi.



    “Hizi zitakusaidia kwa matumizi madogomadogo ya siku mbili tatu”. Meselina aliongea.



    Sikutaka kuamini macho yangu kwani pesa ile ilikuwa nyingi sana. Ilikuwa takribani shilingi laki tatu taslimu.



    “Mbona umenipa pesa nyingi sana Meselina”. Nilimuhoji Meselina huku macho yangu nikiwa nimeyatoa kwa butwaa.



    “Usijali Ima. Hivyo ni vitu vidogo sana. Amini utapata raha sana ukiwa nami. Utayafurahia maisha”. Meselina aliongea.



    Mimi sikuwa na mengi ya kuongea kwani Meselina angeniona bwege mtozeni. Nilichofanya ni kumuaga kwa mabusu tele na kumwacha akiwa na furaha tele sana.



    Nililiendea gari langu na kuliwasha kisha nikaliondoa kwa kasi sana kuelekea kazini. Niliamini leo hii moto utawaka sana kwani ni muda mrefu sana nimechukua toka nitoke ofisini na katika simu yangu kulikuwa na missed calls zaidi ya saba toka kwa bosi.

    *************

    “Unaweza kunipa sababu murua zilizokufanya ukachelewa kurudi toka nilikokutuma?”. Lilikuwa ni swali toka kwa bosi wangu ambalo nilitupiwa pindi nilipoing’aza sura yangu katika ofisi yake.



    “Naomba radhi mkuu wangu kwani barabarani kulikuwa na msongamano mkubwa sana wa magari. Hii ndiyo sababu haswa iliyonifanya nichelewe kurejea ofisini”. Nilimjibu bosi wangu katika hali ya utulivu kabisa kwa lengo la kumshawishi ahadaike na uongo wangu.



    “Na je, kwa nini ulikuwa hupokei simu yangU?’. Aliuliza tena.

    Nisamehe bosi wangu. Simu yangu ilikuwa katika silence hivyo sikuweza kuisikia mwito pindi ilipokuwa ikiita”. Niliendelea kumpanga bosi ambaye tayari alikuwa kashapangika.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Kuwa makini na kazi yako Ima. Safari ijayo sitakuwa na huruma kutokana na uzembe”. Bosi alinisisitiza.



    “Usijali bosi wangu. Nimekusikia na kukuelewa”.



    “Haya chukua bahasha hii kisha ipeleke DOLLY MARKETING LTD. Kazini utarejea kesho asubuhi”. Bosi aliniagiza.



    “Nashukuru sana bosi wangu”. Nilimshukuru bosi na kuondoka mle ofisini kwake na kuondoka kwenda kutekeleza majukumu niliyopewa.



    Moyoni nilikuwa nikijisemea ya kwamba laity bosi angetambua ya kwamba mimi ndiye ninayemtafunia mali yake hakika angenitoa roho mchana kweupeeeee!.

    *******************

    Ilikuwa ni wikiendi nzuri na tamu kabisa. Mtaa niliokuwa nikiishi ulikuwa umechangamka sana. Watu walikuwa wametingwa na pilikapilika zao za mwishoni mwa juma nami nikiwa miongoni mwao.



    “Eeeeeeh! Afadhali nimekuona Ima. Leo hebu niweke wazi sababu hasa ya kunitia mimba na kisha kunikimbia ni nini?”. Ilikuwa ni sauti ya kike ambayo ilikuwa ikitokea nyuma yangu.



    Niligeuka kwa kasi ili nimjue yule ambaye alikuwa akiniambia maneno hayo ambayo hayakuwa mazuri kwa hakika. Jambo jingine lililonishangaza katika sauti hii ni kwamba haikuwa sauti ngeni katika masikio yangu.



    Nilipogeuka nilitamani kuzimia kwa kila macho yangu yalichokishuhudia. Mwili wangu ulikuwa umeshikwa ganzi na kuufanya ushindwe kujongea zaidi.



    Mbele yangu alikuwa amesimama Rose yule binti mrembo wa kazi nyumbani kwa mzee Mwaitambo kule ambako lilinikuta balaa la kufumaniwa na mrembo Nancy na kunisababisha niuhame mtaa kwa aibu. Mgongoni alikuwa amembeba mtoto mdogo kabisa ambaye alinipa maswali kidogo kichwani.



    “Rose!”. Niliongea kwa staajabu iliyochanganyika na aibu.



    “Ndiyo mimi Ima. Unachokishangaa kwangu ni nini hasa?’. Nilipigwa swali.



    “Huyo mtoto ni nani?”. Nilimbandika swali hilo Rose.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Huyu ni matokeo ya mahusiano yetu ya kimapaenzi”. Rose alinijibu kwa mkato huku akiwa amejawa na hasira kali sana.



    “Ina maana huyu ni mwanangu?”. Nilimwuliza tena Rose.



    “Ina maana majibu yangu huyaelewi Ima? Ulinitia mimba na kuniacha katika mazingira magumu sana”.



    “Nisamehe sana Rose. Haikuwa kusudi langu kukukimbia”. Nilijaribu kumpooza Rose.



    “Haikuwa kusudi lako? Tena Ima ulinidanganya kwamba wanipenda. Baadaye unakuja fumaniwa na Nancy. Hivi ukoje wewe mwanaume?”. Rose aliongea kwa uchungu huku machozi yakimtiririka.

    ***************



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog