Search This Blog

Monday, October 24, 2022

USIKU WA BALAA - 1

 





    IMEANDIKWA NA : KALMAS KONZO



    *********************************************************************************



    Chombezo : Usiku Wa Balaa

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    Ni wiki kama ya pili sasa toka katika nyumba ya jirani yangu mzee Mwaitambo kufikwe na ugeni mahiri kabisa. Ugeni huu ulikuwa ni kama sapraizi kwangu kutokana na mandhari yake. Ulikuwa ni ugeni ambao uliukonga moyo wangu na kuuacha ukidundadunda.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Alikuwa ni binti wa kazi wa mzee Mwaitambo ambaye alikuwa ametoka kijijini huko katika mkoa wa Chaka nchini Bantu.



    Binti huyu alikuwa ni mrembo sana. Alikuwa amejaliwa umbile lenye mvuto na sura nzuri ya kirembo. Makalio yake makubwa kiasi ambayo yalivibrate kila alipokuwa akitembea yalitaka kunitoa roho mimi. Vijichuchu vyake vichanga ndo ilikuwa shida.



    Binti huyu alikuwa ni mrembo na alitupagawisha karibu wanaume wote wapenda ngono na mabinti wa eneo lile la Mavado jijini Kano.



    Ikanibidi nianze kutengeneza mikakati kabambe na ya kijasusi ya kuweza kumnasa mrembo huyu. Sikuwa na shaka na mikakati yangu kwani uzinzi ilikuwa ni taaluma yangu ambayo nilikuwa na shahada yake.



    Kila siku nikiwa narudi kutoka kazini, nilikuwa namwona huyu binti nje ya nyumba yao akipiga soga na wenzie. Nilipokuwa nikimwona basi hali yangu ya mwili ilibadilika na kunisisimka. Mapigo yangu ya moyo yalianza kwenda kasi na kunipotezea ujasiri.



    Ninapoingia ndani huwa ninajifungia na kuendelea kufikiria mikakati ya kuweza kumnasa ndege huyu ambaye sasa alikuwa akinichanganya akili yangu.



    Nakumbuka katika muda wote wa maisha yangu ya uzinzi, sijawahi kuzama katika dimbwi la mahaba kama ilivyotokea kwa msichana huyu wa kazi.



    Mara nyingi nilikuwa naamini katika mapenzi hakuna kupenda bali huwa kuna kutamani. Na hii ndiyo sababu hasa iliyonifanya niwe nawatumia tu mabinti. Na kwa hili nilifanikiwa hakika kwani niliwapanga hasa mabinti na kuwatumia kama nilivyopenda.



    Sasa hivi ndio niliamini ya kwamba kuna kupenda. Na penzi huwa halichagui yaani popote huchomoza. Ona mimi leo hii nimeangukia katika penzi la mtumishi wa ndani.



    Moyo na nafsi yangu kwa pamoja vilidhamiria kumpata mwanamke huyu ambaye sasa nilimfahamu kuwa alikuwa akiitwa Rose.

    ********************

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Leo ilikuwa ni siku ya mwishoni mwa Juma. Ilikuwa ni siku ya mapumziko kwani siku ya leo sikwenda kazini kabisa.



    Nilikuwa nimepumzika ndani ya ua wa ile nyumba niliyopanga huku mikononi mwangu nikiwa na kitabu murua cha riwaya kiitwacho HUBA ambacho kimeandikwa na mwandishi mashuhuri wa riwaya nchini Tanzania aitwaye FADHY MTANGA.



    Hapa mtaani kwetu kulikuwa na shida kubwa sana ya maji. Akina mama wengi walikuwa wakihaha sana katika kuyasaka maji kwa ajili ya matumizi yao mbalimbali.



    Ni nyumba chache sana pale mtaani kwetu ndio zilikuwa na huduma ya maji ya uhakika. Miongoni mwa nyumba hizo basi ilikuwapo na hii nyumba ambayo ninaishi. Hapa tatizo la maji lilikuwa ni nadra sana kulisikia.

    Niliendelea kupata burudani ya riwaya ile ambayo ilikuwa imeandikwa kwa umahiri mkubwa sana na mtunzi wake.



    "Hodiiiii!". Ni sauti ambayo ilinigutua na kunitoa kabisa kutoka katika ulimwengu wa balaa ambamo nilikuwa nimetopea.



    Ilikuwa ni sauti tamu ya kike yenye mirindimo na mitetemo ya kuburudisha moyo na kusuuza nafsi. Ilikuwa ni sauti ambao katu usingependa ikome kuongea masikioni mwako.



    "Karibu! pita ndani mlango u wazi". Nilijitutumua na kuongea mara baada ya kulirekebisha koo langu kwa kukohoa.



    Mlango ulisukumwa taratibu na ghafla ikaonekana ndoo ikifuatiwa na binti mrembo na mzuri wa shani. Alikuwa ni Rose kijakazi wa mzee Mwaitambo

    .

    "Shikamoo kaka Ima!". Rose alinipa salamu ambayo sikupendezwa nayo. Kwa salamu ya aina ile niliona kama nawekewa vikwazo na vizingiti vya kuiteremsha mistari yangu kwa mtoto huyu mzuri na mrembo.



    Ukiachilia mbali hiyo salamu, kuna jambo moja lilinishtua juu ya mtoto huyu. Alilijuaje jina langu? Hilo ndilo lilikuwa swali nililojiuliza kwa wakati ule na lilikosa majibu kabisa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Marhaba binti mzuri, mambo vipi?". Niliamua kupunguza makali ya salamu ile ili niweze kujifungulia mipaka.



    "Poa kabisa kaka yangu. Shida yangu mimi ni maji". Aliongea binti yule kwa sauti yenye bashasha.



    "Maji yamejaa tele kabisa. Chota tu kwa uwezo wako". Nilimjibu yule binti kwa sauti ya madaha kidogo.



    Kuna jambo nililigundua kwa binti huyu na lilinifurahisha si haba. Binti huyu alikuwa ni mchangamfu na mwenye maneno mengi.



    "Naweza kukuuliza swali mrembo". Nilimwambia binti yule pindi alipokuwa akiiweka vizuti ndoo yake bombani ili kuruhusu maji kuingia kwa ufasaha.Kisha akalifungua bomba na kulifanya lilianze kutiririsha maji.



    "Niulize tu kaka Ima". Alijibu mrembo yule kwa sauti iliyokuwa kama na mafua makali ya miaka zaidi ya kumi. Sauti hii ilikuwa ni swadakta kabisa kuisikiliza.

    *************************



    Nilijaribu kuyakwepesha macho yangu kwa aibu kwani wakati Rose ananiruhusu nimwulize swali, alikuwa amekwishanigeukia na kunitazama machoni.



    Macho yake yalikuwa makubwa, meupe na ya mviringo na kila aliponitazama yalionesha kama alikuwa anasinzia hivi. Kweli nilishindwa kuhimili kutazamana naye ana kwa ana kwani nilijisikia soni kubwa.



    "Hivi jina langu umelijuaje?". Nilijaribu kumwuliza Rose.



    "Kaka Ima, swali gani hilo? Kwani kuna mtu asiyekufahamu hapa mtaani. Mtaa mzima unakuzungumzia wewe". Rose aliongea maneno ambayo yalinishtua na kuninyima amani kabisa.



    Kabla hajaendelea na mazungumzo, Rose alienda bombani na kulifunga kwani ndoo ilikuwa imekwishajaa maji tayari. Baada ya kulifunga bomba lile, Rose alirejea mpaka mahali alipokuwa amesimama mwanzo na kuendelea na mazungumzo nami.



    "Wanakuongelea kwa mengi kaka Ima. Yaani jina lako sasa limekuwa midomoni mwa kila mtu, hivyo hata mimi haikuniwia vigumu kukufahamu". Rose aliendelea kuongea kwa sauti yake ileile yenye mvuto na mnato mithili ya ulimbo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Sasa nieleze Rose, ni habari gani ambazo umezisikia kunihusu mimi?". Nilimwuliza Rose.



    "Ni habari nyingi sana ambazo siwezi kukuambia leo. Siku nikipata muda nitakueleza kila kitu". Rose aliongea.



    "Jamani Rose binti mrembo, vibaya hovyo!". Nami niliamua kuibandua sauti yangu ile ambayo huwa naitumia kuwanasa warembo watata sampuli za Rose na kumbandika nayo.



    Nikamwona kabisa binti kachomwa na sauti yangu ya kimahaba na akaanza kulainika mithili ya mlenda pori.



    "Si hivyo kaka Ima, kwa leo sina muda kwani nina kazi nyingi sana nyumbani na baba bado hajaondoka. Nitatafuta muda na nitakuja kukuambia kila kitu". Rose alipngea kwa sauti yake tamu yenye mashiko.

    Kuna kitu ambacho nilikigundua kwa Rose katika muda huu mfupi wa mazungumzo yetu. Licha ya urembo dhalili aliokuwa nao, Rose pia alikuwa ni msichana mcheshi na mwenye maneno mengi mithili ya chiriku.



    "Usijali Rose nimekuelewa sana. Tutapanga siku nyingine". Nilimwambia Rose ambaye aliniitikia kwa kichwa huku akijiandaa kuibeba ndoo yake.



    "Rose……………….. !". Nilimwita Rose huku sasa nikiwa nimemkaribia na kumtazama machoni.



    "U msichana mzuri wa sura na umbile na pia u mrembo saba". Niliamua kuanza kuyaandaa mazingira ya vita ili hata nitakapoanza mapambamo, vita isiwe ngumu.



    Maneno yangu yalikuwa sumu kwani Rose aliinama chini kwa aibu na kuanza kusuguasugua ardhi kwa ncha ya vidole vya miguu yake huku vile vidole vya mikono akivivunjavunja.



    "Jamani kaka Ima!". Hayo ndiyo maneno aliyomudu kuyatamka.

    ********************



    "Ni ukweli Rose, kwani hakuna ambaye amewahi kukuambia sifa hizi za uzuri na urembo wako?". Nilimwuliza swali la mtego Rose.



    "Jamani mbona hakuna hata mmoja. Wewe tu ndo unaniongopea". Rose alijibu huku akiendelea kuvisugua vidole vyake vya miguu chini sakafuni.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Yaani ina maana hujawahi kujitazama hata kwenye kioo na kulitambua hili!". Nilimwambia tena Rose.



    "Hapana kaka Ima, mbona mimi wa kawaida kabisa". Rose aliniambia.



    "Basi sasa ndio utambue hilo kwamba u mlimbwende na umebarikiwa urembo wa hali ya juu". Niliendelea kumpamba Rose sifa ambazo niliziona dhahiri akizifurahia sana.



    "Mh! jamani kaka Ima una maneno wewe! Naomba nisaidie basi kunieleka kichwani hii ndoo ili mimi niende, maana naona haya mazungumzo yetu hayataisha leo". Rose aliongea akiomba msaada.



    "Usijali mrembo. Msaada umepata bila hata ya kinyongo". Nilimwambia Rose huku nikiinama chini kuichukua ile ndoo tayari kwa kumtwika ile ndoo.



    Ghafla nilifanya ujanja fulani pindi nilipokuwa nikimtwika ile ndoo. Niliinyanyua ile ndoo na kuiweka kichwani pake huku kifua changu kikigusana na chake na kusababisha chuchu za maziwa yake kujisugua kifuani pangu.



    Mwili wangu ulisisimka na kujiona kama napoteza fahamu vile. Mwili wangu ulikuws kama umepigwa shoti ya umeme vile.



    Bila kuupoteza muda, nikaupitisha mkono wangu wa kushoto katika kiuno chake na kumvuta Rose sawia juu ya kifua changu.



    Rose alipoteza mwelekeo na ndoo ya maji ikadondoka chini na maji yote yakamwagika.



    "Kaka Ima si vizuri hivyo. Jamani acha, mimi sijazo……......". Rose hakuweza kumalizia sentensi yake kwani tayari nikawa nimemdhibiti kwa kuuingiza ulimi wangu ndani ya kinywa chake.



    Niliendelea kuutembeza ulimi wangu kinywani mwake huku nikihisi pumzi za Rose zikianza kwenda kasi huku joto la mwili wake likiongezeka. Macho yake sasa niliyaona yakirembuarembua mithili ya mtu aliyekuwa akipoteza.



    "Mh! mh! anhaa!". Hizo ndizo sauti za miguno ambayo ilikuwa imetawala maeneo yale kwa wakati ule.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mkono wangu wa kulia ulikuwa umetingwa ukifanya jitihada zote za kuzichezea chuchu za Rose na kumfanya azidi kutoa miguno.



    Ghafla Rose akafanya jambo ambalo sikulitaraji. Aliuingiza mkono wake wa kulia ndani ya suruali yangu na kuanza kumchezea mjomba

    Nilijisikia mwili wangu ukisisimka kwa raha murua niliyoipata kwa wakati ule. Nilihisi kama pumzi zikiniishia.



    "Kaka Ima acha mimi niende". Rose aliongea ghafla mara baada ya kujitoa kutoka katika mikono yangu.



    Rose aliifuata ndoo iliyokuwa imedondoka na kuyamwaga maji. Nilimwona Rose ameduwaa ghafla huku akizivuta pumzi ndefu na kuzishusha.



    "Sasa nitajibu nini nyumbani. Unaona kaka Ima umeniponza". Rose aliongea huku akionesha wazi ya kwamba alikuwa na hofu.



    "Kimejiri nini kwani Rose?". Ilinibidi minwulize Rose baada ya kuyasikia maneno yake.



    "Ndoo imepasuka". Rose aliongea huku akionesha dhahiri alikosa raha.

    Ma



    Habari ile hata mimi ilinitisha kidogo. Nilijua swala lile litaleta matatizo makubwa sana nyumbani kwa akina Rose.



    Sasa nitafamyaje? Ni swali ambalo nilijiuliza na lilikosa majibu ya papo kwa papo.



    Ghafla nikapata wazo ambalo nililiona ni jema sana. Nikaona hapo sasa nimekwishalitatua lile tatizo.



    Nilienda ndani mwangu na kurudi na ndoo ambayo ilikuwa ni ya aina na rangi za ile iliyovunjika. Nikaenda bombani na kuiikinga maji.



    "Haya njoo nikutwike mama". Nilimwambia Rose huku nikitabasamu.



    "Mwone kwanza, sasa hivi siuhitaji msaada wako. Najitwika mimi mwenyewe". Rose aliongea huku akijitwika ile ndoo na kuanza kuondoka.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Poa mrembo basi tutaonana". Nilimwambia Rose.



    "Kwenda zako, uonane na nani!". Rose aliongea huku akiufungua mlango wa nje na kutokomea.

    *******************



    Niliingia ndani kwangu na kujitupa juu ya sofa. Nilizivuta pumzi zangu na kuzishusha kwa nguvu huku mawazo yangu yakiwa hayapo kabisa pale.

    Niliwaza jinsi nilivyopata raha ya mahaba ndani ya muda ule mfupi niliokaa na Rose.



    "Huyu mtoto ni mtamu kwa kweli. Siku nikimwingiza humu ndani, lazima atakoma na mimi kwa dozi ambayo nitampatia". Niliwaza sana juu ya Rose.



    "Hakika siku hiyo nitamtafuna kabisa. Huyu mtoto ananichanganya sana kichwa. Lazima nimnase kwa njia yoyote ile". Nikaendelea kuwaza na kuwazua.



    Hali yangu ilikuwa mbaya sana kwa siku ile. Mwili wangu ulikuwa ukinyevuanyevua kutokana na midadi ya kungonoka baada ya kupandishwa ashki na Rose.



    Nikapata wazo ambalo nilihisi kuwana laweza kuwa tiba mbadala ya hali yangu.



    Nikaenda katika mkoba wangu wa kuhifadhia CD na kisha nikaichagua CD moja ya ngono iliyokuwa ikiitwa CHARLES` BABY.



    Nikaiweka katika deki na kuanza kuushuhudia wendawazimu wa wazungu.

    Mambo yaliyokuwa katika filamu ile ya ngono yalinizidishia tu munkari badala ya kuwa tiba ya maradhi yangu.



    "Huu ni ujinga sasa. Ngoja nitoke niende nikafanye mambo ya maana". Nilijiongelesha peke yangu baada ya kuona hali yangu ikizidi kuwa mbaya.

    Nikaingia bafuni na kwenda kujimwagia maji ili kuuweka mwili wangu katika hali nzuri.



    Nikavalia mavazi yangu maridadi na kisha nikaufunga mlango wa chumba changu na kutoka nje.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nikiwa katika kupuyanga mtaa wa pili si mbali na mtaa ambao nilikuwa nikiishi, macho yangu yalipata bahati ya kumwona binti mmoja mrembo ambaye alikuwa na sifa na vigezo vyote vya kuitwa mlimbwende.



    "Habari yako dada yangu". Kinywa changu kilimmwagia salamu lukuki yule mlimbwende.



    "Safi tu kaka, hali yako je". Alinijibu yule dada kwa sauti tamu kama kinanda kilichopigwa na mpigaji mashuhuri.



    "Mi njema tu dada yangu. Vipi wasafiri nini?". Niliendelea kumtungua kwa maswali yule mrembo.



    "Hapana mimi nimeshafika mwisho wa safari kwani naishi hapo mbele hatua ishirini tu kutoka hapa. Ninachokiwaza hapa ni namna ya kuubeba huu mzigo mpaka nyumbani". Yule dada aliongea kwa sauti ya kuomba msaada.



    "Kama hautajali, naweza kukusaidia?". Niliamua kumsaidia yule dada kwani pia nilijisikia fahari sana kumsaidia yule dada.



    Sisi wanaume bwana tuna mambo ya ajabu sana mbele ya hawa warembo. Hivi angelikuwa mwanaume mwenzangu hata salamu asingeipata achilia mbali kumbebea mzigo.



    Kidume nikajikunja na kuonesha ushababi. Nikajitwika ule mzigo na kuanza kumfuata yule mrembo.



    "Tayari tushafika kaka yangu. Nashukuru sana". Aliongea yule mrembo huku akiufungua mlango wa nyumba.



    "Haya dada yangu, ngoja mimi nikuache". Nilimwambia yule dada mara baada ya kumsaidia kuuingiza ule mzigo ndani.



    "Subiri kaka yangu upate japo chai". Aliniambia mlimbwende yule huku akinishika mkono na kuyarembua macho yake utadhani ana usingizi wa kutokulala kwa zaidi ya miaka hamsini.

    ************************

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog