Search This Blog

Monday, October 24, 2022

RIGWARIDE LA AFANDE - 3

 





    Chombezo : Rigwaride La Afande

    Sehemu Ya Tatu (3)



    Nikapeleka mkono kinywani sasa maana kinywa kilikuwa wazi, akakivuta na ulimi, nikakitoa. Nikajua kumbe anapenda vitu vikiwa kinywani, nikamsogelea huku natoa ulimi, akapanua kinywa tena!

    JIACHIE MWENYEWE…



    Nikamuingizia kidole, akakipokea. Sijui ilikuwaje, nikajisahau, nikakikandamiza vibaya akashtuka…

    “Ha! We una nini tena? Si umeshakula? Unataka nini?” alisema mfululizo akiwa amekaa na kunitumbulia macho pima…



    “Samahani sana bro, nilijisahau tu…”

    “Ulijisahau ukadhani?” aliniuliza akionekana ni mtu makini kuliko watu makini unaowajua wewe…

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Nilidhani wewe ni boifrendi wangu…”

    “We una boifrendi?”

    “Ndiyo…”

    “Kabisa… kabisa?”

    “Kabisa…”



    “Ina maana wewe ni mzoefu wa mapenzi?”

    Swali hilo lilinifanya niachie tabasamu laini na kuona aibu kwa mbali. Kwani lilikuwa swali la mtego sana. Alitaka niseme ndiyo mimi ni mzoefu ili iweje sasa?

    “Mbona unatabasamu?” aliniuliza.



    Kwanza, mpaka hapo ujue tulikaa beneti kwenye kochi moja na nilikuwa nimemwegemea…

    “Nimefurahi tu, swali lako zito sana.”

    “Uzito uko wapi? We huogopi mimba?” aliniuliza akiniangalia kwa karibu yake.

    “Nazijua siku za hatari kwa mimba,” nilimjibu huku nikiwa namshikashika kidevu chake chenye ndevu za kuhesabia. Si unajua mapolisi!



    Nilishangaa kumwona ametulia tuli. Nikazidi kumshikashika kidevu, nikahamia kwenye kifua, nikawa nakipapasa nikimwangalia kwa macho ya mlegezo…

    “Tukifumwa je?” aliniuliza…

    “Na nani?”



    “Afande Mwira…”

    “Kumbe harudi tena usiku, ni muda wowote?”

    Nikamwona anacheka, alijua nimemuuliza kwa maana ya kumtega pia maana ni yeye aliyesema wale kurudi kwao ni saa kumi usiku, sawa tutafumwa na nani!

    “Una maswali we binti,” alisema.



    Nikamkatisha kwa kumuuliza swali jingine kabisa…

    “Kwani we unaitwa nani?”

    “Afande Mwita.”

    “He! Yule afande Mwira, wewe afande Mwita…”

    “Si mimi, kuna afande Mwita wawili humu ndani. Pia kuna afande Marwa na afande Chacha.”



    “He! Kwa hiyo wote ni wa kule?”

    “Kulekule ndiyo. We kwenu wapi?”

    “Morogoro, lakini baba kazamia Dar miaka kibao tangu yuko yanki!”

    “Yanki ndiyo nini?”

    “Kijana.”



    Afande Mwita alicheka, akanishika kwa mabegani. Akanivutia kwake, nikaelekea bila ubishi, tena alichelewa kunivutia kwake. Akanibusu, nikabusika! Yaani ile mwaaa…na mimi nikafanya mwaaa! Ndiyo kubusika huko…

    “Utatunza siri?” aliniuliza kwa sauti ya chini kabisa…

    “Kivipi?”



    “Yaani hutamwambia chochote afande Mwira kwamba uliingia chumbani kwangu?”

    Badala ya kumjibu, nilipeleka mkono hadi kwenye sehemu ya mbele ya suruali. Nikataliitalii hapo mpaka akaniangukia kabisa kwangu, puuu…hoi afande Mwita…



    Nikasimama bwana, aibu nikaiweka kando. Loo! Mimi ni mwanamke, yeye ni mwanaume, sasa cha ajabu kipi? Nikamchojoa nguo moja baada ya nyingine…

    “Lakini we mtoto kweli upo radhi kabisa?” aliniuliza majibu.

    “Kwa nini?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Yaani umeamua kutoka moyoni?”

    “Kwamba?”

    “Kwamba tunaingia kwenye mechi?”

    Badala ya kumjibu nilimwangalia kwa macho yangu yale ya kulegeza. Hata kama ni wewe, nikikuangalia kwa macho yangu hayo mwenyewe utaona aibu…

    “Lakini hutasema?” aliniuliza.



    Badala ya kumjibu nikapiga magoti. Sasa ningemjibu nini wakati kila kitu anakijua. Mimi nitasemaje wakati mwenyewe ndiyo nimeanza uchokozi? Afande wa watu mwenyewe alikuwa amejilalia zake, anakoroma na ameniacha nimeshiba…



    “Eti, nihakikishie kwanza, hutasema?” alinishika kichwani na kuniuliza wakati mimi mwenzake nishaanza kuimba nyimbo nzuri za mahaba. Nilitingisha kichwa kwenda juu na chini kwa ishara ya kumkubalia. Ningetikisa kwenda kulia na kushoto maana yake ni kukataa.



    Basi, akajiegemeza na kuniacha niendelee kuimba. Wakati naimba yeye akawa anaitikia kwa sauti ya besi. Sasa ukichanganya sauti yangu na yake, tulitoa mlio mmoja mzuri sana kwa wapita njia kama walipita kweli nje.



    Mwenzangu, japo nilisema niimbe kwanza mpaka ashindwe yeye lakini nilishindwa. Nikaacha kuimba, nikasimama na mimi nikaanza kujichojoa, moja baada ya nyingine. Tukawa saresare maua, anayejua kuchagua.



    Akiwa amekaa, nikasema hapahapa, hakuna kuutumia uwanja wa taifa, tukaamua kuutumia uwanja wa shamba la bibi.

    Kumbe jamaa bwana ni mtaalam. Alinishika, akanikamata, akanibana, akaning’ang’ania. Uwanja ukawa hautoshi, akanitupia uwanja wa taifa. Tukaendelea. Lo!



    Kazi ikawa kwenye mapozi, mara aliniambia nisimame juu ya uwanja, mara aliniambia nikae. Mara aliniambia nimbebe mtoto mgongoni! Mh!

    Nilipomtangazia kwamba nataka kutafuna korosho akaniachia, akapunguza mashambulizi akisema nisitafune korosho wala karanga mpaka tutafune wote.



    Nilimkubalia, tukaendelea. Lakini akiwa anatangaza kutafuna korosho, na mimi nikatangaza kumuunga mkono, mlango si ukagongwa bwana!

    “Ngo…ngo…ngo…we Rhoda…”



    Sauti hiyo ilinishtua sana, kidogo nipoteze maisha. Sasa ufahamu ulinirudia kutoka kwenye kupotezea kwenye mapenzi mazito.

    “Nani?” eti mwenyeji wangu aliniuliza mimi badala ya mimi nimuulize yeye…

    “Atakuwa mama,” nilimjibu kwa sauti ya chini sana.

    Ni kweli, sauti niliyoisikia ilikuwa ya mama yangu mzazi…

    “Rhoda,” aliita tena.



    Safari hii sauti yake ilikuwa dhahiri kabisa kwa sababu niliisikia kwa utulivu nikiwa nimeinua kichwa…

    “Mwambie sipo,” nilimfundisha mwenyeji wangu.

    Hapo tuliweka mpira kati, tukawa tunashughulikia la mama kwanza. Naamini hata mwenyeji wangu hakuwa ngangari tena. Ungangari anguepata wapi wakati kuna dalili za ndoa ya mkeka..?



    “Hawezi kuingia kweli?” aliniuliza, nikabaini jamaa ni afande lakini muoga sana…

    “Ungetoka haraka uongee naye,” nilimwelekeza. Akatoka uwanjani na kuniacha peke yangu, akasimama katikati ya chumba…

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “We nani unayemuulizia Rhoda?”

    “Mimi mama yake…”

    “Kwanza unamuulizia Rhoda gani?”

    “Si nilikuja na Rhoda hapa?”

    “Rhoda gani?”



    “Nilikuja na binti yangu muda si mrefu, kuna mwanaume tulikuja kumuulizia, kuna mtu akasema amekwenda kazini atarudi saa tisa usiku. Nikamwacha binti yangu huyo mpaka mwanaume aje…

    “Sasa nimekwenda nyumbani nikagundua mjinga nitakuwa mimi. Kumsusia binti yako kwa mwanaume ni kama kumuongezea umalaya, kuna faida gani? Ndiyo nimemfuata sasa…”



    “Oke, nakumbuka. Yule binti ulipoondoka tu wewe na yeye akaondoka, alisema atarudi hapa usiku.”

    “Loo! Mtoto huyu, atakuwa amekwenda wapi sasa?”

    “Huna namba zake za simu?”



    “Ninazo, ila umeme nyumbani umekatika na simu yangu iliisha chaji tangu usiku.”

    “Pole sana mama.”

    “Haya baba, ngoja nirudi kama hatakuwa nyumbani nitarudi baadaye.”

    “Sawa mama.”



    Hayo mazungumzo kati ya mama na afande Mwita nilikuwa nikiyasikiliza kama yalikuwa yakitoka redioni.

    Baada ya mama kuaga, nilimwona afande Mwita akinijia kitandani kama katoka gerezani…

    “Teh! Teh! Teh!” alicheka akiwa anaingia uwanjani na kuanzisha mechi tena. Mechi ikaanza kusakatwa, safari hii tulikuwa na ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya.

    Libeneke lilikuwa safi, afande Mwita alinitendea haki mpaka mwenyewe nikawa namuuliza maswali ya ajabu ajabu…



    “Una mke?”

    “Sina…”

    “Mchumba…”

    “Sina…”

    “Lakini unategemea kuwa naye?”

    “Sidhani…”



    “Niwe mimi basi jamani…”

    “Na afande Mwira je?” aliniuliza kwa kujitutumua kibabebabe.

    Wakati nakaribia kupata ushindi, nilimbana vilivyo afande Mwita mpaka nilipotulia naye akatulia kumbe yeye pia alipata ushindi sema tu, mtangazaji wake hakutaka kuweka yale mashamsham ya mpira kukaribia wavuni.



    “Da!” nilihamaki kwa sauti lakini moyoni nilisema…

    “Mimi Rhoda nimeshaharibika tayari…kwa siku moja wanaume wanne? Mh! Hata dada Liz hakuwa hivi…huu uwezo au umalaya?”

    Nilimgeukia afande Mwira nikamwona anasinzia kwa mbali, nikamgusa na mkono, akafumbua macho kuniangalia yakiwa yamelegea kama amelewa pombe za kienyeji…

    “Unalala siyo mpenzi wangu?” nilimuuliza kwa sauti iliyotoka nje kwa kupitia tundu za pua…kimahabamahaba… si unajua tena…



    “Usingizi bwana…tulale japo kidogo basi,” aliniambia kwa sauti yenye amri huku akigeukia ukutani.

    Moyoni nilimsifu kwa msuli alionao kwani alisakata kabumbu bila kuhema sana kama wenzake akina afande Mwira, Chacha na yule mbaba.

    Wote tulipitiwa na usingizi, tena ule wa fofofo. Mimi nililala kama nipo kitandani kwangu nyumbani maana nilijiachia. Mimi nikilala huwa sibakizi nguo yoyote zaidi ya kujitupia shuka tena nusu mwili, usiku sana kama kutakuwa na kijibaridi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Wote tulishtuliwa na sauti ya ukali ya mama akiita kwenye mlango wa chumba cha afande Mwita…

    “We Rhoda…” huku akigonga mlango kwa nguvu…



    “Mm! Mama amerudi tena,” nilisema kwa kumnong’oneza sikioni afande Mwita…

    “Naamini hakwenda. Alikuwa nje akifuatilia…”

    “Sasa amejuaje mimi nimo ndani? Maana ameita kama ana uhakika wakati ulishamwambia niliondoka muda uleule.”



    “Kwanza ameingiaje ndani, mlango nilifunga,” alisema afande Mwita.

    Alitoka kitandani, akaenda hadi mlangoni na kuanza kuongea na mama…

    “We mama…”



    “Mimi namtaka binti yangu tu.”

    “Si nilikwambia aliondoka!”

    “Sijaamini…mbona nilisikilizia dirishani nikasikia kitanda kikilalamika kwa muda mrefu, uko na nani kwani?”



    “Sasa mama hapo utakuwa unaingilia uhuru wangu binafsi. Yaani kitanda changu kulia wewe inakusumbua nini? Unapotaka kujua niko na nani ili iweje?”

    Ghafla nilimsikia mama akitembea kutoka nje huku akinilaani kwa maneno makali kabisa…



    “Mtoto hasikii, amekuwa kama hana baba wala mama. Yeye kulala kwa wanaume haoni tabu. Ananiumiza sana huyu mtoto.”

    Nilinyamaza kimya, hata dalili ya kukohoa iliponijia, nilijiminya sana.

    Akiwa anapita usawa wa dirisha, nikamsikia akisema…

    “Na mimi hapa leo sitoki mpaka nimwone huyo mwanaume aliyemchukua binti yangu. hata akirudi saa kumi na moja, atanikuta tu.”



    Kauli hiyo ilinitisha sana, niliogopa. Sasa mama aliamua kupambana na mimi na afande Mwita, eti hataondoka kurudi nyumbani.

    Simu yangu niliitoa mlio mapema sana ili kukwepa kuumbuka ikipigwa…

    “Unamsikia mama yako anavyosema?” aliniuliza afande Mwita…



    “Namsikia, sasa itakuaje? Atakaa kweli, mimi namjua mama yangu, akisema amesema, hatoki huyu mpaka usiku umkute hapahapa,” nilimwambia afande Mwita.

    “Ataondoka tu, akibisha nitamwitia mwizi, sitanii hata kidogo,” alisema afande Mwita.

    Ghafla, nilimsikia afande Mwita akishtuka na kusema…

    “Ohooo..!”



    “Vipi tena?” nilimuuliza na mimi nikiwa nimeshtuka…

    “Sikia hapo nje,” alisema, nikatega sikio vizuri.

    Nilijua mama anaendelea kuongea, lakini nilichokisikia, kilinishtua sana…

    “…kwa hiyo wewe mama umekuja kumfuata huyo binti yako?”

    “Ndiyo…sasa kuna mtu kasema huyo mwanaume kaenda kwenye lindo, sijui ni askari. Akasema atarudi saa tisa usiku. Nikaondoka, nikamwacha binti hapa, baadaye kurudi naambiwa eti nilipoondoka na yeye akaondoka,” alisema mama.



    Sauti ya kiume iliyokuwa ikihoji niliihisi kama ni ya afande Mwira…

    “Mama mimi sijui lolote. Mimi ndiyo afande Mwira mwenyewe na kweli nilikwenda kwenye lindo na bado nipo kwenye lindo, nimerudi kwa dharura tu,” alisema huyo mwanaume ambaye mwenyewe alijiweka wazi kwamba ni afande Mwira…

    “Kimenuka,” nilimwambia afande Mwita…

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Tulia wewe,” alinitia moyo wa ujasiri…

    “Lakini baba mimi kwa akili zangu naamini binti yangu hakuondoka, yupo humuhumu ndani.”



    “Mh! Mama una uhakika? Ndani atakuwa kwa nani sasa?”

    “Yule mwanaume aliyetujibu mmekwenda lindo si yupo?”

    “Kwa hiyo atakuwa ndani kwake?”

    “Naamini.”



    “Ngoja nikakuangalizie,” alisikika akisema afande Mwira…

    “Anakuja,” nilisema.

    “Tulia wewe…nimeshakwambia tulia. Mbona hutulii?”

    Nilitulia kama maji kwenye jagi. Lakini mapigo ya moyo yalikuwa yakinienda kwa kasi ya ajabu.



    Viatu vya afande Mwira vilisikika vikipita dirishani. Inavyoonekana, wenyeji wa nyumba hiyo wanatumia mlango wa nyuma kuingia ndani na si mlango mkubwa wa mbele.

    Lakini mimi niliingizwa kwa mlango mkubwa japokuwa niliondoka kwa kupitia dirishani.



    Mara, mlango wa uani ukafunguliwa, viatu vikatembea tena mpaka mlangoni kwa afande Mwita…

    “Afande Mwita,” aliita huku akigonga mlango kwa ustaarabu kidogo.

    “Afande Mwira…”

    “Vipi za kazi bwana?”



    “Njema. Nimerudi.”

    “Oke. Na mimi nimefuata simu yangu niliisahau. Kuna mama hapo nje anamtafuta binti yake anaitwa Rhoda, unamjua?”



    “Huyo mama nimeshamjibu, alipoondoka yeye na binti yake aliondoka. Sasa sijui anataka nimwingize hadi chumbani akague au vipi?” afande Mwita alimjibu mwenzake huku mkono wake mmoja ukitua kwenye ncha ya nido langu moja, nikashtuka na kutoa kaukelele kidogo maana nilisisimka mwili mzima. Na mimi sehemu yangu ya kuchanganyikiwa ni hiyo.



    “He! Kuna nini tena?” aliuliza afande Mwira, maana yake alisikia ule ukelele wangu…

    “Hakuna kitu…ye aende zake tu bwana…”

    “We baba wewe…unasema binti yangu aliondoka muda uleule wakati nimemsikia sasa hivi ameshtuka hapo, sijui umemtekenya!” alisema mama ikionekana na yeye yupo mlangoni.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Afande Mwita badala ya kujibu, akajisahau na kunishika tena, safari hii nikasema kwa sauti kabisa…

    “Bwana nini?”





    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog