Search This Blog

Monday, October 24, 2022

USIKU WA BALAA - 2

 





    Chombezo : Usiku Wa Balaa

    Sehemu Ya Pili (2)



    ILIPOISHIA



    "Haya dada yangu, ngoja mimi nikuache". Nilimwambia yule dada mara baada ya kumsaidia kuuingiza ule mzigo ndani.



    "Subiri kaka yangu upate japo chai". Aliniambia mlimbwende yule huku akinishika mkono na kuyarembua macho yake utadhani ana usingizi wa kutokulala kwa zaidi ya miaka hamsini.



    SASA ENDELEA



    Umbile lake lilikuwa limejichora live bila chenga kwangu ile khanga ilikuwa imeloa majimaji na kuifanya inate mwilini.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Lahaulah!" Nilijikuta nimepiga makelele bila hata ya kujielewa.



    "Nini tena Ima?". Yule mrembo aliniuliza huku akicheka.



    "Mh!". Nilishindwa kujibu na kubaki nikigumiagumia mithili ya mbwa aliyekabwa na mfupa.



    "Nini jamani mbona huongei?". Yule mlimbwende aliniuliza tena huku akinitazama kwa macho yake ya kilevi.



    "We mtoto utaniua jamani. Hivi ulizaliwa kweli au uliteremshwa tu toka mbinguni?". Niliamua kumuhoji yule mlimbwende huku nikijilamba midomo kwa tamaa.



    "Ha ha ha ha haaaaaa! usinivunje mbavu Ima". Aliongea mrembo yule huku akija kukaa mkabala nami.



    Mkao wake ndio ambao sasa ulianza kunipa shida. Alipokuwa amekaa, ile khanga yake ilijiachia na kuyafanya mapaja yake meupe yaonekane.

    Macho yangu hayakubanduka huko kwenye mapaja yale na midomo ikiendelea kujilambalamba mpaka pale niliposhituliwa na yule mrembo.



    "Niambie, chai yangu umeionaje?". Yule mrembo alinipiga swali ambalo nilikuwa jama sijalisikia vizuri.



    Mjomba sasa alianza vurugu zake na kuifanya suruali yangu kuvimba na kufanya kama kajimlima kadogo.



    Yule mrembo aliuona ule mlima na akatabasamu huku macho yake kayaelekeza huko.



    "Ima nimekuuliza swali lakini hujanijibu". Mlimbwende yule akaniuliza tena kwa mara ya pili.



    "Eheee! hivi umeniuliza nini vile?". Nilimwuliza yule mrembo kwani ni dhahiri nilikuwa nimelisahau swali ambalo mlimbwende yule aliniuliza.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Mh! haya bwana. Nimekuuliza chai yangu umeionaje?". Mrembo yule aliniuliza.



    "Anhaaaa! Chai ni nzuri sana. Nimekunywa na nimeshiba sana. Ahsante sana na hakika wewe u mpishi mzuri sana". Nilimjibu yule mrembo huku majibu yangu yakionekana kumfurahisha sana yule mrembo.



    "Mh! Ima wewe, una maneno". Aliongea yule mrembo huku akitabasamu.

    Mrembo yule sasa aliungana nami katika kutazama runinga ile. Sehemu amvayo ilikuwa ikioneshwa sasa ilikuwa ni ile sehemu ambayo watu walikuwa wakipeana mambo yao.



    Ghafla yule mrembo alisimama alipokuwa amekaa awali na kuja kukaa pembeni yangu. Mkono wake wa kushoto ulipita juu ya mabega yangu na mkono wake wa kushoto ukawa juu ya paja langu la mguu wa kulia.

    Alianza kuusugua ule mkono taratibu juu ya mguu wangu huku akinitazama kwa macho yake malegevu mithili ya mlevi.

    *************************

    Mimi nikajikausha utafikiri nilikuwa sifahamu kilichokuwa kikiendelea. Mwili wangu ulizidi kusisimka na kuhisi kama wadudu wadogowadogo walikuwa wakinyevuanyevua.



    "Ima eti ni kweli wanayoyasema?". Yule mrembo alinitwanga swali.

    "Yapi hayo mrembo?". Niliuliza kama nilikuwa sijalisikia swali ambalo liliulizwa.



    "Eti watu wanasema katika mambo ya malovee wewe ni balaa". Mrembo yule alikandamiza maelezo yake.



    "Mh! hapana. Mbona mimi mambo hayo hata siyajui. Yaani sijawahi fanya kabisa. Wananionea tu". Nilimwambia yule mrembo nikijitetea kwa utetezi ambao ulimchekesha sana.



    "Ha ha ha haaaa! usinivunje mbavu zangu jamani Ima. Wewe huyo ndiye uwe huyajui haya mambo". Yule mrembo aliongea huku mkono wake sasa ukiwa umekwishafika kwa mjomba na ulikuwa ukitakiana hali naye.



    "Mh! aaaanh! ndiyoooo! eeenh! oooosh!". Nilibabaika kumjibu na kubaki nikigumiagumia mithili ya fisi aliyepokwa mnofu na simba.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mjomba alichachamaa huku yule mrembo akiendelea kumchezea vilivyo. Nilijisikia raha na burudani kupita kiasi. Nilibaki tu nikigunaguna kwa raha.



    Yule mrembo ghafla aliutoa mkono wake kule mahali na kunitazama kwa tuo kisha akauingiza moja kwa moja katika kifua changu na kuanza kunipapasa.



    Mi nikaona sasa isiwe shida. Nikajigeuza na kuupeleka mkono wangu wa kulia katika maziwa yake yaliyosimama vilivyo na kuanza kuyatomasatomasa.



    Yalikuwa ni maziwa laini yenye joto na chuchu zilizosimama mithili ya embe sindano.



    Yule mlimbwende alianza sasa kugumiagumia huku akiwa amenikumbatia na kunibana vilivyo.



    Nikaendelea kuonesha ufundi wangu wa kupapasa kuitembeza mikono yangu kiufundi katika uti wa mgongo wake nikianzia shingoni na kushuka taratibu mpaka jirani na milima yake miwili.



    "Oooiiish! Jamani Ima, you are so sweet!". Ndiyo maneno niliyoyasikia kutoka katika kinywa cha yule mlimbwende.



    "Huyu leo lazima anifahamu mimi ni nani. Nitamkamua vilivyo hata asinisahau katika maisha yake". Niliendelea kuwaza huku mikono yangu ikiendelea kufanya utalii juu ya mwili wake.

    ********** **************



    Niliendelea kuitembeza mikono yangu juu ya mwili wake laini kwa ufundi wa hali ya juu. Mikono yangu sasa ilifika katika kiuno chake na kukumbana na fungu kubwa la shanga.



    Niliendelea kuzichezea shanga hizi huku nikizisuguasugua juu ya kiuno chake chembamba mithili ya dondola.



    Huyu mrembo sasa alianza kutoa mguno war aha huku akijinyonganyonga kama mnyoo wa udongoni. Hali yake ilionekana sasa inazidi kuwa mbaya. Mimi nikazidi tu kuonesha ufundi wangu wa kupapasa kitaalamu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Niliuchukua ulimi wangu na kisha nikaupachika katika masikio yake. Nikauachia ufanye ziara ya ukaguzi taratibu na kwa umakini. Mrembo Yule sasa alishindwa kuvumilia. Alitoa ukulele wa nguvu lakini kwa sauti ambayo hata haikuweza kufika katika mlango.



    Kwa sauti ile nikajua hapo ndipo mahali ambapo nimemkuna mrembo yule.



    Kwa muda wote huo nilikuwa nikiitafuta weak point yake na sasa nilikuwa nimekwishaifahamu. Nikazidisha kufanya utalii ndani na masikio yake na sasa mrembo huyu nilimwona akipiga kelele huku macho yake akiwa ameyafunga kwa raha mustarehe aliyokuwa akijisikia.



    “Ooooooh! Aaaaaah! Ima! You are killing me. Please give me that good”. Mlimbwende Yule alilalamika kwa sauti tamu ya mahaba iliyonikuna mpaka rohoni.



    Mimi sikumjibu chochote bali niliendelea kufanya makamuzi ya utalii. Mkono wangu wa kulia sasa ukawa umepenya mpaka katika hips zake ukiwa katika safari ya kuelekea ufukweni kubarizi. Mrembo Yule aliitanua miguu yake na kuniachia nafasi ya kufanya yangu kule ufukweni.



    Nilikaa kwa muda kule ufukweni nikihakikisha nafanya ukaguzi wa kutosha. Kwa muda wote ule nilihisi kama yule mrembo atakufa kwa sauti aliyokuwa akiitoa. Alikuwa akijikunjakunja huku akinisihi niendelee kufanya utalii wangu.



    “Ima! Aaaaaaah! You are so sweet. Nakufa Ima! Najisikia rahaaaaa!

    Endelea mpenzi wangu! Aaaah!”. Mlimbwende aliendelea kupiga kelele huku akiongea maneno ambayo nilishindwa hata kuyaelewa. Mara alisema nimuue, mara anajisikia raha. Mh! Jamani haya mambo nyie acheni tu. Mtu waweza ongea vitu ambavyo havieleweki bila hata ya kujielewa.



    Sasa nikaona ligwaride ndo limepamba moto. Nikauchukua ulimi wangu na kuupeleka katika kinywa cha yule mlimbwende. Naye bila ya hiyana aliupokea na kuukaribisha ndani ya kinywa chake. Hapo sasa kazi ya kumung’unyana ikaanza.



    Kinywa chake kilikuwa na joto moja murua sana ambalo lilinisisimua mwili wangu na kunifanya nipagawe kwa mahaba. Nilihisi kama nakuwa mwendawazimu siku ile manake yule mrembo alikuwa anajua kumung’unya hasa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Wakati wote huo mkono wangu wa kulia haukuchoka kuendelea kufanya utalii katika ufukwe wa mrembo yule ambao ulikuwa na mchanga laini wenye kuvutia. Ama kweli nilipata faraja na raha ya kutosha ambayo nakiri sijawahi kuipata hapo awali.



    “Please Ima, am tired now. I need it. Please give it to me honey!”. Mlimbwende yule sasa aliendelea kuumwaga umombo huku akilalamika nimpe mahitaji yake ya mwilini.



    Sasa nikaona ni dhambi kubwa sana kumnyima mahitaji yake ya mwilini. Niliona ni uzalendo mkubwa sana kusaidiana pindi tunapohitajiana. Mwili wangu sasa ulikuwa uko tayari kuingia katika uwanja wa vita tayari kwa mashambulizi. Nilimtazama mjomba nikamwona sasa naye yuko tayari kwa vita.



    Nikainuka na kumnyanyua yule mrembo katika mikono yangu imara yangu na yenye nguvu. Nikaanza kupiga hatua kuelekea katika ule mlango ambao nilijua ndiyo chumba chake cha kulala. Mlimbwende naye alikuwa ametulia tuli juu ya mikono yangu akiwa anagumia na kuona nikimchelewesha kumpa dozi yake.



    Niliendelea kumwonesha ufundi wangu wa kumchezea mwanamke yule mrembo. Hali yake sasa niliiona kabisa ilikuwa mbaya na mrembo yule alikuwa akitaka haki yake.

    *******************



    "Hi..hi...hivi waitwa nani mrembo?". Nilimwuliza yule mrembo huku nikiwa naendelea na shughuli yangu.



    "Jamani, mi naitwa Nancy!". Aliongea yule mrembo.



    "Mh! Jina lako tamu kama ulivyo mtamu wewe!". Nilimwambia yule mrembo ambaye sasa alikuwa akinitazama kwa macho ya kuomboleza ili nimpe anachokihitaji.



    "Jamani Ima, mi nimechoka naomba!". Mrembo aliongea kwa sauti ya kimahaba ambayo ilinisisimua na kunifanya nianze kujiandaa kumpa dozi stahiki.



    Nikiwa katika maandalizi yale, ghafla nilisikia sauti ya kugongwa kwa mlango kitendo kilichotufanya tushtuke.



    "Nancy!". Ni sauti nzito ya kiume ndiyo iliyofuata mara baada ya kugongwa kwa mlango.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Uwiiiii! Ima tumekwisha!". Nancy aliongea na kunishtua.



    "Nini tena Nancy, mbona sikuelewi?". Nilimhoji Nancy huku sasa nikiwa nimechanganyikiwa kabisa.



    "Twende ukajifiche kwenye kabati la nguo". Nancy aliongea huku sasa akiwa amesimama na akinivuta mkono.



    "Sasa mbona hukuniambia kama unaishi na mume Nancy?". Nilimhoji Nancy huku nikiwa nimechanganyikiwa.



    "Alikuwa amesafiri na pia wewe hukuniuliza. Mume wangu ni katili sana, twende Ima hatuna muda wa kupoteza". Nancy alisisitiza.



    Nilisimama na kukimbia haraka kwenye kabati la nguo kisha nikaingia humo na akalifunga lile kabati kwa nje.



    Nikabaki natetemeka mle ndani kabati huku nikibembelezwa na giza totoro lililokuwemo mle ndani.



    Nancy alienda moja kwa moja mpaka kwenye mlango wa kile chumba na kuufungua.



    "Vipi mume wangu? Habari za safari? Mbona umerudi ghafla na bila hata kunitaarifu". Nancy alimlaki mume wake kwa maswali lukuki bila hata kumpa wasaa wa kupumzika.



    "Hivi Nancy mke wangu, mbona una maswali mengi kama polisi halafu unaonekana haujatulia hata kidogo". Mume wake Nancy huku akiingia ndani.



    Sasa niliweza kumshuhudia mwanaume huyu. Nilimshuhudia kupitia katika upenyo wa milango ya kabati lile. Alikuwa ni pandikizi la binadamu yaani jitu la miraba minne.



    Hofu kubwa sana na niliona kama mwisho wa maisha yangu ulikuwa umefika. Nilikuwa nina hakiya kuwaza hivyo kwani ningefanya nini na kamwili kangu haka mbele ya jibaba hili. Katu nisingeliweza kufua dafu hata kidogo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ghafla mkojo ulinichomoka na kuanza kuchuruzika kwenda nje ya kabati na kumwagika juu ya sakafu. Ulikuwa ni mkojo ulionitoka pasi kujielewa kutokana na hofu niliyokuwa nayo.



    "Hii ni nyumba yangu kwa nini wewe unipangie maamuzi?". Yule njemba alihoji.



    "Nilikuwa nauliza tu mume wangu, naomba nisamehe". Nancy aliongea na kuilegeza sauti baada ya kuona mume wake alikuwa amekasirika.



    "Haya naomba nieleze hivyo viatu vya kiume hapo nje mlangoni ni vya nani?". Mume wake Nancy aliuliza swali ambalo lilimshtua Nancy na kunifanya nami mle kabatini matumbo yaanze kuniunguruma.



    "Mh.....enheee.... Kuna jirani alikuja kuangalia TV naona ndiyo ameviacha". Nancy alifanikiwa kumjibu mumewe mara baada ta kujiumauma kulisaka jibu.



    "Hao majirami wameanza lini kuanza kuja kuangalia TV hapa nyumbani?". Yule bwana aliuliza baada ya kuona lile swali lake la awali amejibiwa kitoto sana.



    "Mh....aaaah....eeeeeh! You know... ! Nancy alikosa la kuongea.



    "Ok, achana na hilo. Mbona nakuona unatoka jasho sana na macho yako ni mekundu?". Jamaa akauliza.

    ******************



    "Nahisi nitakuwa na malaria manake kichwa chaniuma toka asubuhi". Nancy alijibu.



    "Umekwenda hospitali?". Yule bwana aliendelea kutiririsha maswali ambayo yalionekana kumshinda Nancy.



    "Ndo nilikuwa najiandaa kwenda". Nancy alijibu.



    "Haya tuachane na hayo mama. Hizi nguo za kiume humu chumbani ni za nani?". Hapo ndipo Nancy aliposhtuka baada ya kubaini ya alikuwa ameziacha nguo zangu zikiwa zimetapakaa juu ya zulia zuri la manyoya lililokuwa mle chumbani.



    Nancy alikosa jibu na kubaki akijiumauma midomo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Na hayo maji yanayochirizika toka kabatini kulikoni? Haya fungua kabati upesi!". Alifoka yule bwana na kumsogelea Nancy ambaye alifanya haraka kuja kulifungua lile kabati.



    Moyo wangu nilihisi unapasuka kwa kihoro. Sikujua hatima yangu itakuwaje leo mara baada ya Nancy kufungua mlango wa kabati.



    Kabati likafunguliwa. Mzee niaonekana nimejikunja mithili ya samaki aina ya kambale. Yaani leo hii nilikuwa nimeumbuka mchana kweupe.



    "Haya baba, toka mwenyewe na uje hapa haraka!". Yule bwana alifoka huku akionesha ishara ya kiganja cha mkono.



    Ilinibidi nichomoke taratibu kutoka ndani ya lile kabati nikiwa mtupu bila ya nguo na kumsogelea yule jibaba.



    Nilimpomfikia tu, nilipokelewa kwa ngumi moja nzito ambayo ilinifanya nikae chini bila ubishi. Ilikuwa ngumi nzito ambayo ilinifanya nione kama nyota nyota ingawa mle ndani mlikuwa mna mwanga wa taa ya umeme.



    "Haya baba, nakuona unajilia tu vitu vya watu tena bila ya wasiwasi". Yule bwana aliongea kwa sauti ya unafiki wakati sura yake ilionesha ya kwamba moyoni alikuwa akichemkwa na hasira kuu.



    Nilishikwa na kigugumizi cha ghafla na kushindwa kujibu lolote zaidi ya kujipapasa shavu langu kutokana na maumivu makali ya ile ngumi ambayo nilikuwa nimetundikwa.



    "Haya bwana, naomba unieleze kwa marefu na mapana tena taratibu na kwa tuo, ni kwa nini unapenda kutembea na wake za watu?". Yule bwana ambalo lilikuwa ni gumu sana kwangu kulijibu.



    "Ninarudia tena na ninahitaji majibu ya haraka sana kabla sijakurarua.Ni kwa nini watembea na mke wangu?". Yule bwana lake lakini sasa akiwa anafoka sana.



    Sasa baada ya kubabaika sana, hatimaye nikaupata ulimi wangu huku nikiwa natetemeka sana.



    "Nisamehe sana kaka yangu. Mimi nilikuwa sifahamu kwamba huyu ni mke wa mtu. Yeye mwenyewe hakuniambia kama ameolewa. Hakuniambia kabisa kama ana mume. Mi ningelijua hilo mbona hata nisingemsogelea". Nilijaribu kujitetea huku nikiwa sina uhakika kama lile jibaba litanielewa na kunisamehe.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Mke anauma sana kijana. Sasa leo itabidi nikupe somo la kukufanya uache kabisa kumendea wake za watu". Yule bwana aliongea kwa tuo huku mimi nikiwa namsikiliza kwa makini nikiwa sijui alitaka kunifanya nini.



    "Sasa leo itabidi nikugeuze uwe mke wangu kwa muda". Yule bwana aliongea kwa jazba.



    "Heeeeeeeeee!". Nilijikuta nikiongea kwa mshangao bila ya kujielewa kwani sikukiamini



    kile ambacho masikio yangu yalikuwa yamekisikia.

    Maneno yale toka katika kichwa cha yule bwana yaligonga vilivyo katika mboni za masikio yangu na kunizidishia hofu na wasiwasi ambao nilikuwa nao.



    Kile kitendo kitendo ambacho lile jibaba lingenitendea punde, nilitamani dunia ipasuke nami niingie humu na kisha inimeze.



    "Kaka samahani naomba unisamehe. Haikuwa nia na madhumuni yangu kuingia katika himaya yako, bali ni ukosefu wa uelewa tu kaka yangu". Nilijaribu kumwomba msamaha huku viganja vya mikono yangu nikiwa

    nimevifumbata kama ishara ya kuomba radhi.



    "Hivi wewe unaufahamu uchungu wa mke? Je, wafahamu nimemtoa wapi huyu mwanamke?". Lile jibaba liliongea kwa uchungu ambao ulienda sambamba na ngumi ambayo ilitua sawia katika shavu langu la upande wa kushoto.



    Nilijishika shavu lile huku nikilisugua ili kupunguza maumivu makali. Kwa mbali nilianza kuhisi kama damu zikinitoka katika kinywa changu.



    Nikiwa bado naendelea kushangaa, nilizinduliwa kwa kofi kali ambalo lilifuatiwa na teke kali ambalo lilinifanye nigalegale chini kwa maumivu makali sana.



    "Kaka naomba unisamehe. Usinitende haya kwani mimi ni mwanamume mwenzako!". Niliyaongea hayo yote huku sasa nikiwa nimepiga magoti nikiomboleza sana.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Wewe si unajifanya kidume! Sasa leo nitakushughulikia ipasavyo kwa kukupa dozi kamili ili ukome tabia yako ya uzinifu".Yule bwana aliongea huku sura yake ikionesha wazi alikuwa akimaanisha kufanya kile alichokikusudia.



    "Si jambo jema kaka, hata vitabu vya dini vinakataza kabisa kumtenda mwanamume mwenzako". Nilijaribu kutoa mahubiri ili aweze kuulegeza msimamo wake.



    "Kwa hiyo wewe unaona kumtafuna mke wa mwenzako vitabu vinaruhusu eeeh!". Lile jibaba lilifoka.



    "Halafu mke wangu Nancy, hivi ni kitu gani ambacho umekosa kwangu mpaka unaamua kunisaliti?". Yule bwana aliongea sasa akiwa amemgeukia Nancy.



    "Nisamehe mume wangu. Ni shetani tu alinipitia". Nancy aliongea huku akimtazama mumewe kwa macho ya kuomba radhi.



    "Hebu nyamaza kenge wewe! Nikishamalizana na huyu nyang`au, jiandae na wewe kupata adhabi kali sana". Yule bwana alifoka huku alimchapa Nancy kibao kikali sana.



    Niliitazama saa ambayo ilikuwa mle chumbani, na kuona inasoma kuwa ni saa sita na dakika mbili mchana.



    "Kijana hebi jiandae ili upate dozi yako mbele ya huyu malaya mwenzako". Yule bwana aliongea huku sasa akiwa ameisogelea ile meza ya vipodozi nakuanza kufungua mkanda wa suruali yake.



    Sikuamini kama nilikuwa nimepata wasaa mzuri kama ule. Sikutaka hata kujishauri mara mbilimbili. Nilichokifanya ni kuchomoka mbio huku nikiwa uchi kama nilivyozaliwa.



    Nilitoka nje kwa spidi kali na kulakiwa na jua kali kuashiria kwamba ilikuwa mi mchana mchanga kabisa. Watu wengi pia walikuwa wakiendelea na shughuli zao huku nje. Mimi sikuwajali, bali ni kuzicharaza mbio kali huku nikiwa uchi wa mnyama.

    ******************************

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog