Search This Blog

Monday, October 24, 2022

CHUZI NDO HILO, HAKUNA KUONJA! - 2

 







    Chombezo : Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!

    Sehemu Ya Pili (2)



    Mpaka usiku, mama Shua hakumtumia meseji Musa wala Musa mwenyewe pia hakumtumia meseji mwanamke huyo. Yeye alikuwa muoga wa kuanza…

    “Mama Shua,” alianza kwa kuita baba Shua wakiwa tayari kitandani…

    “Abee…”

    “Kesho asubuhi ndiyo utakwenda kwa bro. Maana mimi nitaondoka saa kumi na moja na nusu.”

    “Umeshaongea naye kwenye simu?” aliuliza mama Shua kabla hajamzungumzia mke wa kaka yake baba Shua…CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Sijampigia. Lakini ngoja nimpigie sasa hivi. Lakini sidhani kama kuna tatizo hata ukienda mwenyewe,” alisema baba Shua. Alichukua simu, akampigia kaka yake huku akiweka loud speaker…

    “Shikamoo kaka…”

    “Marhaba, za familia yako?”

    “Njema tu. Sasa kaka kesho mimi nasafiri kwenda Arusha. Nitakaa kwa siku saba. Naomba familia yangu ije ikae kwako…”

    “Mbona shemeji yako amesafiri leo. Amekwenda Morogoro na watoto. Nyumbani hakuna mtu, mimi nimekuja kikazi huku Rufiji.”

    Baba Shua alishusha pumzi kwa nguvu…

    “Ooo! Sikujua, basi sawa kaka. Nakutakia kazi njema.”

    “Haya poa.” Baba Shua alikaa kimya kwa muda kisha akasema…

    “Basi itabidi ubaki hapahapa lakini take care.”

    “Usijali mume wangu.”

    ***

    Saa kumi na moja na nusu ndiyo baba Shua aliondoka nyumbani kwa usafiri wa Bajaj hadi Ubungo.

    Nyuma, mama Shua akamtumia meseji Musa…



    “Jamaa ndo huyooo anaondoka zake.” Haikuchukuwa muda Musa akaijibu fastafasta. “Bado hata sijaenda kuoga niende kazini kwa hiyo vipi?” Akamtumia mama Shua kiuchokozi. “Unauliza virungu polisi, njoo!” Nyuma mama Shua alikuwa akijiamini kwa asilimia zote kuwa mumewe asingeweza kurudi kutokana na haraka aliyokuwanayo wakati anaondoka. Alichokifanya ni kumchungulia Shua kama hajashtuka kisha akajiweka sawa kwenye kochi na kumsubiri Musa.

    .

    ¤¤¤¤¤¤¤¤¤

    Mwendo wa nusu saa, baba Shua alikuwa katika foleni ya gari ya kuelekea kituo cha mabasi, Ubungo. Bajaj aliyokuwa ameipanda ilishindwa kujipenyeza kutokana na magari mengi kutanua barabarani na kushindwa kusonga mbele. “Unaweza kunirudisha tulipotoka?” aliongea baba Shua baada ya kugundua kafanya kosa kuchukua makaratasi muhimu ya kazini ambayo aliyahifadhi nyumbani

    kwake. “Usijali bosi hapa tunatoka tu,” aliongea dereva bila kujua kama kuna kitu baba Shua amekisahau nyumbani, alichokuwa akijua ni kuwa anamchelesha kupanda gari. “Kuna kitu muhimu sana cha ofisini nimesahau kwangu, au chukua hela yako nirudi kwa bodaboda fasta,” aliongea baba Shua, kisha akashuka na kupanda bodaboda kuelekea nyumbani kwake.

    **********CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kitendo cha kuingia na bodaboda nyumbani kwake,

    kikamshtua Musa ambaye tayari alikuwa amejiandaa kudumbukia chumbani kwa baba Shua ili kumkabili mama Shua. Alipomuona baba Shua tu, akajifanya anatoka nje moja kwa moja. “Za asubuhi baba Shua,” alisema Musa kwa sauti ya chini. “Salama tu kijana mwenzangu,

    daah halafu nilisahau kukwambia kuwa nasafiri na hapa nimerudi mara moja kuna kitu nimesahau.” Musa akacheka kimoyomoyo. “Angejua najua kila kitu na hapa nimenusurika kufumwa hata asingeongea yote hayo.” Alimwacha baba Shua akiingia chumbani kwake. Alipofika alimkuta mama Shua akiwa katika kanga moja tu kwenye kochi. “Vipi tena, leo kazini huendi?” “Baba Shua! Hapa nilikuwa natafakari nitawezaje kuvumilia kukaa mbali na wewe hasa huyu mtoto wetu Shua,” alimuongopea na kumuuliza swali. “Vipi kulikoni tena mume wangu, hakuna safari?” “Safari ipo ila nimesahau karatasi zangu muhimu ambazo natakiwa kuwa nazo huko niendako,” aliongea baba Shua huku akiwa katika haraka na kufungua baadhi ya karatasi zake za kazini kisha akamsogelea mama Shua na kumbusu shavuni. “Narudia tena mke wangu, kuwa mwangalifu na mbaki salama.”

    Hadi anaingia chumbani kwake, bado Musa hakuelewa picha lolote linaloendelea, kila akishika simu yake na kutaka kutuma meseji, alikuwa akisita kwamba lazima baba Shua atashtukia. “Hivi kweli mama Shua alikuwa anataka kunifanyia mtego?” alijiuliza Musa bila kupata jibu. Ndani ya muda mfupi akasikia tena mlio wa bodaboda ikiondoka, hajakaa sawa simu yake ikaingia meseji. “Ameondoka tena!” “Ujue umenitia presha?” “Kwa nini tena mpenzi?” “Si umeniambia ameshasafiri kumbe bado yupo mjini?” “Acha woga wangu, kuna kitu alisahau na hata hivyo hawezi kurudi tena we njoo.” “Kwako?” “Ndiyo!” “Kama ni kwako, hapana aisee, asije akarudi tena.” “Sasa wewe unataka wapi?” “Gesti!” “Ondoa uoga wako, basi sehemu za kukuficha hapa chumbani zipo kama itatokea, lakini jua harudi tena na hapo alipo anaenda kulifukizia basi.” Meseji ile ilimkosha Musa, akajiandaa upya na kuanza kupiga hatua kuelekea chumbani kwa mama Shua. Alipoukaribia mlango, akafungua na kuchungulia kwa ndani akakutana uso kwa uso na mama Shua. “Ingia sasa unaogopa nini?” Musa akadumbukia na kuongoza hadi kwenye kochi. “Mchumba wangu Shua yupo wapi?” “Shua muda huu, bado kamelala huko chumbani.” “Haya niambie, hapa au chumbani?” “Tuanze hapahapa kisha uhondo ukizidi tunamalizia chumbani,” alisema mama Shua huku akiinuka na kuusogelea mlango kwa lengo la kuufunga. Nyuma Musa alikuwa akifaidi kwa macho kwa kuitazama ile kanga moja aliyokuwa amejifunga mama Shua ambapo ndani yake hakukuwa na nguo ya ndani. “Sogea nikwambie kitu,” alisema mama Shua baada ya kuhakikisha ameufunga mlango. “Hapo!” “Ndiyo njoo hapa kwangu!” Mama Shua alianza mbwembe, mbwembe kama zile za kwenye filamu za Kihindi. Musa akasogea hadi karibu yake. Kabla mama Shua hajaanza kumbakili Musa mara sauti ya meseji kwenye simu yake iliyokuwa kwenye kochi ikasikika. “Mpenzi umesikia meseji kwenye simu yako,” alisema Musa. Kwa hofu, mama Shua akaifuata na kusoma ujumbe kisha akaguna. “Mitandao mingine bwana, eti furahia kutumia mtandao huu.” Akaifuta ile meseji lakini kabla

    hajairudisha ile simu pale kwenye kochi mara ikaita, mama Shua akabaki akiitolea macho huku akishindwa kuipokea kutokana na simu yake kuwa na mlio mkubwa pindi akiongea na mtu. Muda wote Musa alikuwa akimtolea macho. “Pokea sasa,” aliongea Musa na

    kumfanya mama Shua apokee. “Haloo baba Shua!” “Sijui nina mkosi gani mimi, umeshaenda kazini?” aliongea baba Shua kwenye simu......



    “Bado…” “Leo mbona umechelewa sana, kuna nini mama Shua?”

    “Ndiyo najiandaa hapa baba Shua.”

    Wakati huo, siku nyingi Musa alishafika chumbani kwake na kukaa kwenye kitanda akihema.

    Yeye alipomsikia baba Shua akisema ‘sijui nina mkosi gani?’ alikuwa njiani anarudi alisahau kitu kingine tena…

    “Oke, sasa hapo juu ya kabati kuna fedha kwenye bahasha, chukua ukanitumie kwa J-Pesa.”

    “Sawa…kwani umeshaingia kwenye basi?”

    “Ndiyo linaondoka muda huu.” “Haya, safari njema mume wangu.”

    “Sawa mke wangu, baki salama lakini take care.”

    “Usijali.”

    Mama Shua, japokuwa muda ulipita kweli, alitakiwa awe njiani anakwenda kazini, lakini hakukubali, alichukua simu na kumtumia meseji Musa…

    “Oyaa! Vipi wewe? Mbona uliingia mitini?”

    “Mh! Si jamaa kasahau kitu tena?”

    “Hamna, kuna pesa alitaka nimtumie alizisahau kwenye bahasha,” alisema mama Shua. “Kwani amesema basi limeshaondoka?”

    “Ndiyo.”

    Musa, sasa alikuwa ndani ya bukta, kifua wazi akachomoka na kuingia ndani kwa mama Shua. Mama Shua naye hakuwa na sababu ya kucheleweshana, alimzamisha chumbani Musa huku akiwa anachojoa kanga yake moja na kuitupia chini. Musa kuona mwili wa mama Shua stimu ilipanda, akapagawa. Macho yake yalihisi kizunguzungu, akajikuta akihema kwa nguvu.

    Licha ya kwamba ni kijana lakini ujana wake ni ule wa ‘kukurupuka’, kwamba akichelewa sana anaweza akamalizia mambo mlangoni.

    Alivua bukta kwa fujo, akaitupa chini kisha, akamrukia mama Shua, wote wakaenda kitandani, Musa akaingia uwanjani lakini hapohapo akapata ushindi kwa kuvunja dafu lake moja.

    “Aaah! Kwa nini sasa?” mama Shua ambaye alikuwa hajafika popote, alimuuliza Musa kwa mshangao mkubwa…

    “Hata mimi sijui, huwa inanitokea kama mwanamke nimempenda sana halafu mara ya kwanza,” alisema Musa huku akionekana kujisikia aibu…

    “Kwa hiyo mara ya pili hali hii haitatokea?” aliuliza mama Shua…

    “Haiwezi kutokea. Loo! Hakuna kitu kama hicho.” “Sawa! Sasa twende makazini, jioni tukutane tena, si itakuwa mara ya pili?”

    “Ndiyo,” alisema Musa huku akitoka kwa kasi kurudi kwake kisha akaenda bafuni kuoga huku moyoni akisema…

    “Da! Hii ni aibu kweli. Yaani mtoto mzuri vile nimeshindwa kumfikisha kwenye nyavu? Mimi naye bwana! hii aibu ya kuwahi sijui itakwisha lini?”

    Musa alianza kuwakumbuka mademu zake ambao walimkimbia au kumpiga chenga kufuatia tabia yake hiyo ya kidogo tu, haooo!CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mama Shua alisubiri Musa alipotoka bafuni kuoga, akaingia na yeye huku moyoni akisema… “Siamini kama leo nimelala na Musa…kijana nimempenda sana, saizi yangu kabisa.”

    Musa ndiye aliyekuwa wa kwanza kutoka akakimbia hadi kwenye gari lake, akaliwasha na kumpigia simu mama Shua…

    “Oya vipi, nikusubiri?” Musa alimuuliza mama Shua… “Nisubiri mpenzi wangu, tayari nimeshatoka.”

    Mama Shua alitembea haraka mpaka kwenye gari la Musa, akafunguliwa mlango na kuzama ndani…

    “Da! Leo nimechelewa kweli, nadhani hata wewe?” alisema mama Shua…

    “Sana. Lakini kazini kwangu hakuna noma, labda kwako.”

    “Mimi pia, ila noma ipo kwa mume wangu…mume wangu anaweza akampigia bosi wangu kutaka kujua kama nimefika.”

    “He! Ana tabia hiyo mumeo?”

    “Sana tu.” “Kazi unayo. Lakini anaonekana anakupenda sana.”

    “Ah! Ananipenda ndiyo lakini wivu wake kwangu ni wa kijinga.”

    “Ha! Wivu wa kijinga ndiyo wivu gani baby wangu?”

    Mama Shua alijisikia raha kuitwa ‘baby wangu’…

    “Si wa kumfuatilia mtu mpaka kero.”

    “Mh!” aliguna Musa, mama Shua hakujua ni kwa nini kijana huyo aliguna.

    Musa alimshusha mama Shua nje ya ofisi yake, yeye akapitiliza hadi kazini kwake. Lakini siku hiyo alianza kuona ubaya wa ‘kumaliza’ haraka, hasa kwa demu mzuri kama mama Shua.

    Unaweza kulisikia jina la mama Shua ukahisi ni mwanamke aliyekwenda ‘eji’ kwa sababu ya kuzaa. Lakini alikuwa na miaka 23 tu!

    Sura yake ilivutia kwa vile alivyo na mvuto wa kisichana, macho kama gololi. Nyusi nyingi juu ya macho, ungemwona ungesema Mhindi.

    Kuanzia kiunoni kwenda chini alitengenezwa kama wa kuchora kwani alibinukia nyuma. Sehemu ya matiti ilijichomoza kwa mbele huku yakiwa yamesimama na kulifanya tumbo lake kujificha kwa ndani.

    Kwa mwanaume yeyote rijali aliyekutana na mama Shua njiani alilazimika kugeuka kumwangalia hata kama alikuwa ameongozana na mke wake mtata.

    ***

    Saa saba kamili, mama Shua alimkumbuka Musa, kwamba ni muda wa lanchi, akamtumia meseji…

    “Baby, lanchi, umeshapata?” “Da! Ndiyo najiandaa kutoka. Lakini nikitoka muda huu sirudi tena, nakwenda home.”

    “Kuna nini?”

    “Nimechoka sana leo, sijui kwa nini?!”

    “Jamani, au na mimi nitoke tukalale hotelini, nikupetipeti halafu tuingie ile mara ya pili uliy-oniahidi?”



     Musa alikosa raha ghafla, akajikuta akikumbuka mambo ya asubuhi. Alijilaumu sana kwa kushindwa kumuda kudumu kwa hata dakika kumi kwenye sita kwa sita…

    “Lakini sasa hata kama namaliza haraka, basi si nitumie hata dakika kumi,” alisema moyoni.

    Kabla ya kumjibu mama Shua, alizama kwenye mitandao ya kijamii kwanza na kusachi mada inayosema; ‘je, una tatizo la kumaliza haraka tendo la ndoa? Soma hapa!’

    Musa alizama kwenye mada hiyo na kukutana na elimu mbalimbali ikiwemo kuambiwa akiwa kwenye sita kwa sita asiweke mawazo kwa asilimia mia moja. Pia, asimshobokee kivile mwanamke aliye naye.

    Akaambiwa asimuone mwanamke huyo ni kama ‘malaika’ na kwamba wengi wanawaona wanawake kama ‘malaika’ ndiyo hujikuta wakimaliza mapema kwa kuwa wanakuwa hawaamini.

    Alipomaliza, ndiyo akashika simu ili amjibu mama Shua…

    “Kwani we unaweza kutoka muda huu?”

    “Naweza baby.”

    “Poa twende,” alisema Musa lakini huku moyoni akijiuliza. Je, ni kweli mara ya pili hiyo atamudu kudumu kwa muda na kumfanya mama Shua ajisikie yupo na mwanaume rijali?

    Musa ndiye aliyetangulia kutoka kazini, akatafuta hoteli, akalipia. Akamjulisha mama Shua…

    “Poa, nakuja ndani ya dakika kumi tu kipenzi changu,” alisema mama Shua huku akifungafunga kazi zake na kutoka.

    Njiani, mama Shua alimuwazia sana Musa…

    “Leo nikapate hiyo raha. Asubuhi alisema akirudia anakuwa ngangari. Maana muda ule sikufika popote pale,” alisema moyoni mama Shua.

    ***

    Kule hotelini, Musa alikuwa vizuri kiasi kwamba aliamini yote aliyoyasoma kwenye mtandao ni ya kweli…CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mbona kama niko vizuri sana muda huu. Akitokea hapa hakuna kupoteza hata dakika moja…ni kazi tu,” alisema moyoni Musa.

    ***

    Ndani ya dakika kama nane, mama Shua akawa amefika hotelini. Alifuata maelekezo mpaka akafika kwenye mlango wa chumba alichokuwemo Musa…

    “Ngo… ngo… ngo…” aligonga mlango. Musa alisimama haraka na kwenda kufungua.

    “Karibu baby…” “Asante baby…mmmwaaaa,” mama Shua alikaribia na kumpiga busu zito Musa…

    “Asante sana baby,” alishukuru Musa huku akimkumbatia.

    Ile mama Shua anakaa tu kitandani, Musa akasimama, akavua nguo zote mpaka akawa kama alivyozaliwa.

    Mama Shua kuona hivyo, naye akasimama, akajichojoa moja baada ya nyingine lakini kabla hajamaliza, Musa alimvaa na kumtupia kitandani…pu!

    “Jamani baby, bado sijavua zote…”

    “Zitavuka zenyewe tu,” alisema Musa wakati aliona kabisa nguo yenyewe iliyobaki ni kufuli tu.

    Ilibidi mama Shua ajichojoe mwenyewe kufuli hilo haraka sana kisha akajitega.

    Musa, akiwa kama simba aliyelala na njaa kwa siku mbili, alimwangalia mama Shua kwa macho yaliyojaa uchu huku akielekea uwanjani.

    Alianza mechi akikumbuka alivyosoma kwenye mada ya mapenzi. Akamwangalia mama Shua kama changudoa aliyemuona mtaani usiku ili kwenda sambamba na kipengele cha ‘usimshobokee’ au ‘usimwone kama ‘malaika’. Hata hivyo, haikusaidia kwani mwonekano wa mama Shua alivyo na zile sifa nilizowahi kuzisema ukijumlisha na mahaba mazito ya mwanamke huyo, Musa ndani ya dakika mbili akamaliza…

    “Da! Baby, sijui nini?!” alisema Musa huku akitoka uwanjani kwa aibu na kujitupa huko…

    “Jamani! Nini tena? Si mara ya pili hii? Au mpaka ya tatu?” aliuliza mama Shua kwa sauti iliyokosa amani, Musa hakujibu kitu. Ulipita ukimya, hakuna aliyekuwa tayari kuzungumza. Mama Shua aliwaza yake, Musa pia aliwaza yake…

    “Sasa huyu mimi sijamwelewa, ni mzima au anaumwa?” alijiuliza mama Shua…

    “Hii sasa aibu. Yaani demu anaanza kupanda kasi mimi namaliza?! Da!”

    “Baby,” aliita mama Shua kwa sauti ya kike, sauti nzuri na tamu…

    “Naam.”

    “Una nini kwani?”

    “Hata mimi sijui.”

    “Mh! Au uliwahi kutembea na mke wa mtu ukachezewa?”

    “Hapana. Sijawahi.”

    “Mh! Yaani hata dakika tano hufiki? Afadhali ungekuwa unafika hata dakika tano tu na mimi ningejitahidi.”

    “Looh!” alisema Musa huku akiwa amelala akiangalia juu kwenye dari.

    “Loo nini sasa?” aliuliza mama Shua, akaendelea…

    “Kama unaumwa sema usaidiwe.”

    “Mimi siumwi.”

    “Sasa kama huumwi kwa nini unashindwa kuwa mwanaume barabara kama wenzako?”

    Swali hilo lilimuumiza sana Musa, akatoka kitandani haraka, akaenda bafuni kuoga. Mama Shua akajua akirudi wataendelea, lakini cha ajabu Musa aliporudi akashika nguo zake na kuvaa…

    “Mimi nakwenda home.”

    “Ha! Wewe, yaani nimeacha kazi kwa ajili yako halafu unasema unakwenda home, mimi unaniachaje sasa?”

    “Unataka nikupe shilingi ngapi?”

    “Sitaki hela, njoo kitandani bwana. mbona unaonekana kijana mzuri, mtanashati, rijali lakini unashindwa na kitu kitogo sana?! Yaani haya mapaja yangu hayakupi uwezo Musa? Ona yalivyo mazuri, angalia kifua changu…”



    “Sitaki hela, njoo kitandani bwana. Mbona unaonekana kijana mzuri, mtanashati, rijali lakini unashindwa na kitu kitogo sana?! Yaani haya mapaja yangu hayakupi uwezo Musa? Ona yalivyo mazuri, angalia kifua changu…”

    “Noo mama Shua. Acha maneno yako ya kejeli. Unaniumiza sana,” alisema Musa akijiandaa kuvaa ili kutoka zake.

    Uso ulimpwaya, muda mwingi aliangalia pembeni au chini ili kukwepa kukutana macho na mwanamke huyo. Alitamani angeumbwa mwanamke kwani angekwepa kudhalilishwa kule…

    “Ukisikia mwanaume kapata aibu basi hii yangu ni namba moja, laiti ningejua yangetokea haya wala nisingemkubalia mama Shua tukutane hapa gesti,” Musa aliwaza.

    “Musa,” aliita mama Shua…

    “Mm...”CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Hebu kaa hapa kitandani,” mama Shua alisema kwa sauti kama yenye amri.

    Musa alikaa huku bado akiangalia chini…

    “Hebu niambie tatizo lako kwa uwazi kabisa, naamini naweza kukusaidia. Haiwezekani kijana mzuri kama wewe udhalilike mbele ya mwanamke.”

    “Tatizo langu unalijua…”

    “Mimi silijui, uliniambia lini?”

    “Kwani huoni kama nashindwa kumudu kuwa uwanjani hata kwa dakika mbili?” alisema Musa huku machozi yakimlengalenga…

    “Lengo langu nataka kujua huwa unajisikiaje mpaka unashindwa kuwa uwanjani kwa muda hata huo?”

    “Inatokea tu. Mi mwenyewe sijui.”

    “Tangu lini?”

    “Tangu nianze kujua kusakata kabumbu uwanjani.”

    “Lo! Kwa hiyo mademu zako wote wanakumbana na kisanga hicho?”

    Musa, awali alisita kujibu kisha akasema…

    “Ndiyo.”

    “Mh! Kwani huwa unakuwa na kiu sana kabla ya kuingia uwanjani?”

    “Sana. Ndiyo maana hata wewe ulivyoingia tu nikakuvamia,” alisema Musa. Sasa kidogo aibu ilianza kumtoka, alihisi anaweza kupata ufumbuzi kwani katika mademu wake wote waliommwaga kwa sababu ya udhaifu huo hakuna aliyeonesha dalili ya msaada…

    “Mimi nitakusaidia Musa…”

    “Kwa njia gani?” Musa aliuliza haraka huku kwa mara ya kwanza tangu kutomudu mchezo, aligeuka kumwangalia mwanamke huyo.

    Mama Shua akiwa bado kitandani, alimvutia kwake Musa akamlaza huku akimbembeleza kwa maneno mazuri ya mahaba…

    “Nakupenda sana mpenzi wangu, umetokea kuwa usingizi wangu. Nikiwa kitandani nikakuwaza wewe huwa nalala usingizi usio na jinamizi.”

    Musa alichaji upya, akajikuta ana nguvu za ajabu, akaamini safari hii ushindi ni wake. Alichojoa akatupa kule, akaingia uwanjani na mama Shua…

    “Lakini mimi bwana nina wasiwasi wewe una wanawake wengi,” alisema mama Shua wakati mechi ikianza upya…

    “Mimi sina mwanamke…”

    “Je, siku nikijua unao?”

    “Amua chochote kile.”

    “Mmm! Wewe Musa hujatulia wewe…mimi najua…na kama kweli una wanawake wengine naomba achana na mimi kabisa.”

    “Kweli mimi sina wanawake mama Shua. Niamini mimi…wanawake wenyewe wakishajua niko hivi wakiondoka wanafuta namba yangu kwenye simu zao.”

    “Nitafuatilia, maana mimi sitaki Ukimwi.”

    Maneno ya mama Shua yalimkata stimu Musa kiasi kwamba akajikuta anacheza mechi bila akili yake kuwepo pale hivyo dakika zikakatika…

    “Ina maana unahisi mimi naweza kuwa na virusi vya Ukimwi siyo?”

    “Inawezekana, mimi nitajuaje?”

    “Sasa mbona umekubali bila kutumia zana kama una wasiwasi?” aliuliza Musa akikosa mudi kabisa.

    “Nimejitolea kufa kwa ajili yako.”

    Wakati wanazungumza hayo, mama Shua alishika kasi, akajikuta anashikwa na kigugumizi huku akibadilisha maneno, sasa yakaja yale ya mahaba, Musa naye ikawa kama amezinduka kutoka kwenye maneno ya kero ya mwanamke huyo na kurudia hisia za mahaba, akatangaza anavunja dafu sambamba na mama Shua, wakavunja wote.

    Musa alishtuka, kwamba alichukua zaidi ya dakika kumi wakati wa kujibu maswali magumu ya mama Shua huku wakiwa wanaendelea na mechi…

    “Oooh! Oooph!” alihema sana Musa…

    “Tumetumia dakika ngapi baby?”

    “Kama kumi hivi…”

    “Nooo baby! Dakika kumi na mbili kamili.”

    “Haa! Kwa mara ya kwanza baby…ni kwa nini? Kwani umenitibu kwa dawa gani? Mbona sijaona kitu?” aliuliza Musa uso wake ukiwa umechangamka kwa furaha…

    “Unajua wewe unakosea kitu kimoja,” alisema mwanamke huyo lakini mara simu ya mume wake ikaita, akaomba kuipokea…

    “Pokea baby,” alisema Musa…

    “Haloo…”

    “Umetoka kazini muda mrefu, umekwenda wapi mama Shua? Niambie ukweli.”

    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mama Shua alianza kutetemeka, miguu na mikono vilimcheza. Akajikuta akimtumbulia macho Musa baada ya simu kukatwa na mumewe…

    “Vipi?” Musa alimuuliza…

    “Si unaona. Amepiga simu kazini, akaambiwa nimetoka. Sasa anataka kujua nimekwenda wapi?”

    “Amekata simu yeye au wewe?”

    “Yeye.”

    Mara, simu iliita tena mama Shua akiwa anaongea akaipokea bila kujua ipo hewani, akawa anasema…

    “Mi si nilikwambia kuna mtu ofisini anampigiaga simu kumuuliza kuhusu mambo yangu. Atakuwa huyohuyo ndiyo kamwambia mimi nimetoka.”

    Baba Shua alisikia yote, hasira zikampanda, akakata simu, akapiga tena. Safari hii ndiyo mama Shua akashtuka baada ya kusikia mlio wa simu yake…

    “Subiri nipokee baby,” mama Shua alimwambia Musa.

    “Haloo…” “Uko wapi mama Shua?”

    “Nipo saluni, nywele zangu zilikuwa hovyo sana. Ndiyo nimekuja kuziweka sana.”

    “Huyo uliyemwambia kuna mtu kazini kwako ndiyo huwa nampigiaga kumuuliza kuhusu mambo yako ni nani?”

    Mama Shua alishtuka, akajiuliza ni wakati gani mumewe alisikia, maana ni kweli alisema maneno hayo muda mfupi uliopita akimwambia Musa…

    “Si nakuuliza wewe mama Shua?”

    “Nilikuwa naongea na huyu dada wa saluni. Aliniuliza kama mumeo amesafiri amejuaje umetoka kazini? Ndiyo nikamwambia kuna bosi wangu huwa anampigia,” alijitetea kwa uongo mama Shua.

    “Kwa hiyo bado upo saluni?” “Ndiyo kwanza huyu dada anamaliziamalizia kuniseti.”

    “Naomba niongee naye.”

    Mama Shua alipatwa na kiwewe. Alihisi moyo unataka kusimama ghafla. Akajutia akijilaumu moyoni kwamba, angejua angejibu ameshatoka saluni lakini kusema ndiyo kwanza anamaliziwa, ina maana bado yumo saluni, sasa atampa nani simu ili ionekane ndiyo dada wa saluni.

    Aliwaza kumkimbizia mtu wa mapokezi lakini akakumbuka ni mwanaume…

    “Ayaaa! Da!” alihamaki mama Shua, ikabidi ajibadili mwenyewe sauti, akasema kwa sauti yake…

    “Eee shika, mume wangu anataka kuzungumza na wewe.”

    Kisha akatumia ya kujibadili… “Haloo shemu, mambo?”

    “Poa, mzima?”

    “Mzima. Mi naitwa Zuhura, niko saluni hapa. Mkeo mara nyingi hutumia saluni hii.”

    “Oke, sasa…ameondokaje kazini bila kuniambia? Wakati anajua mimi kujua ni rahisi. Hebu mwonye bwana mwanamke mwenzako.”

    “Sawa shemeji, nitamwonya. Nadhani ni bahati mbaya tu shemeji.”

    “Poa…poa shemeji yangu.”

    Baada ya kukata simu, mama Shua alicheka sana mpaka akalala kitandani huku akisema…

    “Jamani jamani! Hii dunia hii, balaa.”

    “Da! We kiboko aisee. Yaani umenibadilishia sauti hapa mpaka mimi mwenyewe nimekukubali. Kama ningepita hapo nje nisingejua kama ni wewe ndiye uliyekuwa ukiongea kwa sauti hiyo.”

    Mama Shua sasa alihisi yuko huru, akambusu Musa kisha akapanda kitandani huku akionekana mwenye furaha sana…

    “Unaweza kuendelea au hutaki?” aliuliza mama Shua.

    “Nitaweza kweli?” aliuliza Musa…

    “Kwangu mimi utaweza tu,” alisema mama Shua huku akimuandaa Musa tayari kwa mzunguko wa pili.

    Mama Shua alipeleka mkono na kushika maiki huku akimwangalia mwanaume huyo kwa macho yaliyolegea mpaka Musa akawa ngangari na joto likapanda tayari kwa mpambano.

    Musa ndiye aliyeanza kuingia uwanjani akiwa na moto mkali, mwili ulikuwa tayari kwa mechi lakini wasiwsi wa kushindwa kudumu hata kwa dakika tano ulikuwa palepale.

    Ile wanaanza mechi tu, mama Shua akaanza kumlaumu Musa…

    “Lakini mimi najitoa kwako huku najua kwamba wewe una wanawake wengi sana.”

    “Hivi ni kwa nini umeng’ang’ania hilo suala?”

    “Nasema kwa sababu najua bwana, usinidanganye.”

    “Niamini kweli kabisa.” “Sikuamini hata kidogo, kwanza nimeshajua iko siku nitajikuta umeniambukiza virusi lakini mimi kama nitakufa itakuwa kwa ajili yako,” alisema mama Shua.

    Mazungumzo hayo yalimfanya mama Musa kukosa hali ya kucheza mechi na kujikuta akipitisha madakika bila kumaliza kibarua chake. Mama Shua alianza kubadilika sauti huku akiendelea kuonga baada ya kuanza kufikia hatua ya mwisho wa mchezo ambapo aliweweseka.

    Musa naye, kuona mama Shua yuko kwenye kituo cha mwisho na yeye aliweweseka hadi akajikuta akitaka kupoteza fahamu.

    ***CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Siku za baba Shua kukaa Arusha zilibaki mbili, lakini akarudi nyumbani kwake Dar bila kuzimaliza. Alifika saa kumi na mbili na nusu jioni na kukuta mkewe yuko bafuni anaoga, akachukua simu yake na kukaa sebuleni akaanza kupekua meseji moja baada ya nyingine.

    meseji ya kwanza ilikuwa ya mama Shua kwenda kwa Musa, iliandikwa…

    “Vipi leo, nahisi kama kuna ulazima. Au wewe unasemaje? Nakusiliza.”

    Akafungua majibu ya Musa huku moyoni akisema…

    ”Huyu Musa huyu…si ndiyo huyu kijana mgeni aliyehamia humu ndani?”

    Mara, mkewe akatokea. Alipomwona mumewe ameshika simu yake na anajua mna meseji za Musa, mwanamke huyo huku akiwa amejifunga kanga moja tu, aliruka kama chui na kufika kwenye mwili wa mume wake…



    “Baba Shua nini bwana unasoma meseji zangu?” alisema mama Shua lakini aliikosa simu yake kwani baba Shua aliinua mkono juu zaidi na kumfanya mkewe huyo kuangukia mapajani mwake… “Una siri gani humu kwenye simu mpaka unanikataza kuangalia? Kwanza umeanza lini?”

    Mama Shua alikosa jibu, lakini akabaki hapohapo kwenye mapaja ya mumewe akizuia mumewe asisome meseji zake…

    “Sasa nahisi unataka kupigwa ndiyo unijue mimi ni nani!” alisema baba Shua, mama Shua akaogopa lakini hakumruhusu mumewe kusoma meseji zake.

    Kitendo hicho kilimfanya baba Shua kuzidi kuhisi vibaya kwani kama kweli mkewe angekuwa mwema kwenye simu hiyo asingetumia nguvu vile kumzuia asisome meseji…

    “Na kwa taarifa yako nimeshaona meseji ya Musa,” alisema mwanaume huyo.

    Mama Shua akazidi kuogopa, akaweweseka ile mbaya huku akisema…

    “Mimi sina uhusiano naye mbaya. Labda mawazo yako tu.”

    “Kama mawazo yangu acha nione meseji nyingine…” “Sitaki na simu yangu, kwani mi nimesoma meseji zako?”

    Ilibidi baba Shua atumie nguvu ya ziada kumchomoa mkewe kwenye mapaja yake, akaanguka chini lakini na yeye simu ikaanguka chini, mkewe akaidaka na kukimbilia chumbani. Kule chumbani, mama Shua alizifuta meseji zote kisha akamtumia meseji moja Musa…

    “Kimenuka, usitume meseji wala kupiga simu mpaka nitakapoanza mimi.”

    Akaifuta meseji hiyo na kutoka na simu…

    “Eee, simu hiyo angalia kama kuna kitu,” mama Shua alimwambia mume wake… “Hivi wewe kumbe siku zote ulijua unaishi na mwanaume asiyekuwa na akili siyo? Unaweza kunichezea akili mimi?”

    Mama Shua alimwona mume wake amabadilika rangi, akatambua upuuzi wake.

    Baba Shua alisimama, akaenda kumgongea mlango Musa… “Dogo!”

    “Naam.”

    “Toka nje.”

    “Mh! Kweli kimenuka,” alisema moyoni Musa huku akitoka. Moyo ulikuwa ukimdunda sana… “Oya! We unachati na mke wangu siyo?”

    “Mimi bro?”

    “Si ndiye ninayeongea naye hapa. Sasa unaniulizaje mimi bro?”

    “Mwite athibitishe.”

    Mama Shua aliposikia Musa anaruka kimanga na anataka aitwe athibitishe, aliifuta namba ya Musa kwenye simu kisha akaibadili namba ya mfanyakazi mwenzake anayeitwa Xsaver kuwa Musa.

    Alitoka mwenyewe bila kuitwa…

    “Baba Shua si nimekukatalia pale kwamba sina uhusiano na huyu kijana. Mbona unanilazimisha?” “Unataka kuniambia huna namba yake ya simu?”

    “Sina.”

    “Lete simu yako.”

    Baba Shua alisachi jina la Musa kwenye simu, likatokea, akaipiga ile namba akiwa ameiweka simu sikioni. Iliita lakini si ya Musa yule japo yeye aliishika simu yake…

    “Niambie dada angu?” upande wa pili wa simu ulisikika ukisema, baba Shua akakata simu na kumrudishia mke wake…

    “Sawa, lakini nitaendelea kuchunguza,” alisema akirudi ndani. Mama Shua naye akarudi ndani, pia Musa. Sasa ikawa, Musa ana namba ya mama Shua lakini mama Shua hana.

    Siku hiyo ilipita, ikafuata siku nyingine. Asubuhi Musa alikwenda kuoga, akamkuta mama Shua na msichana wake wa kazi wako uani. Alisalimia, akaingia bafuni kuoga. Alipotoka, alimkuta baba Shua na mtoto Shua nao wapo uani. Musa akamsalimia baba Shua kisha akamwinamia Shua…

    “Mchumba…mchumba…hujambo?”

    “Mwambie sijambo,” alisema mama Shua akimfundisha mtoto wake…

    “Sijambo…”

    “Sasa leo vipi, tutakutana saa ngapi tukale raha mchumba?” alisema Musa akiwa bado amemwinamia Shua…CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mwambie wewe tu ukitoka kazini unitafute.”

    “Tafute mimi,” alisema Shua akiwa amekosea lakini ujumbe ulifika…

    “Sasa tatizo wewe mchumba huna simu…” “Mwambie wewe si unayo unipigie ukitoka kazini.”

    Muda wote huo, baba Shua yeye alikuwa akicheka jinsi mwanaye anavyojibu…

    “Piga wewe… kazini,” alisema Shua kwa kukatakata maneno.

    “Haya nitakupigia ujiandae.” “Mwambie usiwe na wasiwasi mchumba.”

    “Wasiwasi …chumba,” alisema Shua akiuma kidole kimoja cha mkono.

    Musa alijiandaa akaondoka zake. Mama Shua naye alijiandaa akaondoka zake. Lakini alijitahidi sana kutafuta namna ya kuwasiliana na Musa mchana akashindwa. Musa naye alihisi kumtafuta mwanamke huyo kwa simu kunaweza kuleta kizaazaa baadaye kwa mume wake. Akaogopa.

    ***





    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog